"MIMI NI MKIRISTO, NILIRIDHIA MWANANGU KUSILIMU" - BABA WA MAREHEMU ABDALLAH DAUDI | AMWAGA MACHOZI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 93

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 6 หลายเดือนก่อน

    Ee YARABBI Njaalie mimi na kizazi changu katika njia iliyo nyooka' naomba utujaalie mwisho mwema YARABBI🤲🤲🤲🤲

  • @kutafuna
    @kutafuna ปีที่แล้ว +10

    YARABI akupe Subra kwa msiba wa mwanao pili amjaaliya mwanao makaazi mema .amin amin YARABI amin.

  • @zainabzain3434
    @zainabzain3434 ปีที่แล้ว

    Allah akupe subra umeniliza una busara mno Allah akulipe kheri

  • @pamojaeddz8913
    @pamojaeddz8913 ปีที่แล้ว +13

    Hii clip inanigusa sana ndg kwa sasa ni muislam adi leo hakuna mtu anayeniunga mkono mm kuwa muislam ila nina mwaka wa 4 nipo kwenye uislam ALLAH atanisimamia In'shallah

    • @jesusislord9190
      @jesusislord9190 ปีที่แล้ว

      Wakuunge mkono ili uje uwauwe?? Quran 5;51

    • @zenakibwana9275
      @zenakibwana9275 ปีที่แล้ว

      Mashaallah, uckate tamaa na rehma za Allah Inshaallah mungu atakusimamia na utapata watu au ndugu watakao kuunga mkono na kukupenda inshaallah

    • @zuriathkajwangya9250
      @zuriathkajwangya9250 ปีที่แล้ว

      ​@@jesusislord9190 idiot

    • @allyathumani1420
      @allyathumani1420 ปีที่แล้ว +1

      @@jesusislord9190 ww ni mnafiki quran aya gan inasema hivyo

    • @jesusislord9190
      @jesusislord9190 ปีที่แล้ว

      @@allyathumani1420 Quran 5;51) Quran 9;29)

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 ปีที่แล้ว +7

    Inalillahi wsinailahi rajiun Allah akupesubra baba na akuongoze Allh njiaya haki🤲

  • @MuhammadHassan-xp6dc
    @MuhammadHassan-xp6dc ปีที่แล้ว +5

    kwa kweli nimeshidwa kuvumilia machozi yamenitoka mzee kaongea kwa hisia kali sana, Allah ampe subra.

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 ปีที่แล้ว +3

    Mwenye Enzi Mungu amhidi na huyu mzee katika njia ilio nyooka allahumma ameen yaarab

  • @kaimukasimu7164
    @kaimukasimu7164 ปีที่แล้ว +5

    Eeh mwenyezi Mungu niafu mm na kizazo changu inshallah

  • @abdallahakida7908
    @abdallahakida7908 ปีที่แล้ว +3

    In sha Allah mungu akupe na wewe nuru ya uislam ili umuombee dua mwanao

  • @masoudmasoud8138
    @masoudmasoud8138 ปีที่แล้ว

    Masha allah maneno matam mzee m.mungu akuongowe nawee

  • @istambulahmed6664
    @istambulahmed6664 ปีที่แล้ว +4

    اللهم اغفر له وارحمه واسكنه في الجنة وثبته عند السؤال واجعل قبره روضة من رياض الجنة ولا تجعل قبره حفرة من حفر النار يارب العالمين وصلى الله على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين والحمدلله رب العالمين

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 ปีที่แล้ว

    Masha allah 😢😢😢
    Alhamdulillah ala kulli hali

  • @hanspop6961
    @hanspop6961 ปีที่แล้ว +1

    Inna lilah wainna ilah rrajhn Allah amjalie pepo Abdallah Daud🙏🏾🙏🏾

  • @ummukamillah
    @ummukamillah ปีที่แล้ว +5

    SubhanAllah. Allah akupe muongozo uione nuru ya Allah

  • @nurasalimu2403
    @nurasalimu2403 ปีที่แล้ว

    Aladhina idhaa aswabat hum muswibat kaaalu inna lilah wainna ilayhi raajiun Allah amlehemu shekhe abdullah daudi watu wema mashaa Allah kaburi lake liwe ni liyadhil jjanna Allah amjaaliye kabul lake liwe ni viwanja ktk viwanja vya peponi

  • @amurimzungu-tn4jf
    @amurimzungu-tn4jf ปีที่แล้ว +3

    Mzee mola amuongoze katika njia yake ya haki mzee ana hekma na hii hekma.hii yake itamuongoza Katika uislamu

  • @mohamedally6992
    @mohamedally6992 ปีที่แล้ว +1

    MWENYEZI MUNGU AMLAZE MAHAL PEMA PEPON. NA AMPE MOYO WA SUBRA MZEE WETU BABA MZAZ WA MAREM AMEEN

  • @habibaramadhani-xv2ed
    @habibaramadhani-xv2ed ปีที่แล้ว

    Jambo la kheri Sana.Alhamndulilaah

  • @khaijakadija2082
    @khaijakadija2082 ปีที่แล้ว

    SubhnaAllah
    Pole snaa babu

  • @lombardocrich6177
    @lombardocrich6177 ปีที่แล้ว

    Alhamdulilah inalillah wa inailahi rajiuni

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 ปีที่แล้ว +1

    Sisi wakristo hatunaga shida na utofauti wa dini cha mhimu kwetu Yesu Kristo aliye mwokozi wa Ulimwengu wote

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 ปีที่แล้ว

    Pole sana babu

  • @leylahbillah4876
    @leylahbillah4876 ปีที่แล้ว

    Pole sana baba angu ndo kazi ya mungu tena hiyo🙏🙏😭😭

  • @oman7710
    @oman7710 ปีที่แล้ว

    Allah akujaalie subra baba

  • @Ahmadasshii-raazy8888
    @Ahmadasshii-raazy8888 ปีที่แล้ว +3

    انا لله وانا اليه راجعون اللهم اغفر له وارحمه واسكنه الفردوس الأعلى

  • @mwassamwassa7264
    @mwassamwassa7264 ปีที่แล้ว

    Waislam ungewasikia auwawe

  • @AA-yr7sr
    @AA-yr7sr ปีที่แล้ว +1

    Pole sana mzee Doud😭😭😭

  • @Nufaila442
    @Nufaila442 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana Baba 😭😭😭

  • @saheedali7467
    @saheedali7467 ปีที่แล้ว +4

    Muliomlea qari Sheikh Abdallah mufanye jitihada za kumlingania huyo mzee aweze kufa akiwa muislam jitihada muhimu jamani kwa huyo mzee

  • @nurasalimu2403
    @nurasalimu2403 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mzee km km hajasilimu baba mzazi wa malehemu namuombeya asilimu ili akale matunda yake siku ya kiama kwa kijana wake kusoma dini

  • @abuuazhar3738
    @abuuazhar3738 ปีที่แล้ว +1

    Allah ni Mpangaji wa mambo

  • @slowclimbertothetop4572
    @slowclimbertothetop4572 ปีที่แล้ว

    Allah Akbar

  • @slowclimbertothetop4572
    @slowclimbertothetop4572 ปีที่แล้ว

    Maashallah

  • @ahmadsalim4417
    @ahmadsalim4417 ปีที่แล้ว

    Innaalillaahi wainnaaileyh raajiuun

  • @muzdalifatsaid3658
    @muzdalifatsaid3658 ปีที่แล้ว +1

    Sauti jmn ya nasheed inakera

  • @Ahmadasshii-raazy8888
    @Ahmadasshii-raazy8888 ปีที่แล้ว

    صبره الله وجبر كسره الله اللهم اهد عبدك وهذا واقبله الى الأسلام اقبالا تاما

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 ปีที่แล้ว

    Innalilah wainailah rajioon

  • @calicabqaricalicabqari6598
    @calicabqaricalicabqari6598 ปีที่แล้ว

    ALLAHU AKBAR

  • @jumafaki1697
    @jumafaki1697 ปีที่แล้ว +6

    😭😭😭 mzee kaongea mengi mwisho nikwamba alikuwa hajui Kama mwanawe ni mtu wa watu namna hii

  • @mohamedhamedseifelsawafi8309
    @mohamedhamedseifelsawafi8309 ปีที่แล้ว +2

    Ovyooooo. Hata msibani mwaeka ngoma

    • @khamisomar1130
      @khamisomar1130 ปีที่แล้ว

      natamani kiama kisimame ata leo kuna mijitu inajitia uchamungu watu wanalia kuondokewa na mpendwa wao wewe unapata wap ujasir wakukosoa allah akusamehe bule

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 ปีที่แล้ว

      ​@@khamisomar1130 famchezo na kiama wewe😢

  • @abdalahsuleiman8989
    @abdalahsuleiman8989 ปีที่แล้ว +1

    Inna Lillah waina ilayh rajiun

  • @HalimaSalym-jl2ui
    @HalimaSalym-jl2ui ปีที่แล้ว +1

    Mnatukera kwa izo nasheed
    Hatuelewi hatujui tuckilize wap

  • @salumally8316
    @salumally8316 ปีที่แล้ว +3

    Usitie miziki tunaka kusikia kisemwacho

  • @Chombezaflava
    @Chombezaflava ปีที่แล้ว

    Mzee kaongea mambo makubwa mnooo

  • @shamsiyasalim6866
    @shamsiyasalim6866 ปีที่แล้ว

    Baba nigekuomba pia wewe usilimu ili update pepo ya mungu siku ya mwisho mfate yesu msikitini update uzima wa mile kwasinagogi

  • @bernardjohn8788
    @bernardjohn8788 ปีที่แล้ว

    Mzee umekuwa mfano bora, kuna baadhi ya wazazi huwa wanaealaani watoto wao wakibadili dini au wengine wanawatenga kabisa eti nisikuone kabisa usoni. Wazazi wa dini zote waishi kwenye maneno ya huyu mzee maana hutokea mtoto kuhama imani moja kwenda nyingine, usimlaani wala kumtenga ya Mungu mengi

  • @issashekh4726
    @issashekh4726 ปีที่แล้ว

    Innalillah wainni ilaihi rajiun

  • @yasiniselemani3917
    @yasiniselemani3917 ปีที่แล้ว

    inahuzunisha sana

  • @zuberimohamed43
    @zuberimohamed43 ปีที่แล้ว +2

    Kwenye mazungumzo haipendez kuwek backround ya maneno unapoteza maudhui

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 ปีที่แล้ว +1

    Sasa nyimbo za nini jamani tunataka sauti ya mzee Daud tu tuisikie , mnapenda kueka vinanda mbele kweli kila mahali ht km sio pa vinanda nyinyi mwaeka vinanda

  • @lukamapunda628
    @lukamapunda628 ปีที่แล้ว

    N moton moja kwa mojaa

  • @saidissa8273
    @saidissa8273 ปีที่แล้ว +1

    HUO MZIKI WA NN WAKATI MTU ANAONGEA?

  • @abulhakim2294
    @abulhakim2294 ปีที่แล้ว +4

    Usinge weka sauti inatatiza sn

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 ปีที่แล้ว

    انا لله وانا اليه راجعون

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 ปีที่แล้ว

    Aaaah

  • @makamekhamis871
    @makamekhamis871 ปีที่แล้ว +4

    Hii sauti inayotoka ni ya nini? Imeharibu sana. Wote walitizama video hii walitamani sauti ya wimbo isingekuwemo

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 ปีที่แล้ว

    Mzee ubwabwa umekupoteza mnamuacha kristo kuingia kwa majini haya kwaheli

    • @fatemafatemamubarak3965
      @fatemafatemamubarak3965 ปีที่แล้ว

      Jini baba ako na mama ako walokaa kitandani wakafanya kitendo ukapatikana wewe msenge ukome kututukana waislam nyoooo na laana zako izo

    • @charlesmakuri792
      @charlesmakuri792 ปีที่แล้ว

      @@fatemafatemamubarak3965 kawaida waislam kutukana matusi maana wanatumwa na masheta Aliyo yasilimisha Muhammad

  • @hawakiza6067
    @hawakiza6067 ปีที่แล้ว +1

    Mtu anaogea mnaweka kaswida
    Mana yake nini
    Tumsikie anaeongea au kaswida??????

  • @waytvtz2549
    @waytvtz2549 ปีที่แล้ว

    Wakrsto hawana chuki chafu kwa waislamu ila nyinyi Sasa Wala msingetokea kwenye mazishi

  • @shamsiyasalim6866
    @shamsiyasalim6866 ปีที่แล้ว

    Usipoteze muda huko kanisani kuna hasara mfate yesu msikitini usalimike na Moto wa jahanamu silimu usalimike

  • @haroubhbm5728
    @haroubhbm5728 ปีที่แล้ว

    Unajua kuweka sauti ya juu haifanyi clips isivutie kuliko kuwacha uwasilia no bora kuliko kuiwekea sauti juu walio wengi wanafeli

  • @zuumas9887
    @zuumas9887 ปีที่แล้ว

    Punguzeni sauti ya backsound.

  • @maryamhashim8536
    @maryamhashim8536 ปีที่แล้ว

    😢😢🤲😭

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭

  • @samatamatigisa6052
    @samatamatigisa6052 ปีที่แล้ว +2

    mtu anao gwa mnaweka manyimbo howcome

    • @khamisomar1130
      @khamisomar1130 ปีที่แล้ว

      hiyo midomo yenu siku ya kiama itawaponza watu mmekuwa na mambo ya hovyo kuliko wanyama

  • @latifah6601
    @latifah6601 ปีที่แล้ว

    😢😢😢

  • @michaelthobias9967
    @michaelthobias9967 ปีที่แล้ว

    Sasa huo mziki wa Nini kama sio uhuni huo

  • @dorcaskarago2876
    @dorcaskarago2876 ปีที่แล้ว +1

    Ni uchawi

    • @abdulikitory1505
      @abdulikitory1505 ปีที่แล้ว +1

      Siban kulikua amn mzik wala qaswid labda wenyew awa waandish wahabar

  • @PrettyMasha-cs8iv
    @PrettyMasha-cs8iv ปีที่แล้ว

    𝔸𝕝𝕝𝕒𝕙 𝕒𝕞𝕡𝕖 𝕜𝕒𝕦𝕝𝕚 𝕥𝕙𝕒𝕓𝕚𝕥