Nyaraka feki hazijawahi kumsaidia mtu kupata haki yake. Hata upindishe ukweli kiasi gani lazima utakuja kubainika kwenye kupata haki. Mimi ni mhanga wa swala hilo kuna mtu nimempeleka kwenye sheria na mkataba wake fake wa mauziano najua Mungu ni Mungu wa haki kuna wakati ukweli wote utajulikana na haki ya watoto wangu itapatikana yuko Mungu!! Yuko Mungu!! Yuko Mungu
Safiiiiii Sana , serikali tunawashukuru Kwa kupitia wizara YA ardhi Kwa kufanya kazi Kwa weledi mkubwa , Na wote waliopitia Kwa wizara hii Naona Mungu anawapa Neema YA uaminifu mkubwa kuwasaidia wananchi wake
Mheshimiwa Waziri na huko Kidimu mie nimeuziwa kiwanja na sasa wananisumbuwa mie nimepewa mpaka Muhtasari na kibaha wananikayalia kukipima wanasema kiwanja kina mwenyewe ninaomba msaada wenu tafadhali tunahangaishwa mnoo ninategemeya kupata msaada wenu
Ila tamaa izi yan mtu humjui, hujui kiwanja kilipatikana vp unaamua kujiingiza ktk matatizo kwa kujitakia Sasa mama nadhan umeshajua haki ya mtu haipotei
@Sheba4651 naelewa ndiomaana tunaambiwa Tusisain kitu chochote ambacho hukijui hukielewi wala hujaridhika nacho,inaelekea huyo mama alisain kitu ambacho hajui na alichukulia kawaida tuuu ,Mungu amfanyie wepes kesi iishe mwaya maana ni mtihani saana
Huku kwetu korogwe kuna tapeli baba lao linataka kuhamisha vijiji viwili vya makole na mkalamo mh waziri na mkuu wa wuliya ya korogwe mulikeni tapeli hili kabla hali haijawa mbaya!!
Na ofisi za ardhi kwa kweli zitembelewe especially halmashaury kma babati mi nimeenda kuangalia anasema nimeingia kwenye kiwanja chake na jina la mwenye kiwanja halmashauri ni tofauti hivi hapo unaweza kununua bila hati miliki kweli? Mi nilimuomba hati kwanza then ndio tulipane .
MH. waziri watumishi wa Ardhi bado ni matatizo na shida kubwa mtumishi anaharibu hapa baada ya muda akigundulika anahamishwa kwenda kuendelea mkoa mwengine au wilaya je hamuoni bado mna walelea hao
Shida yetu wabongo ni kutafuta kiki kwenye mambo Serious. Haya yote yangefanyika bila Kamera halafu hizi Kamera na taarifa tupewe baada ya kila kitu kufanyika. Nkt 🚮🚮🚮
Viongozi msutufanye sisi wajinga kwasababu meanza wenyewe kutuonyesha fanyeni hivyo mpaka mwisho mpaka mtakapo wakamata mtuonyeshe mpaka hao viongozi wasekali tuwaine natuwajue sio kinywa kutuchezesha kiini macho
Huyo mama aliingizwa kwenye mfumo wa matapeli.. kwa upeo mdogo wa fikra na kwa hela mbuz itakuwa
Mkuu wilaya mpole sana 😂😂😂😂 nikama kunajambo anajua
Nyaraka feki hazijawahi kumsaidia mtu kupata haki yake. Hata upindishe ukweli kiasi gani lazima utakuja kubainika kwenye kupata haki. Mimi ni mhanga wa swala hilo kuna mtu nimempeleka kwenye sheria na mkataba wake fake wa mauziano najua Mungu ni Mungu wa haki kuna wakati ukweli wote utajulikana na haki ya watoto wangu itapatikana yuko Mungu!! Yuko Mungu!! Yuko Mungu
Mkuu wa Wilaya mbona kama Haoneshi Ushirikiano..!!?
Mbona DC yupo doro doro sana au Kapata mgao😅😅😅😅 napatamashaka na DC
😂😂😂
😂😂😂
Kwakweli
Katika wizara iliyo baki ngumu TANZANIA ni wizara ya Ardhi: naomba waziri wa Ardhi fanya kazi kwa haki nakuamini❤🎉
Mkuu wa wilaya kala ngada au 😂
DC kama anajua mchongo😅
😂😂
Walah umejua kunifanya nicheke asubuh hii daaah
@@eusebiaurassa3417 yaani hayupo kabisa hapo waziri anajitahidi kumtambulisha DC wapiii nchi ngumu sn hii ndugu
Safiiiiii Sana , serikali tunawashukuru Kwa kupitia wizara YA ardhi Kwa kufanya kazi Kwa weledi mkubwa , Na wote waliopitia Kwa wizara hii Naona Mungu anawapa Neema YA uaminifu mkubwa kuwasaidia wananchi wake
Mama kasema mm niliwekwaaa tuu 😂😂😂😂😂😂😂😂 nimecheka kama mazuli wamesha muona kuongea 😢😢😢😢😢😢pagumu wana mchanganya na maswali daa😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Akajichanganya Huwa anasign mara nyingi
Jamani ardhi kumeoza sana fukuza wote vyunja wizara
@@easternyerembe7271 hina uma sana dah
@@annamwakibinga527 hina uma sana
Mama kaingia kwenye mtumbwi wa vibwengoo😅😅😅
😂😂😂 nae ni kibwengo huyu sema kakutwa peke yake
😂😂😂😂😂😂
😊😮😢😂 Mama kaingizwa chaka la Vibwengo pori.
Hizi ni tamaa
Mama anatumika kama chambo😂😂😂
Hongera sana waziri pmj na mkuu wetu wa wilaya ya Kinondoni
DC vipi mbona umekuwa kama mgonjwa
Mimi naona mheshimiwa waziri wa ardhi angeanza na mkuuu wa wilaya mbona atoi ushirikiano kapoa kama maji ya mtungi anaitikia tu kila kitu
😅😅😅nimechek kama mazuri
Hata Morogoro wapo
Alisaini bila kuelewa
Mhhm, jamani malimwengu haya😔😔😔
Uyu mama anatumika kwenye utapeli wa vuwanja mkibana vizuli atasema wote
Dunian kuna mambo ya hajabu sana lengo ya yote hayo ni kudhulum haki ya mtu ila nachoamin Mungu yupo
Amen
HUYU MKE FEKI NA HATI FEKI NDY WAHUSIKA WA MAUAJI AFUNGWE
Mkuu wa wiraya anaujua mchongo
Ni kama DC anaumwa yuko mbali na kinachofanyika,Pole kiongozi
Pongezi nyingi sana kwako waziri wa aridhi👏👏
Dodoma matapeli ndachi jiji
Nchi nzima sio Dodoma tuu !!
Kazi ni deal tuu kotekote !!
Hiyo mbona iko sana tuu na mahakimu na watendaji wa sirikali ndio tatizo tunataka mabadiliko na ithibati yakinifu
Mwenyewe wilaya yake katulia tu .
Wanawake wanyama Sana hawa
Hongera waziri ukonjuu km umbo lako
Hapa Mkuu wa Wilaya mbona kapoa sana anamawazo gani tena.
Hii wizara ina madudu mengi sana😢
Wananchi wenywe ndio uharibu wenywe nchi yao
Mheshimiwa Waziri na huko Kidimu mie nimeuziwa kiwanja na sasa wananisumbuwa mie nimepewa mpaka Muhtasari na kibaha wananikayalia kukipima wanasema kiwanja kina mwenyewe ninaomba msaada wenu tafadhali tunahangaishwa mnoo ninategemeya kupata msaada wenu
Fatilia utarqtibu utqsqidiwq
Kidimu namm nipo hukohuko 😢
Mm nataka hati miliki naanzia wapi?@@HanifaOman-oo4pl
😂😂😂😂mama kasomaaaaa!!!!!
Ila tamaa izi yan mtu humjui, hujui kiwanja kilipatikana vp unaamua kujiingiza ktk matatizo kwa kujitakia Sasa mama nadhan umeshajua haki ya mtu haipotei
Huyo mama kapangwa
Ili waonekane wanafanya kazi
Kaaa
Waziri mwema,msiwafunge bari muwafirisi Mari zao nawakae mtaani,litakuwa fundisho
Ukiangalia kwa makini hapo mkuu wa wilaya Kama naye musikaa. Maana hatoi hushilikiano wa maneno hata kukaa tu ni Kama Hana amani pia.
Polisi huyonanastaafunliji,mbona kazeeka sana, anaweA kukamqtq.mwarifu kweli?
Huyu wazili nilikua nawasiwasi nae kumbe ni mtu na nusu
Uyo mama wanamtumia tu pasipo kujua msimtese ila awape ushirikiano tu kisha mwacheni tu ila yote niugumu tu wamaisha
Hii Kidimu ni Kibaha ina migogoro mingi mnooo ya Ardhi tunakuomba mtusaidie
Huyu waziri anaonekana ni mtu wa watu kiufupi anajua cheo ni dhama tu
Ameingia cha kiume mama jamni matapeli hawa
HUYU MZEE ALINDWE AKIPATWA NA TATIZO LOLOTE AKAMATWE
Aiseee wanawake tutafute mali zeru na uandikie majina yako usiaibike kama hivi
Kwan yule slaa katumbuliwa
Wanatumia Huyu mama tu kama chambo ila hao wanajua kila kitu kwasababu Huyu mama anavyoonekana hata hajasoma kila kitu kinatengenezwa tuu
Hajasoma wapi...wakati amesaini kuwa ni mke wa huyo mzee...si kaulizwaa apo?
Hii inatufunza tuwe makini unapoambiwa sain hapa nitakulipa pesa soma unachosai kabla ya kusain pili tusijishirikishe kwenye mambo ambayo hatuyaelewi
@@HadijaOMARY-q5mHayo makaratasi huwa yanaandikwa kiengereza, utaona afidaviti, afidameza, afidavakigoda.
Nimecheka sana avidavikigoda dah nimecheka sana@@Sheba4651
@Sheba4651 naelewa ndiomaana tunaambiwa Tusisain kitu chochote ambacho hukijui hukielewi wala hujaridhika nacho,inaelekea huyo mama alisain kitu ambacho hajui na alichukulia kawaida tuuu ,Mungu amfanyie wepes kesi iishe mwaya maana ni mtihani saana
Huku kwetu korogwe kuna tapeli baba lao linataka kuhamisha vijiji viwili vya makole na mkalamo mh waziri na mkuu wa wuliya ya korogwe mulikeni tapeli hili kabla hali haijawa mbaya!!
Mjini mipango
Na ofisi za ardhi kwa kweli zitembelewe especially halmashaury kma babati mi nimeenda kuangalia anasema nimeingia kwenye kiwanja chake na jina la mwenye kiwanja halmashauri ni tofauti hivi hapo unaweza kununua bila hati miliki kweli? Mi nilimuomba hati kwanza then ndio tulipane .
MH. waziri watumishi wa Ardhi bado ni matatizo na shida kubwa mtumishi anaharibu hapa baada ya muda akigundulika anahamishwa kwenda kuendelea mkoa mwengine au wilaya je hamuoni bado mna walelea hao
Ukisikia kila mbuzi kula kwa urefu wa kamba yake ndiyo hivyo tena,na kulindana ni lazima
Kuna mtu anaitwa kisima ana dhurumu nyumba za watu anasema amepewa na jiji hapa Dodoma waziri upo mbuyuni huku anasema yeye yupo jikoni
Hao wafanyakazi wa ardhi chanzo cha matatizo huo ugonjwa ukomeshwe msiwaonee aibu
Shida yetu wabongo ni kutafuta kiki kwenye mambo Serious. Haya yote yangefanyika bila Kamera halafu hizi Kamera na taarifa tupewe baada ya kila kitu kufanyika.
Nkt 🚮🚮🚮
NYINGI WENYEWE MAAFISA WA ALIZI NDIO WAUZAJI WA VIWANJA VYA WATU NA UTAPELI MNAZUGA TU MUENDELEZO MTAJIKUTA WOTE MATATIZONI😂😂😂
Waziri hilo lifuatilie wewe vinginevyo huo ni mtandao
Viongozi msutufanye sisi wajinga kwasababu meanza wenyewe kutuonyesha fanyeni hivyo mpaka mwisho mpaka mtakapo wakamata mtuonyeshe mpaka hao viongozi wasekali tuwaine natuwajue sio kinywa kutuchezesha kiini macho
@mamayupokazini
Kwakweli hao wafanya kazi wa ardhi wako ndio tatizo kubwa