MBARAWA : ZAIDI YA ABIRIA 40 ELFU HADI SASA WAMETUMIA TRENI YA SGR

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ก.ค. 2024
  • KARIBU TUKUHUDUMIE

ความคิดเห็น • 29

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 8 วันที่ผ่านมา +6

    Kitu muhimu sanaa lazima ziwepo basi za mkoani kutoka Dodoma ziendane na ratiba ya SGR itakuwa babukubwa serikali itaona mabadiliko ya maendeleo makubwa

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 8 วันที่ผ่านมา

      Umewahi kufanya Biashara yoyote ya kueleweka ?

    • @HASASON
      @HASASON 8 วันที่ผ่านมา

      Sasa upeleke basi kutoka dodoma hapo na umesikia tarehe 25 wanafika mpaka dodoma?

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 8 วันที่ผ่านมา +5

    Hizi sit bila cover st tutalaumiana

  • @ernestsinje9700
    @ernestsinje9700 7 วันที่ผ่านมา +3

    Moro kuzuri mazingira mazuri

  • @babajay3445
    @babajay3445 8 วันที่ผ่านมา +3

    Bora turudi tukakae zetu Moro dar nyumba ni gharama sana

  • @bonaventuralupogo2149
    @bonaventuralupogo2149 8 วันที่ผ่านมา +7

    kwamba mlikua hamjui kama kunatakiwa kuwe na barabara na hivo vingine

    • @akidamakida6092
      @akidamakida6092 8 วันที่ผ่านมา

      Just imagine.. I really dont understand!!

    • @HASASON
      @HASASON 8 วันที่ผ่านมา

      Hawa watu wanaweza ongea kitu ukashangaa kumbe hata heshima uliokua unawapa uliwapendelea

    • @charlesmwambinga4355
      @charlesmwambinga4355 7 วันที่ผ่านมา

      Yaaa hakifiki hata 1B na huitaji hata stand hapo nyingine ni kuweka waiting bay na parking kubwa basi...min Buses za kuchukua watu kuwapeleka katikati ya Mji kila siku bajaji na pikipiki...mpaka lini ???😂😂😂

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 8 วันที่ผ่านมา +2

    Mkuu wa mkoa morogoro hukujua kwamba kunahitajika barabara za kuingia station zinahitajika? Barabara ni mbovu!

  • @DeogratiasMadaraka-b9v
    @DeogratiasMadaraka-b9v 7 วันที่ผ่านมา +1

    Nashauri siti cover ziwe rangi ta bendera ya jamuhuri itapkuwa unyama sana🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @joshuachimwejo5892
    @joshuachimwejo5892 5 วันที่ผ่านมา +1

    TRC tafadhali sana, nawaomba washaurini TARURA/TANROAD/MANISPAA YA MOROGORO waweke lami kipande cha barabara ya kutoka Station hadi barabara kuu ya Morogoro-Dodoma(Kihonda kwa Chambo). Kipande hicho kina vumbi kali sana.
    Mtu anatoka kwenye treni akiwa msafi, kufika kwa Chambo hatamaniki, huo sio ustaarabu tunaoutaka watanzania kwasasa.

  • @babajay3445
    @babajay3445 8 วันที่ผ่านมา +1

    Safi sana

  • @magorymara5515
    @magorymara5515 8 วันที่ผ่านมา +1

    Tunachowaomba tu ni kuwa wabunifu na wasafi usafi katika miundombinu yote kuanzia treni zenyewe majengo na kazalika

  • @edsonnelson4464
    @edsonnelson4464 7 วันที่ผ่านมา +1

    Chondechonde nawaomba msije mkaibinaifisha yakaja yale ya waliowapa Wahindi hivi serikali zetu zikoje kila kitu kizuri ni uwekezaji. Muone aibu

  • @amirisaid6341
    @amirisaid6341 7 วันที่ผ่านมา +2

    Ben mwanantala yupo wapi siku hizi?

    • @Ambagaye
      @Ambagaye 7 วันที่ผ่านมา +1

      Swali zuri sana; hata mimi nam-miss Ben kwenye channel hii

    • @amirisaid6341
      @amirisaid6341 7 วันที่ผ่านมา

      @@Ambagaye 👍

  • @MarryCharles-rc6ei
    @MarryCharles-rc6ei 5 วันที่ผ่านมา

    Soon tutasikia kapewa mwekezaji

  • @davidmalogo7100
    @davidmalogo7100 8 วันที่ผ่านมา +6

    Magufuli aliona mbali sana chaajabu ninacho kiona kwenyetaalifa hizi magufuli hatajwi kabisa anatatwa Eva ,Yani watanganyika sio wajinga hata mfiche ya magu magu anaishi ndani ya mioyo ya watu ,Yani hata hamonaizi nimemwona kahojiwa hakutaja jina la mwazilishi ila kamtaja samia mbona mbona kama Kuna kitu kinafichwa kwa magufuli Yani nyie machawa ,,mungu atafanyatu miujiza nakuangamiza huyu utawala wa yezebeli

    • @NDEWARA
      @NDEWARA 8 วันที่ผ่านมา

      Pole 😅

    • @lifeonearth94
      @lifeonearth94 8 วันที่ผ่านมา +1

      Magu alikuwa na maono sana

    • @elinamilyatuu7337
      @elinamilyatuu7337 8 วันที่ผ่านมา +1

      Ukishampa kiongozi kura anawajibika kukuletea maendeleo...kwahyo labda useme serikali ya awamu ya tano sio kumtaja fulani na uache ujinga

  • @musicschool_tz7014
    @musicschool_tz7014 6 วันที่ผ่านมา +1

    ILA VICHWA MCHONGOKO MUVIWEKEE MCHONGOKO WAKE PALE MBELE KUNA KITU HAKIPO

  • @eddechriss2664
    @eddechriss2664 8 วันที่ผ่านมา +1

    Tuliongea toka mapema kabisa kuwa mnajenga stations lakini hamjengi miundo mbinu ya feeder mkajifanya hamuoni, ona sasa

  • @ShabaiSadick
    @ShabaiSadick 8 วันที่ผ่านมา +1

    Waziri mbarawa twambie vile vichwa viwili vya ujerumani viko wapi?