Mfalme Zumaridi aonyesha kufuru ya pesa. Ni yule aliyefungiwa kanisa. Ashusha mjengo wa nguvu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 295

  • @emmanuelzani2889
    @emmanuelzani2889 3 ปีที่แล้ว +33

    Pamoja na yote unayoyafanya wewe mwanamke, bado Mungu anakupenda, ukitubu na kumwamini Bwana Yesu, atakusamehe. Maana Mungu ni wa rehema. Asante.

  • @eunicemusyoka4448
    @eunicemusyoka4448 ปีที่แล้ว +2

    Umebarikiwa sana sana na Mwenyezi Mungu ,Mfalme Zumaridi Mungu chini ya jua;

  • @hamisamaundi5661
    @hamisamaundi5661 2 ปีที่แล้ว +11

    SUBHANALLAH, SUBHANAALLAH, mwenyezi mungu tunusulu wajawako hizi ni dalili za qiama

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 2 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU. AKUSIMAMIE MAMA. Fanya kaziii.. vijana wanateseja sana saidia MAMA

  • @reginapiusi6750
    @reginapiusi6750 2 ปีที่แล้ว +9

    Mwanamke mwenzio unamuita baba 🙌 muogopen mungu jaman du 🥲🥲

    • @richardmosses6776
      @richardmosses6776 2 ปีที่แล้ว

      😁😁😁😁ach na haw wajing wapmbv

  • @salmamrembo4360
    @salmamrembo4360 2 ปีที่แล้ว +2

    Muogope mungu we mmama mungu hawezi kukaa ndani yako wewe Mungu waajabu sana we mama hafananishwi na kitu chochote kile unachokijua wewe izo pesa unazozitambia apo na kukupa jeuri ya kujiita Mungu pole sana we mdada mrudie mungu tubu kwa mola wako atakusamehe

  • @ericklaura7511
    @ericklaura7511 2 ปีที่แล้ว +1

    Anayejikweza atashushwa, umekamatwa upo remand sasa, Bwana wa Majeshi adhihakiwi 🙏

  • @nappekiliakiliasalimu346
    @nappekiliakiliasalimu346 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwann tunakuja kumkosea mungu.. we unajita mungu vp. Sasa. Aya . Waliotengeneza meli. Ya TITANIC. wakufuru mungu lakn walicho kutananacho. Walijutia. Kuzaliw

  • @innojrgeorge5665
    @innojrgeorge5665 3 ปีที่แล้ว +3

    Ninawatoa katika jina la Yesu kwako pepo

  • @ismailyusuph740
    @ismailyusuph740 3 ปีที่แล้ว +5

    Doh’ Sasa huyo baba au mama...!..mtihani sana..!

  • @lawrencelazaro8537
    @lawrencelazaro8537 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu turehemu,serikali iingilie kati maana hii nacho kipengele

  • @samsonmagesa3959
    @samsonmagesa3959 3 ปีที่แล้ว +15

    Kama Mungu Angekuwa Mwanadamu hakika Dunia na watu kama hawa Wangekiona cha Mtemakuni Wa kuhabudiwa ni Mungu pekee siyo wewe Mwanadamu

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 ปีที่แล้ว

      😆😂🤣🙌

    • @angelkais6665
      @angelkais6665 2 ปีที่แล้ว

      Mungu ni roho ww hana mwili hukaa ndani ya mwanadam nakutumia mwili wa mwanadam mjoja ataye mchaguwa,

  • @wilsonsaghy4171
    @wilsonsaghy4171 2 ปีที่แล้ว

    Pesa Ina maneno, tukizipata tukumbuke yupo Mungu na ipo miungu... Sasa n kuchuja na kuchenguwa mwenyewe... Mungu yupo mbinguni, duniani Kuna wanadamu tuliokombolewa na Mungu kupitia mwana wa Mungu ambaye ni Yesu kristo aliyetufia dhambi zetu hapa duniani.... Mungu tusamehe bure, shibe na kiburi Cha uzima kinatudanganya.

  • @uthmanmaluja7005
    @uthmanmaluja7005 2 ปีที่แล้ว +3

    Ww mpuuzi mpelekee mmeo akale mzigo huko na hiyo mjibaba mzima insujudia mwanamke ambae hata janaba hajui kuoga kiss pesa Allah awaongoze.

  • @happysanga6846
    @happysanga6846 2 ปีที่แล้ว

    Mungu atabaki kuwa mungu pamoja na kufulu zako yeye ni bwana wa majeshi habadiliki tubu uokolewe zumarid

  • @salmamrembo4360
    @salmamrembo4360 2 ปีที่แล้ว +7

    Jamani ndugu zanguni turudi kwa Allah ili atuepushe na mashaka ya dunia ama kwa hakika kiama kimekaribia

    • @mimahmimah1595
      @mimahmimah1595 2 ปีที่แล้ว +1

      Hawa wote wana njaa ndio mana wanamuita mungu wanajua ukwel lakin njaa ni mbaya

  • @maungosaidy6141
    @maungosaidy6141 2 ปีที่แล้ว +1

    Shetan ninakukemea kwa jina la yesu muache uyo dada awe uru kuanzia mda huu ,amina

  • @josephatmzungu7500
    @josephatmzungu7500 2 ปีที่แล้ว +1

    Nalaumu serikali za kiafrika kuachilia wanainchi bila ajira,hivi basi kushawishika na watu waovu na kutendewa mabaya na kuhusishwa na mirengo ya kila haina ya mambo...........

  • @florachogo243
    @florachogo243 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu waokoe watu wako wanaangamia kwa kukosa maarifa

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 2 ปีที่แล้ว +8

    Mimi mtu akitoboa kupitia waliojipeleka wenyewe namkubali. Huyu Mama yuko sawa hii dunia ni uwanja wa fujo ukiweza kuzitumia hizo fujo ukaishi kwa furaha basi

    • @dinahmbura1900
      @dinahmbura1900 2 ปีที่แล้ว +2

      Mungu akurehemu kwa maana ujui chenye umeamuka kwa kinywa chako

  • @engzuberir.akilenza1764
    @engzuberir.akilenza1764 2 ปีที่แล้ว +5

    Nchi yetu ujinga wa wengi ni mtaji kwa watu wengi wenye tamaa na roho mbaya kama huyu mama na wasanii wengine.

  • @rmaryp6269
    @rmaryp6269 3 ปีที่แล้ว +9

    Hao watumishi wake Mungu akomboe ufahamu wao, na hapo ndo atawaangamiza kbs kwa kutaka vya bure (nyumba hiyo) bila neema ya Mungu, wataangamizwa wote jehanamu. Mungu tu ndiye wa kuabudiwa si mwanadamu. Mwanamke wanamwita baba! Hivi mko sawa jamani!!

  • @akaniwasamuel619
    @akaniwasamuel619 3 ปีที่แล้ว +11

    Hivi huyu mama zimo kweli jengo la watumishi wa Mungu watumishi wa mfalme zumald hakikia hizi ni siku za mwisho wakristo tuweni makini sana na hawa manabii wa uongo kama hawa

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว +1

      Weeeeee huwaambii kitu waumn wake

  • @innojrgeorge5665
    @innojrgeorge5665 3 ปีที่แล้ว +11

    Utumbo mtupu, Mungu akiamua kukupiga atakupiga tu, alafu Mungu siyo mjomba wako, unadhani Mungu anafanya maamuzi kama unavyofikili wewe????? Mungu atakuadhibu kwa wakati wake

    • @angelkais6665
      @angelkais6665 2 ปีที่แล้ว

      yeye ndiye hakuna mwingine kama mfalme zumarid

  • @dynachriss5126
    @dynachriss5126 2 ปีที่แล้ว +3

    Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa🙆🏻‍♀🙇🏻‍♀

  • @joshuajofrey9832
    @joshuajofrey9832 2 ปีที่แล้ว +1

    Du ni maajabu kumuona mungu anaekunya duu!!!

  • @shellanshimirimana5171
    @shellanshimirimana5171 2 ปีที่แล้ว +8

    Kwa Style hiyi Afrika itachukua mdaa sanaa kuendelea 🥲🥲huwezi kukuta wazungu wanafanya huu upuzii.wanategemea sijui miungu watu so sad 🥲🥲🙁

    • @abubakarihamissi4178
      @abubakarihamissi4178 2 ปีที่แล้ว +2

      Africa kuna ujinga mwingi sana itatuchukua miaka mingi kupata maendeleo

    • @mgalilayamweusi6037
      @mgalilayamweusi6037 2 ปีที่แล้ว

      Je, wamjuwa kanye west, tafuta historia yake, MTU huyu amewai kuishi kama Mungu

  • @mwambinguphilip55
    @mwambinguphilip55 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu saida watu wako wa mwanza na Tz bila kusahau Kenya 🇰🇪 yangu pia

  • @mercyvilili
    @mercyvilili 2 ปีที่แล้ว +1

    Aki siku utakufa dada utayaona Kwa sasa furahi kwani unaendelea kuwasha mto Kwa kichwa jako aki laiti ungemujua mungu ni Nani usingefanya haya lakini wakiamini kua wewe ni mungu siku itafika utaelewa

  • @wahidabawabu8965
    @wahidabawabu8965 2 ปีที่แล้ว +1

    Inalilah wainailahi rajiun 😭😭 tunaangamia walimwengu

  • @innojrgeorge5665
    @innojrgeorge5665 3 ปีที่แล้ว +4

    Hata ujenge hekalu, mwisho wa yote mtumikie Mungu wa kweli, mtumishi anayekutumikia wewe ni pepo tu, watumishi wa kweli wanamtumikia Mungu aliye juu

  • @mariamumapunda4614
    @mariamumapunda4614 3 ปีที่แล้ว +6

    Mungu anawajua waliowake na siku zamwisho watakuja manabii waongo yaaan huyo huyo Ni mfalme huyo huyo Ni baba na ikiwa huyo Ni mwanamke nyie waumini mungu anawaona

  • @veroniccaemmanuel6129
    @veroniccaemmanuel6129 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akusamehe maana hujui ulitendalo hao ni watu wazima lakini unawaita watoto wako dah!! Mungu akusamehe sana

  • @mwl.martinmbilinyi250
    @mwl.martinmbilinyi250 2 ปีที่แล้ว

    MUNGU ni warehema
    Mungu huyu mhhhh
    Angekuwa mwanadamu sijui anahuruma kubwa sana kwa watu wake

  • @kelvinkaijage3275
    @kelvinkaijage3275 2 ปีที่แล้ว +9

    Mungu ameskiliza maombi ya watanzania umekamatwa na polisi na maovu yako yamejulikana

    • @husnamfuko6136
      @husnamfuko6136 2 ปีที่แล้ว

      Hahaha aaa

    • @amanijampion3045
      @amanijampion3045 2 ปีที่แล้ว

      Polisi ina mchango gani kwenye maisha ya mtu

    • @angelkais6665
      @angelkais6665 2 ปีที่แล้ว

      @@husnamfuko6136 mfalme zumarid ndiye mkombozi wa dunia

  • @akaniwasamuel619
    @akaniwasamuel619 3 ปีที่แล้ว +7

    Washalika wenyewe hawana hata akili ameshawaloga

  • @habibtyhabibty840
    @habibtyhabibty840 2 ปีที่แล้ว

    Uyu mama nilikua sijamuona yani nimempenda gafra tu, mwanamke ukiwa na pesa raha sana😂😍🔥🔥❤️😘

  • @marthachite5572
    @marthachite5572 3 ปีที่แล้ว +6

    Ndio maana alfungiwa Mungu wa mbinguni amrehemu hakuna kitu hapo

  • @benedictmhina8940
    @benedictmhina8940 2 ปีที่แล้ว +1

    Hahaha eti Amina baba daaah hii Kali asee

  • @laurinfred2931
    @laurinfred2931 2 ปีที่แล้ว +1

    Kondoo zako zinakusikiliza tu 😅😅😅
    Mungu awape ufahamu aseee maana

  • @muhammednassor690
    @muhammednassor690 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mama big up pig hela nakukubali piga hela umaskini mbaya mama

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  10 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa

  • @olivamarunda8318
    @olivamarunda8318 3 ปีที่แล้ว +4

    We mwenyenzi Mungu turehemu si Hawa ndio sababu ya hata Mungu kutuachilia pepo hili la Corona Covidi19 Hawa Ni watu wanamna Gani toka lini mwanamke aitwe baba Na Mungu kweli Kweli peleka ujinga huko Na upaaniwe wewe

    • @joyceobedi2113
      @joyceobedi2113 3 ปีที่แล้ว +1

      Wote wameinamishwa vichwa chini miguu juu hawaoni kitu uje halaka yesu hizi nguvu zingine zipoteee ze.nyewe

  • @florachogo243
    @florachogo243 2 ปีที่แล้ว

    Iko siku hela zitaisha ,mungu hathiakiwi

  • @upendomichael897
    @upendomichael897 2 ปีที่แล้ว +3

    Hivi mbona wanamwambia Amina baba kwani ni mwanaume? Da dunia simama nishuke

  • @samuelpaschalofficial5557
    @samuelpaschalofficial5557 2 ปีที่แล้ว +1

    Wamempokea zumaridi kutoka moyon wewe mama badilika mshahara wa zambi Mungu akuhurumie kwakwel

  • @alfajahussein9074
    @alfajahussein9074 2 ปีที่แล้ว

    Namshukuru MUNGU KUA MUISILAMU

  • @micamathew2595
    @micamathew2595 3 ปีที่แล้ว +4

    Jmn nasikiliza huku naangalia hadi moyo wangu unaumia sana unajua ni kwanini????¿ ni kwasababu huyu ni mwanamke lkn anajiita mfalme, inasikitisha sana, kingine watu wanamwabudu na kumpa sifa na utukufu, yaan mtu unampa sifa na utukufu??? Wa kupewa sifa ni BWANA YESU TU. Sasa nashangaa sana jmn, hivi hii dunia inaenda wapi??? BWANA atusaidie. Awape hao watu ufahamu ili wajitambue kisha watubu na kumtumikia YESU TU.

  • @salhaabdulrahman6323
    @salhaabdulrahman6323 ปีที่แล้ว +1

    Eti amina baba😂😂😂😂 kwa neema yako

  • @yusuphfesto1931
    @yusuphfesto1931 2 ปีที่แล้ว +2

    Kwa jina la Yesu wafunguliwe watu hawa waujue utapeli wako ufahamu uliopotoshwa na huyu shetani wa kike , Mungu ingilia kati

  • @michaellagwen8198
    @michaellagwen8198 2 ปีที่แล้ว +1

    Hivi watu 200 sehemu moja hawatombani huko kweli hahahahaha

  • @suzanamwangingo2995
    @suzanamwangingo2995 2 ปีที่แล้ว

    Mimi kazizako nazipenda sana kiukweli mfalme

  • @richardmakweta8875
    @richardmakweta8875 2 ปีที่แล้ว

    Mungu tusaidie hivi kinacho tusumbua wa Tanzania Ni umasikini,au Ni laana?

  • @augostinoreonard8540
    @augostinoreonard8540 3 ปีที่แล้ว +3

    Nisiku
    Zamwisho
    Jaman
    Tutubu
    Yesu
    Ndie
    Mfalme

  • @histovandamas5820
    @histovandamas5820 2 ปีที่แล้ว +1

    Yani wanajenga bila kulipwa alafu wanashangilia duh walivyo wapumbavu wanasema hapo ndo wamefika😂😂😂

  • @fatumaabduly5086
    @fatumaabduly5086 2 ปีที่แล้ว +4

    Ilo wigi sasa mfalme hahahahahaha 🤣🤣🤣🤣

  • @anithanjole3655
    @anithanjole3655 2 ปีที่แล้ว +1

    Haka Kama haka kana maono Sana lkn Ni ya kipepo okoka Yesu anakupenda

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 3 ปีที่แล้ว +5

    Vipopfu hao Mungu awafungue macho. Yote haya ni njaa imezidi.

    • @jamestz0213
      @jamestz0213 3 ปีที่แล้ว +2

      Hakika tunapotea,nawasikitikia hao kwa kuwa hawajitambui

    • @jamestz0213
      @jamestz0213 3 ปีที่แล้ว +2

      Mbona inaonyesha hana hata upako

    • @jamestz0213
      @jamestz0213 3 ปีที่แล้ว +1

      Dunia simama nishuke,napoteaa miee

    • @kuyankalango3308
      @kuyankalango3308 3 ปีที่แล้ว +1

      Bado upo tu,mmm makubwa

    • @luciansanga5195
      @luciansanga5195 3 ปีที่แล้ว

      Kweli Binadamu wenzako una waita
      kondoo wako MUNGU Ana kuona na
      wao wana kubali pengine ni njaa

  • @juneserastochales7172
    @juneserastochales7172 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu nishetani katumwa kutoka kuzimu ili angamize dunia kwa maarifa yake ya kishetni,, hakika Mungu atakuteketeza wewe kimbia haraka kutubu ili usamehewe Mungu achezewi wala kujaribiwa utakufa kifo kibaya wewe na hao watumishi wako uliowateka akili kiuchawi nao wataangamia kama hawatatubu wewe nishetani tena yule wa kuzimu mjinga weweeeee akili huna unajiita Mungu kama ni mungu nenda makaburini kafufue waliokufa kama Yesu aliemfufua lazzaro iliekaa siku tatu kaburini na kunuka kisha akawa mzima,, maarage na dagaa zako na dona unaolisha misukure wako ndo wajiita Mungu huna akili wewe

  • @mathewdyzymaleyafrica9128
    @mathewdyzymaleyafrica9128 2 ปีที่แล้ว

    weziiii hawa mungu anawaona

  • @sawanjema4889
    @sawanjema4889 3 ปีที่แล้ว +2

    Aliyekuwa ananunua mahindi bei kubwa harafu anauza bei ndogo ruvuma yuko wapi?

  • @emilikiyeyeu291
    @emilikiyeyeu291 2 ปีที่แล้ว

    Mm nahisi wote hawa juu ya dishi kunakunguru

  • @ghatimakonge9383
    @ghatimakonge9383 3 ปีที่แล้ว +2

    Pepo Ni WEWE mwenyewe wangekutoa pepo KWANZA ili umtumikie mwenyezi Mungu Halisi

  • @meshackkulinda1753
    @meshackkulinda1753 2 ปีที่แล้ว +1

    Nauliza hv watu hawakufundishwa kumjua Mungu wa mbinguni?

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 2 ปีที่แล้ว

    Munguu akusimamieee

  • @happysanga6846
    @happysanga6846 2 ปีที่แล้ว

    Mwanamke kuitwa baba mm ninashangaa sana

  • @fredymwakikono1575
    @fredymwakikono1575 2 ปีที่แล้ว +1

    kwenye online tv yake hamna sehemu ya comments, hakika huyu mama ni wa kuzimu, hatamki jina la Yesu hata mara moja

    • @mimahmimah1595
      @mimahmimah1595 2 ปีที่แล้ว

      Yuajua atachambwa ndio mana akaondoa comments ati ni mungu na ana mitume mmh majanga

  • @olivamarunda8318
    @olivamarunda8318 3 ปีที่แล้ว +1

    Hayoo yote Yann kujitaganza Yesu hakukitangaza ww Nani amelaania amtegemeaye mwanadm nakufanya kinga yake Na kumuacha Bwana

  • @shupanamugala6266
    @shupanamugala6266 ปีที่แล้ว +1

    Sasa mume wake yuko wapii

  • @akimuwaziri4089
    @akimuwaziri4089 2 ปีที่แล้ว

    Zumalid uokoke. Mpeyesu maishayako. Atakusamehe

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว +3

    Huyo mganga wa kienyeji anavojishaua kumnyenyekea mfalme 🤣🤣🤣🤣🤣🤣mpk wanaume jmn wanasujudia lkn kwann dunia iko hv yote haya wanayataka wenye nchi chapsheni hela muwagawie wananchi check Sasa kinachoendelea mtaulizwa Samia uko wapo

  • @edwardnamakonde7310
    @edwardnamakonde7310 2 ปีที่แล้ว +1

    Hii ni kuonyesha kuwa dunia imefika mwisho,
    Inaenda kuanguka na haitainuka tena.

    • @assfzainab912
      @assfzainab912 2 ปีที่แล้ว

      Dunia haianguk wala haitaanguka sisi binadamu ndiyo twaanguka

  • @magdalenajohn6564
    @magdalenajohn6564 3 ปีที่แล้ว +4

    Nimeshindwa kuongea

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 2 ปีที่แล้ว +2

    Wanajenga jengo LA. Misukule yako mbuz weeee

  • @willyngowi3162
    @willyngowi3162 2 ปีที่แล้ว +1

    Eti mwanamke anaitwa Baba 😂😂kwaiyo anakojoa akiwa amesimama🤔🤔kweli tutaona mengi kabla ya kiama😔😔😔

    • @angelkais6665
      @angelkais6665 2 ปีที่แล้ว

      anaitwa mungu kwxbabu roho ya mngu ipo ndani yake inafanya kazi kuokoa dunia

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 3 ปีที่แล้ว +5

    Africa tumeingiliwa na ujinga mwingine wa dini fake. Huyu mama pesa anatowa wapi? Ni sadaka za wanyonge wanaomuamini? Huu ni wizi wa kuaminika. Hii ni hatari sana. Uwongo wa kudanganya watu. Hii imekuwa ndiyo biashara na wizi wa kuaminika.,

  • @suzanamwangingo2995
    @suzanamwangingo2995 2 ปีที่แล้ว

    Pia nimefulai alivyotoka kwenye matatizo kiukweli nilikuwa naumia sana

  • @japhydejerry2908
    @japhydejerry2908 2 ปีที่แล้ว

    Huyu ni ibilisi kwa kweli ety amina baba ety zumalidi kakukomboa bwana yesu akuangushe mpaka ziwa liwakalo moto

  • @solomonmpuluma282
    @solomonmpuluma282 2 ปีที่แล้ว

    Uwiii! ETI NDIO BABA. JAMANIIIIIIII

  • @babitojnr4886
    @babitojnr4886 2 ปีที่แล้ว

    Kwa kweli Dunia inateketea pasi binadamu kugundua,yaani dume zima linamuita mwanamke baba

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwacheniiiii anasaidia watuuu we wenye maisha magumuuuu

    • @berthamakortha8387
      @berthamakortha8387 2 ปีที่แล้ว

      AMINA DADA WASAIDIE WANETUUU HAO MUNGU BABA. FANYA KAZI DADA TUSAIDIE WANYONGEE

  • @eshyndibalema1529
    @eshyndibalema1529 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu warudishie akili zao watu wako,waachane na huyu mama shetani anae jiita Mungu

    • @angelkais6665
      @angelkais6665 2 ปีที่แล้ว

      mfalme zumarid ndiye mkombozi wa dunia

  • @mwanakombopopo5117
    @mwanakombopopo5117 2 ปีที่แล้ว

    Mungu wakuvaa dera Astaghafrullah Astaghafrullah Astaghafrullah Allah atusamehee maana kilamtu anamapungufu yake

  • @shadrackzablon5983
    @shadrackzablon5983 3 ปีที่แล้ว +2

    Hakika haya n zaidi ya maigizo

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 2 ปีที่แล้ว

    TB J yuko wapi ?????

  • @matikamalecela163
    @matikamalecela163 3 ปีที่แล้ว +3

    Mfalme Zumaridi anakuna wigi 😂

  • @lusajomwaipopo5042
    @lusajomwaipopo5042 2 ปีที่แล้ว

    Mme wako yuko wapi

  • @henryxavery1713
    @henryxavery1713 2 ปีที่แล้ว

    Congratulations,,

  • @dausonpeter5052
    @dausonpeter5052 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu dada dishi lake haliko vzr akili haziko sawa

  • @barikimalafyale8860
    @barikimalafyale8860 2 ปีที่แล้ว

    Niambie

  • @hamisiharuna3099
    @hamisiharuna3099 3 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe tena una Mu gu wewe siyo Mungu

    • @simplyfay5308
      @simplyfay5308 2 ปีที่แล้ว

      Na mie nashangaa Mungu yupi anamuongelea tena 😄

  • @sistajeremiakalinga5436
    @sistajeremiakalinga5436 ปีที่แล้ว +1

    Makubwa wanamtumikia Nani kweli watu wangu wanaangaamia kwa kukosa malifaa

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 2 ปีที่แล้ว +1

    Tunakuombea dada

  • @marygeorge6985
    @marygeorge6985 2 ปีที่แล้ว

    Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa😭

  • @veronicaruben6081
    @veronicaruben6081 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu sijuwi wamefungwa na nini

  • @akimuwaziri4089
    @akimuwaziri4089 2 ปีที่แล้ว

    Mfalme nimungu ww. Munguyupi unaemwabuduww ? Nyiny ndiomanabii wauongo. Nyie ndie Ufunuo ilitabili. Utajibu nini wew mwenyemazombi?

  • @mbarikiwambarikiwa3988
    @mbarikiwambarikiwa3988 3 ปีที่แล้ว +3

    Wakuabudiwa na kutukuzwa ni Mwenyezi MUNGU aliyeko mbinguni.

  • @samiahmlimanzila6406
    @samiahmlimanzila6406 2 ปีที่แล้ว +2

    Kama masenge mianaume mizima unamuita mwanamke baba🤣

    • @mmn7480
      @mmn7480 2 ปีที่แล้ว

      😀😀😀😀

  • @shadrackzablon5983
    @shadrackzablon5983 3 ปีที่แล้ว +2

    Hahahaha Neema ya zumaridi?????? Mbona anacheka kama pepo

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 2 ปีที่แล้ว

    Wizi mukubwa Huyu.

  • @mwinjilistigodvoicemshanga
    @mwinjilistigodvoicemshanga 2 ปีที่แล้ว +1

    Kufuru kufuru kubwa huyu anajiita MUNGU ningekuwa karibu ningemkata makofi