MELI YA PEMBEJEO YATIA NANGA MTWARA KUTOKA UTURUKI

āđāļŠāļĢāđŒ
āļāļąāļ‡
  • āđ€āļœāļĒāđāļžāļĢāđˆāđ€āļĄāļ·āđˆāļ­ 15 āļ•.āļ„. 2024
  • Meli Kutoka nchini Uturuki iliyobeba Pembejeo za Korosho Salfa Tani 5,623 zilizoagizwa na Serikali tayari imetia Nanga katika Bandari ya Mtwara.Kau ne wBaarhi Nrbert Kalembwe amesema kwa sasa zinaendelea taratibu za Kibandari kabla ya kuanza zoezi la kushusha mzigo.Na @omeijr#Hunult#ouDgalpdtsTazama LIE 📚 @Cloudstv kupitia | Azam channel no 403| Dstv no 387| Startimes no 109| antenna

āļ„āļ§āļēāļĄāļ„āļīāļ”āđ€āļŦāđ‡āļ™ • 7

  • @abdulhamis9825
    @abdulhamis9825 2 āļ›āļĩāļ—āļĩāđˆāđāļĨāđ‰āļ§

    Safi Sana Hii Meli Imepeleka Mzigo Unapotakiwa

  • @diolindanativo7268
    @diolindanativo7268 2 āļ›āļĩāļ—āļĩāđˆāđāļĨāđ‰āļ§

    Mabaharia tujuane meli hii ishaingi mtr tena mtr akuna ulizi wa maana tuna penya tu.

  • @mohamedrashid9035
    @mohamedrashid9035 2 āļ›āļĩāļ—āļĩāđˆāđāļĨāđ‰āļ§

    Meli kubwa gani Achi tatu ni meli kubwa meli ya kawaida tu ungesema Achi 12

    • @rubenprince8990
      @rubenprince8990 2 āļ›āļĩāļ—āļĩāđˆāđāļĨāđ‰āļ§

      Kwani dawa ya kupulizia mikorosho wakulima wanapewa bure au wanauziwa

    • @mohamedrashid9035
      @mohamedrashid9035 2 āļ›āļĩāļ—āļĩāđˆāđāļĨāđ‰āļ§

      @@rubenprince8990 kilakitu bure sasa nchi itakwenda kweli jibu hapana dawa za kupulizia mikorosho wanakopeshwa hadi wanapo pata muvuno na kuuzwa wanarudisha pesa Serikalini kulikoni kununua keshi wakulima hana pesa za kununua nimoja ya msada hapo vipi

    • @uledimtumwa2406
      @uledimtumwa2406 2 āļ›āļĩāļ—āļĩāđˆāđāļĨāđ‰āļ§

      Zitakuja tu hizo Achi 12,ata Mbuyu ulianza kama mchicha.

    • @mohamedrashid9035
      @mohamedrashid9035 2 āļ›āļĩāļ—āļĩāđˆāđāļĨāđ‰āļ§ +1

      @@uledimtumwa2406 unajua wandishi wa habari wakati mwingine hupoa habari sizo Uwezi ukasema bandari imefunga Meri kubwa ni Meri ndogo sana Achi tatu sio Meri kubwa ni ndogo tena ya kawaida sana hata iliyo kuja kubeba mkaa wa mawe ni kubwa na sio yakusema ni kubwa kivile Meri kubwa ni ile ya Magari ni kubwa lakini tunaomba zifunge Meri kubwa za Achi 6 ' 8 ' 10 na kuendelea