BIG up bro🫡 ...inshallah 2mshukur Allah mmb yameenda poa san 2meisubir kwa ham san hii story i hope yajayo yanafurahisha we're on our way hustling too we reach out there nigga🫡♥️
Mshana nakukubali sana mwanangu. Sasa sisi wadau ambao tumeishia form 4 tu inakwaje kwenye kujiunga na jeshi ikitokea tumepata chance ya kufika Unyamwezini
nipewe na likes zangu kwnz jmn kama unamkubali mshana the soldier gonga like apa🤟
First to watch today
@@jumamunga5687 no am the frst😂🤟
Welcome
Good to see you again
BIG up bro🫡 ...inshallah 2mshukur Allah mmb yameenda poa san 2meisubir kwa ham san hii story i hope yajayo yanafurahisha we're on our way hustling too we reach out there nigga🫡♥️
In Shaa Allah
Nionganishe nifike hk bro
well come back
Hongera sana bro mshana Mungu Akubarik Unaendelea kutimiza ndoto ss tupo Nyuma yako So nice❤
Big up bro, shusha madini tunafollow your path
Combania sio kampunii 😂😂 bhna
Ndio umeukan utanzania 😂😂😂😂 nomaaah
Kaza Mwanangu...
Tulikumis sana ndugu...
Uko vzur mwamba
Bro one day yes I really like to join the army
welcome back
After how long ndio mnapewa io free time??
🔥🔥
Tuko naweye mshana kutoka 🇧🇮
Siku mingi karibuni tena
Mshana nakukubali sana mwanangu. Sasa sisi wadau ambao tumeishia form 4 tu inakwaje kwenye kujiunga na jeshi ikitokea tumepata chance ya kufika Unyamwezini
Ukifata taratibu tu unajiunga bila shida yoyote kule hawana haja na Elimu yako ya bongo
How to reach there br
Unajitaji uwepo Marekani na ku pass ASVAB mtihani wa jeshi
Kibongo bongo kambi yoyote kikubwa uwe na kitambulisho utambuz wko
Umerudi boot camp mzee baba
Kujiunga na jeshi inakuaje kaka napenda nije uko
Kaka wew n unafanya AIT ya MOS gani
Utuelekeze jinsi yakujiunganisha na jeshi la marekani yani njia ipi?
Unajitaji uwepo Marekani na ku pass ASVAB mtihani wa jeshi
@@famoustim64 asante
@@LateefaL-e1u Hamna neno
Mshana posho simnapewa za kujikimu wakati wa Training kwanini mtu atumiwe pesa