🔴 LIVE: KUVUNJA LAANA ZA VIZAZI SEH:2-PR.DAVID MMBAGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 27

  • @fatumachagudadui3138
    @fatumachagudadui3138 23 วันที่ผ่านมา +6

    Kupita masomo haya naomba laana zangu Yesu pekee ndiyo azibebe nipate kusaidia familiya yangu, nikidhi pia mahitaji yangu salio litoshe na baki iwepo ee Mungu kupitia somo hili nililojifunza kupitia Mtumishi wako PR Mmbaga naomba Mungu anisaidie nifanikiwe umaskini ni laana kukosa ajira ni laana pia nafungua milango ya ajira kuanzia sasa navunja roho ya kukataliwa kupitia somo hili napokea Roho wa kukubalika kuanzia Sasa kwa jina la Yesu Amina Barikiwa sana Pastor Mmbaga

  • @SuzanaNyanda
    @SuzanaNyanda 23 วันที่ผ่านมา +2

    Barikiwa sn mtumishi pastor mbaga ,,,, BWANA AMENIFUNGUA

  • @Marianamsafiri-sm2vx
    @Marianamsafiri-sm2vx 13 วันที่ผ่านมา

    Kupitiya neno Hili e Mungu wangu naomba uvunje laana zote za vizazi, za familiya, za ukoo uyatakase maisha yangu uniokowe Amen

  • @lucmahugo2354
    @lucmahugo2354 23 วันที่ผ่านมา +4

    Pastor hata mifupa imekiri kwa mahubiri haya
    Yaani final kabisa
    Imani yangu kwamba marubiri haya nitafunguliwa kabisa
    Asante Mungu akubariki

  • @denisomeginyangeri7514
    @denisomeginyangeri7514 23 วันที่ผ่านมา +3

    Pastor napenda sana mahubiri yako sana. Mungu akubari sana

  • @daudnyore4696
    @daudnyore4696 22 วันที่ผ่านมา +1

    Jina la Mungu Muumbaji litukuzwe,
    Tangu 2011, mpk leo sauti ya Mungu kupitia Neno lake analoweka ndani yako Mchungaji Mmbaga nimekuwa nikibarikiwa naamini wokovu wangu katika mapambano ya kiuchumi u karibu na ninao uhakika wa Uzima wa milele katika Kristo Yesu
    Ahsante kwa Kunifundisha bidii katika kuomba
    Mwenyezi Mungu akuzidishie Wema wake Pastor pamoja na timu nzima ya Mahubiri tv

  • @dukeotora
    @dukeotora 21 วันที่ผ่านมา

    Am Duke from kisii please pastor niombee Sana niko Na mgogoro Wa familia

  • @eliahsikira976
    @eliahsikira976 23 วันที่ผ่านมา +1

    Nabarikiwa sana pastor.....
    Ninachangamoto ya kiafya siku nyingi zimepita naomba uniombee

  • @Graceryoba-f5k
    @Graceryoba-f5k 22 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe pastor

  • @petromasunga3715
    @petromasunga3715 22 วันที่ผ่านมา

    Amina pasta Kwakweli mi nimetengwa na ndgu zangu Baba wadogo, Kwa kusema ukweli, Sina baba baba amefaliki Tangia mwaka 2012 baba zetu wadogo watulee lakini wanatunyanyapaa ,Mungu ni mwema atatusaidia tu pasita Kwa kusikiliza mahubili Yako tunafalijika

  • @alicemwaka3762
    @alicemwaka3762 22 วันที่ผ่านมา

    Emeeen Mungu akubariki mchungaji

  • @kwandundaki8568
    @kwandundaki8568 23 วันที่ผ่านมา

    Mungu ninashukru mimi ni tajari na ninaomba uendelee kunipa roho ya kutoa ili nisaidie binadamu wenzangu.
    Amen

  • @aliceemali1697
    @aliceemali1697 23 วันที่ผ่านมา

    May God bless you and give you strength to accomplish your purpose in this world 🙏🙏

  • @SigwaLusaja
    @SigwaLusaja 23 วันที่ผ่านมา +1

    Ninaamini nimesafishwa kabisa na laana zote na mikosi yakila aina pamoja nakizazi changu kwa jina la yesu

  • @pollenjile1299
    @pollenjile1299 23 วันที่ผ่านมา

    Pr bwana akubariki sana sana uwe na moyo mkuu

  • @happyjohn5153
    @happyjohn5153 23 วันที่ผ่านมา +1

    Pastor naomba uniombee, napitia changamoto ngumu sana japo siikiri kama unavofindisha, ila natamani ningekuona pastor, nabarikiws

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  23 วันที่ผ่านมา +1

      Mungu akutendee muujiza Happy

  • @jacquelinej.mmganga9538
    @jacquelinej.mmganga9538 21 วันที่ผ่านมา

    Pastor sipati masomo yanayoendelea somo hili

  • @dr.ikekosingo7900
    @dr.ikekosingo7900 23 วันที่ผ่านมา

    Hallelujah

  • @gracemakengo
    @gracemakengo 23 วันที่ผ่านมา

    Amina

  • @kwandundaki8568
    @kwandundaki8568 23 วันที่ผ่านมา

    Pastor naomba kuchangia vitabu kidogo kwenye hayo madeni ya vitabu unavyodaiwa naomba namba ya kutuma pesa

  • @GeorgeBarnaba-to5sx
    @GeorgeBarnaba-to5sx 22 วันที่ผ่านมา

    Jamani samahani, hapa tunajifunza Pr anapenda kusema Raudikia, sjaelewa raudikia ndo nan,?

  • @mussacharles5311
    @mussacharles5311 22 วันที่ผ่านมา

    Hakika MMBAGA umetumwa na BWANA.

  • @jacquesmwangu1541
    @jacquesmwangu1541 22 วันที่ผ่านมา

    Hii nime ifwata kabisa

  • @SigwaLusaja
    @SigwaLusaja 23 วันที่ผ่านมา

    Mchungaji mm nina swali,vp kuhusu ujenzi wa makaburi ni sahihi au ni ibada ya mizim

  • @user-mq3wj6tv6k
    @user-mq3wj6tv6k 23 วันที่ผ่านมา

    mchungaji kiukwelii nambalikiwa lakini nahitaji maombi zaidi maana nina changa moto