DRC: Hali ya wasiwasi yarepotiwa katika miji ya Nyiragongo na Goma

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 พ.ย. 2022
  • Hali ya wasiwasi inarepotiwa katika mji wa Goma, mji mkuu wa Kivu Kaskazini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) pamoja na wilaya ya Nyiragongo ambako yamejiri mapigano makali kati ya waasi wa M23 na majeshi ya serikali ikipelekea raia katika maeneo hayo kuwa na wasiwasi mkubwa. Ungana na mwandishi wetu akiongea na watu ambao vita imewakosesha makazi na amani...
    - - - - -
    #VOASwahili
    Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.

ความคิดเห็น • 69

  • @hasinaahmadi1081
    @hasinaahmadi1081 ปีที่แล้ว +1

    Mnyezimungu atatenda ! Asante pour le reportage ❤

  • @johnmaina8619
    @johnmaina8619 ปีที่แล้ว +1

    Congo ni super power ya Africa 🌍 peace ✌️

  • @stellanyamuhogota1832
    @stellanyamuhogota1832 ปีที่แล้ว +4

    Amani ndo msingi wa taifa polen ndugu zetu wakongo Mungu atawasaidia tu🇹🇿

    • @Sonia-334
      @Sonia-334 ปีที่แล้ว +2

      Asante ndugu hâta kenyata Hana uruma kwetu Sisi wa kokomani ana mashauri mbaya ni mashauri mbaya nyoka wakati ana funguwa kunywa niku tafuta mawe n'a kukuwa ule nyoka lakini tuna endeleya Ku sikirika sana zaidi tulipo sikiya maongezi mabaya ya ule kenyata ana taka tuji tiliye nyoka nyumbani n'a tupuke kidole ajikaze sumu

    • @anaanaelle6500
      @anaanaelle6500 ปีที่แล้ว +1

      @@Sonia-334 unaongea kueli dada, natuashe tulisha jitesekea atupendi négociation

    • @anaanaelle6500
      @anaanaelle6500 ปีที่แล้ว +1

      Tunashukuru . Lakini atutaki négociation

    • @mapendoumoja800
      @mapendoumoja800 ปีที่แล้ว +2

      Lakini hayomashauri yatahangaisha watutsi ku Congo kwani wakongomani hawanatena uaminifu ku mututsi shida nikuwale wa Rutshuru n'a masisi

  • @scofield6490
    @scofield6490 ปีที่แล้ว +1

    Poleni ndugu zetu wacongo, natumai KDF itaweza tuliza Hali. Nikiwa Kenya

  • @gilbertmwisambi8113
    @gilbertmwisambi8113 5 หลายเดือนก่อน

    Ndugu yetu wa nord Kivu tuko pamoya ❤❤

  • @mapendoumoja800
    @mapendoumoja800 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU HATATUACHA LAZIMA ATAWALIPA DAMU ZA WAKONGOMANI NAHAYO MAHANGAIKO NA MATESO

  • @AbiTech96
    @AbiTech96 ปีที่แล้ว +2

    Yaani itaombwa kagame afee ili drc ipate kimya kwaukweli😢

  • @pekelemilele5331
    @pekelemilele5331 ปีที่แล้ว

    Peace

  • @mosesmwailenge5192
    @mosesmwailenge5192 ปีที่แล้ว

    Daa MUNGU wambinguni iponye congo Mimi ni mtanzania kiukweli nawapenda saana wa congo nasipendi kuona Wana teseka ponya congo MUNGU 🙏🙏🙏😥😥😥🇹🇿🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @LorenzoMorageCabeia
    @LorenzoMorageCabeia 4 หลายเดือนก่อน

    😢😢

  • @mutabazijonathan7278
    @mutabazijonathan7278 ปีที่แล้ว +1

    Watu wamoja,ni,washenzi munadhani nani,atakuja kuwakufia msikae kitako mukisubiri usaidizi kutoka nje,

  • @ekaiesikiria2104
    @ekaiesikiria2104 ปีที่แล้ว +1

    Nenda mukaanzishe vita kwa nchi ambao inawatuma kuangamiza amani DRC hivo sasa vita itaisha

  • @mukumbilwa4990
    @mukumbilwa4990 ปีที่แล้ว

    Monusco wapo nyuma ya m23 uchungu sana fasi onu inatuma jeshi yake vita haiwezi malizika

  • @bestonmambo2623
    @bestonmambo2623 ปีที่แล้ว

    Yeani kila siku ni sisi tu why mungu wangu tupe amani kwetu drc please

  • @mosaidi2633
    @mosaidi2633 ปีที่แล้ว +1

    Human suffering in Goma

  • @nathanfrancisondieki6586
    @nathanfrancisondieki6586 ปีที่แล้ว

    Sawa kabisa amani ni kitu cha muhimu

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 ปีที่แล้ว +1

    Waasi hao wapigwe tu na wanaounga mkono wakamatwe

  • @Sonia-334
    @Sonia-334 ปีที่แล้ว +1

    Wale wa Kenya walikuya fanya Nini warudi tu kwa maana hawaja fanya chochote

    • @amazingvideo4761
      @amazingvideo4761 ปีที่แล้ว

      Ndo wamefika juzi

    • @anaanaelle6500
      @anaanaelle6500 ปีที่แล้ว

      @@amazingvideo4761 wote niwamoya na inchi ya La Laana rwandais mikoshi zote

  • @bestonmambo2623
    @bestonmambo2623 ปีที่แล้ว

    We need peace place please God

    • @williamruto36
      @williamruto36 ปีที่แล้ว

      Tell tchissekedi to confirm what u sign in Nairobi tobe in place and stop support FDLR and stop killing Banyamulenge everything will be alright after that

  • @florynkosimobalu3037
    @florynkosimobalu3037 ปีที่แล้ว

    Bolongola ba soldats ya baya na bitumba oyo ba yesa bitumba oyo makasi mingi ba kenyata oyo bazonga na bango

  • @mutabazijonathan7278
    @mutabazijonathan7278 ปีที่แล้ว

    Muna majirani,walozi,mashetani wenye,hawalali,kwa,sababu kuna,wenye,waliwaaga,eti congo,ni,kwao,wakuje,Congo, wataishia,huko huko kuingia,ni,rahisi,kurudi,kwenye,walitoka,ni kitendawili

  • @davidndatabaye6253
    @davidndatabaye6253 ปีที่แล้ว +1

    M23 courage sanaaaaaaa

    • @bonneideepius9654
      @bonneideepius9654 ปีที่แล้ว

      Wee Uta Kufa Kinywa Wazii Wewe , Na Mungu Aku One Maali Uko

    • @anaanaelle6500
      @anaanaelle6500 ปีที่แล้ว

      David uko haramu we imbwa mukoshi

    • @davidndatabaye6253
      @davidndatabaye6253 ปีที่แล้ว

      @@anaanaelle6500 m23 ndio italeta Amani munakuanga naubaguzi munabaguwa wa nyamulenge watusi wamasisi ATI siwacongo nasisi niwacongo mbona Mnafanya hivo tunataka Haki yetu tunataka Congo iwe nawupendo iachane naubaguzi

    • @anaanaelle6500
      @anaanaelle6500 ปีที่แล้ว

      @@davidndatabaye6253 mukoshi, chunga sasa uta shangala ... muko kabila muchafu muna stahili ku baguliwa .

    • @anaanaelle6500
      @anaanaelle6500 ปีที่แล้ว

      @@davidndatabaye6253 na tutaendelea kuwa baguwa kupita apa musizani bimeisha , njo mwanzo sasa ma mikoshi hamuna haya ... munataka anza fukuziwa saa ma umbwa

  • @husseinboru6613
    @husseinboru6613 ปีที่แล้ว

    M23 wanataka nini

  • @nshimiyimanajoseph1736
    @nshimiyimanajoseph1736 ปีที่แล้ว

    Napendathaharifazahari ambazounayotupatiya

  • @husseinboru6613
    @husseinboru6613 ปีที่แล้ว

    Bana ba m23 banataka nini

  • @akimuwaziri4089
    @akimuwaziri4089 ปีที่แล้ว

    amanigan kumaww? banatokea yulu. Tulien hukohuko zipigwe. Komboeni inchi

  • @j.bjacobbasubi2187
    @j.bjacobbasubi2187 ปีที่แล้ว

    Watusi sio watu

  • @kokombwana8625
    @kokombwana8625 ปีที่แล้ว

    Tatizo lipo kwa Kagame

  • @Pascal1122
    @Pascal1122 ปีที่แล้ว

    Nasubiri wakuje na Uvira tutwangane 😀😀😀🔥

    • @anaanaelle6500
      @anaanaelle6500 ปีที่แล้ว

      Kiekeikieki 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣

    • @williamruto36
      @williamruto36 ปีที่แล้ว

      Anza kuficama maana wakija utajinyeya udivi mkubwa saaana 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @NarcisseNkulu-zi3jo
    @NarcisseNkulu-zi3jo 5 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @j.bjacobbasubi2187
    @j.bjacobbasubi2187 ปีที่แล้ว +3

    Vraiment je veux être surpris si m23 il va gagner ou trouver cette ville d Goma parce que je pense que jusqu'à maintenant il y a beaucoup de sécurité parce qu'il y a beaucoup des soldats là

    • @confidence1766
      @confidence1766 ปีที่แล้ว +1

      Bro FRDC
      Is like rebels
      Then m23 is government soldier's

    • @williamruto36
      @williamruto36 ปีที่แล้ว

      Le M23 a une autre niveau de tactique moi je serai surpris si le FARDC resiste meme une seule journée devant le grand feu de M23,au par avant on pensait que le M23 sont comme des soldats qu'on voyait avant mais non maintenant cette rebellion a une formation tres elever que le FARDC

    • @marympaku1587
      @marympaku1587 ปีที่แล้ว +1

      @@williamruto36 c'est plutôt l ' armée Ruandaise entrener par les USA afin de mieux voler nos richesses.
      Mais sache que chaque chose à sa Fin.
      NOUS vaincrons tous les ennemis de la Nation KONGO.mboka bilaka NZAMBE.

  • @thomaszemanga3896
    @thomaszemanga3896 ปีที่แล้ว +2

    nous sommes fatigués de voir nos frères et soeur et nos maman comme ça seigneur Jésus Christ fait quelques choses pour nous tout ca a cause de nos mineures

    • @Allocoach
      @Allocoach ปีที่แล้ว

      Attend Jésus viendra faire à ta place.

    • @thomaszemanga3896
      @thomaszemanga3896 ปีที่แล้ว

      tu es Mal éduqué toi

    • @thomaszemanga3896
      @thomaszemanga3896 ปีที่แล้ว

      Oza finga ngai oza vraiment mal éduqué ofingi mutu ya suka ya vie n'a yo

    • @thomaszemanga3896
      @thomaszemanga3896 ปีที่แล้ว

      Okoteka jamais kofinga mutu na vie n'a yo ngai zoba au moment que je m'adresse même pas à toi ofingi mutu ya suka okotikalaka kofinga lisusu té

    • @thomaszemanga3896
      @thomaszemanga3896 ปีที่แล้ว

      @@Allocoach ofingi mutu ya suka okolapa kofinga batu n'a vie na yo

  • @bonneideepius9654
    @bonneideepius9654 ปีที่แล้ว

    Wa Congo Siku Tuta Amuwa Kuingia Rwanda Naku Pigana, Apo Adabu Ita Ingiya

  • @Sonia-334
    @Sonia-334 ปีที่แล้ว

    Kenyata huyu ambaye anaongeya kama mtoto mdogo ni rafiki yake n'a kagame

  • @confidence1766
    @confidence1766 ปีที่แล้ว +1

    M23 must be special force of DRC

  • @ChiroJaponais-ji4ux
    @ChiroJaponais-ji4ux ปีที่แล้ว

    Pm me p

  • @j.bjacobbasubi2187
    @j.bjacobbasubi2187 ปีที่แล้ว

    Watusi sio watu