HATIMAE IRAN YAJIBU BAADA YA TAARIFA ZA MASHAMBULIZI YA ISRAEL
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 18 เม.ย. 2024
- Vyanzo mbalimbali vinaarifu kuwa leo Ijumaa, Israel imefanya shambulio la kulipiza kisasi katika ardhi ya Iran. Vyombo vya habari vya Iran vimeripoti kwamba milipuko ilisikika katika mji wa katikati mwa Iran wa Isfahan , lakini afisa mmoja Tehran ameliambia shirika la habari la Reuters kwamba milipuko hiyo ilisababishwa na mifumo ya ulinzi wa anga ambayo ilifanikiwa kudungua droni tatu.
Viongozi wa Israel na hata jeshi la nchi hiyo hawajazungumza chochote kuhusu taarifa hii. Afisa mwandamizi wa Iran ameiambia Reuters kuwa nchi hiyo haina mpango wa kujibu mara moja shambulio hilo, ambalo taarifa kutoka Tehran zinasema halikuwa na madhara makubwa.
If you find any error in material provided please take a minute to tell us about it. We will resolve it at the earliest.
COPYRIGHT VIOLATION
For Copyright Issues: We try our best to verify the ownership of content with the contributor. If you think your material is wrongly used, or if its a violation of copyright.
Ewe mwenyezi mungu zidi kuinusuru iraan nauwaingize waiziraili na washilika waoo pamoja na Kila wanacho kitevemea
amiiiiiiiiin yarrabana takabali duwaaa zetu
Usimwachie mtandike muyahudi mbwa huyo kashindwa na hamas anauwa watoto mashambulizi yatakuepo
Tutakuja mezani 😂😂😂 mlisema Israel haiwezi kupiga tena na hapo hizo ndege 3 zilikuwa nizakiuchunguzi tu ili badae wajuwe kuwa wanaanzia wapi kuipiga Iran 😂😂 sasa subiri Iran wajibu afu muone Israel ilivyo na watu hamta amini mtasema ni Marekani coz watu wamekalilishwa kuwa Israel hawana kitu.
@@georgekimasaofficial1629israel ni nchi hatari sana na inauwezo mkubwa sana sio wa kawaida
Iran usicheleweshe
Marekani hana nia ya kuleta suluhu Palestine
Potelea mbali
Piga hiyo allahu Akbar long lives Iran
Mralia kuliko Cha mbwa Koko kama gaza siyo muda mrefu mnamidomo sana wakati hamna uwezo wowote
Israel imewabipu tu hata setlait hazikuona
@@IsayaSamweli-pm4ddSASA isaya unachuki au ushabiki we wangeuliwa ndugu zako na hao waisrael ungependa????
Nisingependa na sikupenda kabisa, na tusishabikie vita, hamasi walitangulia kushamburia na kuua Waisraeli na kuwateka wengi na kufanya uharibifu mkubwa ndipo Israel wakaamua kulipa kisasi na maumivu makali huko gaza, Leo Irani wameshamburi na waislam wote wanashangilia lakini Israel ililipiza kisasi ndio wanaonekana wamekosea sana.
@@IsayaSamweli-pm4dd Jaribu kufatilia Hamas wasingeshambulia israel hivihivi,israel ni wachokozi kwa muda mrefu sana hata mitandao ikawa haitoi tena habari juu ya uonevu wa israel juu ya palestine pia kumbuka hamas wanaua wanajeshi tu sio raia lkn israel wanauwa wazee,watt vijana hawajali
Iran iishambulie tu israel kwa kujibu kipigo kwa kiwango kikubwa tu
Iran hakika itashidwa dhidi ya choko choko zake
Hujijui israel unayoifahamu haina uwezo isiposaidiwa
CHOKO CHOKO ZA IRAN AU NI ZAKO WEWE USIEJUWA LOLOTE
Wailamu wanadanganywa nao wanakubali Ilani awezi ifanya islaeli chochote najua mnanyama tu
Uko unajidanganya
Free Palestine
Wacha tumalizanevhatuwezi kubali muisrael atawale dunia awe mungu wa ardhini awauwe watu wasio na hatia na hakuna hatua yoyote inachukuliwa
Dunia mbovu isiokua na haki sawa,inatawaliwa na mashetani yaki marecani na yaki yahudia Alaana ya Mwenyezi Mungu iwe juu yao,ivi kweli bin Adam mnafungwa macho na kuwaombea hao Wasio thamanisha Wengine aspokua kabila lao inaskitisha Sana,FREE PALESTINE,Mtatambua lini ukatili wa hao ,Walimwengu mmebweteka bweteka hamueleweki
Nyie ni ushabiki lakini ukweli ni kwamba hizi Nchi zote zina uwezo mkubwa wa kivita
Hiyo ni vita ya,mmarekani na mwarabu
piga Palestina mbwa mkubawa huyo
Mungu ibariki Israel Mungu ilinde Israel kwa utukufu wa jina lako ishinde vita hii Kwa kishindo Mungu ibariki pia Tanzania
Ameen
Ibariki tu iyo Israel usiwe mnafiki ukajidai pia Tanzania ibarikiwe
Ameen
Ameeem
Ameen
Waslamu nimagaidi,wapigwe mbwa awaleote
Gaidi wewe kafiri mkubwa
isaAbdallah-ze2cq ukafikir upo ndani kaburi la mtume Mohamed .. 😊😊
Mayahudi maumbwaaa ,,,ndo maana Hitler aliwaua sana ,,,,wanaleta migogoro sana
Usitwambie mbwa chunga ulimi wako
@@annasolomon9855mbwa kafiri babaako mtume wetu kakukosea nini apo ata umtaje.
Israel haiwezekani kupigwa Tena watajalibu lakini hawataweza,Iran ni nchi ndogo isiyokizi viwango kuishinda Israel ili angalau isiumizwa saaaana inahitajika iungane na nchi zote za kialabu angalau wanaweza kuigusa kidooogo,bila hivyo Iran itachapwa Kama katoto
Hii imeenda labda mpaka ziungane nchi 6 za kiarabu lakini bado watafurushwa.
Israeli imewekwa na MUNGU hakuna wakuifuta
Akili ndogo we unafikiri Tanzania haijawekwa na mungu? Na nani anaweza ifuta Tanzania
Hv wewe unajua Iran sawa na Tanzania embua jiulize VIKWAZO alivyo wekewa IRAN Toka 1979 tena VIKWAZO vikubwa na bado uchumi wake upo juu hategemei dawa Wala siraha vyo atafanya mwenyewe na hategemei mtu kama Alivyo kua Israel tegemezi
kwa sababu inalindwa na Marekani na washirika wake?
Waislam msio na akili mnashangilia irani kumshamburia Israel lakini Israel ikishamburia waarabu mnaanzaga kulia lia.....oneleeni huruma wenzenu wanawake na watoto ambao ndiyo hupitia mateso makali kupitia vita hizo.
Ww ndo huna aklii waislm wana aklii timam acha upuuzi
Akili ya kuchambia labda hapo sawa😊😊@@othmanally1230
Wew shoga ndio huna akili namashoga wenzako
Wakomee wa islam hayawani weee
Mungu wa Islaeli waonyeahe walabu kwamba wewe ni Mungu wa Islael
Kwaiyo wewe huna Mungu
Iran sio mwalabu haw ni waajemi
😂
Mungu niwawote islaili mashoga Mungu hawezi kusafiri mashoga
Israel ni taifa takatifu la Mungu.
We mzima Taiwan la mungu laua watoto na wanawake watu waloua manabii we wasema taifa la mungu
Israel taifa la mungu ila si watu wale
Ndy taifa la Mungu lakini hawamjui yesu na wala c wakristo asa kwa nini na wewe kwa nn mkristo na hufuati dini ya uyahudi?
Nikweli hakuna Taifa lisilo la Mungu Mataifa yote ni ya Mungu ni sawa useme Saudia ni nchi tukufu utakua unakosea sema Kuna sehemu baadh ni tukufu kama vile bethelehemu na msikiti mtukufu wa Aqsa na mfano wa sehemu hizo kama ilivyo Saudia siyo yote ni tukufu Bali ni pale makka na Madina na zile sehemu za kihistoria hivyo msiwe mwakurupuka somen historia hivyo pia muisrael huyu sio huyo umjuaye aliye tajwa katika vitabu vitakatifu
Unatombwa wewe
Marekani ni mnafiki mkubwa
Ondoeni vikwazo kwanza haya Naye mmweke vikwazo
Mbona hao umoja wa ulaya hawaja laani,,,,maumbwaaa hao
Kuna umuhimu wa kuanzisha umoja wa mataifa mwingine, utakao kuwa na usawa
Iraan hiyo ndio furaha nzuri ulikua ukiisubiri.uwa mayahudi wote kwa nuclear. Uwa wte
Muungu hambaki israili ikishauw watu woote kisha kifo kitamgeuka tuu
Kwanini hayo mashambulizi hayajalaaniwa?
Waaniwe na nani labda kwa ajili gani.. huezi Ilani Israel hata kidogo Hilo ni Taifa teule
Taifa teule la ushoga likokaribuni kuangamizwa kama sodoma na gomoa@@annasolomon9855
Akijibu ndo nitajua kuwa mtoa roho Sasa anataka roho za Hawa maostadhi wa iran
Kwani unavyo Ona Israel inaweza kupambana na Iran? Utakuwa una Shida flani tu Israel hamna kitu Zaid ya ushoga Wana ufadhili
Ndio mtajua kuwa israel ni mtoa roho,
We huna Unacho kijua Mdogo Wangu Zaid ya bendera fata upepo alafu Israel Jamani Sio wakristo wenzenu Israel wanauchukia Ukristo na sio wakristo Hawa ni mashetani
Haa waesilamu wanatuletea machafuko sana duniani.
Shoga kama shoga katika ubora wako
Ivi unajua kuwa muesrail ndo alianza kupiga ubalozi wa Iran
C mbabe ndio maana, na sio kupiga tu adi kauwa
Watu msiongeee msio yajua huu ni mzozo wa muda mrefu toka enzi za mababu
Hamasi waliuwa 1200 wakatumia raia kujikinga Sasa 37000 wamezikwa halafu unazungumza Irani aliwahi piga nani?😮
Tunawajua mashoga kwakujisifu tulia mwanaume awaonyeshe kazi
Uongo huo
Kombola 300 waoga hao
Tusubirie ajibu lran kama atapigwa kama mtoto. Ngoja ashushe drones za atomic
Matisho yasio na maana 😅
Waacheni wapugane na asisaidiwe Mtu hapo ili ashishe adabu.. na wataheshimiana!!!
Mmh kivipi yaani
Acha uninga eti isrel nitaifa la mungu mungu aliwalaani toka zama na zama
Hayo ni maneno ya mtaani 😅😅😅 utapasuka ukiiwaza Israel jaribu kuwaza yako 😅😅
Israil ni mchumba tu mbele ya Iraan
Israel will win this war no matter what
It is obviously God is with Israel
@@user-rn9og1rk3l
Pointless ever seen!!!
USA,UK, CANADA, GERMANY, FRANCE, ITALY,An main more Ar with Them.
In case you don't know Fool!!!🚮
Uongo
Izirair imeraniwa
@@IdrisaAbdallah-ze2cqimeraaniwa 😅😅😅 jamani nendeni kwanza na shuleni mrudi kuitukana Israel humu 😊
Wewe uko mchambuzi wakweli
Akifanya myahud au wa magharib mataifa mengine yanatoa wito lkn akifany mrusi au iran mataifa yana laaaani vikali😂
Waislam Kila mtu akiongea lazima ataje ushoga kwani nyinyi mna nini mnaongozwa na propaganda nawongo
Iran inaiogopa Israel
Exactly
Ingekua ina iogopa wala asinge shambulia direct Israel nae angepiga ubalozi ila Iran kaonesha asha kama me ni mwamba
Waejami ni watu wana akili ,,,SI waarabu asili,,,hawakurupuki ,,,,sile silaha walizotuma Israel ni zakawaida ,,,, ballistic missiles Sasa kisasa ni 7 tu na zote zilipenya Israel,,,,,, Israel hawezi kuwaondoa wairani pale ,,,,wairani sio waparestina.
Irani ni mtoto mdogo atasahulika kama sadamu
😅😅 Hujui kitu boss nyamaza tu.
God bless Israel awatandikehao magaidi
Don't play with Israel again
Irani ni kama hamasi tu atachapwa kama sadamu chezea Israel wewe
Awo hamas mwez wa 7 huu ata mateka 10 wale hawaja okoa na watu wana silaha za kienyeji tu, ijekua Iran kila siku anaunda silaha zake mwenyewe