Ahsante sana Biteko makamu waziri mkuu. Ni kipindi kifupi sana tangia umeingia NISHATI. Lakini uliyoyafanya yanafanya waliotangulia kabla yako waonekane kama watu waliokwenda pale kujinufaisha wenyewe na wezi Wenzao. Your so special before God’s presence. Keep it up my darling Brother. Surely your the BEST ❤️🙏🏾
Uyu jamaa nimejikuta namwelewa bule mimi ni chadema ila anasifa zote za kuitwa kiongozi nilicho kipenda hajisifu yeye kama yeye bali anapongeza wizara nzima viongozi na watendaji wake icho kitu kinawafanya watendaji wake wajione nao wanathamani na kua na molali ya kufanya kazi njema kwa taifa🙌🙌🙌🙌
Duuh, katika uteuzi ambao Dr Samia amefanya tangu ameingia hapa kwa Dr biteko amepatia kwa 100%❤❤❤❤❤❤, ikimpendeza awamu ijyao Mungu akipenda apewe PM kamili
Support u as ministry who believed in action not commenting only expected the price unit will going to reduce In future bcouse is cost lower Tanzania this 350 tsh per units including several taxes especially one fused meters hip hip hip hurrreee ur amazing ministry ur followed RIP magu ❤
Ee mungu akujaalie kwa matendo mema katika utumishi wako ,nakukubali na si jamii tu bali Ni Tanzania(Taifa) wewe Ni nguzo imara=Rais Samia nampongeza mno kukuteua Naibu waziri mkuu ; hongera Sana!
Ahsante Waziri kwa hotuba, pamoja na maelezo mengi mazuri uliyotoa lakini upande wa Tanesco bado kuna uzembe sana haswa kwenye preventive maintenance.Utakuta mara kwa mara hizo transformers zinalipuka ni kwa sababu hazifanyiwi ukaguzi inavyotakiwa kwa kubadilisha vipuri vilivyo haribika as per schedule. Halafu watu kuiba transformers- cables-oil ,wanashindwa nini kuzungusha Uzio wa waya na kuweka tangazo kwa asiyehusika asisogelee hapo.Halafu mnaweza kufunga GPS kwa kila transformer na watu watehama wakawa wanafuatilia hatua kwa hatua. Ni aibu kwa kifaa kizito kama transformer kuibiwa kirahisi halafu watendaji bado wapo kazini.Na hizo nguzo inabidi ziwe zinakaguliwa kwa uimara wake mara kwa mara.
Mweshimiwa wambie wananchi wa vijijini gharama za kuunganishiwa ni sh ngapi maana Tanes co wanasema hakuna wa sh 27000 pili wambie kutolewa kwenye sarv is charge nii bei Gani maana tunapigwa na watumishi wasio waminifu
You are very serious and determined to contain the power instability in our country. Be more creative, now the Government should allow private sector to also participate in the distribution of electricity as we did in telecommunication services.
Katika Mawaziri kichwa kwenye CCM ni Biteko, Jerry Slaa, Hussein Bashe , Innocent Bashungwa,January Makamba , Simba Chawene, Kajaji Ashatu, waziri wangu wa Fedha ni Professor Assad( not Mwigulu at all )Ummy Mwalimu.Hawa watu vichwa sana
Ahsante sana Biteko makamu waziri mkuu. Ni kipindi kifupi sana tangia umeingia NISHATI.
Lakini uliyoyafanya yanafanya waliotangulia kabla yako waonekane kama watu waliokwenda pale kujinufaisha wenyewe na wezi Wenzao. Your so special before God’s presence. Keep it up my darling Brother. Surely your the BEST ❤️🙏🏾
Unafanya kazi sana. Hongera.
Wow....👏👏👏👏👏👏
Hongera sana sana Mh. Biteko..
Mwenyezi Mungu azidi kukusimamia vema...
Hongela sana kwa ukomavu kiongozi wetu tunakukubali sana endelea hivyohivyo ipo siku utakuwa rais hongela mkuu
Mungu akubariki sana kaka bitego
Uyu jamaa nimejikuta namwelewa bule mimi ni chadema ila anasifa zote za kuitwa kiongozi nilicho kipenda hajisifu yeye kama yeye bali anapongeza wizara nzima viongozi na watendaji wake icho kitu kinawafanya watendaji wake wajione nao wanathamani na kua na molali ya kufanya kazi njema kwa taifa🙌🙌🙌🙌
Duuh, katika uteuzi ambao Dr Samia amefanya tangu ameingia hapa kwa Dr biteko amepatia kwa 100%❤❤❤❤❤❤, ikimpendeza awamu ijyao Mungu akipenda apewe PM kamili
Unamchonganisha na pm
Biteko is intelligent 🧠, keep it up. After Samia 2030 chukua form
U are true leader brother
Safi saana kuna kit ndan yako
Support u as ministry who believed in action not commenting only expected the price unit will going to reduce In future bcouse is cost lower Tanzania this 350 tsh per units including several taxes especially one fused meters hip hip hip hurrreee ur amazing ministry ur followed RIP magu ❤
Big up brother
Hongera sana, mheshimiwa Dotto Biteko. Hakika PhD uliyo nayo unaifanyia kazi.
Mungu akuzidishie kuwa mkweli Kama unavyojieleza kuongea kwa undani ya moyo. Big up
A very humble people....
Kuna mawazr wengine unampenda bure wengine wanarazimisha tuwaelewe na wanaushawi mkubwa Asante biteko ❤❤
Dr Biteko yupo vizuri sana... ❤
Akili kubwa na uzalendo uliotukuka
Ee mungu akujaalie kwa matendo mema katika utumishi wako ,nakukubali na si jamii tu bali Ni Tanzania(Taifa) wewe Ni nguzo imara=Rais Samia nampongeza mno kukuteua Naibu waziri mkuu ; hongera Sana!
Tunataka tuone vitendo awamu ya 5 umeme haukatiki mashine zilikua mpya.
Hadi raha
Kanda ya ziwa kuna vichwa aiseee😅😅😅😅
Brilliant leader
Waziri wewe unajuwa kumuogopa mungu uzidishiwe beri balikiwa sana😊
Tanesco ingieni kwenye biashara ya internet. Kwani mnamiundo ya nguzo nchi nzima.changamkeni.
Ahsante Waziri kwa hotuba, pamoja na maelezo mengi mazuri uliyotoa lakini upande wa Tanesco bado kuna uzembe sana haswa kwenye preventive maintenance.Utakuta mara kwa mara hizo transformers zinalipuka ni kwa sababu hazifanyiwi ukaguzi inavyotakiwa kwa kubadilisha vipuri vilivyo haribika as per schedule. Halafu watu kuiba transformers- cables-oil ,wanashindwa nini kuzungusha Uzio wa waya na kuweka tangazo kwa asiyehusika asisogelee hapo.Halafu mnaweza kufunga GPS kwa kila transformer na watu watehama wakawa wanafuatilia hatua kwa hatua. Ni aibu kwa kifaa kizito kama transformer kuibiwa kirahisi halafu watendaji bado wapo kazini.Na hizo nguzo inabidi ziwe zinakaguliwa kwa uimara wake mara kwa mara.
Hongera naibu waziri mkuu unatosha na kubaki chapa Kaz Dua zetu utafika mbali sana
Mweshimiwa wambie wananchi wa vijijini gharama za kuunganishiwa ni sh ngapi maana Tanes co wanasema hakuna wa sh 27000 pili wambie kutolewa kwenye sarv is charge nii bei Gani maana tunapigwa na watumishi wasio waminifu
You are very serious and determined to contain the power instability in our country. Be more creative, now the Government should allow private sector to also participate in the distribution of electricity as we did in telecommunication services.
pia ni muwazi kabisa
Kwenye hili la kuruhusu sector kuingia kwa upande wa tanesco uko sawa kabisa mbn inawezekana tu??
Not really
Kwa nini kungoja kitu kuchakaa hadi out of date and no more in use ? No maintenance and no replacement ?
Nishati Ni uchumi+Afya
Tunaomba kupata unafuu wa bei kwa huduma ya nishati.
Hatutaki maneno tunTaka tuone
MUNGU Akutunze Waziri Biteko. Ulikuja kwa Makusudi wakati huu. Umetufaa
Safi sana mkuu wetu
Unadamu ya ukeli😅😅😅Mfuatilie ndugu yako Rais Kagame, Kumbe CCM KUNA VICHWA AMBACYO HAVIKULEWA UNAFIKI? BIG UP BITEKO.
Kiongozi huyu mungu akubaliki amen 🙏
Aliyenyamaza hajuti, nimeichukua hiyo inanisaidia mbeleni
Wizi: teknolojia itumike, computer na cctv
Ni kweli we mweshimiwa unajitadi kwa nafasi yko
Biteko piga kazi waone malezi ya mzee magu yabavyoikomboa Tanzania
Where he from ?
Geita
Tajiri wa akili !wakomboe watanzania!
HUYU NDIO RAIS SASA MAKONDA ATULIE
ana hekima sana
Makonda atakuwa sehem ya selikal hiyo
Linda sana mhemko hasa pale unapo furahishwa na mtu anayekupa furaha ndiye anayeweza kukuhudhunisha hivo TUWAOMBEE VIONGOZI WETU.
anakubaliana na wabunge
Nauli mlipandisha mzigo kwa wananchi
Katika Mawaziri kichwa kwenye CCM ni Biteko, Jerry Slaa, Hussein Bashe , Innocent Bashungwa,January Makamba , Simba Chawene, Kajaji Ashatu, waziri wangu wa Fedha ni Professor Assad( not Mwigulu at all )Ummy Mwalimu.Hawa watu vichwa sana
Kwa januali umechemka
😂😂😂 toa hoja usiseme tu nimechemka
January tupa huko🗑️
Ni hao mawaziri watatu wa mwanzo, wengine ni kawaida sana.
Kwa makamba mhu
Maisha ya mfumo njaa.
Sasa mfano tamko la Rais na tamko la spika lipi linatakiwa kufwatwa? Hapo kwenye muda wa kutaka kero ya kuondokana na ukatikaji wa umeme