Pole sisi Taifa,tunaomba sana viongozi mahalia kama itawapendeza,watueleze hata sababu ya tukio hilo chafu kwenye uso kanisa lenyewe,lakini hasa kwa.Mungu TYK.
Mungu baba mwenye mapenzi mema tunakuomba ushushe Amani kwa wakatoliki wote, hasa kwa tukio lililotokea geita mungu awatie nguvu waumini wa geita na kuzidi kumuomba mungu shetani ashindwe, na aliyefanya kitendo hicho Cha kuharibu kanisa na mali zilizomo ndani aadhibiwe,
Baba Wala usiofu. Huyo ameingia kwenye kumi nane za mungu. Yeye mungu atamjibu fasta. Amechezea pabaya. Pale hapataki uchokozi. Mungu ni hakimu mkuu anayehukumu pote. Duniani na mbinguni. Ok.
Misingi ya kuzimu haitalitikisa kanisa maneni ya Yesu tumwangalie Mungu tu wala si maneno ya watu Yesu alinyamaza kimya mbele ya Pilato na tunyamaze mbele za watu atashugulika nao
Leo kwetu mnachèka yakifika kwenu mtasema mmeonewa jamani tuache kejeli kila mtu na anachokiami Mungu atatenda ili mshangae usije ukaingia kwenye kisasi cha Mungu
Tuungane kuomba na kufanya toba Mungu atayafunua aliyefanya walomtuma wanaoshabikia moto utawawakia lopokeni naashumu uko mikoa ya mbali utafunga safali kwenda kuomba msamaha hizo unazoziita sanamu na ndo utakua uzima wako

Eee Mwenyezi Mungu naomba uzidi kututia nguvu tuendee kusonga mbele, Shetani hana mamlaka tena kwa jina la YESU KRISTO BWANA WITH.. AMINA
Wasamehe/ msamehe aliyetenda hayo, nasi tupe nguvu Imani matumaini ya kuvumilia haya yote yanayotupata Wakatoliki. Amina
Mungu aendelee kulilinda na Kulitetea Kanisa lake🙏
Amina Mungu atusaidie kuilinda na kuitetea Imani yetu
Mungu amsamehe kwani kama alitumwa mungu ameonekana
Mungu tutie nguvu kwa hili
Ee mungu tenda miujiza kwetu wakatoliki
Waadhibishe Kwa munguu polen
Mungu tusaidie
Tunamwachia mungu mwenyewe
Baba Wala usiofu. Huyo ameingia kwenye kumi nane za mungu. Yeye mungu atamjibu fasta. Amechezea pabaya. Pale hapataki uchokozi. Mungu ni hakimu mkuu anayehukumu pote. Duniani na mbinguni. Ok.
Misingi ya kuzimu haitalitikisa kanisa maneni ya Yesu tumwangalie Mungu tu wala si maneno ya watu Yesu alinyamaza kimya mbele ya Pilato na tunyamaze mbele za watu atashugulika nao
Duh inasikitisha sana pia inauma mno
Jamani acha kujiingiza kwenye laana kwa kinywa chako na familia yako haina matibabu ndo mtajua kuwa ni Yesu au hicho mnachokitamka
Leo kwetu mnachèka yakifika kwenu mtasema mmeonewa jamani tuache kejeli kila mtu na anachokiami Mungu atatenda ili mshangae usije ukaingia kwenye kisasi cha Mungu
Tuungane kuomba na kufanya toba Mungu atayafunua aliyefanya walomtuma wanaoshabikia moto utawawakia lopokeni naashumu uko mikoa ya mbali utafunga safali kwenda kuomba msamaha hizo unazoziita sanamu na ndo utakua uzima wako
Gaidi huyo anajifunza. Afundishwe kabla ya kuiva maana ataua watu pia akiachiwa hivihivi
Inauma
Slieshoot hii video akamatwe
🙏🙏🙏
Kwanini yanatokea haya ?
Kiongozi mkubwa kama wewe kwanini hunaga maamuzi yani roma inazidi kudidimia