KIGOGO CHADEMA 'AMPASUA' LISSU "ALISHINDWA KUTIMIZA MAJUKUMU YAKE"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 49

  • @innocentlethisia416
    @innocentlethisia416 16 วันที่ผ่านมา +5

    Tapeli ww mnafikiiii

  • @Allyiddsud
    @Allyiddsud 16 วันที่ผ่านมา +4

    Safi san dada kamada. Mbowe akuna atamshinda mbowe oyeeee 5 tena❤❤❤

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 16 วันที่ผ่านมา +3

    Denisungolela jaribu kuongelea chadema na siyo ccm.Sisi wananchi tunawachora tu.😢😢uraisi wa Tz ni ndoto. CHADEMA MMECHANGANYIKIWA SANA AIBU😢

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 16 วันที่ผ่านมา +10

    Bila lissu kwa sasa chadema itakwishaa

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 13 วันที่ผ่านมา

      Una uhakika uwepo wa lissu kuwa mwenyekiti nchi ipo hatarini bora asiwepo

  • @nestor384
    @nestor384 15 วันที่ผ่านมา +4

    Ninyi danganyaneni CHADEMA itakufa bila Tundu Lissu Huyu demu asifikirie anachagua mchumba!

  • @eddyeddy1337
    @eddyeddy1337 14 วันที่ผ่านมา +1

    Mbowe yupo vizuri lisu mbaguzi tu

  • @matinyahaule792
    @matinyahaule792 14 วันที่ผ่านมา +1

    Hujui unacho kisema.makam ni mbadala hana mamzi ya moja kwa moja.mbowe apumuzike

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 15 วันที่ผ่านมา

    Yeye pia alikuwepo KWENYE hayo MADUDU ya SACCOOS 😢😢😢😢😢

  • @salmanmagwe2612
    @salmanmagwe2612 15 วันที่ผ่านมา +2

    VIONGOZI AINA YA LISSU,MARA NYINGI HUTUHUMU NA NI NADRA MNO KUTOA SULUHISHO,SUBIRINI MTAONA MENGI

  • @AthumaniAbeid
    @AthumaniAbeid 14 วันที่ผ่านมา

    Lisu must go oooooooo out of chadema

  • @EmmanuelJoseph-w4n
    @EmmanuelJoseph-w4n 16 วันที่ผ่านมา +1

    Kama unatongoza hivi, umepangwa et mwandishi wa habar, saiv??😢😢😢😢

  • @ShesheKaoneka
    @ShesheKaoneka 13 วันที่ผ่านมา

    Mmmmh usalama gani, chadema mnaumizana wenyewe kwa wenyewe msidanganye watu. Bali mbowe anafaa ni muungwana sana, lissu hafai kabisa kabisa.

  • @kiumbesambo6958
    @kiumbesambo6958 15 วันที่ผ่านมา +2

    Makamu mwykt toka lini akawa na mbavu yakumshugurikia mwenyekiti acha upuuzi wewe mama

    • @ChiefMsenya
      @ChiefMsenya 15 วันที่ผ่านมา

      Soma katiba ya chama ili ujue kazi ya makamu

  • @TumainiMaswanya
    @TumainiMaswanya 16 วันที่ผ่านมา +4

    Mbowe endelea kukaa kimanya mzee wa busara. Mungu ana makusudi na wewe

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 16 วันที่ผ่านมา +2

    Lissu akipata nafasi ndiyo ataanza kuidhalilisha Tanzania na watu wake.Balaa.Mdomo.mrefu sana kasuku😢😢

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 16 วันที่ผ่านมา +1

      🤣🤣🤣🤣🤣

    • @ramadhanchenga4606
      @ramadhanchenga4606 15 วันที่ผ่านมา

      Ww ni mjinga tu

    • @SeverinMagwaya
      @SeverinMagwaya 15 วันที่ผ่านมา

      Hamtaki kudhalilika CCM na Serikali yako, izingatieni haya; -kusiwepo rushwa, wizi wa mali ya umma, matumizi mabaya ya madaraka!!!
      - kushamiri kwa demokrasia uhuru wa kujieleza na kujitetea uwepo, uwazi na unyoofu,
      -haki Kila huduma inayo tolewa na serikali!!!
      - kukomeshwa utekaji, ukandamizaji na mauaji!!
      - kufanyiwa kazi ripoti za CAG, kuacha uzaji wa lasirimali za nchi,
      -mikataba ya uwekezaji iwe wazi na iwe kwa manufaa ya nchi na si watu,
      - kuwepo kwa tume huru ya uchaguzi, katiba mpya ili kupata viongozi tunao wapenda kutoka katika Kila chama kwenye maeneo yetu.
      ✓Serikali iache usanii na uongo katika kutunga Sera na Sheria za nchi. Kwa sasa nchi haieleweki inafuata mlengo gani wa kisiasa, Ujamaa? ubebari, ujamaaa na kujitegemea au Umoja? Katiba iseme ili asiye fuata awajibishwe.
      ✓Wewe kila mtandao kwenye hoja kuhusu Lissu lazima upinge, umkandie na umuone hafai. Tunakuhisi wewe ni CCM/ACT, uliye taka Lissu afe, mla rushwa/fisadi, kwa sababu hupendi kweli, uwazi na hutetei haki popote na wakati wowote.
      Aidha, inaweza ikiwa ni watekati, wauwaji, waumizaji na wamiliki wa mitaji na fedha zinazo patikana kwa wizi, mikataba ya uongo na ufisani au kuna wakati ulikutana na hoja za kisheria zilizo kuliza.
      - Mzalendo yeyote wa nchi hii hawezi kumpinga lisu kwa Kila jambo tena kila siku. Vinginevyo inaweza ikiwa ndiye Abuduli au mpambe wake.
      -Kinyume cha hapo angalau muwe mnatubu kwa kusali au kuswali kikamilifu. Zingatieni Amri 10 za Mungu, swala 5 na Mafundisho makuu ya mlimani ya Bwana Yesu Kristo kuhusu kheri 8, Moja wapo ya hizo hero ni; "kheri wenye moyo safi......., " "
      kheri wapatanishi........ "

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 15 วันที่ผ่านมา

      Kwani ile ndio nafasi ya kwanza kwa lissu?

    • @musa-v3f
      @musa-v3f 15 วันที่ผ่านมา

      kwahiyo kukemea rushwa ndio kudhalilisha nchi? wana ccm kwenu rushwa ni utamaduni

  • @EmmanuelJoseph-w4n
    @EmmanuelJoseph-w4n 16 วันที่ผ่านมา

    Simu????😮😮😮😮😮😮😮😮

  • @bekabakari7394
    @bekabakari7394 16 วันที่ผ่านมา +1

    Naona wengi wetu tuna kwenda kiushabiki

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 15 วันที่ผ่านมา

    Hivi kwanini chadema hawana macho

  • @FucianeBulemo-nd4wc
    @FucianeBulemo-nd4wc 16 วันที่ผ่านมา

    Uhondo ushamba

  • @AmisiLulacha
    @AmisiLulacha 16 วันที่ผ่านมา +5

    Kweli nimeamini mtu akisha lamba asali nishida vyote unavyo hongea havina maana towa sera za mbowe kwanza

  • @josephmarole5159
    @josephmarole5159 14 วันที่ผ่านมา

    Huyu atakuwa nmmojawapo wa wale mademu zake na mseven wa chadem

  • @JuliusTluway
    @JuliusTluway 16 วันที่ผ่านมา +1

    Njaa akili iliyolala

  • @JohnKatwanga-l1g
    @JohnKatwanga-l1g 15 วันที่ผ่านมา

    Unawauriza watu wa dodoma dodoma hamza chadema

  • @EdwardUrassa-xc6gz
    @EdwardUrassa-xc6gz 15 วันที่ผ่านมา +1

    Kama aliletewa Hela na Abdul akawafukuza.kwann hakutoka kesho yake aseme adharani...mpk uchaguzi

    • @AlbinMsechu
      @AlbinMsechu 15 วันที่ผ่านมา

      Na alisema alimwambia Abdul kua kama angemaliza ishu yake ya hela basi angekua rafiki yake...maana yake ni kwamba kama Abdul angemaliza hyo ishu haya yasingesemwa

  • @ProsperReuben-fg6uh
    @ProsperReuben-fg6uh 16 วันที่ผ่านมา

    Mbona kwa kina mdee kamati kuu ilitoa maelekezo kwa kamat ya nidhamu kwann hili kamati kuu haikutaka kutoa maelekezo

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 16 วันที่ผ่านมา

    Lissu anatakiwa awataje kwa majina tena hadharani watu wote wanaojihusisha au wanaohisiwa kuchukua Rushwa.

  • @joyceharris2093
    @joyceharris2093 16 วันที่ผ่านมา +1

    Mitano tena mbowe

  • @joachimkalungwana8654
    @joachimkalungwana8654 15 วันที่ผ่านมา +2

    Tumekwenda na chadema muda mrefu kumbe tulikuwa na manyoka mengi kama akina Heche ni virusi vyote vibaya kama akina Msigwa kwa kweli nampa pole sana mh Mbowe alizungukwa na manyoka

  • @habibunguvumali3331
    @habibunguvumali3331 16 วันที่ผ่านมา +2

    Mbowe tutamchagua

  • @Frankgamanuel
    @Frankgamanuel 14 วันที่ผ่านมา

    Nikiona chama cha Chedema kinaenda kuanza upya
    Kwa sababu ya ubinafsi wao na bila kiwafatabwananchi Nani wanamtaka

  • @user13375
    @user13375 16 วันที่ผ่านมา

    Mijinga yote, huu si wakati wa migogoro

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 16 วันที่ผ่านมา

    Mfukuzeni lisu na henche mapema

  • @robertoino4301
    @robertoino4301 16 วันที่ผ่านมา

    Uhondo tv matako

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 16 วันที่ผ่านมา +1

    Hivi siri ni nn? Mambo ya kiccm haya

  • @JuliusTluway
    @JuliusTluway 16 วันที่ผ่านมา

    Wewe hurlewi katiba ya chama

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 16 วันที่ผ่านมา +1

    Hivi sera za mbowe ziko wapi?😂😂

    • @samwelmatemu8873
      @samwelmatemu8873 16 วันที่ผ่านมา +2

      Wewe ni Nani unauliza ujinga mtupu wewe hata sio chadema wa huna uwezo waku shuriki chochote kwenye chama .mdomo tu.Huu ni uchaguzi wa chama Tena sio ccm

    • @geraldleger5793
      @geraldleger5793 16 วันที่ผ่านมา +1

      Sio ujinga tunamuhitaji sera tu

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 16 วันที่ผ่านมา

      @@samwelmatemu8873We msenge koma CCM malizaneni huko matako wewe CCM ipo imara sana