Jeshi la DRC laitaka Rwanda na waasi wa M23 kuondoka maeneo wanayokalia

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 251

  • @samsonnzisabira768
    @samsonnzisabira768 ปีที่แล้ว +7

    Jamani mbona jeshi la Kongo ni dhaifu sana,wapewe mshàhara wa kutosha na vifaa vya kutosha hata viatu vya kisasa ili waweze kupambana na maadui wao

  • @AngeKengesa-lx7sl
    @AngeKengesa-lx7sl หลายเดือนก่อน

    Mavi yenu Frdc, Mungu tusaidiye M23 karibu sana

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s 11 หลายเดือนก่อน

    Chanzo ni wazungu wa magharibi hakuna kingine hao Rwanda wanatumika na mabwana zao. Poleni sana wakongomani.

  • @chesadennis254
    @chesadennis254 ปีที่แล้ว +2

    Austere Malivika one love bro 🇰🇪

  • @musonirwatambuga8740
    @musonirwatambuga8740 ปีที่แล้ว

    VRAIMENT SEKULAA, MOBUTU, ALIKUFAA MWANAUME KABISAA, BILAA UBAGUZII BAPUMBAFFUU, MURUDIEE CAMEROUN, NA NIGERIA, NJOO KWENYEE MULITOKAAKAA

  • @mugabompumuro4238
    @mugabompumuro4238 ปีที่แล้ว +1

    Nazani njia ya masisi ilipatikana mon colonel

  • @peterkaburu885
    @peterkaburu885 ปีที่แล้ว +3

    Hongera KDF, halafu chunguzeni kanini nchi kubwa kama DRC inatishiwa na nchi ndogo kama Rwanda, something must be fishy

    • @maishacenter-eastafricatv3976
      @maishacenter-eastafricatv3976 ปีที่แล้ว

      KDF imefanya nini zaidi ya uoga?! Hakuna mwanajeshi anayeogopa kifo

    • @stanleynombwe4865
      @stanleynombwe4865 ปีที่แล้ว

      Serikali ya DRC ni dhaifu sana nidio maana vikundi vya uasi vinatamba vitakavyo

  • @SacréMabila
    @SacréMabila ปีที่แล้ว

    Courage nzambe abatela bino

  • @wakatv3704
    @wakatv3704 ปีที่แล้ว +1

    jeshi la congo ajirini vijana Na sio wazee

  • @kingzanika860
    @kingzanika860 ปีที่แล้ว +4

    Kazi jema m23 courage mingi Sana M23 bisou ❤❤❤❤❤❤

  • @kingzanika860
    @kingzanika860 ปีที่แล้ว

    Kazi jema m23 courage mingi Sana M23 bisou ❤❤❤❤❤❤ watoto wa Congo masisi Rushuru ❤❤❤❤

  • @aleximurwanashyaka4688
    @aleximurwanashyaka4688 ปีที่แล้ว +1

    Vizurisannnnnn ubarudishe kwenye batokeya

  • @bobyossa875
    @bobyossa875 11 หลายเดือนก่อน

    Na saa hii ma lory karibu ishirini na tano ime ingia bu'agana kwa supporti m23

  • @MmaroKessy
    @MmaroKessy 8 หลายเดือนก่อน

    Nasema enyi waasi kipimo Chenu kipo kwa damu yote muliomwaga Mungu si mwanadamu

  • @achillenamikomachilinlin1314
    @achillenamikomachilinlin1314 ปีที่แล้ว

    Na awa wa Kenya ni watu wabaya, munawapenda nao wanatumika ka M23, Na jeshi la DRC nikusema sema tu bila kutenda !!

  • @stephensandiko6049
    @stephensandiko6049 ปีที่แล้ว +1

    Najiuliza kuwa hao waasi hivi vitu wanavitoa wapi kama nyuma Yao akuna watu tena wakubwa

  • @INNOCENTMUKALENGE
    @INNOCENTMUKALENGE 8 หลายเดือนก่อน

    C'est avec une grande profonde douleur RDC restons soudé je suis à kolwezi

  • @ernestniyonsaba1592
    @ernestniyonsaba1592 ปีที่แล้ว +1

    Nyinyi wana habari, selekari ina wapa pesa ili mupashe habari za fanatism !!! Wamuwezi tangaza watusi wanawo cinjwa. Munge kuwa na haya mbele ya Mungu. Congo haitakuwa na Amani Kila wakati ina nyanyasa wanainshi. Hata ulimwengu utelemuke

    • @estajeanette7487
      @estajeanette7487 ปีที่แล้ว

      Funga matako yako. Kamata ndugu zako watusti na mwende kwenu. Munakuya kutulalamikia hapa congo njoo kwenu? Kuma weye.

    • @estajeanette7487
      @estajeanette7487 ปีที่แล้ว

      Funga matako yako. Kamata ndugu zako watusti na mwende kwenu. Munakuya kutulalamikia hapa congo njoo kwenu? Kuma weye.

  • @kwizerahashim6667
    @kwizerahashim6667 ปีที่แล้ว +1

    Jeshi la congo inava muchanganyiko

  • @sifatherese494
    @sifatherese494 ปีที่แล้ว +11

    Kwa sababu Gani jeshi la RDC linanalalamika sana kuliko kufanya kazi?

  • @valeramazani7607
    @valeramazani7607 ปีที่แล้ว

    Tunapenda sana kupata mahabari mbichi bravo FARC ,Bravo wazalendos

  • @musonirwatambuga8740
    @musonirwatambuga8740 ปีที่แล้ว

    WEYEE UTARUDISHAA, NANII WEYEE, MUNIIGERIA, CONGO NI UENUU, MWEYEE BANYANGUZII

  • @namirembedenise3393
    @namirembedenise3393 10 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂😂😂👂👂💪👍ukonanguvusaa na

  • @simonabedi2875
    @simonabedi2875 ปีที่แล้ว +2

    iyi njama ya wakuu wa serekali sijuwi itaisha lini adui wa kongo ni mkongo mwenyew ivi yanini kumdekeza adui muda wote kuongea pasipo kuonesha vitendo wasihishie kuongea serekali isitishe maongezi ihamue lolote lile bila kujali sheria za umoja wa mataifa ili wanusuru maisha ya raiya

  • @FrançoisSandel-t5z
    @FrançoisSandel-t5z ปีที่แล้ว

    Wazalendo musiitike bile byote munyarwanda atoke mu Congo njo tutajuaka bingine

  • @dixnoella6993
    @dixnoella6993 ปีที่แล้ว

    Ibibigoryi imana ya ihishe ubwenge kubera kumena smaraso atariho urubanza

  • @JulienGola-c2y
    @JulienGola-c2y 11 หลายเดือนก่อน

    merci wazalendu

  • @user-yg1fh3td3y
    @user-yg1fh3td3y ปีที่แล้ว

    Aca ❌❌kudanganya wa komanyoko FDLR na FARDC niwo wanawuwa wawo wa congoman wanasema kinyarwanda

  • @StivinMahanga
    @StivinMahanga 9 หลายเดือนก่อน

    Rwanda

  • @emanuelmselle637
    @emanuelmselle637 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu atusaidie

  • @SammyYakani
    @SammyYakani 17 วันที่ผ่านมา

    Na kongo tozalaka naba sonda te po bakota na rwanda

  • @jemjay1011
    @jemjay1011 ปีที่แล้ว +1

    Kwani Mara ngapi wamekuwa waki sema hivyo ….heti wahasi watoke … ni ujinga tu

  • @amrimavala9111
    @amrimavala9111 ปีที่แล้ว

    Kuna Sanaa zinafanyika juu ya huuu mgogoro wote wanajua nn kinafanyika.

  • @sylivialumbama4740
    @sylivialumbama4740 ปีที่แล้ว

    Yaaaa yaaaa yaaaa congo💪💪💪💪💪

  • @nzeyimanaambari9754
    @nzeyimanaambari9754 ปีที่แล้ว

    Wamarekani kwanini hawtaki congo na ulimwenguni kupatikane amani uingereza imeonyesha msimamo wao kuungamkono m,23

  • @moseskazungu1158
    @moseskazungu1158 ปีที่แล้ว

    Huyo nimusilamu nimewona sigida,kwambele yakikwa kwake,alama yakusali,.hikonanoma namajje la Uganda juwanapiga wanduguzawo wayisalamu,Hugo Beni Butembo,.

  • @BahatiPatian
    @BahatiPatian 8 หลายเดือนก่อน

    Ok courage

  • @Jeanbisimwa-r9h
    @Jeanbisimwa-r9h ปีที่แล้ว

    Afaire chisekedi le chichi etait bien preparait pour diviser le pay wa kongomani tuchanguwe indepanda mwe haya wayi fanya politique mu kongo

  • @musonirwatambuga8740
    @musonirwatambuga8740 ปีที่แล้ว

    WEYEE LT PUMBAFUU CONGO NIYAA NABAA YAKOOO AO NI INCHII UENUU, MWEYEE PEKEE UENUU BAMYANGALAAKATAA

  • @uwimbabaziesperance8478
    @uwimbabaziesperance8478 10 หลายเดือนก่อน

    Toweni kinywani mwenu Rwanda,shughulukieni congo yenu,mkishindwa vita mnaitaja Rwanda,hao mnao pigama nao ni wa Congo mani sii wanyarwanda,mukome kwa jina la Yesu,mnapigana na wa Congo wenu,kwa nini mnawakana?mtakoma.

  • @jacobcholkur7773
    @jacobcholkur7773 ปีที่แล้ว

    South Sudan si Kenya

  • @bbbuthee4
    @bbbuthee4 ปีที่แล้ว

    Uuuh Théâtre...Erega abanyarwanda twarasobanukiwe...hahise hakorwa na Filme documentaire!!!!?

  • @Karabashinakove
    @Karabashinakove 10 หลายเดือนก่อน

    Top

  • @umojaafrika2447
    @umojaafrika2447 ปีที่แล้ว

    Mbona jeshi la DRC halifanyi kazi lenyewe ??? Jeshi hilo linalalamika sana

  • @DavidBahati-ji5yw
    @DavidBahati-ji5yw 9 หลายเดือนก่อน

    Sisi tunaumia sana mioni kuwona m23 na rwanda wanaenderea kucinja wanawake na watoto mugongoni gavementi na iko inacunga mikataba ya kigali na wapi atujui kama ni kuogopa iyo jeshi wala ? .

  • @jacobcholkur7773
    @jacobcholkur7773 ปีที่แล้ว

    Tunaingia ndani.

  • @FelixJohn-n9n
    @FelixJohn-n9n 9 หลายเดือนก่อน

    Hayomateso.wanayopata
    Raia
    Wakongo.wanateseka.wakimbizi.kilasiku.sikumojahaowanaosababisha.wataulizwa.NAMUNGU

  • @BON357
    @BON357 ปีที่แล้ว

    Xaxa jexhi la congo linatafuta nni

  • @yuhi-ngo-3.14
    @yuhi-ngo-3.14 13 วันที่ผ่านมา

    M23❤

  • @novatidamian7236
    @novatidamian7236 ปีที่แล้ว

    Wakongo munachekesha Sana yani waasi munataka watoke ?? Kwani nyie ham and uwexo wa kuwapiga? Nende mpige Rwanda 🇷🇼 huko waliko today ndo M23 /RDF watarudi kwao Rwanda.

  • @Jeanbisimwa-r9h
    @Jeanbisimwa-r9h ปีที่แล้ว

    Ata locol dufense zina shinda jeshi la frdc

  • @abubakarngenzi3589
    @abubakarngenzi3589 ปีที่แล้ว +1

    EAC,..ina mupango wakuingiza m23,ndani ya goma angalisho sana

  • @mbombokiala-uk8bh
    @mbombokiala-uk8bh 4 หลายเดือนก่อน

    Kagame mutazongera

  • @ntagaransengiyumvaalbert3177
    @ntagaransengiyumvaalbert3177 ปีที่แล้ว +2

    Muko tayari kweli!!!

    • @Glowop300
      @Glowop300 ปีที่แล้ว

      We Rwandese acha kelele

    • @Namahoro94
      @Namahoro94 ปีที่แล้ว

      Tayali Tayali, mungu weee😂😂😂

  • @philemonkavutirwa9522
    @philemonkavutirwa9522 ปีที่แล้ว

    Mungu awasamehe

  • @solangedhesi7813
    @solangedhesi7813 ปีที่แล้ว

    Ata ituri watu wakona uwawa kila siku Mahali zenye fardc wapo daa uruma sana😢😢😢

  • @Jeanbisimwa-r9h
    @Jeanbisimwa-r9h ปีที่แล้ว

    Wazalendo mujitenge na bale ba fenea ya congo

  • @abdirizakibrahim1975
    @abdirizakibrahim1975 ปีที่แล้ว

    M23 ni wacongo wamezaliwa congo nashangaa wanasema wao ni wanyarwanda hapo ni kujaribu kudanganya watu mbona hamsemi kabila la watutsi wanavyouwawa congo bila hatia

  • @FloribertNakirutimana
    @FloribertNakirutimana 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu awalinde

  • @muhizisamuel4968
    @muhizisamuel4968 ปีที่แล้ว

    Hhhhhhhhhhhha Firdc Wana mudomotu ase watarudisha m23 kwenyeimetoka hamunauwezoyakuwarudishnyuma

  • @benedictmhina4819
    @benedictmhina4819 ปีที่แล้ว

    Wanajeshi wa congo wanafuga vitambi tu

  • @jeanclaudegasana8818
    @jeanclaudegasana8818 ปีที่แล้ว

    Manno ya bongo tu

  • @apolovhk5549
    @apolovhk5549 ปีที่แล้ว

    Shinda yake kivu na congo zima iko wadandes na qahutu nawa fanyakazi wahoo

  • @justinmutabazi7353
    @justinmutabazi7353 ปีที่แล้ว

    Hhhhhh ira Munaonekana kuwa Yani mko fonepoa kbsa

  • @florynkosimobalu3037
    @florynkosimobalu3037 ปีที่แล้ว +1

    Biso toboyi ba publication oyo toboyi toboyi toboyi botika biso kimya

  • @kitundakisose7477
    @kitundakisose7477 ปีที่แล้ว +1

    Ni ajabu kama serkali itaendelea kupoteza maeneo mengi zidi ya m23

  • @rukundoeric-rb5bk
    @rukundoeric-rb5bk ปีที่แล้ว

    Nyi muna nyanyaswa na FDR R zamani Kongo ilikuaka inshinzuri alakini tangu FDR R ifike Kongo hakuna amani Naha tuta kua nango ca msingi nikutoa awo wa nyarwanda wa FDRR Sasa FDRR nyi ambao muna nishinda histoire ni WA Kongo Mani kweli

  • @melvinsweed4763
    @melvinsweed4763 ปีที่แล้ว

    Wawuwaji ni FDLR na Mayimayi sio M23 !

  • @heraldloshi1864
    @heraldloshi1864 ปีที่แล้ว

    This is very unfair to the civilian population. M23,please ,completely put your guns down. Ni wananchi ndio wanao umia.Huo upanga utawageuka siku moja.Tukae kwa amani tafadhalini wenzetu.

  • @JeanKasongo-m8l
    @JeanKasongo-m8l 11 หลายเดือนก่อน

    Pole

  • @apolovhk5549
    @apolovhk5549 ปีที่แล้ว

    Karega wanaogeya uogo kwa kuogopa genocides ya wazaledu

  • @KimaraKihampala
    @KimaraKihampala 9 หลายเดือนก่อน

    Simuwa pige tusana hadi mufike rwanda

  • @alembeasukulu9849
    @alembeasukulu9849 ปีที่แล้ว

    Congo akuna jeshi.

    • @Davidruvuzandeko
      @Davidruvuzandeko 9 หลายเดือนก่อน

      Kama Congo hakuna jeshi, weye uwasaidiye basi.

  • @ruzigejustin7647
    @ruzigejustin7647 ปีที่แล้ว

    Nyinyi niwoga hamuwezi kabisa

  • @paulmurinda7478
    @paulmurinda7478 ปีที่แล้ว

    M 23 Rebell oyeeeee3e

  • @emmanuelamonique7308
    @emmanuelamonique7308 ปีที่แล้ว

    Shida ya Congo ni moja tu ubaguzi wamakabila kuanziya raisi kisekedi hata kwa wabunge niwakati sasa utawala wa kisekedi kuangushwe

    • @estajeanette7487
      @estajeanette7487 ปีที่แล้ว

      😂😂 endelea kulia we stupid Rwandais. We unaogea kama unaumwa matako wende ukaone dactari. Pumbafu. Unaongelia ukabila congo? Ama unasahahu wanyarwanda walivyo uwana 1994. Taja makabila ya congo yenye iliuwana kama nyie wanyarwanda muliuwana 1994. Munakuya kutulalamikia hapa congo njoo kwenu?

  • @bigenawelcome9923
    @bigenawelcome9923 8 วันที่ผ่านมา

    Tutwwapiga nyinyi wavuta bangi afrdc

  • @muhirendayisaba1377
    @muhirendayisaba1377 ปีที่แล้ว +1

    M23 want peace in Congo that’s all

  • @bobyossa875
    @bobyossa875 11 หลายเดือนก่อน

    Sasa ninyi fardc munasema tu kwa midomo. tunataka tuone action siyo maongezi!!!!

  • @FrbasileMuana
    @FrbasileMuana 9 หลายเดือนก่อน

    Vraiment

  • @DavidWanzambe
    @DavidWanzambe 8 หลายเดือนก่อน

    Actoalite bu jour

  • @apolovhk5549
    @apolovhk5549 ปีที่แล้ว

    Kadi Jamaa M23

  • @6pr_man
    @6pr_man ปีที่แล้ว +1

    M23 ina leya sana raiya

    • @samsonnzisabira768
      @samsonnzisabira768 ปีที่แล้ว

      Una maana gani ukisema" Ina Leya" inajali/inapenda au?

    • @6pr_man
      @6pr_man ปีที่แล้ว

      @@samsonnzisabira768 ina uruma sana,na raiya apa bunagana wakati fardc tuliteseka sana na kuibiwa

  • @Gasore-b6d
    @Gasore-b6d 9 หลายเดือนก่อน

    👍👍👍👍👍❤️❤️❤️❤️

  • @DavidBahati-ji5yw
    @DavidBahati-ji5yw 9 หลายเดือนก่อน

    Gavumenti ya RDC inajua mipango ya adui bien bien nini? Sasa Monusco (Amérique ) itadanganya RDC mpaka siku gani mutambue?.kusimamisha operesheni za Monusco munashindwa na nini wala munapendezewa na vifo ya wakongomani na uporaji, mipaka yiko wazi mais Burundi imefunga kwao sasa Gavumenti ya Congo ni kuraramika tuu wanyarwanda wiko wanawaceka kbs bas niseme nini Mungu tu.

  • @veroniquelukama1272
    @veroniquelukama1272 ปีที่แล้ว

    Balongua.ooo.nzambeasalisa
    Bisso

  • @EmileEleve
    @EmileEleve 11 หลายเดือนก่อน

    Bukobaduru basodayetu mukwalombaruhusambeleyakupigana mulishatawaliwanawazungu

  • @alphakasela2627
    @alphakasela2627 ปีที่แล้ว +1

    Sa muko tayari kwa nini muna omgeya tena

  • @shaameshaame9721
    @shaameshaame9721 ปีที่แล้ว

    kila siku wanalalamika tu huku wanaoumia ni wananchi

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s 11 หลายเดือนก่อน

    Weka WAGNA hapo kazi iishe mapema achana na waswahili blablaa nyingi

  • @gatojeandedieu
    @gatojeandedieu ปีที่แล้ว

    Kweli tuna taka usalama

  • @mwigakatumpula5695
    @mwigakatumpula5695 ปีที่แล้ว

    Huo ni uongo bana hakuna kitu apo hao wanao hojiwa ni wa kupanga😄😄

  • @jumamsukwa6244
    @jumamsukwa6244 ปีที่แล้ว

    Mbona kama munawaogopa sitori kila siku kama nguvu hamuna mutoke two

  • @rugendorunene545
    @rugendorunene545 ปีที่แล้ว

    So sad that Rwanda and Uganda are allowed to rec havoc on innocent Congolese civilians... But as well the Congolese Army is not Efficient Either!

  • @alphadee9021
    @alphadee9021 ปีที่แล้ว

    As long as FDLR still exist in DRC there will be no peace.

    • @maishacenter-eastafricatv3976
      @maishacenter-eastafricatv3976 ปีที่แล้ว

      Reka itabi

    • @alphadee9021
      @alphadee9021 ปีที่แล้ว

      @@maishacenter-eastafricatv3976 Ubanza urumogi rwarinjiye mubwonko bwawe. Reka urumogi we sha.

    • @antutimothee8819
      @antutimothee8819 ปีที่แล้ว

      You will never back to Rwanda, you'll die as soon as possible, you have so 5 hours of life, after that you'll be shooted. Rest In Peace

    • @alphadee9021
      @alphadee9021 ปีที่แล้ว

      @@maishacenter-eastafricatv3976 Nonese ko hashize iminsi mbikubwiye. urabona m23 itarabakuvbise ishuro

  • @unitytzdar9553
    @unitytzdar9553 ปีที่แล้ว +2

    Afrika ni shida sana.
    Hivi kweli, ilishindikana wakuu wa nchi kukaa pamoja wakaangalia chanzo cha tatizo na kutafuta suluhu ? Hiv kweli Afrika inajifanya kusahahu kwamba matatizo yalianzia kwenye mkutano wa Berlin - Wazungu waliopoigawa Afrika kwa mipaka yao waliyotaka wenyewe ? Ardhi ya Rwanda ilikatwa na kupelekwa Zaire na likawa koloni rasmi/binafsi la Mbelgiji na pakaitwa Congo-Belgium ( 1884-85 ). Tokea hapo hizo nchi hazijawahi pata itulivu.
    Viongozi wenye hekima wakae waagalie namna ya kutatua jambo hili kwa kuangalia mwanzo wa shida

  • @gadsonndato2941
    @gadsonndato2941 ปีที่แล้ว

    Hii vita viongozi wa kubwa wanajua inakotokea sema wanaoumia ni wananchi yani watu mnajua waliko afu mnawaacha ili wawe na nchi yao ya M23

  • @moseskazungu1158
    @moseskazungu1158 ปีที่แล้ว

    Mungali munataka vita majjesi,wa Congo wanataka nini.yunimujinga sana,sasa majjesi ya Uganda 🇺🇬, yikowapi ,mara ya Rwanda 🇷🇼, Mara,warudikwawo ,majjesi ya Uganda yiko kwa Congo, walikubaliyana ,na,Congo wa,,majjesi wa Congo, na Uganda 🇺🇬 wafanya pamoja ,wako Beni na Butembo,,wana pigana vizuri sana na ADF ALHAH DEFENCE FORCE, wamewasambulia mbalisana ,watu wamewanza kufanya kazizawo kamakawayida,mujinga amesema majjesi ya Rwanda, Na Uganda, wuyu wanafanyiya Wazungu, juhapo kukomalinyingi ,wanamutuma azungumuze havi,watu wakyukiye waganda,yiho ni Poropaganda,yawa Congo sizuri,!!

    • @estajeanette7487
      @estajeanette7487 ปีที่แล้ว

      We jifunze kuandika kwanza ndio tukuelewe.

  • @SamsonLee-c6k
    @SamsonLee-c6k ปีที่แล้ว

    Okay

  • @Jeanbisimwa-r9h
    @Jeanbisimwa-r9h ปีที่แล้ว

    Bucimbi yenu inamaliza raiya