ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Mm.sielewei kwnn yanga walimwacha Guede.Jamaa alikuwa anamwendelezo mzuri tu kwny ufungaji
Wakwanza leo like hapa Huyu ni zaidi ya Mayele 💯💯💯💯
Bayo hamna kitu hapo, Musonda ni bora sana kuliko bayo
Yule Guede alikuwa kwenye form cjui mulipatwa nini 😂😂😂😂😂 mpaka leo mzee hamuogopi dude hata goli moja limemshinda
Ubaya ubwela utawaingia mwaka huu 🦁🦁🦁
Hapa hamna kitu Bora abaki Musonda tu
Wananchi mmpo lakini eee hayaa yanga Africans oyeee oyeee hayaa Twendeee kazi wananchi
Wamefungiwaa😂😂😂 wanasajili kupitia wapi
Achana na propaganda za bongo
Kamuulize mama yako
@@hassanrashid-l3u mamangu anahusikaje ma kufungiwa yanga…ww katafute maisha uache makasiriko bila sababu
Pole bibie
Hakuna kitu unachojua afu acha kucheka cheka hovyo sio tabia nzuri
Kwn wamefunguliwa lini kusajili na vp ile kesi ya Okra???
Utopolo a.k.a vyura maarufu kama gongowazi au kandambili WAMEFUNGIWA!
Wachezaji wengi halafu hawachezi kunafaida GANI?
Msondo Ananda azam
Hakuna mchezaji hapo mumetupinga changa la macho umefeli sana hapo
Kwani umetoa bei gani tuliza mshono 1:53
Taratiiiiibu pameanza kuchangamka😂😂😂
Yanga wanahangaika sana mpaka wanakosa mvuto😢😢
Tuliza mshono
Kwny kufuzu afcon sijamuona, nachojua mshambuliaj machachal Uganda ni logers mato.
Mara wamefungiwa tuelew nn sasa
Tunataka m.badala wa yaokwasi
Yanga nyie endeleeni kunya tu😂😂😂
Hapo baleke bye bye 😂😂
Musonda bado anahitajika
Guede huyo mwingine 😂😂😂😂😂
Kafungiwa anasajili kucheza mazoez avic
mazoez hata wew unaweza kwenda kucheza na ukiwa bado haujasajiliwa na club yyt
Hamna mchezaji hapo yanga msituvuruge bc hamna kitu hana tofauti na konkon huyo au guede
Tusianze kuwaraumu viongozi tulia kwanza kama kaja na aucho Ana timu wanapiga mazoezi tu tunauwakika gani?
Kwani ukitulia kwanza utalipa Shilingi ngapi? Wabongo bhana!!!
Guede alikuwa striker mzuri ila ndo hivyo tu
Wewe si yule mwana msimbazi pale,mbona nakujua vizuri tu 😂
Hebu tutulieni kwanza
Na haitwi Msomda anaitwa Musonda
Sawa
Sasa Msonda amekaliaje kuti kavu wakati mwalimu mpya bado hajawaona wachezaji wote wa safu ya ushambuliaji.
Umewasahau makanjanja??!! anaripoti kilichoko moyoni mwake na ushabiki!!!
MTANI HAPA UNAFELI SASA
Huyu mwamba atar Kuna siku alifunga had kamba za viatu nyie subirn tu miguu na nyasi zitaongea huyu ni lwandosk mtupu wazee
Mm.sielewei kwnn yanga walimwacha Guede.
Jamaa alikuwa anamwendelezo mzuri tu kwny ufungaji
Wakwanza leo like hapa
Huyu ni zaidi ya Mayele 💯💯💯💯