mungu azidikukubariki bosi wangu mana tunaokutegemea sisi tupo wengi mungu akizidikukubariki nasi tutafurahi pampja nanfamilia zetu mungu akubariki sanaaa
Asante mkuu Helkopter baba c mchezo bei usitaje mzee baba hatatubisha umetunyosha mkuu hilo la air port,hatutabisha bocc,hella jamaa, mashaaalah mlokozi umetunyosha,baba,
Wanajua watspata pesa wakitoka hapo,hiyo ndio kazi wanapenda,maana kama raia wote tungekuwa tunapata ulinzi wa namna hiyo vifo binavyosababishwa na Police visingetokea.
Usijidanganye ukadhani Mafanikio ni kama mnavyoyadhania wengi wenu mkisema Mungu amuinue Kwani nyie Mungu huyo anaemuinua yeye nyie hawaoni? Kuna muda mwingine muwe mnanyamaza Mafanikio ya watu myaache kama yalivyo,
Upo sahihi kabisa! Anatembele trillion na point, anamiliki zaidi ya mabillion, Kodi kalioa zaidi billion 4 pesa ambayo unaweza kumalizia mradi wa mwendo kasi dar😅. Huyu jamaa ukifanikiwa kumteka paka wake umetobowa maisha😂.
Tanzania bhana duuuuuh hapo kenya vyombo kama hivyo wazungu ndiyo huwa wana tumia kuendea mashambani hapa bongo sasa mtu akiwa na chopper mapaparaz wanapata kazi kwi bongo ni uwongo aloooh
Wewe mtangazaji nimekupenda utangazaji wako, umenyooka kweli, sauti na melody nzuri
😂😂😂 godlove weeee!! njoo huku uone liality ya utajiri,🎉🎉🎉yako bro
mungu azidikukubariki bosi wangu mana tunaokutegemea sisi tupo wengi mungu akizidikukubariki nasi tutafurahi pampja nanfamilia zetu mungu akubariki sanaaa
Mungu Mimi ni bilionea
Asante mkuu Helkopter baba c mchezo bei usitaje mzee baba hatatubisha umetunyosha mkuu hilo la air port,hatutabisha bocc,hella jamaa, mashaaalah mlokozi umetunyosha,baba,
Maashaallah. Umefanana na watoto wako Allah akukuzie watotowako wawe watoto wema 🤲
Big up
Mashaaalah, Allah amuhifadhi
Mke wake anazingatia mashart na vigezo
Pombe ni haram
Mbona wanafamilia wako hakuna anayeonekana kama unagonga hayo mambo mnayozalisha
Hongera sana billionaire
Excellent
Big up
Uyu ndio tajiri sasa
Wanajua watspata pesa wakitoka hapo,hiyo ndio kazi wanapenda,maana kama raia wote tungekuwa tunapata ulinzi wa namna hiyo vifo binavyosababishwa na Police visingetokea.
Mungu aendelee kukupatia maisha marefu bro maranyingi najifunza mambo mengi kwake.
Ubarikiwe sana
Hongera😊
Akisema yes no one can say no
Smart guy
Honngera kyomaa umetishaaa
Inatia moyo. Kuna mengi ya kujifunza. Kila mtu angetamani apige hatua fulani katika maisha yake kuyaendea mafanikio. Inawezekana maadam bado tunaishi.
Kabisa kikubwa uzima
Usijidanganye ukadhani Mafanikio ni kama mnavyoyadhania wengi wenu mkisema Mungu amuinue Kwani nyie Mungu huyo anaemuinua yeye nyie hawaoni? Kuna muda mwingine muwe mnanyamaza Mafanikio ya watu myaache kama yalivyo,
@@mochemba Quite irrelevant, I suppose! Sioni kama maoni yako yana akisi nilichokiandika. Japo naheshimu maoni yako!
Jamaa anamenya maisha tu
Hujui anayo yapitipia kaa kimya usiombe yakukute kaka
Hongera mzee. Uinuliwe zaidi. Amen.
Huyu jamaa yupo smart sana angekuwa mwingine apo misifa kibao
Jamani tafteni Hera utalindwa hata na CDF
Vinywaji vyako kaka vinemaliza vijana mpaka vioski vinauza pombe
kaka huwezi air pot usifikiri ni pombe hz
Airport za MKOANI NI kijumba kimoja na kiwanja Tuu unaweka lami Barbara kama KM2 Hivi basi
Next time usipande tena humo na familia yako yote ni hilo tu mwanetu 🤔🙏
Ila wapande gari
Wengine watembee kwa miguu na bodaboda, eti?
@SylvesterKameo Mimi naweza nikawa nampenda zaidi huyo mwamba kuliko wewe unaefikili namzalau au namuonea wivu ila ni ushauli tu sio lazima aufuate
Mm nimekuelewa binafs@@eaglecrown1101
Manyara yetu hiyo jamaa anaitangazaaa
Police kazi Yao ni kulinda wananchi na Mali zao!
Kwa hiyo anayeuliza police wanafanya nn hapo! 😅😅 Ni kwamba wanamlinda raia na Mali zake!
Upo sahihi kabisa! Anatembele trillion na point, anamiliki zaidi ya mabillion, Kodi kalioa zaidi billion 4 pesa ambayo unaweza kumalizia mradi wa mwendo kasi dar😅.
Huyu jamaa ukifanikiwa kumteka paka wake umetobowa maisha😂.
Si wamlinde ata tundu lisu anae tetea maslahi ya watanzania.
sasa hivi king godlovee atasema yakwake 😂
King huyo mwendawazimu
Mzee wa smati gin watu wanakuwa vichaa mtaani ww una dunda na chopa
Wamelazimishwa kunywa?
Kwaninanauza pombe huyo au nini?
@@HanifaOman-oo4pl anauza Juice
@@HanifaOman-oo4pl ndio mwenye kampuni Kubwa ya pombe Kali Tz
Kwani yeye ndo anawanyeshwa kilazima? Acha chuki za kimaskini nduguyang
Vp
HONGERA MAISHEIJA MUNGU AZIDI KUKUIMARISHA.
Hawa ndiyo watu wenye pesa na hawaringi kama chief godlove 😂😂
Sawaa sio mond maklele
Sasa polisi mabunduki ya nini kwan huyo ni kiongoz upambe mwingine bana
Ni bilionea c unaona yanayotokea Kila kukicha
Tajiri lazima alindwe anaweza vamiwa na wahalifu 😂😂😂😂 tafuta hela mkuu
Tanzania bhana duuuuuh hapo kenya vyombo kama hivyo wazungu ndiyo huwa wana tumia kuendea mashambani hapa bongo sasa mtu akiwa na chopper mapaparaz wanapata kazi kwi bongo ni uwongo aloooh
Umecma wazungu co nyie waluya.
@hamadsheni8997 tembea uji onee mjomba Sjui kama umewah kufika NAIROBI hata?
Sasa si mtulie kwenu mapovu ya nini
Inamaana polisi awana kazi ya kufanya
Sasa si ndio hiyo kazi ya kufanya brother...au unadhani unalipa kodi sawa na yeyee😂
Kazi ya polisi ni kulinda watu na mali zao
Watu wanatekwa waoo wanalinda mtu binafsi
@@NicIbrahimhiyo ni kazi ya polis wanalipwa hapo na huyo aliomba ulinzi
Daimond hata hiki tuu hana sasa ndio tajiri wa kwanza duniani
Hizi ni maisha mabaya hapo mbeleni kwa mwenye akili mauaji yanayofanywa na kilevi mmmmmm usiombe ufe .
Vp