@@dclassiclapuluga431 English au kingereza ni lugha ya kimataifa ndo maana inafundishwa mashuleni...kama umeamua kusomea uandishi wa habari ujue kuna siku utakutana na asiejua kiswahili....nnachotaka kusema ni kujifunza lugha ya kingereza ili uongee kwa ufasaha usiabike au usiaibishe taaluma...kama hujui afadhali usimhoji asiejua kiswahili...ni maoni yangu tu!!!
Florent Ibenge anamjua Max vizuri sana
Huyo kijana wa Burundi anaongea Kiswahili safi kuliko wakenya
Home sweet home mtoto wa nyumbani huyo claude msauza
Ukweli ndio huo Max ndio mchezaji anaejituma sana kuliko wote hapo yamga
Mbona anafanana na ateba wa simba
Naimani mtaona kama tupo vizuri😂😂😂😂 utopolo watsona
Kiswahili hoyeee
Mnapigwa nyingi tu
anaongea vizur Sana kijana wakwanza
Mwandishi mjinga sana ligi wanacheza mauritania
Si ndo hapa waandishi wa michezo bongo cheche sana skuizi hawajui vitu na wanaojua vitu hawafanyi mahojiano hivi wako studio wanachambua ujinga 😅
Makolo mmekosa cha kufanya zaidi ya fitna fitna
Kwa maxi tunaenda pamoja
Wandishi wa bongo eti which player jamani . Who whom ,whose
Kiingereza si lugha yetu. Kikubwa kaeleweka
Ni ivo ivo " which player"😅😅
Which player ndio sahihi kaka msikremu English sio kiziguaa
Nimependa sana wanavyoongea
Nishanunua jezi yenu nitavaa sisapoti nyuma mwiko
Yanga haitaki sapoti yako
Mtangazaji kingereza ndo shida akaona amchukue mburundi amuoji
duuuuu ww uyo 😅😅
Itakuwa bando lilikuishia haukusikiliza interview mpaka mwisho
Ww umeona kingeleza ndio dili sana
We huyu mwanang nmepiga nae skuli ya gari la njano ung’eng’e upo mwingi humoo
@ShabaniJuma-u4e wanao jua ni dili ndio maana tunalipwa kwa 💵 dollar
Awa tutawapiga gool 7
Kama umeshindwa kufunga goli 7 ligi yetu hapa ndo uwafunge hawa 7 😂😂😂 unaumwa
@Peter-fy3gf it's not your businesses kwani nyinyi madunduka mnashida gani lani
@@AllySule-t9g Aisahidii kitu hiyo wewe humfungi Al Hilal
@@AllySule-t9g Tunakuandaa kisaikolijia kwaajili ya Mkando mwingine
Kingereza cha waandishi wa wabongo ni aibu tu!!....wapo wanaokijua lakini wengine mmh!! Mungu asaidie maana ni aibu🙄
Haibu ya nn sasa wakati uongei we w alafu iyo ni lugha tu kama unavyongea kishwaili
Asa aibu ya nni mbona wao wakiongea kiswahili ni aibu
@@dclassiclapuluga431 English au kingereza ni lugha ya kimataifa ndo maana inafundishwa mashuleni...kama umeamua kusomea uandishi wa habari ujue kuna siku utakutana na asiejua kiswahili....nnachotaka kusema ni kujifunza lugha ya kingereza ili uongee kwa ufasaha usiabike au usiaibishe taaluma...kama hujui afadhali usimhoji asiejua kiswahili...ni maoni yangu tu!!!
Ao wote hamna kitu 😂😂😂 brother uyo pakome na k wamesha zeeka juzi tu wamekaangwa na tabora 🤣
Kama nyie mlivokaangwa na yanga mara nne mfululizo jamani
Jichanganye kenge WEWE SUBIRI uone mziki
Kweli wamezeeka ndomana huwa wanawapelekea moto mara ya 4 hii mfululizo
Wanaume wanafocas na Champions league wew ni mdomo tu
Makasiriko na matusi ya nini toplooo 🐸🤣🤣😏😏
UBAYA UBWELA 😂😂😂TUPO PAMOJA LAZIMA MUONDOKE NA ALAMA TATU ZA UGENINI AL HILAL 😂😂
Tutashona midomo Hadi makolo