Mungu wewe ni nimwema ulisema ninani alieomba mkate nikampa jiwe basi mungu tenda miugiza kuhusu uhalifu huu tumeumizwa na Jambo hili naomba yesu kupitia kwaresma Jambo hili lisitokee Tena mungu bariki kanisa letu amina
Mungu atuhurumue tunatubu kwa udhaifu wowote kiwajibu hadi kutokea tukio hili la kufuru kubwa kwa kanisa. Namshauri baba askofu na wasaidizi wake wasiachie hatua za kisheria za nchi pekee kwa mtuhumiwa au watuhumiwa waruhusu mhusika au wahusika kupata ushauri wa kiroho ikiwemo tioba Yesu Kristo chemichemi ya huruma asamehe kote.Amina.
Inaumiza mno! Imagine sehemu watu wanakopatia uponyaji wao wa kiroho huyu mtu ameumiza maelfu ya watu sio kanisa tu. Inauma sana lakini Mbele za Mungu hakuna mabaya yanayodumu. Poleni sana ndugu zetu. Mungu aendelee kuwapa Neema na Baraka awavushe katika hili
Inaumiza sana, lkn maneno ya Baba Askofu yanatia moyo na wote wenye mawazo ya kuharibu mahekalu ya Mungu waabishwe, wafedheheshwe, Utuhurumie Mungu wetu
Plleni sana wenzetubwa Geita...Mungu awafariji... tukio hilo la kukufuru halieleweki kwa mtu mwenye akili timamu hata kama sio muumini. Nitaomba nanyi. Wakatoliki wa Kenya 🇰🇪 tunawaomba na kutubu pamoja nanyi ndugu zetu.
Ukiwa nahasila sn dw yake nikusamehe kama vile papa mtakatifu alivyo msamehe aliempiga lisasi ya mdomoni hivyo nawaomba waumini wakatoliki wote duniani tangazeni msamaha
Shetani aliemuongoza kufanya hayo yote ashindwe kabisa. Hilo ni jaribu kwa kanisa kipindi cha kwaresma asamehewe lakini ni vyema asaidiwe kiimani asiwe ako kwa cult inayopinga Mungu inayomtesa pia
Nimeumia sana poleni sana wakatoriki wa geita,mungu aonae silini atafanya njia
Mungu wewe ni nimwema ulisema ninani alieomba mkate nikampa jiwe basi mungu tenda miugiza kuhusu uhalifu huu tumeumizwa na Jambo hili naomba yesu kupitia kwaresma Jambo hili lisitokee Tena mungu bariki kanisa letu amina
Mungu atuhurumue tunatubu kwa udhaifu wowote kiwajibu hadi kutokea tukio hili la kufuru kubwa kwa kanisa.
Namshauri baba askofu na wasaidizi wake wasiachie hatua za kisheria za nchi pekee kwa mtuhumiwa au watuhumiwa waruhusu mhusika au wahusika kupata ushauri wa kiroho ikiwemo tioba Yesu Kristo chemichemi ya huruma asamehe kote.Amina.
Uhimidiwe Bwana kwa Imani,Matumaini,na Mapendo,Tumshukuru Mungu kwa kila jambo huku tukiamini atatenda jambo juuu ya hilo Ee Bwana uturehemu
Mungu Mwenyezi Ameona uharubifu, tumkabidhi taabu na shida zetu. Tukieaombea waliotenda Jambo la kushangaza mno! Tumsifu Yesu Kristi. Amina
Inaumiza mno! Imagine sehemu watu wanakopatia uponyaji wao wa kiroho huyu mtu ameumiza maelfu ya watu sio kanisa tu. Inauma sana lakini Mbele za Mungu hakuna mabaya yanayodumu. Poleni sana ndugu zetu. Mungu aendelee kuwapa Neema na Baraka awavushe katika hili
Inaumiza sana Wakatoliki tumeumizwa.Mungu wetu usinyamaze katika kufuru hii.
Mungu anatupigania, mpaka kumwonesha aliyefanya tukio hilo, Mungu asante kwa upendo wako, wanageita Mungu awatie nguvu
Inaumiza sana, lkn maneno ya Baba Askofu yanatia moyo na wote wenye mawazo ya kuharibu mahekalu ya Mungu waabishwe, wafedheheshwe, Utuhurumie Mungu wetu
Watu wa Mungu humrudia Mungu kwa kila jambo na Mungu hujibu
. Poleni wana Geita.
Ombi langu kwa mh. Baba Askofu Kasala umsamehe kijana huyo ili ukatoliki wetu uwe na heshima hata Yesu aliwasamehe waliyomtesa.
Plleni sana wenzetubwa Geita...Mungu awafariji... tukio hilo la kukufuru halieleweki kwa mtu mwenye akili timamu hata kama sio muumini. Nitaomba nanyi. Wakatoliki wa Kenya 🇰🇪 tunawaomba na kutubu pamoja nanyi ndugu zetu.
Mungu tuhurumie si wakosefu😭😭😭😭😭
😭😭😭inauma Sana, Mungu utuhurumie
Amina mpangilio mzuri.Mungu atuhurumie. Hivi aliyetenda Hilo no Mmritu am a.
Mwenyezi mungu tusamehe sisi wanadamu
More painful 😭😭😭😭
Mungu atusamehe tuombe zaidi poleni(INAUMA KWELI)
Mungu awasamehe kwani hawajui walitendalo
Wawa ulimuengu Kuna mambo religious fantastic
Mungu atutie nguvu
Mungu atukuzwe
Pole sana watu wa Mungu
Hee mungu tunakuomba uwaurumie awajui watendaro
Ni kufuru kubwa. Tuliombee Kanisa zima
Ee Mungu umsamehe alienajisi patakatifu pako na kupitia tukio hill aongoke
Kitendo kilichofanyika kibaya Mungu anajua atashugulika nae
Mungu tusaidie
Duh??? MUNGU wangu 😭😭😭
Inauma saana
😩
Ukiwa nahasila sn dw yake nikusamehe kama vile papa mtakatifu alivyo msamehe aliempiga lisasi ya mdomoni hivyo nawaomba waumini wakatoliki wote duniani tangazeni msamaha
Shetani aliemuongoza kufanya hayo yote ashindwe kabisa. Hilo ni jaribu kwa kanisa kipindi cha kwaresma asamehewe lakini ni vyema asaidiwe kiimani asiwe ako kwa cult inayopinga Mungu inayomtesa pia
Sasa mnafungaje
Ohoooo huruma ya Mungu itawale
Kufunga si lazima kanisani, novena itajibu!!!
Mmeambiwa ni mlevi mtaoata dhambi burr
@@zakiamseka9698 mlevi angepata wapi akili za kuvunja Camera
Kanisa likinajisiwa lazima lifungwe hadi libarikiwe tena. Ni sheria ya Kanisa.
Huyo.jamaa.atapata.laana.ya.moto.wamilee.hadi.kufa.
Mimi wala siamini kama ni mlevi maana alipate akili ya kuharibu camera huyo ana lake jambo
Ee mungu utuhurumie sisi na dunia nzima