Zijue mbolea na viwatilifu vinavyofaa kwenye mahindi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 27

  • @PrinceKelvin-ht2hm
    @PrinceKelvin-ht2hm 6 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera sana ndugu kiongozi

  • @watuganiMatimbwa
    @watuganiMatimbwa หลายเดือนก่อน

    Habara shukrani sana je buster inapigwa wakati gani

  • @RuthRenatus
    @RuthRenatus 6 หลายเดือนก่อน +2

    Safi sana Kwa kutupa elimu hiyo,naomba uniandikie biambata vya viwatilifu ulivyovitaja tafadhali

    • @macotv2197
      @macotv2197  6 หลายเดือนก่อน +3

      Hapa kuna orodha ya viwatilifu na majina:
      1. Herbiside:
      - Glyphosate: Hii ni herbisidi inayotumika kuua magugu na hutumika sana katika kilimo cha mahindi.
      - Atrazine: Hii ni herbisidi inayotumika kudhibiti magugu katika mashamba ya mahindi.
      2. Insecticide:
      - Permethrin: Hii ni insektisidi inayotumika kudhibiti wadudu mbalimbali wanaoshambulia mahindi.
      - Chlorpyrifos: Hii ni insektisidi inayotumika sana kudhibiti wadudu wa majani na mizizi ya mahindi.
      3. Fungisidi:
      - Mancozeb: Hii ni fungisidi inayotumika kudhibiti magonjwa yanayosababishwa na fangasi kwenye mahindi.
      - Propiconazole: Hii ni fungisidi inayotumika kudhibiti magonjwa ya majani na mashina ya mahindi.
      4. Nematicide:
      - Carbofuran: Hii ni nematicide inayotumika kudhibiti nematodi katika udongo ambao unaweza kuathiri mizizi ya mahindi.
      - Fenamiphos: Hii ni nematicide inayotumika kudhibiti nematodi katika udongo.
      kwa ufupi vipo viwatilifu vingi lakini hivi vitakusaidia

  • @BethshebaChristopher
    @BethshebaChristopher 4 หลายเดือนก่อน

    Dawa gan mkuu

  • @ZubedaAbdallah-s5p
    @ZubedaAbdallah-s5p 3 หลายเดือนก่อน +1

    Maelezo mazuri saana toa namba yako

  • @ManyukaDavis-t8x
    @ManyukaDavis-t8x หลายเดือนก่อน +1

    Mbona kama nispesi kubwa sana imeachwa Kati ya tuta adi tuta iyo imekaaje mtahalam

    • @macotv2197
      @macotv2197  หลายเดือนก่อน

      Tumeacha nafasi ya 76cm row spacing, kwahyo sio mbaya saana kuacha hii nafasi mkuu wangu!

  • @Jumawb
    @Jumawb 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mbolea aina ya CAN inatumika muda gani?

    • @macotv2197
      @macotv2197  11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Habari Juma, na karibu. Mbolea ya CAN unaweza itumie wakati unakuzia mahindi ama kubeshea(kuzaa). Na wakati mwingine unaweza ichanganya na mbolea zile za kukuzia kama UREA /NPK Kwa matokea mzuri zaidi. Karibu tena kama una swali lingine

  • @VeronicaMondu
    @VeronicaMondu 24 วันที่ผ่านมา +1

    Je unaweza kuchanga bustar na mbolea ya maji?

    • @macotv2197
      @macotv2197  24 วันที่ผ่านมา

      Habari Veronica, booster ndo mbolea hyo hyo ya maji, labda sijakuelewa unamaanisha nn Veronica. Naomba maelezo zaidi ili nijue unapata changamoto wapi.

  • @miavida9536
    @miavida9536 หลายเดือนก่อน +1

    Je mshawai kutumia mbolea ya Super Grow ?

    • @macotv2197
      @macotv2197  หลายเดือนก่อน

      Habari miavida, sisi Bado hatutatumia mbolea hyo ya super gro, Tunatumia booster zingine hasa za kampuni ya Yara.

  • @selemanisalimu8377
    @selemanisalimu8377 8 หลายเดือนก่อน +1

    Haya madawa ndio naitaji niyajue mkuu

  • @NaomiWambayakale
    @NaomiWambayakale 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nijuzeni hizo dawa za kupiga kwa ajili ya kuzuia panzi pia wadudu wanaoingia kattikati ya shina kwani mahindi yangu yanatoa unga2 baada ya kushambuliwa na wadudu.

  • @edwardbudodi4497
    @edwardbudodi4497 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba unifahamishe dawa za kupuliza wadudu zinaitwaje zijazielewa

  • @ZubedaAbdallah-s5p
    @ZubedaAbdallah-s5p 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba no yako

  • @mohammedmwinjumakombo3309
    @mohammedmwinjumakombo3309 3 หลายเดือนก่อน +2

    nahitaji kujua aina za mbolea za mahindi na viwatilifu vyake

    • @macotv2197
      @macotv2197  3 หลายเดือนก่อน

      Habari na karibu, Kuna aina nyingi za mbolea lakini Kwa mahindi Kuna NPK, yaramira otesha (-kupandia) , Kuna amidus, kynoplus (kukuzia ) Kwa maelezo Zaidi angalia hii video th-cam.com/video/TYA9bqskq58/w-d-xo.html
      Au hii th-cam.com/video/q9GJd9YHnJY/w-d-xo.htmlsi=P7c0WgNi5VRsMzh9

  • @godfreygodwine9148
    @godfreygodwine9148 4 หลายเดือนก่อน +1

    Unaweza kupalilia mara ngp hadi unavuna!?

    • @macotv2197
      @macotv2197  4 หลายเดือนก่อน

      Mara mbili ndio inashauriwa, lakini Kwa utaratibu magugu huondolewa(palizi) yanapokuwa mengi shambani Ili kupunguza magugu kula rishe ya mme(mahindi) ,kwahyo inategemeana na Hali iliyopo shambani kwako mkuu

  • @jacksonmiyumo4201
    @jacksonmiyumo4201 8 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba kujua kilimo cha mahindi ktk mafuta shambani.

    • @macotv2197
      @macotv2197  7 หลายเดือนก่อน

      Habari, swali lako ungeliweka vizuri , cjalielewa

    • @jacksonmiyumo4201
      @jacksonmiyumo4201 7 หลายเดือนก่อน

      Matuta km ya mihogo kwa mahindi yaweje ?

  • @ShabanKahana
    @ShabanKahana 5 หลายเดือนก่อน

    Naombeni namba yenu whatsapp