Hawa jamaa wanatakiwa kuwa wanakulipa 7bu ww ndie unaefanya tuyaone mazuri zaid coz bila haya maneno unaweza ukanunua na usijue kama kuna vitu vingi hvyo
Kwl kwa soko la east Africa la magari wanatakiwa kumlipa jamaa mim si mpenz wa range river ilaa alicho kisema jamaaa kuliko kununua v8 ya million 400 si bora kuchukua hizoo gari mbilii sidhan kama ata mafuta itakuaa inakunywaa kivilee xababu ya mfumo wa umeme nimeipenda sana
Unafikir mtu analipwa tu na kampuni kwanza jamaa ndo anaaanza anza youtube akiwa hot anatuma maombi kampuni husika cha msingi tuzid kusubscribe jamaa azid kusonga mbele ili jamaa wamwone japo lugha nayo changamoto ila ome day yes.
Tulianza na STEAMING ENGINE, ikaja FUEL ENGINE, saiz tuko kwenye ELECTRICAL. naiona future magari yatakuwa yanajichaji yenyewe kutokana na mzunguko wa matairi na umeme wake kujifua wenyewe. Kama Dinamo ya baiskeli.
Kwl kwa soko la east Africa la magari wanatakiwa kumlipa jamaa mim si mpenz wa range river ilaa alicho kisema jamaaa kuliko kununua v8 ya million 400 si bora kuchukua hizoo gari mbilii sidhan kama ata mafuta itakuaa inakunywaa kivilee
Ujawa specific Range rover Velar, Range rover sport kama ulio tengenezea content au Range rover Overque yote ni magari sawa sema design na vitu tofauti
Nimeipenda sana hii gari lakini, kwa nini wasingeweka system ya wakati gari linatumia mafuta lisi charge betri yake ya mfumo wa umeme ili kwamba kama mafuta yataisha na upo sehemu ambayo hakuna kituo cha mafuta au umeme una switch tu na unaendelea na safari kwani km 51 ni inaenda mbaki sana.
Next year, I'm going to buy this beast machine for my mama
Hawa jamaa wanatakiwa kuwa wanakulipa 7bu ww ndie unaefanya tuyaone mazuri zaid coz bila haya maneno unaweza ukanunua na usijue kama kuna vitu vingi hvyo
Kwl kwa soko la east Africa la magari wanatakiwa kumlipa jamaa mim si mpenz wa range river ilaa alicho kisema jamaaa kuliko kununua v8 ya million 400 si bora kuchukua hizoo gari mbilii sidhan kama ata mafuta itakuaa inakunywaa kivilee xababu ya mfumo wa umeme nimeipenda sana
@@nicksonmusa194 land rover company ni kitu ingine Ase.
Ha ha ha yaani ushamba ni kitu kibaya hahaha
Unafikir mtu analipwa tu na kampuni kwanza jamaa ndo anaaanza anza youtube akiwa hot anatuma maombi kampuni husika cha msingi tuzid kusubscribe jamaa azid kusonga mbele ili jamaa wamwone japo lugha nayo changamoto ila ome day yes.
Umetisha Kinoma Noma
hii inaitwa uschkulie poa
My brother unajua sana snash God bless you
Umetisha kinomanoma
Umetisha kinomanoma 🙌🙌
Katika riviw niliyo kuwa naisubiria hiii ni ya kwanza yaaani leo snash tz ume ni furahisha sana mungu aku linde tena akulinde kiukaeli haswaaa
Umetisha fanya kama unaifanyia review mnyama Bentley bentaigya naielewa sana
range rover is my life 🌹❤️🙌🔥
Nalima vanilla ili niinunue coz its my drm car
Wapili jamn broo umetisha kinoma
range rover2021 is the next big thing man🙌🏿
Rose loyse yann wakt kuna lange km iyo yenye teknolog ya hali ya juu
Shida ni mbovumbovu
APA ROLLS-ROYCE AGUSIII 😁 AISEE KAMA UNAKUBALINA NA MIMI GUSA LIKE 😉 DIAMOND ALIFAIL WAPI 😎
Naomba namba zaoo
Bro samahan sana sisi ma fans wako tunaomba uwe unasema cc za gar
Tulianza na STEAMING ENGINE, ikaja FUEL ENGINE, saiz tuko kwenye ELECTRICAL. naiona future magari yatakuwa yanajichaji yenyewe kutokana na mzunguko wa matairi na umeme wake kujifua wenyewe. Kama Dinamo ya baiskeli.
Uko vizuri kaka
Hiii kweliii kabisaaaa yaaaaniii
Kweli kabisa mkuu
Kizazi sana mshikaji wangu
Ebwana ee unatisha kinomanoma ila bro naomb review ya aquos r3 plz
ujasema bei
May God bless u kaka,tutalinunua wote
Sasa kaka hyo gari si ni zaid ya rolls royce, kama ndo vitu vyote hvyo ni hatary
Mzeee acha utani basi🤣🤣 RR brand kubwa sana
Bro umetufunga kamba most luxurious car ni rolls Royce cullinan then ranger over vogue
Aiseee nimeipenda sana hii gar kimbe range sio kinyonge
Ina hp ngp babu
Tutafute sana pesa
Haujawahi kutuacha broo tuko pamoja nawe
Uwezo mwingi bro
Ina speed ngap
yaani mwanangu snash ingekua ulaya ungelipwa hela mingi sana na toyota hila bongo hapa hata ikitokea mchongo watakubania
Poa sana jamaa. Uko poa
Iigari mbona ina vitu vizur sn kuliko lamb gn na lose loys
umetishaa
nimepend hii
lakin umesahau kutaja hospower
nilikua nakukumbusha tu
Umeuwa broo
Ingekuw n SORAL ingetish sn
Wazee wakidumu umeturusha tujuane
Kwl kwa soko la east Africa la magari wanatakiwa kumlipa jamaa mim si mpenz wa range river ilaa alicho kisema jamaaa kuliko kununua v8 ya million 400 si bora kuchukua hizoo gari mbilii sidhan kama ata mafuta itakuaa inakunywaa kivilee
Ni shingapi sasa mtuambie na bei yake sasa 😁😁
Umetisha kinoma nomaaa
Range sport ina mil 200 kwa nn Vogue ina hadi mil 800
Sem snash unpnd San kulala ndo maan untk czote xiwe moveable 😂
Mkuu tuleteee audi A8 kazi yako iko🔥🔥🔥🔥 hatari
VP ndo kama ya alikiba
Snash anajua aseeee
Nakufuatilia sana kaka
Ujawa specific Range rover Velar, Range rover sport kama ulio tengenezea content au Range rover Overque yote ni magari sawa sema design na vitu tofauti
Itakuwa autobigraphy
My dream car kiukwel
Nakubal brodher
#technology hapa hapa Tanzania
very nice
Nomaa
Nitanunua hii😁😁
Nimeipenda sana hii gari lakini, kwa nini wasingeweka system ya wakati gari linatumia mafuta lisi charge betri yake ya mfumo wa umeme ili kwamba kama mafuta yataisha na upo sehemu ambayo hakuna kituo cha mafuta au umeme una switch tu na unaendelea na safari kwani km 51 ni inaenda mbaki sana.
WANGEWEK SORAL AU
Hii gari nimeikubali ila najiuliza engine yake ni ya aina gani ina iafayaje kazi kukubali mfumo yote miwili Fuel and Electrical
Mim mwenyew naswaliinkama lakoo tu nataman nione engine yake
Vp hizi Rav4 hybrid,
Far more comfortable than the Rolls-Royce 2021
I know you're a kenyan, ni how much
No
Amini
Suv ndo nn
Sanaaaaaaa
#tech in Swahili 👊👊
Iiiih hatari rolls loyce ikasomee
Duh! Imetulia bro
Kitu ambacho nimekinotice kwa huyu jamaa ametaja neno (Kitu ambacho nimekipenda zaidi) 😂😂😂 naomba useme wewe umenotice nini!?
Nzuri
🔥🔥
Haizidi Cullinan
Bei
Mzee wa kupenda zaid 😂😂😂😂
😂😂😂😂umeona hiy kauli
Nimeiona 😂😂😂😂
Makini sana kaka ila tunataka na magari makubwa
Mabasi na mafuso ama?? 😂
@@yonalema7442 yeah atujuze izo nazo
🙌
🤟🤟
Walio dislike wote wachawi
🙌🏽
#techinswahili
dah" so poa