Tatizo as hatumuamin mungu hata Kama tunamuamin na tukimuamin hatumuombi na tukimuomba tunamuomba kimashakashaka hatuna uhakika Kama atatupa ila tunajisahau tunaona Kama binaadam wenzetu ndo wanaotoa rizki kumbe anaetoa rizki Ni mungu na ukimuomba kwa Nia safi atakupa ila atakupa kwa wakat uliomuomba au anaweza akakucheleweshea ila hatuna subra tunataka haraka haraka
Big up sana broo @Davista unajua unatufungulia vitu ving sisi vijana, hakik n jambo la kukushkur sana, vijna weng tunatfuta Slope ambayo kwa namn nyingne c jambo sahihi, TUPIGENI KAZI VIJANA
Yan dav we n wa another level kabsa yan unaulza maswal ya point sana ambayo watazamaji tunaenjoy na kuelewa kabsa we love u so much endelea kutupa burudan brother 😘🙏
Kumbe wanaotafuta utajiri kwa njia hii ni wengi ila waliojitokeza ni wachache,inaelekea watu kibao wametolewa misukule na ndugu zao sema tu misiba ikitokea tunalia tunazika tunasahu ,
Makete Nigeria ya Tanzania, kuna msitu unaitwa nyumba nyitu hatari sana. Tembelea you tube channel ya christina francis kuangalia wimbo mzuri wa injili Niko huru kwa damu ya Yesu. Karibuni sana
Hii itaendelea zishakuwa story nyng mpk zina2changanya yaani bora ungemalizia story moja 1 kwanza kabla ya kuleta zingineee half uschelewe kuweka mwendelezo cz nyingn 2naziwacha njiani half pia zikija zinakuja na kichwa cha heading tofauti na heading ya mwanzo ya story hucka..
@@DavistarMataMediaDM Davistar hongera sana kwa kazi mzee baba... Naomba epsod ya pili umuulize jamaa.. Mbona rafiki yake alimpa siri mapema sana? Sababu ninavyojua wengi huwa wanakuwa wagumu sana kusema ukweli huo coz sio vitu vzr kwenye macho ya wengi. Asante.
Tatizo as hatumuamin mungu hata Kama tunamuamin na tukimuamin hatumuombi na tukimuomba tunamuomba kimashakashaka hatuna uhakika Kama atatupa ila tunajisahau tunaona Kama binaadam wenzetu ndo wanaotoa rizki kumbe anaetoa rizki Ni mungu na ukimuomba kwa Nia safi atakupa ila atakupa kwa wakat uliomuomba au anaweza akakucheleweshea ila hatuna subra tunataka haraka haraka
Umeniguza
Kweli kabisa Mungu wetu nimwaminifu na ukiomba kwa kumaanisha na kuamini atakutendea
Big up sana broo @Davista unajua unatufungulia vitu ving sisi vijana, hakik n jambo la kukushkur sana, vijna weng tunatfuta Slope ambayo kwa namn nyingne c jambo sahihi,
TUPIGENI KAZI VIJANA
Kaka davistar nakupenda Sana
Yan dav we n wa another level kabsa yan unaulza maswal ya point sana ambayo watazamaji tunaenjoy na kuelewa kabsa we love u so much endelea kutupa burudan brother 😘🙏
Sio burudani tujifunze
Shukrani kwa simulizi.
Unauliza sanaa ila unajitahid ungemuachia mtu aongee
Davistar Asante kwa story hizi tunajifunza mengi sanaaaa kupitia wew
Pole sana
Mr facts... nakukbali sanaaaaa
Davistar Tuko pamoja ❤❤
Makete oyeee😂😂😂
Watu w #Makete_Mapembelooooo
Nawaheshimu thana wakina Sanga
Dah broo nakukubali sana unatuletea story za ukweli!
Story zako nzuri sana,sema unachukuwa mada Kuleta muendelezo kwa hao wanaosimulia.
Mimi ndo maaana waga nasubiri hadi zikamilike ndo nasikiliza maaana kusubiria waga inauma
Once again DM ,uko vizuri bro..
Kumbe wanaotafuta utajiri kwa njia hii ni wengi ila waliojitokeza ni wachache,inaelekea watu kibao wametolewa misukule na ndugu zao sema tu misiba ikitokea tunalia tunazika tunasahu ,
Ndiyo maana Gwajima anahubiri habari wa misukule, anaposema anarudisha waliochukuliwa mazingira tata ndo km hivyo
Shetani alikuja kuiba kuharibu na kua naye yesu usima tele🙏🙏 mungu aturehemu
Mr Mata ❤️❤️ Tupo pamoja kaka
Pesa za mwendo kas
Simulizi zotee nazo sikia wasimuliaji huwa hawasemi uko kwa Waganga wanatoa pesa kiasi gani?
Kazi yako nzuri Sana braza
hey Davy keep it up,story zako zatia moyo.nivizuri kumtengemea mungu
Asante yesu kwakunifanya nisiwe natamaa ya utajili
Good story bro davista mata
Dah kwer pamoja sana
Nyc it's a touchable story
Nimeidamkia hii safi👍
Davistar kak uko vzr sana tuko pamojq
Makete Nigeria ya Tanzania, kuna msitu unaitwa nyumba nyitu hatari sana. Tembelea you tube channel ya christina francis kuangalia wimbo mzuri wa injili Niko huru kwa damu ya Yesu. Karibuni sana
nyumba nitu haiko makete
Davstar tuko pamoja🍉🥕🍍
Kuna watu hawalali yaani nimekuwa wa 8 #Davister tuko pamoja usichoke kutuletea story nasi hatuchoki kukufuatilia
Dam sehemu ya pili please can’t wait
tuko pamoja kk napenda stoli zako sana
Mr facts chonjo bro unatupeleka na rieng rada safi, freshi kabisa mimi fun wako mkumbwa..
Awa wote story zao zinafana walikuwa na rafiki mpka wameingia kwnye mambo ya uchawi, 😂😂😂 dahh ndio mana sina rafiki cuz I have trust issue
Nan alienda Makete?
Nataka niende..
Man si ingekuwa miaka kumi sasa tatu kweli bana amini mungu
Love u ❤❤ mtangazajj
Mwendelezo Lini?
Hakuna vitu ninavyo vitafta kwa hamu Kama utajiri wa kishirikina
Huko makete ni nomaa
Hizi TH-cam ads hadi zinaboa sasa,yani video ya dk 15 unaangalia matangazo zaidi ya mara 10!!!! What are we watching NETFLIX au Davistar??
Duh!! Hiyo sehemu ya pili naije kwa upesi
Sijuwi imekuwaje badala ya kutokea jina langu lina toka zuchu niki coment! 😨
😁😁😁😁
😁😁😁😁😁😁sawa mama
Acha mambo ya kwa mpalangee
😂😂😂
Dah
Hapa ninyumban naaminia hii chaneli
❤
Mmhhh Hutajiri uhuu Duuu shida dooo
#Davistar umefanya nimekua Teja wa iki kipindi daaah 🤣🤣
The music background is extremely annoying please. With ur guest voice that low, nobody wants listen the story with such music irritating our ears.
Jamani utajili haupo kwa mganga😪😪😪mungu akusamehe uishi vizuri kwamda mfup?😪😪
Nice story
Jamani nice work umefika nyumbani iringa
Kamwene beeee
Kamwene mnyarukolo😃😃..wee senani bee🤸
@@hellenmanzi4740 kamwene bhana nene ndi se SANGA
@@bokeyemarwa5038 kamwene unogage
Ndi mnofu@Nia Anthony
Pesa.itatupeleka.motoni
Daah nimemkumbuka kanumba
R.I.P
nimejitahid kidogo #76
Nashukuru kwa kutupa herimu na hizi story za watu dev
Duh hatari!bro Davy I just wanna know wewe huhisi vipi after the interview?
@@BerylSeer1 wah...umejuwaje ni pastor?
@@BerylSeer1 hahahahaha
Daaaah bado hawakomi tu
Waaat a desperation situation. Anyway waiting for part 2
KUPENDA majina makubwa na sifa Kisha kuishi kitumwa na kufa halaka na kwenda jehanamu tumuombe MUNGU NA KUFANYA KAZI ZA HALALI
Can't wait part 2
da maisha ayaa! nisafali ndefu nakukubali sana kamanda.bas usichelewe kutuma no2 mapema
Jioni leo
Nangoja Pati 2.data on.
🔥🔥🔥
Dunia ina mambo hii,,🐊🐊🐊 kasonya kha🤣🤣🤣. inasikitisha hlf inafurahisha
Kasonya🤣🤣
Et mamba kasonya🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ukome!..
Lol
Kula bata miaka mitatu.? Mm ningelazimisha akule punje kumi uyo kuku 😂😂😂😂
🤣🤣
Falaaaa tu wew😂😂😂😂😂😂😂😂 vya shetani havdumu
Kifu kinatokea wakati wowote hule ..Ila bro kwa miaka 3 ulijizulumu
🤣🤣🤣eti kujizulumu dah
hahaha that's true
Kiukweli mtangazaji unajitahidi kutafuta mikasa ila ambachosipendi unarudia swali ambalo mtu ameshajielezea
We jamaa Makete sio kijiji ni Wilaya.
Mie nataka huyo mganga hata sasa hivi hata mwaka tu mie nile time poa mbona saaana tu
Mungu akusamehe
Nakipenda Sana kipindi hiki Cha Mikasa
Huku makete hatar🙌🙌
Uko makete ww
yaani nakaa huku najua nitakufa baada ya miaka mitatu alafu hata uwazi mazee!! doooo: noma siwezi
P1 saana kakaaa
Umeuzaa Imani yako kwa shetaani 🙄🙄Ewe Mola muumba ardhi na mbingu tusamehe makosa yetu
Jesus
Chungen vijan tamaa mbaya
Hii itaendelea zishakuwa story nyng mpk zina2changanya yaani bora ungemalizia story moja 1 kwanza kabla ya kuleta zingineee half uschelewe kuweka mwendelezo cz nyingn 2naziwacha njiani half pia zikija zinakuja na kichwa cha heading tofauti na heading ya mwanzo ya story hucka..
Stori zote nilishaweka epsode zote angalia vizuri
@@DavistarMataMediaDM Davistar hongera sana kwa kazi mzee baba... Naomba epsod ya pili umuulize jamaa.. Mbona rafiki yake alimpa siri mapema sana? Sababu ninavyojua wengi huwa wanakuwa wagumu sana kusema ukweli huo coz sio vitu vzr kwenye macho ya wengi. Asante.
Davsta njooo huku nako kuna story kama hiz Niko pa de za dodoma
Tumechoka na story zako zakichawi kirasaa tafuta watu wenye story za kawaida bwana utajil mali tumechoka
Fai Ongala kwani umelazimishwa kufatilia kama umechoka acha kusikiliza
Sema umechoka ww sio wote
Nimewahi kidogo nimekuwa wa 49
Davista wPi part 2
Utajili wa namna hiii upo mwingi njombe makete
Vipindi vyako davistar havinipiti kamwe
davi hii haina part2
Ipo
@@DavistarMataMediaDM nasubiria mtu wangu
✔
Hallo mpo😂
Davistar huyu jamaa uliwahi kumuoji story nyengine ya Bibi yake mchawi hii sauti tu km ni yy hv
Kweli kabisa sauti hiyohiyo
Xio poa life hii daaaah Kila mtu Na njia yake
Mamba kasonya 😂😂😂😂
Naomba like zenu
Daah! tuko pamoja kaka✊
Siku zote shetani hatoi ya bure,
Tujuane tunao penda njia ya mkato
Omani ally Bakari hahaha
Tuko pamoja kama vp tupange tuende makete
Ndo naamini sasa kuwa vijana wengi utajiri wao ni wakwawaganga
@Zawadi Issa 😭😭😭Kweli kabisa tusiamini kila kitu ni mipango ya mungu
@Zawadi Issa kweli mwaya Mungu awadaidie misukule wote
Ww unsjua hilo leo,,,ishkuru hii chanel imekufumbua
Mamba kasonya 🤣🤣🤣
Atakuwa mamba wa tandale kw mtogole.
makete iko mkoa wa njombe
Punguza sauti ya mziki
Kufa Tena duh
Dah na uwelewa uchawi uwo wa kku
Abdalla Juma hata me nishawahi skia bfoo
maendelezo