ASKOFU MWANAMAPINDUZI KWA UCHUNGU "RAIS HAJAANDIKA ILE HOTUBA KAANDIKIWA/KAWAVUNJA MOYO WAFIWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
  • ASKOFU MWANAMAPINDUZI KWA UCHUNGU "RAIS HAJAANDIKA ILE HOTUBA KAANDIKIWA/KAWAVUNJA MOYO WAFIWA
    🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
    🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
    🔘WhatsApp (+255 692 318213)
    🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
    🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...

ความคิดเห็น • 47

  • @Maria-cx4kn
    @Maria-cx4kn 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Ongea mtumishi wa mungu unamuwakilisha mungu. Mungu anawapenda watenda haki na watetea haki hivyo anatumia watu kama wewe kumwakilishia yeye haoa duniani. Usivunjike moyo mtumishi watu wengi wanakuarlewa. Keep it up.

  • @abelluhende1422
    @abelluhende1422 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Maneno ya hekima ila kwa wapumbavu na mamluki wa kushangilia ujinga tu ndiyo wataona unachoongea si sahihi.

  • @happymrema7487
    @happymrema7487 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Ngoj mimi nikasikilize zang hotuba za makofuli

  • @taturajabukhalfani7953
    @taturajabukhalfani7953 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Kuna kichambo na hotuba kile ni kichambo

  • @aronimanirakiza5655
    @aronimanirakiza5655 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Asante. Sana. Mwanamapinduzi mungu Akurinde. Na Akubariki

  • @AllyIkanga
    @AllyIkanga 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mungu hamtupimtuwake

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Kusema kweli nampenda rais wangu ila huyo aliyemwandikia hiyo hotuba mmmmmh!!!

    • @chusseboywcb2808
      @chusseboywcb2808 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Unampenda kwalipi

    • @nurumohammed1310
      @nurumohammed1310 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@chusseboywcb2808unafiki tuh

  • @goodluckstephanmasige3450
    @goodluckstephanmasige3450 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Hata kama kaandikiwa kwani hana uwezo wa kupambanua mambo.

  • @HamisiMakasara-hb3nt
    @HamisiMakasara-hb3nt 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mchungaji leo mbona umebadilika hivyo? Naona ukweli umeshauona !!!

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    MAKURUKUTABU! DAAA MSAMIATI MKALI.😊😊😊

    • @TuhabarishaneTv
      @TuhabarishaneTv 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mahulukutabu

  • @yilodhasunga3967
    @yilodhasunga3967 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Haswaaaa

  • @SaidAlly-uh4qw
    @SaidAlly-uh4qw 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    We sio mtumishi wa mungu ni mtumishi wa mbowe

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Pumbavu akili imssinzia. Pole sana.

    • @nurumohammed1310
      @nurumohammed1310 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mtumishi wa babako

    • @zeelamipango
      @zeelamipango ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Tena katawaze macho ulale kenge ww

  • @MwidinhalunabuchwaBuchwa
    @MwidinhalunabuchwaBuchwa 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wew sio mchungaji ni mwanasiasa tena mpinzani usijifiche kwenye uaskofu acha uaskofu uingie kwenye jukwaa tuone kama utaweza

    • @nurumohammed1310
      @nurumohammed1310 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hahahahaaaa pole weee

    • @neemanziku5403
      @neemanziku5403 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Kama Ni mwanasiasa We unatakaje sasa

  • @JumanneRamadhan-pg8qm
    @JumanneRamadhan-pg8qm 47 นาทีที่ผ่านมา

    Mwandishi tafuta watu wa maana wa kuongelea mambo sio huyo mganga njaa kwa mbowe

  • @swailarashid
    @swailarashid 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Aliekwambia mama yetu ana muda wa kuandika khotba naniii

    • @nurumohammed1310
      @nurumohammed1310 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hahahahaaaa langu cheko tuh

  • @verdianabanabi2205
    @verdianabanabi2205 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mhhh

  • @hassanmchwanga-dg9zr
    @hassanmchwanga-dg9zr 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mtumishi una njaa

    • @neemanziku5403
      @neemanziku5403 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mpe chakula ale

  • @Queen-be1uf
    @Queen-be1uf 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Samia kalikoroga juzi. Ovyo kabisa. Eti watu wanauliwa duniani kote, kwa hiyo? Ndo sawa? Ulaya yakitokea mauaji muuaji anakamatwa na viongozi wanajiuzulu kwa aibu ya kushindwa kufanya kazi. Tanzania kutaanguka machafuko . Na yatasababishwa na CCM kwa uchu wa madaraka na ung'ang'anizi wa uongozi. Hamutakiwi mmechokwa

  • @mussamapesa8863
    @mussamapesa8863 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Si ukaongoze kanisa mambo ya siasa hayakuhusu ni husda tu kwa kua mama ni muislamu

    • @lovenessvisent9408
      @lovenessvisent9408 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

      Siasa inamhusu kiila raia acha ujinga

    • @NtamamiloGibson
      @NtamamiloGibson 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      Sisi wanasiasa tunaenda Kanisani wewe kama hauendi kakojoe ulale mamae.

    • @SaugoNdemo-tx4le
      @SaugoNdemo-tx4le 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      @@lovenessvisent9408 TATIZO LAKE HUYO UTOTO!

    • @Maria-cx4kn
      @Maria-cx4kn 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      Jamani acheni kuchochea udini. Mnafaidika jini kwani?

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Mama anazingua hakuna ni muislam au mnani anazingua atupishe

  • @mashakabundala9955
    @mashakabundala9955 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kafundishe kondoo wewe mchungaji siasa haikuhusu mamruki wee

    • @nicksonjk8479
      @nicksonjk8479 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Nanyie wanasiasa kanisani na msikitini hua mnafwata nini??

    • @Maria-cx4kn
      @Maria-cx4kn 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Hata yeye ni raia wa nchi hii Kama wengine na ana haki ya kutoa mawazo yake Kama wengine wote.
      Challenge mawazo au maoni yake kama unalo la kusema lakini siyo haki yake ya msingi

    • @Maria-cx4kn
      @Maria-cx4kn 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      ⁠@@nicksonjk8479kwani yeye ssiyo raia wa nchi hii? We maisha haya hayawahusu?

    • @ElishaLaizer-d8s
      @ElishaLaizer-d8s 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hakuna mtu ambayo haishi kwjli siasa

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mtu wenu..viatu vinampwaya….hovyoooo