ZAIDI YA ABIRIA ELFU 40 WASAFIRI NA TRENI YA SGR, PROF. MBARAWA AELEZA MPANGO WA TRENI YA MIZIGO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ก.ค. 2024

ความคิดเห็น • 89

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md หลายเดือนก่อน +14

    Kweli wenye haki huwaachia watoto ulithi mwema tunamshukulu mungu kwa maisha ya magufuli

  • @omarysaid8725
    @omarysaid8725 หลายเดือนก่อน +29

    Hayati JPM ame tuheshimisha sana mungu ampoker huko aliko

    • @kesterkanyala7718
      @kesterkanyala7718 หลายเดือนก่อน +2

      NAMI, NAKUUNGA MKONO KWA ASILIMIA 100%.NA PONGEZI NI ZAKE KABISA

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 หลายเดือนก่อน +12

    Leo nimsifie magufuli kwa hii project!

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 หลายเดือนก่อน +2

    Asante sana mwamba, kipenzi chetu JPM, pumzika kwa amani

  • @chuchumeta8374
    @chuchumeta8374 หลายเดือนก่อน +5

    JPM thank you

  • @didasseveline9013
    @didasseveline9013 หลายเดือนก่อน +15

    Baadae mseme magufuri alikuwa dikteta! Wakati hayo yote ni matunda ya hapa KAZI tu

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale หลายเดือนก่อน +1

      Mbona kawaida sana? Wazungu na waarabu waliwafira, wamewapa mfumo wa elimu na dini. Mnajidai mnazijua kuliko wao waliozileta. MAE!

  • @nicodemusfidelis3772
    @nicodemusfidelis3772 หลายเดือนก่อน +1

    Asanteeee Mh . Magu

  • @vero57
    @vero57 หลายเดือนก่อน +9

    Kwahivyo tunaenda moro kula bata weekend, safi sana 👍👌🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @jasonwatz7457
      @jasonwatz7457 หลายเดือนก่อน +2

      Naaam hayaa ndio maendeleo sasa

  • @user-tk4es1uw7e
    @user-tk4es1uw7e หลายเดือนก่อน +4

    hongera sana mama jitihada ya kutimiza

  • @barackmoses7003
    @barackmoses7003 หลายเดือนก่อน +13

    Tunataka pia treni ya kutoka Dar mpk Arusha

  • @PaulinaSemindu-ob3de
    @PaulinaSemindu-ob3de หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyez Mungu amrehem huko alipo Magufuli wetu 🙏😭

  • @mmassyferguson4959
    @mmassyferguson4959 หลายเดือนก่อน +3

    Asanten sana serikali kwa usafiri mzuri wa train yetu❤

  • @omarysaid8725
    @omarysaid8725 หลายเดือนก่อน +4

    Kweli ulaya zina jengwa dah maana Dar kama ulaya kuna walio tutangulia kujenga SGR ila kwa sasa wana ikosoa SGR yao kisa yetu ni ya kisasa

    • @margarethsolomon9823
      @margarethsolomon9823 หลายเดือนก่อน +1

      John Joseph Magufuli aliwaza na kuanzisha vyema, Mungu ampe pumziko jema

  • @margarethsolomon9823
    @margarethsolomon9823 หลายเดือนก่อน

    JPM Hongera Hongera Hongera Mungu akuweke mahali pema peponi, ungekuwepo ungeona wazo lako. R. I. P.

  • @emmanuelaloyce932
    @emmanuelaloyce932 หลายเดือนก่อน +1

    Ila arusha ni muhimu sana treni ya SGR ipatikane kwa haraka sana,kwani watalii kutoka nnje wangependa sana kutumia treni ,ikwasababu itakuwa njia nzuri sana kutalii. Arusha tunataka 👍

  • @bernadndanu3435
    @bernadndanu3435 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa Nini msiwapongeze wananchi wa Tanzania kwa kulipa Kodi Ili wapate motisha ya kulipa Kodi badala ya viongozi wazo langu asante

  • @SKY-fk3fz
    @SKY-fk3fz หลายเดือนก่อน +2

    Muhimu utaratibu wa makusanyo ya fedha yapatikane na yaweze kujitengeneza yanapo haribika

  • @cngeze
    @cngeze หลายเดือนก่อน +2

    I hope wataitunza

  • @tradamus4158
    @tradamus4158 หลายเดือนก่อน +5

    Utasikia tu shirika limepata hasara wapigaji bado hawajaanza

    • @festokemibala5832
      @festokemibala5832 หลายเดือนก่อน

      @@tradamus4158 kwani shirika ni sehemu ya chombo gani kiasi lisitendw kama hicho chombo? Mtoto wa nyoka ni nyoka hivyo suala la upigaji haliepukiki ni la kusubiria tu kama ilivyokuwa atcl

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 หลายเดือนก่อน +3

    YAN IKIFIKA MWANZA ITAKUWA N UNYAMA SANA

  • @subiramwaka9792
    @subiramwaka9792 หลายเดือนก่อน +3

    Usimamizi mzuri ni muhimu lingine basi hiyo pesa iende kulipa deni. Tupunguziwe mzigo wa kodi.

    • @GibsonNtamamilo
      @GibsonNtamamilo หลายเดือนก่อน

      Zote zinspigwa mzee utajua hujui.

  • @samuelemmanuel3400
    @samuelemmanuel3400 หลายเดือนก่อน +3

    Wanzanzibar wamejaa kila sehemu, mawaziri, wakurugenzi and everywhere. Safi sana Raisi😅

    • @zawadix9574
      @zawadix9574 หลายเดือนก่อน +1

      Wa Tanzania nchi moja

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 หลายเดือนก่อน +3

    ONGERA NA ASANTE SANA MAMA , NAOMBA ULINZI NA USALAMA UWE WA KUTOSHA MAANA KWENYE MAENDELEO ADUI HAKOSI. ...... ASANTE SANA SHUJAA JPM.. THE LIVING DREAM HERO!!!

  • @benancejohn1198
    @benancejohn1198 หลายเดือนก่อน +1

    Hizo bei kutokana na kilometers ndio bado zipo juu. Ina maana reli ikikamilika,ukitokea mwanza to Dar,nauli ni sawa na umepaa na pipa.

  • @faridaally-jp1gx
    @faridaally-jp1gx หลายเดือนก่อน +1

    Usafiri mzuri sana nimeipenda sana

  • @HajiKlein-so1rk
    @HajiKlein-so1rk หลายเดือนก่อน +3

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🌹👏

  • @Shafikimanga7
    @Shafikimanga7 หลายเดือนก่อน +4

    Kikubwa ni kuweka usimamizi ili wahujumu wasije kupata nafasi ya kuhujumu mradi huu uliobadala wa watanzani kiusafiri na mapato yetu ya ndani.

    • @festokemibala5832
      @festokemibala5832 หลายเดือนก่อน

      @@Shafikimanga7 ndoto kuepuka wahujumu kwa nchi hii labda aje Yesu

  • @FahadAbubakari
    @FahadAbubakari หลายเดือนก่อน +2

    Ni wakati wa sasa wakuziongeza hizo treni zikawa nyingi pamoja nakuzipeleka na kwingine chanzo kizuri sana cha mapato ,

  • @tanzcanmediatv4473
    @tanzcanmediatv4473 หลายเดือนก่อน +2

    Jpm hoyeee

  • @user-ue2nz3vc4j
    @user-ue2nz3vc4j หลายเดือนก่อน +4

    Mama samia safi 2025 wapinzani wasiweke mgombea wa urais apishwe akamilishe miradi kwa ufanisi, Kazi iendelee 💞💞

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 หลายเดือนก่อน

      Shillingi ya Tanzania inaporomoka thalami, sasa hivi dollar ya Marekani inaelekea elfu 3, halafu unatuambia upuuzi gani wewe!!

  • @MhinaMaria
    @MhinaMaria หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuriii

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 หลายเดือนก่อน +2

    SAMIA 5 TENA HUNA MBADALA SAF SANA❤❤❤❤

    • @laurentraphael5470
      @laurentraphael5470 หลายเดือนก่อน +2

      Amalizie muda wake atoke, anajua kusafiri tu

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 หลายเดือนก่อน

      ​@@laurentraphael5470Tutamchagua mama yako anayejua kukuna nazi tu

  • @SKY-fk3fz
    @SKY-fk3fz หลายเดือนก่อน +1

    Bora ajali za barabarani zitapungua

  • @Zainabnoor0087-ze
    @Zainabnoor0087-ze หลายเดือนก่อน

    Dk Samia the iron lady umeziba mashimo kibao ww ni bonge la mama

  • @abdallahkambangwa7215
    @abdallahkambangwa7215 หลายเดือนก่อน +1

    kazi iko poa

  • @PendoUrassa-xm7ru
    @PendoUrassa-xm7ru หลายเดือนก่อน +3

    Kazi ya magufuli,

    • @MnubiMm
      @MnubiMm หลายเดือนก่อน +1

      Ni kweli kabisa lakini hakumaliza na hata kipande hicho Cha Moro hakikuisha Mama lazima Atajwe na apongezwe kwa hii miradi mikubwa kuimalizia

  • @zawadix9574
    @zawadix9574 หลายเดือนก่อน +1

    Maintain hizo treni kwa sababu sisi wa tz tuna haribu vitu vipya 😢

  • @christopherjoseph8330
    @christopherjoseph8330 หลายเดือนก่อน +4

    SGR nyingn ijengwe kutoka Dodoma hadi mikoa y kazkazini.

    • @festokemibala5832
      @festokemibala5832 หลายเดือนก่อน +1

      Dodoma to Moshi itakuwa ni ideal kabisa

    • @nasibugunda7927
      @nasibugunda7927 หลายเดือนก่อน

      Dodoma -moshi kupitia manyara na dar -moshi kupitia tanga wapi pana umbali mrefu??

    • @GibsonNtamamilo
      @GibsonNtamamilo หลายเดือนก่อน

      Ianze Kigoma kwanza😂😂😂

    • @nasibugunda7927
      @nasibugunda7927 หลายเดือนก่อน

      @@GibsonNtamamilo Kigoma inaazaje wakati ujenzi hauja
      isha

    • @nasibugunda7927
      @nasibugunda7927 หลายเดือนก่อน

      @@GibsonNtamamilo afu watu wa kigoma washazoea treni yao ile ya zamani inatembea uku inaruka ruka

  • @MhinaMaria
    @MhinaMaria หลายเดือนก่อน +1

    JPM

  • @NammanaMobile
    @NammanaMobile หลายเดือนก่อน +1

    Izo treni zote ni kwa reli iyo iyo moja au... Ndo tutalajie kauli ya Ni mipango ya Mungu. Mana wachina wana tecnologia kubwa na wana akili nyingi lakin sijaona wakitumia reli moja kwa treni nyingi

    • @samasob8233
      @samasob8233 หลายเดือนก่อน +1

      Angalia wachina walikuwa wapi 1970! Korea na Thailand, Singapore, then utaona kwamba walianza mdogo mdogo, ni kawaida sana kuanza namna hii, huwezi kulinganisha shughuli hii na washughulikaji walioanza kabla yetu na ambao kwa sasa wamebobea! Kwa reli tufananishe na nchi zilizotuzunguka, na hata fika mbali mpaka west Afrika! Cha muhimu ni kuendelea kuiongeza, baada ya watu na serikali kuwa na treni nyingi ofcourse line mbili zitaongezwa na hopefully nchi itakuwa imeunganishwa kwa reli! Nchi zote zenye reli zilianza na line moja!

    • @allykhalfankingwana5272
      @allykhalfankingwana5272 27 วันที่ผ่านมา

      Lakini unafahamu kuna kitu kinaitwa Ratiba?

  • @tanzcanmediatv4473
    @tanzcanmediatv4473 หลายเดือนก่อน +1

    Yenyewe inabeba wangapi

  • @emmanueltillya2017
    @emmanueltillya2017 หลายเดือนก่อน +1

    Hizo pesa mukalipe madeni nchi inayokopa....

  • @muzneali4747
    @muzneali4747 หลายเดือนก่อน +1

    MWISHO WA MWAKA TUSISIKIE MMEPATA HASARA TUTAJUA HIYO NI HUJUMA

  • @yohananchimbi1756
    @yohananchimbi1756 หลายเดือนก่อน

    Sasa hatutegemei kusikia mnafanya biashara kwa hasara,kwa sababu hamkosi maneno

  • @renatusblandes1131
    @renatusblandes1131 หลายเดือนก่อน +2

    Dodoma ingejegwa Stand kubwa maana watu tutakuwa tunatoka Bukoba mpaka Dodoma halafu Dodoma tunapanda kwenda DSM

  • @rasheedabby2871
    @rasheedabby2871 28 วันที่ผ่านมา

    sisi tunakuja kudai receipt tuu za mapato

  • @emmanueltuppa5459
    @emmanueltuppa5459 หลายเดือนก่อน +1

    Nawaza wenye mabasi Trip za Dar Moro 🧐

    • @samasob8233
      @samasob8233 หลายเดือนก่อน +1

      Relii ni nzuri kwa sababu italeta ufanisi kwa wenye mabasi, itashusha bei na kufanya bei ziwe halali! Migomo isiyokuwa ya lazima ya wenye mabasi itapungua kwa hali ya juu! Ndo maana ya maendeleo, kuhakikisha vitu vinakuwa affordable and service industry grows

  • @GibsonNtamamilo
    @GibsonNtamamilo หลายเดือนก่อน +1

    Issue sio kujaaa. Tuambieni treni hiyo inauwezo wa kubeba abiria wangapi?

    • @samasob8233
      @samasob8233 หลายเดือนก่อน +1

      hesabu namba ya viti ya behewa moja zidisha na namba ya mabehewa kwenye safari moja, jibu utalipata

    • @leonnyntandu4324
      @leonnyntandu4324 หลายเดือนก่อน

      Kwa mkupuo mmoja inaondoka na watu si chini ya 500

    • @samasob8233
      @samasob8233 หลายเดือนก่อน

      @@leonnyntandu4324 😁 kama ni standard 2+2 seats then one car carries 66 passengers kama ni 2+3 one car will carry....? na kama ni 3+3 one car will carry ....! Kwa hesabu ya 66 x 14 cars = 924 kwa mpigo. sasa ungiangalia hayo magari, mengine yana 2+3 na mengine yana 3+3 na open space in between or on tha back or fron of the car. Say minimum ni 70+ passengers on economy class

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 หลายเดือนก่อน +1

    Miradi ya serikali yoote huwa hasara kwa sababu ya wizi wenu sasa sijui hii itakuwaje?

    • @zawadix9574
      @zawadix9574 หลายเดือนก่อน +2

      Sio ata wizi usafi na ku tunza vitu angali mwendokasi ilivyo choka haija ka ata miaki 6 tatizo tu tunze vitu vyetu

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 หลายเดือนก่อน

    Mbarawa mbunge wa jimbo gani huku Tanganyika? Na je, wizara yake anayoisimamia ni ya Muungano?

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 หลายเดือนก่อน

      Ni mbunge wa nyumbani kwenu choko

    • @festokemibala5832
      @festokemibala5832 หลายเดือนก่อน

      @@walidmgonja3644 huo ndo uwezo wa akili yako ulikofikia! Ahsante Mungu akubariki kwa lugha nzuri na ya kupigiwa mfano

    • @samasob8233
      @samasob8233 หลายเดือนก่อน

      @@walidmgonja3644 matusi ya nini ndugu? si lazima ujibu kama huna hoja, jamaa ameuliza swali legitimate, kama jibu huna, kaa kimya pls

    • @abdallahselemani6423
      @abdallahselemani6423 หลายเดือนก่อน

      Mbarawa mbunge wa kuteuliwa na raisi kuhusu wizara yupo uchukuzi

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 หลายเดือนก่อน

    Haziwezi kugonga jamani...??