Vinara wa azimio wasema hawatajiunga na serikali katika nafasi yeyote ilie itatolewa na serikali

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024
  • Kinara wa azimio wakiongozwa na kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka wanasema kamwe hawatajiunga na serikali katika nafasi yeyote ilie itatolewa na serikali kwao wakishikilia kuwa yeyote atakayechukua hatua hiyo ni binafsi wala sio msimamo wa muungano huo,msimamo alioshikilia Raila odinga japo unaendelea kuzua maswali makali kwa wananchi.
    #UpeoWaTV47
    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'
    About TV47
    'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES.
    __
    For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047.
    __
    Connect with us:
    Website: www.tv47.digital/
    Facebook: / tv47ke
    Twitter: / tv47news
    Instagram: / tv47ke
    TikTok: / tv47_ke
    Telegram: t.me/tv47_ke
    WhatsApp: 0797 047 047
    __

ความคิดเห็น • 6

  • @mmwaapamghambonyi7836
    @mmwaapamghambonyi7836 2 หลายเดือนก่อน

    Azimio bila Raila ,haendi mahali !!!!

  • @mourineongoi5502
    @mourineongoi5502 2 หลายเดือนก่อน

    Kwanza martha waliibia Raila 2007 but Raila bado alimchagua kuwa deputy wake

  • @YakubMohammed-b2q
    @YakubMohammed-b2q 2 หลายเดือนก่อน

    Ata karua akitoka amechangia nni ama macho kubwa tu ata kwake gichugu akuna kitu alileta kwa meza akwende kabisa

  • @HillaryKoech-pk2se
    @HillaryKoech-pk2se 2 หลายเดือนก่อน

    The Azimio orphans exit from Azimio coalition is long overdue... They should have left as early as yesterday... what are they waiting for????????

    • @WillisAli
      @WillisAli 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

  • @mourineongoi5502
    @mourineongoi5502 2 หลายเดือนก่อน

    Kwanza martha waliibia Raila 2007 but Raila bado alimchagua kuwa deputy wake