Style hii ya midundo huwezi pona huwezi kuchomoka lazima utanasa tu hutaona shida iko wapi!!! lakini ni dance kali kwa mkristo haifai ila huwezi eleweka kwa hawa waimbaji na wasikilizaji wao (Washiriki wa kanisa) maana wanaburudishwa sana na utasikia wengine wanausema wimbo huu unaguza sana. Kumbe Front lobe ilshazimwa siku nyingi hapo wanaongozwa na emotions tu Mungu tusaidie kutoka huku kwenye hizi aina za nyimbo zinazoonekana na kusikika ni za "dini"
brother and sisters praise God at all, And these are the singers, chief of the Father of the seventh--day -Adventist , who remaining in that work day and night. may LORD implant a Holy spirit in your hearts and Bless all of you, please.
Amen amen nawapenda Sana Wana njiro hakika mungu yu pamoj nanyi
I fell in love with this choir Kwa wimbo yire inaitwa KISHINDO CHA WAKOMA
AMINAA!!!! My favorite songs all from Njiro SDA. God bless you all
Good songs from Njiro be blessed am joan from Uganda
Barikiweni sana ....kazi nzuri
Yupo MUNGU wa upendo anae tuhurumia🎼🪕📯👌👏👏
From Kenya Nairobi,I love the song plus the message,be blessed my fellow youths
Thanks so much ladies n gentlemen. U play very nice
From Kenya I Love your song very much it's my favorite God Bless you.
Mwenyezi MUNGU awategemeze mng'ae kwa viwango vya juu Sana muendelee kumtuliza Bwana NIMEWAMISS SANAAAAA Nawaombea
AMINA AMINA AMINA. Mbarikiwe sana tena. Wimbo huu pamoja na nyingine nyingine nyingi mnazo ziimba Kwaya ya Njiro SDA CHOIR nazifuata saaaaana.
Style hii ya midundo huwezi pona huwezi kuchomoka lazima utanasa tu hutaona shida iko wapi!!! lakini ni dance kali kwa mkristo haifai ila huwezi eleweka kwa hawa waimbaji na wasikilizaji wao (Washiriki wa kanisa) maana wanaburudishwa sana na utasikia wengine wanausema wimbo huu unaguza sana. Kumbe Front lobe ilshazimwa siku nyingi hapo wanaongozwa na emotions tu Mungu tusaidie kutoka huku kwenye hizi aina za nyimbo zinazoonekana na kusikika ni za "dini"
Ni nomaaaa❤❤❤
Thanks a lot choir so harmonious voices
Safi sana video Safi mmeuvaa wimbo keeep it up guys
Habari naombeni wimbo mpya wa kwaya yenu ya Njiro Youth sda choir unasema Siku ya Ajabu
Barikiweni sana watoto wa Baba endeleen kuifanya kaz ya Mungu mngali bd mna nguvu
Emmanuel mungu akuinulie juu na team yako
Wow!what a song!God bless you in Jesus name
jaman, napata tumaini na nguvu kusonga mbele bla kumwangalia mwanadam, hakika ni Mungu pekee,
Mbarikiwe sana sanaaa
Mapunda Godfrey I see you my vocalist ..Blessings !!
kwaya ya njiro mpo vizuri mungu awabariki mzidi kutoa injili kwa njia ya uimbaji
Mtukuzeni Mwenyezi daima
Wonderful choir keep it up Saints
asee hii kwaya mbarikiwe sana nyimbo zenu zinagusa moyo
Baraka majitu marefu uko nusu
Amen bwana awesi kutuaja
Amazing singing 👏👏👏 appreciate some english songs with music sheet pls
Wao, I love you guys....well done
brother and sisters praise God at all, And these are the singers, chief of the Father of the seventh--day -Adventist , who remaining in that work day and night. may LORD implant a Holy spirit in your hearts and Bless all of you, please.
Amen
How happy to see friends in God's hands
Jack imba kwa kutokuogopa bana mtukuze mungu wako
Wao waoo!!
Nice voices from this choir keep it up.God bless you
Amen
l love the way u sing am happy to see my friends there
Amen 🙏 🙏 🙏
Waoh so wonderful.. Barikiwen
Nawaona vijana mkiongozwa na maboko mpo imara sana
Mungu akawainue kwa viwango vingine
naona Emmanuel anafurahiasana shida
Mwenyezi Mungu awabariki sana
Mbarikiwe nawapenda
Guys, Mungu awabariki Sana kwa Kazi nzuri, Zaidi Poleni kwa Majonzi yaliyowapata....!!
*MUNGU AWARIKI*
Wow, this was so well done. God bless you friends
Amen
This lovely choir.... god bless you guyz
Asante mage
waooo nawapenda sana mungu azidi kuwa baliki
Amen ruzuku
Grupo feliz Madalena vila velha es
Somos cardoso de vila velha es
Vitória es Brasil Somos
Jamani barikiweni hatimae mbinguni
Mko vizri sda njro nawapenda bure nikimona elinema and barka emanueli
Ameni
Faith Mbis
Mimi ni mwimbaji kanisa la sabasaba tarime mara mbarikiwe
Tunashukuru sana
Grupo jovenlantoniocardoso
Vitória es Brasil
Emeni mbarikiwe
Bleeeesd
Grupo feliz Madalena vila velha es
Vitória es Brasil
God bless your
Amen
Amen
Vitória es Brasil
Mko wapi niimbe na nyie du
mbarikiwe
Amina
Nisaidieni no ya situdio mliorekodi
wonderful composition but too short!
Why should it be too long, brother. The length is just perfect for the message. Ask the listeners!
I will try my best next tym
Amen
👍
KWELI WAIMBAJI KUOKOKA NI KAZI NGUMU SAANA, YAANI MUONEKANO WENU TU UNAWATAMBULISHA KWAMBA YESU MKO MBALI NAYE SAAAANA.
Tusipende Ku hukumu kwa macho ya kibinadamu Mungu pekee ndio mwenye kipimo sahihi
Bwana mdogo elewa maana ya hukumu,huwezi kuniambia kwa muonekano huo kuna wokovu, nooo.
@@mihayoyabhupangachannel9909 kila mtu ana haki ya kusemama ni mawazo yako ngoja niyaheshimu . haleluya
Mbona wako vzr na wewe
Vila velha es
Mbarikiwe sana waimbaji wapendwa. Naomba mnitumie namba zenu za simu. Namba yangu ya whatsapp ni hii: +243817187302. Nawafuatilia nikiwa GOMA-DRC.
0743493313 Arusha Tanzania
What language and country is this?
Shade Henry Swahili. Widely spoken in East and Central Africa.
They are in Tanzania
Sinead Murphy it's was in Njiro youth choir from Arusha Tanzania
Swahili
This is Tanzania. ARUSHA city. Njiro Seventh day Adventist Church .They are singing in Kiswahili. Be blessed.
Amen
Amina