PATANISHO : JAFRED - NILIKOSANA NA BIBI YANGU BAADA YA KUMTUSI MAMA YANGU MZAZI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ค. 2024
  • Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
    #RadioJamboKenya #gidinaghostasubuhi #patanisho
    Subscribe to RadioJambo TH-cam - bit.ly/39wwc6u
    Mitandao ya Kijamii
    Instagram - rb.gy/e154d1
    Facebook - rb.gy/09d1b9
    Twitter - rb.gy/e23220
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 55

  • @julianamalinda2357
    @julianamalinda2357 25 วันที่ผ่านมา +13

    Mimi ni mama but jameni tuwache ku control wake wa watoto wetu lets give them peace,..wewe funga domo the way u talk i feel like grrrrrr

    • @kaninamargaret8025
      @kaninamargaret8025 25 วันที่ผ่านมา +1

      👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾

    • @bettyauma349
      @bettyauma349 15 วันที่ผ่านมา +1

      Kabisa

  • @solomonoduor
    @solomonoduor 25 วันที่ผ่านมา +11

    First coment kutoka Israel wapi likes ❤

    • @munyanyeful
      @munyanyeful 25 วันที่ผ่านมา

      Nimekuona

    • @bensonngichabe946
      @bensonngichabe946 25 วันที่ผ่านมา

      Mimi ni Hamas😂😂

    • @user-ed1cf9nq5w
      @user-ed1cf9nq5w 25 วันที่ผ่านมา

      Umeuwa watoto wangapi Gaza?

    • @edwardriaga
      @edwardriaga 20 วันที่ผ่านมา

      Unafanya nn uko man

    • @julianamalinda2357
      @julianamalinda2357 15 วันที่ผ่านมา

      @@solomonoduor karibu NLD

  • @thomasmwathe8575
    @thomasmwathe8575 25 วันที่ผ่านมา +8

    Mamas boy😂😂

  • @chullakoi8803
    @chullakoi8803 25 วันที่ผ่านมา +8

    Mm siwezi weka mke wangu kwa mamangu.

    • @kaninamargaret8025
      @kaninamargaret8025 25 วันที่ผ่านมา +1

      NEVER

    • @chullakoi8803
      @chullakoi8803 25 วันที่ผ่านมา

      @@kaninamargaret8025 watatembeleana wakisalimiana kukaa pamoja zii....

  • @carloswekesa254
    @carloswekesa254 19 วันที่ผ่านมา +1

    "Akamuliza mama, unapika mboka kani, mama akasema, leo nimeunda mishebebe"..................🤣🤣🤣

  • @linetkhavugwi209
    @linetkhavugwi209 25 วันที่ผ่านมา +3

    Mama mama mama mama
    .wangu mpaka tv alikua anauliza mama tununue gani , 😅😅😅

    • @Ndakui
      @Ndakui 17 วันที่ผ่านมา

      Pole

  • @AnnahNzoka
    @AnnahNzoka 23 วันที่ผ่านมา +1

    Hii ndunia ya mungu Ina mambo.

  • @Ndakui
    @Ndakui 17 วันที่ผ่านมา

    Waaah.mimi siwezi tusi mother in law hta afanye aje.mungu uko

  • @BridgitNafula-xq7xe
    @BridgitNafula-xq7xe 20 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂mm nangoja mother in-law apass ndo niolewe ju boyfriend yangu n kitinda mimba...kilakitu n mamake..hata naogopa kumuolekea ju mamake alifukuza father in-law...na mm sasa nitafaulu hayo maisha

  • @cathynaliaka5285
    @cathynaliaka5285 25 วันที่ผ่านมา +1

    MIL wants to control things but wife hataki ...... truth be told the wife didn't keep quiet pia yeye Ali react

  • @sekanicanory9915
    @sekanicanory9915 25 วันที่ผ่านมา +1

    👍👍👍👍👍👍👍

  • @sharonelekisha2722
    @sharonelekisha2722 20 วันที่ผ่านมา

    But dating mama’s boy is not easy

  • @mumbentahthomas9954
    @mumbentahthomas9954 25 วันที่ผ่านมา +2

    I saw this post FB. The wife ako too much. Kumtusi mama ya mtu sio poa. Respect matters alot.

    • @marrieann5278
      @marrieann5278 25 วันที่ผ่านมา +2

      Kuna evil mother inlaws wanapush mtu kwa ukuta especialky Luhyas,kama hujawai kuwa kwa hiyo shoe you can't judge,wamama wanacontrol mtu hadi kwa bedroom yake,hadi anataka ajuwe nywele umesuka ni pesa ngapi aih shindwe

    • @lilianambete1361
      @lilianambete1361 25 วันที่ผ่านมา +1

      Mother inlow should have some respect too you can't own your sons wife nop

    • @MargaretAwinja-ls7hx
      @MargaretAwinja-ls7hx 25 วันที่ผ่านมา

      ​@@marrieann5278weee c waluhya wote plis😂😂😂😂

    • @marrieann5278
      @marrieann5278 25 วันที่ผ่านมา

      @@MargaretAwinja-ls7hx Majority kwanza mm huyo nakhufiala alikuwa Mluhya mbaya sana alifanya nikachukia wanaume waluhya😂😂😂

    • @marrieann5278
      @marrieann5278 25 วันที่ผ่านมา

      @@MargaretAwinja-ls7hx majority ni wabaya sana,nimeona wakifukuza mabibi za vijana😂😂😂

  • @vivianagolla5124
    @vivianagolla5124 25 วันที่ผ่านมา +5

    Mamas boy hahaha

    • @sekanicanory9915
      @sekanicanory9915 25 วันที่ผ่านมา

      yes

    • @vivianagolla5124
      @vivianagolla5124 25 วันที่ผ่านมา +2

      @@sekanicanory9915 bt mama nae aachane na bibi ya kijana

    • @charitykamau4785
      @charitykamau4785 25 วันที่ผ่านมา +5

      Mamas boy bure kabisa

    • @vivianagolla5124
      @vivianagolla5124 25 วันที่ผ่านมา +1

      @@charitykamau4785 nakwambia my dear ni noma saana huuezi ongea mamake Amekufikia wee

    • @hamisikassimmwatamu7949
      @hamisikassimmwatamu7949 25 วันที่ผ่านมา

      Mama ni mama ata kama Ako na makosa ni mama hapewe heshima yake akuna mwengine zaidi ya mama

  • @user-cg3vf2bl6b
    @user-cg3vf2bl6b 25 วันที่ผ่านมา +2

    Mother in-law especially wa sai sio rahisi kudeal now ni kama mnacompe now,my sister use to tell me ukitaka ndoa mzuri tafuta penye mama mkwe alishapass😢😢

    • @softymoha5484
      @softymoha5484 25 วันที่ผ่านมา

      wewe ukiolewa...funga mdomo kwa mama ya mtu.
      coz hata wewe utakuja kuwa mother inlaw....siku moja.
      wasichana wa sikuhizi hawana heshima na mama za bwana.
      ju yule mama yule ni kijana wake,,,amekuzalia mume,,,so nilazima ufunge mdomo...huwezi peleka mdomo kwa boma la wenyewe.
      ju ukitusi tu mama mkwe,,,nawe pia utakuja tusiwa na bibi ya kijana wako

    • @user-cg3vf2bl6b
      @user-cg3vf2bl6b 25 วันที่ผ่านมา +3

      @@softymoha5484mawaitha hayo kampe mamako na mkeo na bintiyo,sijakuuliza ushahuri nyoko wewe

    • @softymoha5484
      @softymoha5484 25 วันที่ผ่านมา

      @@user-cg3vf2bl6b sasa matusi ya nini?
      matusi hayana maana yeyote...
      duniani sisi wapita njia....
      hatutaishi milele,,,so ukitusi mwenzako...kaa chini ujiulize mbona unamtusi bila sababu

    • @softymoha5484
      @softymoha5484 25 วันที่ผ่านมา +1

      @@user-cg3vf2bl6b sasa matusi ya nini?
      matusi hayana maana yeyote...
      duniani sisi wapita njia....
      hatutaishi milele,,,so ukitusi mwenzako...kaa chini ujiulize mbona unamtusi bila sababu.
      mimi nimekujibu kwa sababu uliandika comment...usingeliandika....singelikujibu...bt nimekwambia ukweli....

    • @marrieann5278
      @marrieann5278 25 วันที่ผ่านมา

      ​​@@softymoha5484Kwani mama mkwe akukosee heshima anataka akucontrol kwako,what is that? Si ako na nyumba yake hiyo ni yangu,niliolewa ndoa kama hiyo nilitoka unakuta bro na sis inlaws wanakucontrol hadi umepanga nyumba yako wanakuuliza nani amekwambia upange hivi,napewa pesa niende saloon mama ananipiga mkono ili pesa ianguke aone ni ngapi nimepewa then anacomplain eti sio lazima nishuke nywele,hai mabro na masiz wote wanakuja hapo muishi na wao,na mm kumbe kuna wawili walienda mm ni watatu na ni mama na watoto wake wanafukuza,nilienda bila kuangalia nyuma hata mtoto niliacha,saa hii analea kijana yangu hadi kijana yake alimwambia ju ulifukuza beba huo mzigo na ilikuwa makelele na kijana eti ulifukuza bibi yangu,alinifuatilia nirudi nilikataa,saa hii am happy married kijana hana mama wala baba sina stress,huko hata kijana alioa akatoka kwa boma saa hii bibi yuko hawamwongeleshi,kisa na maana eti amekalia kijana yao,sasa hao ndio mnawaita mother inlaw tuwaheshimu ndio sisi tuheshimiwe🙄🙄

  • @florencemutuku6797
    @florencemutuku6797 13 วันที่ผ่านมา

    Ukiona mtu ako na kiherehere ya kupinga sim jua yeye ndo mkosaji

  • @justuskemboi2322
    @justuskemboi2322 25 วันที่ผ่านมา +2

    Mamas boy

  • @rachelmuch5788
    @rachelmuch5788 24 วันที่ผ่านมา

    Hyo sio ndoa wee

  • @susanmuthoni5482
    @susanmuthoni5482 24 วันที่ผ่านมา

    Watafute nyumba yao..otherwise there will never be peace.

  • @bettyauma349
    @bettyauma349 15 วันที่ผ่านมา

    The mother should leave the daughter of law alone.

  • @wakiama9609
    @wakiama9609 25 วันที่ผ่านมา +1

    Hapa dawa nikueka baka gate

  • @elisabethmbatha4245
    @elisabethmbatha4245 20 วันที่ผ่านมา

    Mimi wangu ukitaka kuuuxa mbuzi lasima mama akuambie ni mbizi ngani utauza

  • @bettyauma349
    @bettyauma349 15 วันที่ผ่านมา

    Tell your mother to mind her own business.

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 25 วันที่ผ่านมา +1

    mwanaume wa aina ii ni punguwani tu

  • @Waziri77
    @Waziri77 14 วันที่ผ่านมา

    STOP MARRIYING WIVES FOR YOUR MOTHERS, KAA NA WIFE WAKO

  • @moreh462
    @moreh462 24 วันที่ผ่านมา

    Huyo jamaa ndo fala. Unaachia bibiako kazi ya mjengo aje. Stupid

  • @diackomwansu660
    @diackomwansu660 21 วันที่ผ่านมา

    Sikuizi mothers-in-law and sisters-in-law are destroying marriages 😂