Tumsifu Yesu Kristu Baba Askofu. Pole sana. Tunaomba katika kipindi hiki Cha Toba ya malipizi tufundishwe juu ya utakatifu wa kanisa la Mahalia, Sanamu zetu za misalaba na Bikira Maria maana kwa Sasa Kuna maswali mengi sana baada ya tukio hili.
Acheni kuchezea Imani za watu Kwa kuandika msichokijua sisi wakatoliki hatuabudu sanamu tunaziheshimu tu. Kama hujui kitu achana na Imani za watu. Wote tutakutana kwenye kiti Cha Hukumu.
Sshatuabudu sanamu bali tunaheshim mamlaka ya mamakanisa na pia ungekuwamtu wa Iman Yako huwez sema hivyo, heshim Iman ya mwenzio mungu ndio anayejua yup mwanakondoo wake, na yup n mfuasi wake
@@jay-nyeye1900 Hakuna Mkamilifu hata mmoja... na Sote tunamwamini Mungu... Hukumu ni kwa yeye aliyejuu tu na sio mwanadamu.. mimi sio Mkatoliki lakini mambo kama haya yanahatarisha Imani za watu.. Lakini Mungu ni mwaminifu.
Tunamshukuru Mungu kwa yote yaliyotokea, na tuzidi kuomba rehema kwa Mungu wetu. Najua ndiyo mwanzo wa wokovu, na Mungu azidi kumlinda na kumponya huyo aliyefanya hiyo kufuru, tunaomba aulizwe na vyombo vya dola sisi wanakanisa katoliki tumemkosea nini, tuweze kumuomba msamaha. Na sisi pia tumsamehe.
Amen. Umeongea vizuri sana sawasawa na Biblia. Kazi ya Mkristo na kumuombea rehema mkosaji. Hatuna mamlaka ya kumhukumu kwa sababu hatuna uwezo wa kuona moyo wake na kujua kulichomsukuma kujiumiza na kukufuru ukizingatia ni mtu aliyewahi kutumikia madhabahu katika utoto na ujana wake.
Jamani akuna mkristu anaye Habudu sanamu kinacho onekana ni kueshimu tu! Kwani hata sanduku la agano mungu aliagiza kuwekwe sanamu na watu walizieshimu so kinacho onekana Kwa wakatoliki ni kueshimu zaidi so watu wanatafsili kama kuabudu
Duuu Mungu tusaidie wanao vitendo hivi visiendelee inanikumbusha mbali Yule Padre aliyepigwa risasi na tukio la kanisa la olasite Arusha.Tuiombee serikali yetu inayoongozwa na Mama yetu mpedwa aman iweze kutamalaki muda wote.
Uwiii jamani, poleni Wana geita parokiani kwa uharifu uliofanyika ktk kanisa kuu geita, mungu awalaani waliofanya kitendo hicho, tumshukuru mungu hakujeruhi watumishi wa mungu
Tukio hili la uharibifu wa Mali za kanisa ndani ya kanisa .Inawezekana swala hili linaweza kuhusishwa na Imani .Uchunguzi na mahojiano zaidi picha halisi ya kusudi la mtuhumiwa.
Duuuuu polenta sana ila mungu ni mwema bila shaka najua hao wote walio husika watakamatwa wote ila kwakitendo walicho kifanya mungu awasamehee japo sio lahis mungu awasamehee🙏🙏🙏🙏🙏
Hakuna haja ya kumlaani labda ndo itakuwa wokovu kwake Mungu anajua.Sanamu ni zetu tutanunua nyingine nzuri zaidi hata hakuna haja ya kutukebehi na nyie uwezo wenu wa kukariri ndo umeishia hapo Mungu awasaidie.kuhusu nia yake mwenyezi Mungu ndo mwamuzi wake,kuhusu Sheria ya nchi ameharibu Mali ya watu wengine kwa makusudi Sheria ikimkuta na kosa atajutia huko gerezani
@@bibliakitabukitamu6015 hafu unajiita biblia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka Kwa sauti maana nakuona unavyopamban kushuka vifungu vya biblia na kutafuta mafao 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mungu wangu mnashindana na Dolla 🤣🤣🤣🤣🤣 Mungu weeeeeee kweli MFA maji haachi kutapatapa
Uyu inaonekana analifahamu Sana ilo kanisani labra Kuna kitu akiko Sawa wajichunguzi tu Nia yake ilikuwa ni kuaribu na sio kuiba Sasa kwa nini aharibu hapo ndio pakujiuriza
Castrol kapinga mtu akiwa mpagani anakuhusu nini?? wewe pambana na umungu wako ili ukaingie pepon achana na mpagani ndiye anaongoza dunia we baki hivyohivyo mmejaza watoto wenu mashuleni kwa wapagani na kutibiwa hospitali zao mbona hamsemi huduma ni za wapagani???
Kuna baadhi ya watu hawaelewi mandiko vizuri, kama kuna mtu ana ushahidi wa kimandiko kuwa katoliki wana abudu sanamu au wanafanya ibada ya sanamu aweke hapa na sio kuandika tu maneno ya kukalilishwa.
Kitabu cha kutoka 20:4 pia Mambo ya wakazi 26:1 na kumbukumbu la torati 4:16 pia kumbukumbu la torati 5:8 ndugu kumbuka kwamba Mungu mwenyewe anakataa kufananishwa na sanamu au kitu kingine chochote, bali saa ilishafika ambayo waabuduo halisi humwabudu Mungu katika roho na kweli, pia kwa ajili ya huyo mwalifu mimi sijui ikiwa alitumwa na Mungu au ana shida ya afya ya akili mi sijui pia
@@mchungajimteule8858 Vifungu vyote hivyo vinaonyesha miungu mingine , yaana unabudu miungu na sio Mungu sasa ukisisoma biblia vzur utakutana na miungu hii. 1.Dagon ( wamuzi 16:23 na 1Samwel 5:1-7) 2. Artemi ( Matendo 16: 23-41) 3 Ashtorethi ( 1falume 11:4-5) 4. Baali ( 2falume 18:20) Mungu alisema usiabudu miungu mingine hiyo miungu ikaja kuabudiwa na kila mungu hapo alikuwa na sanamu yake. Mfano india kuna hizi miungu na zina sanamu zao wanao angalia picha za kihindi wanaona , vishnu, ganesha, hanuman.... Mfalume Yeroboamu alitengeneza sanamu ya ng'ombe wawili ili watu waabudu, soma 1wafalume 12:25-29 SWALI KWANINI KATOLIKI KUNA SANAMU JIBU: ZINATUMIKA KAMA ISHARA, JE SANAMU INAWEZA KUTUMIKA KAMA ISHARA JIBU NDIO SOMA Kutoka 25:18-22, 26:31 Hesabu 7:89. Utaona jinsi sanamu za malaika zilivyo tengenezwa na Mungu akakaa katikati ya sanamu. JIULIZE KWANINI MUNGU ALI KAAA KATIKATI YA SANAMU. AHSANTE PIA KARIBU KWA SWALI.
Happy kwa kutumia Elimu dunia kung'amua hili walinzi walikua wp mpaka uharibifu unakua mkubwa kias hicho,tungefungia novena walioshiriki mipango hiyo miovu,Sasa hata Parokian tuwen making zaidi
Alimohamed kwa nini unasema atatafutwa muislamu abambikiwe kesi?? kwanini unajishuku?? au mmezoeleka na tabia hizo?? kwani muumini hawezi fanya haya?? usijihukumu kuwa katika imani yako mwamini Mungu utakuwa huru subiri matokeo !!
HUYO KIJANA MPUMBUVU SANA HAJUI KM HY NI LAANA SAANA MUNGU AMLAANI SAANA. HUYO NI MWENYEJI ANAJUA MAZINGIRA YA HAPO. HANA AKILI MUNGU AMLAANI SAANA. NA AWE NA MAISHA MAGUMU.
Usiwe ni wakuhisi au kudhani kaka sio jambo zuri pia hayo mauaji yanayotokea huko wanaua alkaida au alshabab? Geita nzima kanisa liko moja tu hao alkaida au alshabab wakavunja?
@@ismailchongera9812 Bora tu wasisikie maana ni wauaji wakubwa wale, wanabaka watoto wa kike na wanawake, utu hakuna. Wale walishajua Mungu hana maana kwao
JAMAA YUPO SAHIHI NI BAADA YA KUFAAM UKWELI AKOANA WANACHEZEWA SHERE KWAIYO HANA DHAMBI KWA MUJIBU WA BIBLIA... 🙏 🙏 🙏 KIJANA NI JASIRI WA MBINGUNI HAKIKA KAMA HAMNA NIA OVU YOYOTE NDANI YAKE
Biblia kitabu kitam; mimi naona hauko sawa na MWENYEZ MUNGU, wala hauna Imani ya UFALME wa MBINGUNI, nasema hivi kwa sababu gani, Mtu alie wa Mwenyezi Mungu na mwenye Imani thabiti, amemuomba Baba wa Mbinguni kwa roho na kweli hawezi kuongea upuuz kama unapoongea wewe juu ya kanisa hili la Rc, Yaan ndani yako hauna MUNGU, na wala wewe siyo mtu wa maombi ungekuwa wa maombi Mungu angekimbia ukweli juu ya kanisa kathoric, Yaan ndani yako ibiris amekujaza chuki juu ya kanisa kathoric, hauna mda wa kujibembeleza kwa BABA wa MBINGUNI ila mda wako unatumia kuifikiria kanisa la Rc, ndugu nakusih ishughulikie na mambo ya mbinguni acha kushughulikia makanisa yasiyokuhusu, utajikita unaenda kuzimu halafu uliemdhihak anaenda Mbinguni, Halafu pia hapo ulipo unajidhihirisha mwenyewe inalitumia jina la BIBLIA KITABU KITAMU ila hulitendei haki kulingana na matendo yako inamchukua sana YESU kwa mwenendo wako huo, unakifanya unabeba BIBLIA ila Imani na matendo viko mbali na wewe, hapo wajisumbua bure mbele ya MUNGU, Mwisho kanisa halitakufikisha kwenye UFALME wa MUNGU bali Ulimi wako, Imani na matendo, kwa hiyo kifupi mimi nitaendelea kua mkathoric, acha kuhangaika na kujisumbua kwa madhehebu ya wenzako maadamu nasi tunamuomba BABA wa MBINGUNI alie hai nahisi umeelewa, Nakuombea kwa MUNGU akuondolee Roho chafu akuwekee roho safi kwa JINA LA YESU.
Utamlaanije ambaye Mungu hakumlaani,Hakuna mwenye mamlaka ya kumhukumu mtu isipokuwa Mungu TU.Huyo amebeba ujumbe kutenda TUKIO Hilo,Achunguzwe atatoa taarifa SAHIHI TU
@@jay-nyeye1900 we naye umetoka kuzimu ? Ninarudia kusema na alaaniwe tena na tena au ndio mmeshirikiana wewe na yy kuharibu vitu vya kanisani? Na Kama umeshirikiana naye ninasema mlaaniwe nyote.
@@jay-nyeye1900 utajijua Wala usinisumbue kipi kinachokutesa kwenye moyo wako kutetea mharifu naona umeumia Sana mm kusema alaaniwe uuuwi makubwa! Nahisi na wewe unakazi Kama ya huyo aliyeharibu kanisani maana si kwa kuumia huko mfyuuu!
askofu mtu huyo akitokea kukuomba msamaha mahakaman je, uta msamehe? Maana kila siku mwatufundisha tusamehe mara saba sabini. Hata kama mtu ame kuulia mamaako msamehe2.
Kusamehewa ni lazima kwa Wakristo, hata sasa hivi tayari ameshasamehewa, ila sasa hawezi kuachiwa maana huwezi jua ajenda yake na pengine kuna wenzake. Kifungo na sheria ya nchi inabaki palepale kwa ajili ya Usalama wa jamii kwa ujumla.
@@wakatv3704 soma Komenti yangu vzr. Kanisa limemsamehe, je serikali itamuachia ili aendelee kukosesha jamii amani na utulivu? Utajuaje atakachokifanya akiachiwa?
@@eutropiaminja Kuna sehemu umeona comment yangu ya kuabudu sanamu kweli naelewa sana maana ya vifaa vitakatifu vya madhabahuni hivyo siwezi kutoa neno baya hata kidogo
Inawezekana ni huyu huyu aliyevunja kwangu na kubeba vitu vyangu vya msingi vikiwemo vitabu na vyakula pamoja na mavazi. Jamani nakaa jirani na jimbo kuu katoliki la geita. Nimeumia sana 😮💨😭 Ni usiku wa kuamkia tarehe 25 February ambayo ni jana
Ninajivunia kuwa mkatoliki!!!! Mungu atatetea watu wake. Mnaokerwa poleni sana. Chezea nguvu ya sala 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Duh
Sasa unajivunia nn
Tumsifu Yesu Kristu Baba Askofu. Pole sana. Tunaomba katika kipindi hiki Cha Toba ya malipizi tufundishwe juu ya utakatifu wa kanisa la Mahalia, Sanamu zetu za misalaba na Bikira Maria maana kwa Sasa Kuna maswali mengi sana baada ya tukio hili.
Kuna shida mingi kanisa inaacha kushuluhisa Hadi shida hutokea.solve problems of the young people don't ignore them.
Poleni sana
Acheni kuchezea Imani za watu Kwa kuandika msichokijua sisi wakatoliki hatuabudu sanamu tunaziheshimu tu. Kama hujui kitu achana na Imani za watu. Wote tutakutana kwenye kiti Cha Hukumu.
Eti tunazieshimu tu hahahaha
Kabisa yaan
@@bibliakitabukitamu6015 unajua ndugu siku zote kipofu akimwongoza kipofu mwenzoe wote wawil hutumbukia shimon.
Siku zote kipofu akimwongoza keep pofu mwenzoe wote wawil hutumbukia shimon et kuheshimu unaheshim Sanam utaennda jehanam wewe.
Maandiko ya nasema waombeeni ma adui zenu Ili munapo Barikiwa wajionee . Amina.
Tusubiri lakini majibu yatapatikana. Kama mkatoliki nimejeruhiwa sana na tukio hili
Kwanni mnaabudu sanamu?
Sshatuabudu sanamu bali tunaheshim mamlaka ya mamakanisa na pia ungekuwamtu wa Iman Yako huwez sema hivyo, heshim Iman ya mwenzio mungu ndio anayejua yup mwanakondoo wake, na yup n mfuasi wake
safi sana
@@jay-nyeye1900 achana na imani yetu...hata kama tunaabudu mawe..wakatoliki hawajushughulishi na imani zingine, jiamini kwa imani yako
@@jay-nyeye1900 Hakuna Mkamilifu hata mmoja... na Sote tunamwamini Mungu... Hukumu ni kwa yeye aliyejuu tu na sio mwanadamu.. mimi sio Mkatoliki lakini mambo kama haya yanahatarisha Imani za watu.. Lakini Mungu ni mwaminifu.
Tunamshukuru Mungu kwa yote yaliyotokea, na tuzidi kuomba rehema kwa Mungu wetu. Najua ndiyo mwanzo wa wokovu, na Mungu azidi kumlinda na kumponya huyo aliyefanya hiyo kufuru, tunaomba aulizwe na vyombo vya dola sisi wanakanisa katoliki tumemkosea nini, tuweze kumuomba msamaha. Na sisi pia tumsamehe.
Amen. Umeongea vizuri sana sawasawa na Biblia. Kazi ya Mkristo na kumuombea rehema mkosaji. Hatuna mamlaka ya kumhukumu kwa sababu hatuna uwezo wa kuona moyo wake na kujua kulichomsukuma kujiumiza na kukufuru ukizingatia ni mtu aliyewahi kutumikia madhabahu katika utoto na ujana wake.
@@loveluckphilipmuro445 kumbe alikuwa mkatoriki?
Jamani akuna mkristu anaye Habudu sanamu kinacho onekana ni kueshimu tu! Kwani hata sanduku la agano mungu aliagiza kuwekwe sanamu na watu walizieshimu so kinacho onekana Kwa wakatoliki ni kueshimu zaidi so watu wanatafsili kama kuabudu
Duuu Mungu tusaidie wanao vitendo hivi visiendelee inanikumbusha mbali Yule Padre aliyepigwa risasi na tukio la kanisa la olasite Arusha.Tuiombee serikali yetu inayoongozwa na Mama yetu mpedwa aman iweze kutamalaki muda wote.
Mungu awapiganie katika muda huu mgumu. Mtashinda tu mungu yuko pamoja nanyi
Uwiii jamani, poleni Wana geita parokiani kwa uharifu uliofanyika ktk kanisa kuu geita, mungu awalaani waliofanya kitendo hicho, tumshukuru mungu hakujeruhi watumishi wa mungu
mungu yupi alaani???
Nadhani huyo atakuwa ni mtu wa imani moja na nyinyi. Na kama angelikuwa Muislam basi ingekuwa kasheshe
Tukio hili la uharibifu wa Mali za kanisa ndani ya kanisa .Inawezekana swala hili linaweza kuhusishwa na Imani .Uchunguzi na mahojiano zaidi picha halisi ya kusudi la mtuhumiwa.
Mungu awe upende wetu!
Anamjaribu Mungu!
Tena kipindi cha Kwaresma!
Mungu yupi tena
Mungu wetu wa Mbinguni anamuona kwa kitendo alichokifanya cha kuharibu mali zake.
@@manmafumahafudhi35 hili swali halina nia njema. Acha hizo rafiki. 🙏🙏
Poleni sana kwa tukio hilo.
Ila mwandishi jaribu kutumia kiswahili fasaha Katoriki=Katoliki
Safi sana, yaani hata mimi ningevunja, ningepiga shoka la tumbo misanamu yoote, pumbavu. Nani kawaambia kuna maji ya baraka. Uchawi tu, ng'ombe nyie.
Duuuuu polenta sana ila mungu ni mwema bila shaka najua hao wote walio husika watakamatwa wote ila kwakitendo walicho kifanya mungu awasamehee japo sio lahis mungu awasamehee🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu atamlipa tu maana miaka ya. Nyuma walivamia kanisa katoriki nyantakubwa lipo sengerema mingu aliwaazibu hao watu wakatoriki muombeeni
Hakuna haja ya kumlaani labda ndo itakuwa wokovu kwake Mungu anajua.Sanamu ni zetu tutanunua nyingine nzuri zaidi hata hakuna haja ya kutukebehi na nyie uwezo wenu wa kukariri ndo umeishia hapo Mungu awasaidie.kuhusu nia yake mwenyezi Mungu ndo mwamuzi wake,kuhusu Sheria ya nchi ameharibu Mali ya watu wengine kwa makusudi Sheria ikimkuta na kosa atajutia huko gerezani
Watu waliotoa maneno ya kashfa sana yesu kavunjwa mguu nae wengine ni wakristo
Polen sana mungu asimame na nyie
Lakin haya nimaneno tu huyo mtu kweli kabisa amefanya makosa kwakwel anastail adhabu ila sio ya kibinadam Bali ya kimungu.polen sana wakatork.
Mungu mwenye rehema tunaomba umsamehe "Kama Bwana angehesabu maovu yetu nani angesimama"
Vijana wamevuka mipaka wanatafta vita na MUNGU hadi nyumba ya ibada. Hili YESU atalishugulikia mwenyewe
Mungu atawapa haki yao wanacheza na Imani za watu🙏♥️🙏
Za Uwongo
@@bibliakitabukitamu6015 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 una bidii rafiki mbinguni mbali jamani 🤣🤣🤣🤣🤣 Yani unasoma biblia lakini huelewi unachosoma 🤣🤣🤣🤣
Pole yake sisi wakatoriki hatunaga shida kumwaga ekalist chini
Mungu yupo kazini mwacheni Mungu amshughulikie mungu
Kuna mtu anajiita jay ni yeye ndiye niliyemlenga
@@eutropiaminja umemlenga kwa kipi?
Si kila mtu aheshimu tu imani ya mwingine afu basi
Wameanza tena....kuna jambo linaandaliwa
Aliyefanya na walioshiriki chamoto watakiona adhabu yao haitofutika milele na kwaresma hii ndio kabisaaa, Mungu aturehemu 😢😢
Kwendreni uko Kwan iyo ni dhambi pekee inafanyika kanisanii
@@bibliakitabukitamu6015 hafu unajiita biblia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka Kwa sauti maana nakuona unavyopamban kushuka vifungu vya biblia na kutafuta mafao 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mungu wangu mnashindana na Dolla 🤣🤣🤣🤣🤣 Mungu weeeeeee kweli MFA maji haachi kutapatapa
Sasa mnaabudu Sana zisivunjwe?
@@anodearsulusi7536we umeona Kitika Comments zangu nataja ilo Jina ovyo limetukuka,,, Dola hata kama inakosea tusiseme????
@@anodearsulusi7536 afu utumie misemo sehemu inayofaaa usitumie tumie tu
Uyu inaonekana analifahamu Sana ilo kanisani labra Kuna kitu akiko Sawa wajichunguzi tu
Nia yake ilikuwa ni kuaribu na sio kuiba
Sasa kwa nini aharibu hapo ndio pakujiuriza
Kaona awaabudu ipasavyo bhana
sio kusema kitu hakiko sawa ila tu mambo ya ushirikina yamezidi. mtu anafikiri kuwa kuharibu vitu vya kanisani ni kupata utajiri kumbe ni laana
Mbona unasema kavunja baadhi ya masanam
Kwanini usiseme kamvunja mungu wetu
@@shamzone388 wewe ni mpumbavu na kama hujui kitu utulie na dini yako...IMANI YA WATU WENGINE HAIKUHUSU...utaenda mbinguni kwa njia yako
@@Trojantz hamna haja ya makasiriko kwa kuita watu wengine wapumbavu
Castrol kapinga
mtu akiwa mpagani anakuhusu nini?? wewe pambana na umungu wako ili ukaingie pepon achana na mpagani ndiye anaongoza dunia we baki hivyohivyo
mmejaza watoto wenu mashuleni kwa wapagani na kutibiwa hospitali zao mbona hamsemi huduma ni za wapagani???
Kuna baadhi ya watu hawaelewi mandiko vizuri, kama kuna mtu ana ushahidi wa kimandiko kuwa katoliki wana abudu sanamu au wanafanya ibada ya sanamu aweke hapa na sio kuandika tu maneno ya kukalilishwa.
Kabisa
Asante
Kitabu cha kutoka 20:4 pia Mambo ya wakazi 26:1 na kumbukumbu la torati 4:16 pia kumbukumbu la torati 5:8 ndugu kumbuka kwamba Mungu mwenyewe anakataa kufananishwa na sanamu au kitu kingine chochote, bali saa ilishafika ambayo waabuduo halisi humwabudu Mungu katika roho na kweli, pia kwa ajili ya huyo mwalifu mimi sijui ikiwa alitumwa na Mungu au ana shida ya afya ya akili mi sijui pia
Samahani kifungu cha pili hicho ni Mambo ya walawi
@@mchungajimteule8858 Vifungu vyote hivyo vinaonyesha miungu mingine , yaana unabudu miungu na sio Mungu sasa ukisisoma biblia vzur utakutana na miungu hii.
1.Dagon ( wamuzi 16:23 na 1Samwel 5:1-7)
2. Artemi ( Matendo 16: 23-41)
3 Ashtorethi ( 1falume 11:4-5)
4. Baali ( 2falume 18:20)
Mungu alisema usiabudu miungu mingine hiyo miungu ikaja kuabudiwa na kila mungu hapo alikuwa na sanamu yake.
Mfano india kuna hizi miungu na zina sanamu zao wanao angalia picha za kihindi wanaona , vishnu, ganesha, hanuman....
Mfalume Yeroboamu alitengeneza sanamu ya ng'ombe wawili ili watu waabudu, soma
1wafalume 12:25-29
SWALI KWANINI KATOLIKI KUNA SANAMU
JIBU: ZINATUMIKA KAMA ISHARA, JE SANAMU INAWEZA KUTUMIKA KAMA ISHARA JIBU NDIO SOMA
Kutoka 25:18-22, 26:31
Hesabu 7:89.
Utaona jinsi sanamu za malaika zilivyo tengenezwa na Mungu akakaa katikati ya sanamu.
JIULIZE KWANINI MUNGU ALI KAAA KATIKATI YA SANAMU.
AHSANTE PIA KARIBU KWA SWALI.
Nashindwa hata niseme nini ila Mungu atajibu haraka
Mungu amsamehe kwani hajui alilolifanya maana amemkosea mungu mwenyewe
Tunamwombea huyu mtu aliyefanya hayo..ukweli wake utamweka huru. Angefanya hayo kwenye zile nyumba zao mwezi mchanga..angeshaimbiwa pambio.
Happy kwa kutumia Elimu dunia kung'amua hili walinzi walikua wp mpaka uharibifu unakua mkubwa kias hicho,tungefungia novena walioshiriki mipango hiyo miovu,Sasa hata Parokian tuwen making zaidi
Mungu wangu vipi kuhusu mlinzi anasemaje je kulikua na mlinzi??
Hapo kuna mambo ma 4. Uchizi, mapepo au chuki za kidini.
Ni chuki za kidini
Mwendawazimu hawezi haribu camera kupoteza ushahidi na kuvunja mfumo unaohifadhi hizo kumbukumbu
Kweli kabisa!
True
Mungu atampa fungu lake
Alimohamed kwa nini unasema atatafutwa muislamu abambikiwe kesi??
kwanini unajishuku?? au mmezoeleka na tabia hizo?? kwani muumini hawezi fanya haya?? usijihukumu kuwa katika imani yako mwamini Mungu utakuwa huru
subiri matokeo !!
Huyo mtu ni hatari sana,anakinyongo kikubwa sana na kanisa.Kumbe alikamatwa? Hongera Sana... Imani ni mbaya sana,atakuwa amepandikizwa imani mbaya!
Hajapandikizwa kajua ukweli hata Yesu Aliharibu mambo ya hekaluni wakasema ni Imani. Mbaya
Sanamu zinamkera pole
Zina mhusu nini sanam? Sanam zipo kanisani tu? Serikali haitumii sanamu? Stupid
Wewe ndo ulimtuma? na ana bahati waumin hawakumkamata ndo angejua kwa nn mayahudi wanachukiwa
Bila shaka ni wale wanaotaka nchi hii iwe na dini Moja kama walivyofanya ktk badhii ya nchi
Kweli Kama ilivyo uingereza na marekani.
Poleni Sana wanaGeita Mungu tusaidie
Kumbe aliyefanya haya ni mkristo kwa maelezo ya kamanda na alikuwa muumin mzur toka makanisa ya bukoba kwa maelezo ya kamanda
Kwa hiyo unasemaje 🙄
Ndio police wanasema alikua amelewa uhhhh Kuna walakini?
Wanadai alifata kikombe Cha dhahabu
tena uyo kijanaaa lazima wakikrstoo ila watu wanabshaaaa a
Mungu wa rehema atawaangazia
Mungu amlehemu
Hiyo anasiku nyingi za kuishi mungu atampa majibu yake
Tatizo nyinyi maasikofu mnaubaguzi. Nyinyi mnavaa vikofia halafu wengine hawavai.
Mungu akuhurumie
Sasa huyo kijana alitaka kofia mbona hakuna uhusiano.
Hadi anabomoa hakukua na mlio kuwaamsha watu au kanisa liko peke yake kabisa?? Dahh poleni sote kwakweli inauma sana
Hallo Dada! Pole, Ujerumani kwema?
Kanisa halina ulinz?
mungu amlaani sana aliefany kitendo icho
Mungu ni wa Rehema wewe wasema alaaniwe huenda mwenzio aliko kashatubu na kasamehewa
mwenyezi munhu amsamehe jamani na ukweli wake utamuweka huru angejitokeza tyuu aombe toba atasamehewa
Anayekataa sanamu asitumie pesa, asipige picha wala asisome maandishi!
HUYO KIJANA MPUMBUVU SANA HAJUI KM HY NI LAANA SAANA MUNGU AMLAANI SAANA. HUYO NI MWENYEJI ANAJUA MAZINGIRA YA HAPO. HANA AKILI MUNGU AMLAANI SAANA. NA AWE NA MAISHA MAGUMU.
MUNGU awatie nguvu waumin wezangu
Jamani watu awaogopi ata nyumba yamungu
Hizi nisiku zamwisho yapasa kuomba sana
Yaan mtu unaiba kanisan huyu analaana kbs na kwarezima hiiii loooo 🙄🙄🙄🙄
Ameharibu tu hajaib
Hana laana Askofu kasema kavunja Sanamu hivyo alipishwe na sheria ichukue mkondo wake
Nafikiri huyu mtu hakuwa ni mwizi, bali alikuwa na lengo la kuharibu vitu vitakatifu vya kanisa.
Hataki muabudu sanamu
@@moshifrank9622 kuwa na chuki tu ila hutalitingisha kanisa katoliki wewe.
Yesu yuko palepale
aina kutubu io
Bila shaka ni wadini Fulani upande wa pili wanachuki sana na ukristo pole sana.
Duu mpaka makanisani jamani 😥
Mungu mpe adhabu anayo stahili
Kanisa halina mlinzi?
sasa ukiriuriza sanamu arisemi nani kavunja
Hahahaah
Sanamu halina kitu 😃 vunja hata Ibrahim alivunjag masanamu Ili watu wamiabudi mungu wa kweli 😂 pasuwa hizo sanamu
@@khadidjasuleiman8006 good
Ubarikiwe
Mungu akusamehe
tufunge kwa ajili yake
Atajuuta kmwaga sakraent
Hakuna walimzi jamani
Tunahitaji maombi tunakoelekea sio,
hataki kuona kanisa ramashoga uyo papa etu anasema asgitika kuona Sheria zinazo wabagua wapenz wajinsia moja shenz sana ilo kanisa ra mashetani
Poleni Wana Geita
Jay nyeye kila mahali kuna lbada za sanamu mfano Nyota na mwezi, mafuta ya upako sijui chumvi matarasimu , matambiko vyote hivyo ni lbada za sanamu
Mungu hataki hayo yote ni upuzi Sana unalilia mdoli kuvunjwa
@@jay-nyeye1900 basi usitumie hela ndugu yangu maana hela ni sanamu.
Samehe 7×70 huu ndio usia wa Yesu kristo mwana wa nazareti
😢
Hizi nisiku zamwisho yapasa kuomba sana
Kanisa litamsamehe ila sheria za nchi zitamshughulikia
Dhahiri kanisa litamsamehe kwani ndiyo moja ya kaulimbiu zake lakini vyombo vya ulinzi na usalama vitaendelea kutimiza majukumu yake.
Abuu wew ni chizi kwa maana huwezi kejeli din ya mwenzio kwan wew umauti ukikta una kwenda wap sote tuwasafili twaenda mbinguni na gari yetu ni kifo
Ta berenakuro ni nani uyo mpe pore
Labda ni alkaida au Al shabab
Usiwe ni wakuhisi au kudhani kaka sio jambo zuri pia hayo mauaji yanayotokea huko wanaua alkaida au alshabab? Geita nzima kanisa liko moja tu hao alkaida au alshabab wakavunja?
Alkaida ni level nyngine acha wasikusikie ndugu
@@ismailchongera9812 Bora tu wasisikie maana ni wauaji wakubwa wale, wanabaka watoto wa kike na wanawake, utu hakuna. Wale walishajua Mungu hana maana kwao
JAMAA YUPO SAHIHI NI BAADA YA KUFAAM UKWELI AKOANA WANACHEZEWA SHERE KWAIYO HANA DHAMBI KWA MUJIBU WA BIBLIA... 🙏 🙏 🙏
KIJANA NI JASIRI WA MBINGUNI HAKIKA KAMA HAMNA NIA OVU YOYOTE NDANI YAKE
Nakushauri tu ubadilishe hata hilo jina ulilo weka kwa sababu mandiko bado huya fahamu
Kama aliona anachezewa shere, kwanini asiache kusali mpaka afanye uharibifu? Mbona wengi wamehama? Kwani alilazimishwa kubaki? Tena afungwe sawa sawa
Biblia kitabu kitam; mimi naona hauko sawa na MWENYEZ MUNGU, wala hauna Imani ya UFALME wa MBINGUNI, nasema hivi kwa sababu gani, Mtu alie wa Mwenyezi Mungu na mwenye Imani thabiti, amemuomba Baba wa Mbinguni kwa roho na kweli hawezi kuongea upuuz kama unapoongea wewe juu ya kanisa hili la Rc, Yaan ndani yako hauna MUNGU, na wala wewe siyo mtu wa maombi ungekuwa wa maombi Mungu angekimbia ukweli juu ya kanisa kathoric, Yaan ndani yako ibiris amekujaza chuki juu ya kanisa kathoric, hauna mda wa kujibembeleza kwa BABA wa MBINGUNI ila mda wako unatumia kuifikiria kanisa la Rc, ndugu nakusih ishughulikie na mambo ya mbinguni acha kushughulikia makanisa yasiyokuhusu, utajikita unaenda kuzimu halafu uliemdhihak anaenda Mbinguni, Halafu pia hapo ulipo unajidhihirisha mwenyewe inalitumia jina la BIBLIA KITABU KITAMU ila hulitendei haki kulingana na matendo yako inamchukua sana YESU kwa mwenendo wako huo, unakifanya unabeba BIBLIA ila Imani na matendo viko mbali na wewe, hapo wajisumbua bure mbele ya MUNGU, Mwisho kanisa halitakufikisha kwenye UFALME wa MUNGU bali Ulimi wako, Imani na matendo, kwa hiyo kifupi mimi nitaendelea kua mkathoric, acha kuhangaika na kujisumbua kwa madhehebu ya wenzako maadamu nasi tunamuomba BABA wa MBINGUNI alie hai nahisi umeelewa, Nakuombea kwa MUNGU akuondolee Roho chafu akuwekee roho safi kwa JINA LA YESU.
Ww bado unaonekana hta biblia huijui na ujaisoma ukaielewa. Kama ujui kitu nyamazaaaaaa
Kwa hiyo wewe ndo upo sahihi?
Moshi wizi wa sadaka ! Geita uharibifu watu ! Hawana hofu kabisaa
Kumbe amevunja sanamu pia,sanamu,sanamu,sanamu
🤣🤣🤣🤣🤣
Kanisa halina walinzi? Duuuh... kuna kitu cha kujifunza
Kanisa kubwa Kama Hilo inabid liwe na mlinzi jmn y
Masahihisho ni Katoliki sio Katoriki
Huyo kijana alaniwe kabsa milele
Utamlaanije ambaye Mungu hakumlaani,Hakuna mwenye mamlaka ya kumhukumu mtu isipokuwa Mungu TU.Huyo amebeba ujumbe kutenda TUKIO Hilo,Achunguzwe atatoa taarifa SAHIHI TU
Nani amlaani?
Sad indeed but why????
Good Kwestion
Huyo kijana ni mgonjwa wa akili
Simgonjwa huyo mgonjwa gani wa akili anaharibu kwanza kamera kupoteza ushahidi ndoaanze kufanya uharibifu
Kwa kitendo cha laana hiyo aliyoifanya Altareni laana hiyo iambatane naye milele
Wewe ni Nani unaye taka mtu alaniwe?
@@jay-nyeye1900 we naye umetoka kuzimu ? Ninarudia kusema na alaaniwe tena na tena au ndio mmeshirikiana wewe na yy kuharibu vitu vya kanisani? Na Kama umeshirikiana naye ninasema mlaaniwe nyote.
@@mwanduelizabeth2282 unafikiri laana inatoka kipuzi Kama unavyofikiri?
@@jay-nyeye1900 utajijua Wala usinisumbue kipi kinachokutesa kwenye moyo wako kutetea mharifu naona umeumia Sana mm kusema alaaniwe uuuwi makubwa! Nahisi na wewe unakazi Kama ya huyo aliyeharibu kanisani maana si kwa kuumia huko mfyuuu!
@@mwanduelizabeth2282 hamna haja ya makasiriko na kumtakia laana mkosaji. SiSI wakiristo tunaambiwa HUKUMU NI YA MINGU.
askofu mtu huyo akitokea kukuomba msamaha mahakaman je, uta msamehe? Maana kila siku mwatufundisha tusamehe mara saba sabini. Hata kama mtu ame kuulia mamaako msamehe2.
Kusamehewa ni lazima kwa Wakristo, hata sasa hivi tayari ameshasamehewa, ila sasa hawezi kuachiwa maana huwezi jua ajenda yake na pengine kuna wenzake.
Kifungo na sheria ya nchi inabaki palepale kwa ajili ya Usalama wa jamii kwa ujumla.
@@Fm-MornStar2014 uki mkabidhi kwa jeshi la police huja msamehe utakuwa mnafki
@@wakatv3704 soma Komenti yangu vzr.
Kanisa limemsamehe, je serikali itamuachia ili aendelee kukosesha jamii amani na utulivu?
Utajuaje atakachokifanya akiachiwa?
@@Fm-MornStar2014 imani ilikua zaman sio sasa wote wa huni ndugu.
@@wakatv3704 amesamehewa sasa, kwa hiyo aachiwe hata akiamua kuchoma makanisa yote Geita achome sio?
Amelaaniwa
Hamnaga walinzi? Kwani hakujua atakamatwa? Bangi hizo alimjaribu mungu tupeni jina lake
Duh watu wanamatatizo vichwani kweli
Hivi watu wengine hawana akili timamu. Wewe unayesema tunaabudu sanamu inakuuma nini. Fuata maadili ya dini yako pengine na wewe ni mmojawapo.
@@eutropiaminja Kuna sehemu umeona comment yangu ya kuabudu sanamu kweli naelewa sana maana ya vifaa vitakatifu vya madhabahuni hivyo siwezi kutoa neno baya hata kidogo
Wee bibi acha kejeli wewe je? Wewe unaweza kuuliza Mwezi na nyota unazoziabudu??
Geita iombewe jamani na njombe
Kweli mpendwa maombi yafanyike kwa nguvu hiyo milos😏
Mungu atafanya miujiza yake tutajua Nia yake nin Wala tusmuhukumu Kwa sasa
Zaidi ni mwenyeji humo ndani lzm
Lipo neno tu na kama angekua mgeni angenaswa na kamera lakini kwakua mazingira anayajua ndio maana katekeleza kaz yake
Itakuwa alitumwa huyo
Inawezekana ni huyu huyu aliyevunja kwangu na kubeba vitu vyangu vya msingi vikiwemo vitabu na vyakula pamoja na mavazi.
Jamani nakaa jirani na jimbo kuu katoliki la geita.
Nimeumia sana 😮💨😭
Ni usiku wa kuamkia tarehe 25 February ambayo ni jana
Duuuuuuh
Yaani hapa nimechanganyikiwa tutorial zangu zote wamebeba 😭 nikiwa safarini
🤣🤣🤣🤣
@@paschalsafari9747 😳🌝🌝🌝
Umenena vyema kabisa