YOUNG AFRICANS ITAANZA UJENZI WA UWANJA JANGWANI! RAIS HERSI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 53

  • @amanigohagi-h7h
    @amanigohagi-h7h 9 หลายเดือนก่อน +15

    Hakika hili litakuwa jambo jema sana Rais wetu👏👏👏

  • @OS-pf6op
    @OS-pf6op 9 หลายเดือนก่อน +7

    Go president go, there is no stopping to our development 🖤💚💛

  • @fatmasuleiman3885
    @fatmasuleiman3885 9 หลายเดือนก่อน +5

    In sha A llah mjitahidi tunatamani uwanja wetu urudi kauda Enzi zile mpaka 1993 nakuendele ulikuwapo mpaka 1995

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akujalie Rais wetu pamoja na Viongozi wengine wote ili mfanikishe hili

  • @kelvinimunishi3334
    @kelvinimunishi3334 9 หลายเดือนก่อน +6

    President Hersi 🔥🥰🥰

  • @PhyinaElias-mu4wf
    @PhyinaElias-mu4wf 9 หลายเดือนก่อน +13

    Oya yanga raha kama inakukera jichimbie shimo ujizike wananchiiiiiii 💚✨💚✨💚✨#Daimambelenyumamwiko

    • @CodeWithCrescent
      @CodeWithCrescent 9 หลายเดือนก่อน

      Raha ya kutolewa mapinduzi cup😆😆

    • @amaniomar1755
      @amaniomar1755 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@CodeWithCrescentPole Dunduka huna ukielewacho

    • @PhyinaElias-mu4wf
      @PhyinaElias-mu4wf 9 หลายเดือนก่อน

      @@CodeWithCrescent dunduka FC a k a kolo qunii umefuata nn huku,,kwenye TH-cam channel yenu hamn mamb mazuri ni mateso mateso mateso

    • @PhyinaElias-mu4wf
      @PhyinaElias-mu4wf 9 หลายเดือนก่อน

      @@CodeWithCrescent kombe lenyew nuks

    • @PhyinaElias-mu4wf
      @PhyinaElias-mu4wf 9 หลายเดือนก่อน

      @@CodeWithCrescent dunduka FC a k a kolo Qunini umefuata nn huku??,,,kwenye TH-cam channel yenu hamn mamb mazuri ni mateso mateso mateso,unakuja kujifariji huku mjukuu wa mangungu wewe

  • @AlmachNestory
    @AlmachNestory 9 หลายเดือนก่อน +9

    Mungu awape viongozi wetu uwezo wa kusema na kutenda kwa wakati na kwa usahihi.

  • @luganomwaisumo1938
    @luganomwaisumo1938 9 หลายเดือนก่อน +7

    Way to go Mr president

  • @febroniamsoma178
    @febroniamsoma178 9 หลายเดือนก่อน +9

    Mungu awe nasi

  • @furahamoja6582
    @furahamoja6582 9 หลายเดือนก่อน +1

    Asante raisi wetu wa yanga

  • @dvj_don
    @dvj_don 9 หลายเดือนก่อน +1

    Good luck mr president @ engineer hers 🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰

  • @nicromezb
    @nicromezb 9 หลายเดือนก่อน +3

    Niceee

  • @MohamehmMungutwa
    @MohamehmMungutwa 9 หลายเดือนก่อน

    Way to go, Inshaallah

  • @StevenKusajah-jf5ep
    @StevenKusajah-jf5ep 9 หลายเดือนก่อน +1

    Tunakutakia utekelezaji mwema daima mbele

  • @mwanasitiidd8253
    @mwanasitiidd8253 9 หลายเดือนก่อน +11

    raisi mweye ndoto zakuipeleka hiiclab mbali na tutafika

  • @Vaftmedia
    @Vaftmedia 9 หลายเดือนก่อน +5

  • @BarakaMeliyo-k7n
    @BarakaMeliyo-k7n 9 หลายเดือนก่อน +1

    Good

  • @RayMnyambwa
    @RayMnyambwa 9 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu ni kiongozi haswa

  • @ShakiraMasoud-ox5tj
    @ShakiraMasoud-ox5tj 9 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana boss enengeer

  • @mussamgaza8312
    @mussamgaza8312 9 หลายเดือนก่อน +11

    Kiongozi makini anakupa maelezo uenye fact ndani yake

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 9 หลายเดือนก่อน +2

    President anafanya research zake vyema

  • @SuzankhanKhan-w5q
    @SuzankhanKhan-w5q 9 หลายเดือนก่อน +1

    🙏🙏

  • @kazillos.malunde6033
    @kazillos.malunde6033 9 หลายเดือนก่อน +1

    💚💚💚💚💚👋👋👋👋👋💪💪💪💪💪

  • @stanwambura3451
    @stanwambura3451 9 หลายเดือนก่อน +3

    Apa tunaelewana mainjiania tuu😅😅😅😅😅😅wengine mtulie ntawafafanulia badae

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 9 หลายเดือนก่อน +2

      Kaka kumuelewa Eng Hersi mbona haitaji elimu 😂😂😂 madunduka yenyew yanamuelewa .....
      Juzi juzi juzi tu walikuwa wanasema mangungu ,try again , moamed , dalali kwa umri wao na uzoefu wao wanashindwa na mtoto mdogo yuleee😂😂😂 alisikika dunduka mmoja akifoka Kisha akamalizia hiv Hebu nendeni kwa eng Hersi kajifunze kuendesha timu tuache ubabaishaji 😂😂😂

  • @amanimustapha2089
    @amanimustapha2089 9 หลายเดือนก่อน +2

    Utopolo hamuwezi kujenga uwanja nyie mshazoea kudanganywa kuku nyie

    • @simonnjovu586
      @simonnjovu586 9 หลายเดือนก่อน +1

      Nadhani wewe ndio kuku, ungesubiri kama mradi utatekelezwa au la siyo kurukia tu mipango ya watu. 😏

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 9 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂 mtani punguza kelele... Boss wa mpira anazungumza mwambie mangungu na try again boss wa vilabu Africa anatoa seminar elekezi w wachukue note book kalamu watazikuta 😂😂😂

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 9 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂 Kwan mangungu au try again walokuleteeni manzoki kwenye mkutano mkuu Kisha uwanjani unamkuta sawadogo 😂😂😂 ?? ?? Nafikir mtani tafsiri ya neno uwongo umelipata kupitia kamusi ya mkutano mkuu wa madunduka ..... 😅😅😅

    • @EliaMkumbo-wn7bm
      @EliaMkumbo-wn7bm 9 หลายเดือนก่อน +2

      Dunduka ni lidunduka tu halina akili hili

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 9 หลายเดือนก่อน +2

      @@EliaMkumbo-wn7bm anaji zima data .... Huko aliko ana kalamu na diary ana note nondo za rais wa vilabu vyote Africa

  • @mkomagimafwiri5671
    @mkomagimafwiri5671 9 หลายเดือนก่อน

    Kwani nyie makolo mnao uwanja au ndo ule wa kule bunju ndo mlidanganywa kwamba Ni wa kwenu kumbe wa jamaa

  • @CodeWithCrescent
    @CodeWithCrescent 9 หลายเดือนก่อน +3

    Mlivowajinga mtasema ni ukweli huu😂😂

    • @FirdausyAbubakary-bl2wo
      @FirdausyAbubakary-bl2wo 9 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂ahsantee kwa kutufuatilia wananchi Naamini unatupata tena kwa Kasi ya 5G!!😂😂😂..Yaani Engineer huongea kama masikhara ila Utaona Matokeo yake na inshaAllah itakua na wewe Aduwwa Allah ayarejeshe kwako mabaya yoote unayotuwazia

    • @amaniomar1755
      @amaniomar1755 9 หลายเดือนก่อน +1

      ​​@@FirdausyAbubakary-bl2wohabari anazo huyu Dunduka

    • @lucianaligambasi
      @lucianaligambasi 9 หลายเดือนก่อน +1

      5G😂

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 9 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂 nakukumbusha tu kwenye moja ya ahadi zake eng Hersi
      1. Kurudisha ufalme wa yanga tz bara nahisi kwa miaka 2 hii majibu unayo
      2. Kufanya vzr kwenye mashindano ya kimataifa nafikiri - kuanzia last season kimataifa majibu unayo
      3.Kurudisha zile goli 5 - nafikiria mabango ya 5G umekutana nayo
      4. Ujenzi wa uwanja - nafikiria ndo unachoomba kisitokeee 😂😂
      5. Ubingwa wa Africa - kwenye akili yako Kuna kitu kinakwambia ila kwa udunduka tu una amua kubishana na akili yako inakwambia kwa usajili wanofanya wataweza hawa ila kwa udunduka unasema hawawez
      NB : Manzoki aliletwa kwenye mkutano mkuu Kisha viongozi wenu wakachagua kumleta sawadogo kiwanjaniii 😅😅😅 ... Halaf mseme mangungu mnamtaka ?? Mkifungwa mnaanza kukumbuka nyimbo zetu kuhusu mangungu 😅😅😅

    • @EliaMkumbo-wn7bm
      @EliaMkumbo-wn7bm 9 หลายเดือนก่อน

      Dunduka bana Heris siyo kama mangungu anawaahidi manzoki