Huu wimbo wa gari ya moto ni moto hasa! Nesi nikikuona nakumbuka mgahawa wako tuliokuwa tukinywa chai tukitoka shule pale Bukama. Nafurahi zaidi kwamba unamtumikia Mungu.
Mbarikiwe sana na mzidi kusonga mbele msiishie hapo ninafuraha nyingi sana kumwona mwalimu wangu wa kiswahili Elisha Endru nampa haiii sana nampenda sana mungu ambariki yy na familia yake
boutta flip this into a kanye beat wish me luck gang 🤘🤘
Praise the heavenly lord above! AMEN BROTHER!
Nice music Shirati Central
Asaate kwa wimbo mzuri ,shirati❤
Ansanteni saana kwa kubariki moyo wangu
Isabela my staff jamani nafurahi
Good work God bless you so much
Mko kimataifa shirati central barikiwa
Hallelujah 🙏BWANA YESU hakika yuaja tena.
God bless ministry
My best choice at heart.nawapenda sana
Huu wimbo wa gari ya moto ni moto hasa! Nesi nikikuona nakumbuka mgahawa wako tuliokuwa tukinywa chai tukitoka shule pale Bukama. Nafurahi zaidi kwamba unamtumikia Mungu.
Mahubiri kwa njia ya nyimbo ni mazuri ili ulimwengu ufahamu na afanye uamuzi wa kweli
Mbarikiwe
Very nice song
Nawapenda sana Watumishi
Amen 🔥🔥🔥
Ujumbe mkali najihisi Kaa Niko mbinguni
Amen 🙏 🙏 🙏
Congratulations ...😇❤❤❤
What a beautiful song! Be blessed servants of the Lord.
Waau safi kabisa natamani tunge imba pamoja tukielekea juu mbinguni. Sauti tamu kweli kweli
Amen
Yani hiyo sauti ya kwanza daah!!! Mbarikiwe sana jamani
Amina
I'm blessed!
Waau! Very wonderful song be blessed shirati choir.
Wimbo wenye matumaini kweli. Bwana awabariki
God bless you
Jaman nmeupenda sana huu wimb
Good message.Real blssings
God Greatly bless you 🙏 ❤
Amina
I thank my Brother for introducing this song to me.Itakua raha isiokua kifani😊
Tamu hakika,Mungu awabariki
Jaman mungu awabariki mfike mbali
Mbarikiwe 🙏🙏
Zote tufanye kazi ya Bwana ilituweze kuesabiwa haki na kumulaki mawinguni
God with us
GOD bless you all for the nice song
Safii sanaa
Mbarikiwe sana na mzidi kusonga mbele msiishie hapo ninafuraha nyingi sana kumwona mwalimu wangu wa kiswahili Elisha Endru nampa haiii sana nampenda sana mungu ambariki yy na familia yake
Ayie kodu Jo kabwana👍👍
Unapo silica ujumbe huu mioyo yetu ikiwa imepondeka ili damu yake yesu kristro itirike katika mioyo yetu na tubadilike tuache matendo maovu
Thanks you
Shirati
Nice song
Good song, barikiweni
Mungu akubariki
Very sweet sana
Very joyful ❤️
Mubarikiwe
god blessing
Nimemuona wifi yangu Salome Joseph MUNGU awalinde kwa kumtukuza
Wau! Wau!
Aminaa🙏 Sinawapendaga yaani
Elisha Andrew endeleza kipaji tuko pamoja!!!
Rrpdddrrrr
Amina
Mbarikiwe
Mungu awatangulie katika maisha yenu yote kwa hichi mnachokifanya
Amen
Aliedizain uniform ya wamama kwakweli abarikiwe. Nyimbo nzuri sana sana .kiukweli nafurahi kuona kwaya ya ngu ikiimba hivi.
Amina