LULU ALINIITA KUBWA JINGA BAADA YA KUONA KESI HAINA NGUVU KWAKE;MAMA KANUMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 57

  • @suleimanabdul7274
    @suleimanabdul7274 6 ปีที่แล้ว

    pole. sana mama

  • @ashamohamed688
    @ashamohamed688 6 ปีที่แล้ว +2

    pole mama uchungu wa mwana ajuaye mzaz

  • @tabithahenry1057
    @tabithahenry1057 6 ปีที่แล้ว +1

    yani umuue mwanangu alafu uniite kubwa jinga aki amungu naweza nikafa maajabu

  • @pendomartini447
    @pendomartini447 7 ปีที่แล้ว +2

    Kweli we mama una depression U don't owe Lulu anything God took your child it's never Lulu neever,watu wanagongwa na magar wanapona ije kua Lulu kumsukuma Kanumba it was his moment God wanned him back

  • @petershigemelo4973
    @petershigemelo4973 7 ปีที่แล้ว +6

    Looooooh! 🙊umepotez mwanao kupitia yy af akutupie mtusi mzito huo jmn, cjui ka n kwel ila Co poa lulu

    • @johariomary5052
      @johariomary5052 7 ปีที่แล้ว

      Peter shigemelo acha afungwe tu wangapi wamefungwaaaa

    • @petershigemelo4973
      @petershigemelo4973 7 ปีที่แล้ว

      Johari Omary ofcoz atumikie2 il akitok awe free na mambo yake, na atakuw kapat darasa LA maixha

  • @tabithahenry1057
    @tabithahenry1057 6 ปีที่แล้ว

    kwanzia leo lulu sikupendi tena huna busara uyu ni mtu mzima tena alikua mkwe wako unamuita kubwa jinga ata km alikosea ukupaswa

  • @stellahmutheu9249
    @stellahmutheu9249 7 ปีที่แล้ว +4

    Kulingana na vile naona huyu mama anatamani lulu afe kabisa! Maana si kwa maneno hayo

  • @makovoice
    @makovoice 6 ปีที่แล้ว

    4:52 Alikua anataka Kutamka nini Hapo?????? heeeeeeeeeee...

  • @lilypatrick1445
    @lilypatrick1445 6 ปีที่แล้ว

    Daah pole sana mama inauma kwakweli lakini kunamijitu inajifanya haioni na upande wako

  • @bakenilubunga8551
    @bakenilubunga8551 7 ปีที่แล้ว

    Kwa kweli ikiwa Lulu alikufanyia vitu Kama hivo mungu amsamehe Sana, mama pia msamehe

  • @faizajfar6386
    @faizajfar6386 7 ปีที่แล้ว +2

    ana adabu uyo lulu wacha atumikie kifungo ata miaka kumi

  • @veronicasarvatory9516
    @veronicasarvatory9516 7 ปีที่แล้ว

    Mungu nakuomba tusaidie lulu

    • @viviandaniel8881
      @viviandaniel8881 6 ปีที่แล้ว +1

      lulu mwieshimu huyu mama huyo ni kama mama yako mzazi achana na dunia. dunia hii tunapita tu. uzuri ulionayo ni udogo tu mama

  • @halimkepa7766
    @halimkepa7766 7 ปีที่แล้ว +1

    Jifunxen kusamehe mam

    • @selemanshaban194
      @selemanshaban194 7 ปีที่แล้ว

      Halim kepa nyoko! nadhani huna mtt ww
      uchungu wa mwana aujuaye mzazi
      kaa kimya

  • @joemaabdala622
    @joemaabdala622 6 ปีที่แล้ว

    Huyu mama anaonekana ana rohoo ya kwann. .
    Mwanao kanumba kabaka mimi naomba SELIKALI ashitakiwe uyu

  • @maggyngome1386
    @maggyngome1386 6 ปีที่แล้ว

    Huyu mama Mungu ndio ajuae ukweli wa vita vyao. Malipo ni hapa duniani.

    • @rebecamshash3929
      @rebecamshash3929 6 ปีที่แล้ว

      Hakika da! Lulu alipaswa aishi kwakumliwaza huyu mama jmn machungu yakufiwa

  • @johnbosco4877
    @johnbosco4877 6 ปีที่แล้ว

    Mnao mtukana huyu mama cjui hata mnawaza nn may be hamjzaa ila mngejua ni jinsi Gan Ana feel mcngeyasema hayo jaman Ata lulu Hana makosa ila tu kajisahau jaman na hayo ni mapungufu yetu sote kikubwa Mungu atusamehe na kutukumbusha tuu...😥😥

  • @oliveryonah2566
    @oliveryonah2566 7 ปีที่แล้ว +1

    pole sana Mama hii ndio dunia

  • @mwajumakweli6753
    @mwajumakweli6753 7 ปีที่แล้ว

    Dh... Mmmmh

    • @verdianasteven304
      @verdianasteven304 6 ปีที่แล้ว +1

      kweli jmn mama kanamba nae anaumia mnamtuhumu bule lulu inabidi umuombe xana msamaha mama kanumba

    • @mwajumakweli6753
      @mwajumakweli6753 6 ปีที่แล้ว

      Verdiana Steven Ndio mahana nimeguna 2

    • @kagenzilameck9559
      @kagenzilameck9559 6 ปีที่แล้ว

      wewe ni mtani wangu lakini unaroho mbaya sana hivi huoni kama mwanao marehem Alikuwa mbakaji kulala na mtoto mdogo halafu unasema alikuwa mdogo je wako wakati akifanya mapenzi na huyo mtoto uliwahi kumkanya sema unaroho mbaya mtani wangu huna jipya hao wanao kuhoji wanakuchonganisha na wa tanzania okey lulu kafungwa mwanao kaludi?

  • @noutraakimana6237
    @noutraakimana6237 7 ปีที่แล้ว +2

    Sasa unatamani umuuwe ao muachie mungu kama wewe ni mikritso wakweri mwenye dini

  • @maggyngome1386
    @maggyngome1386 6 ปีที่แล้ว

    Mama ikiwa usemayo ni ukweli basi ubarikiwe, la ni uzushi tu basi hutafika mbali. Kilio cha lulu na machozi yake itafika wakati Mungu ayafuta ndio utajua

  • @salhamm742
    @salhamm742 7 ปีที่แล้ว

    Hahaha Jamani eeee dunia inamambo hiii

  • @carolmamakebritney5266
    @carolmamakebritney5266 6 ปีที่แล้ว

    Mungu ndo mwenye kutoa na kutwaa acha kulaumu Lulu bure Kila mtu na siku yake. Kanumba yake ilishafika

  • @janethgatoni5981
    @janethgatoni5981 6 ปีที่แล้ว

    Jamani tunifuzeni kusameh duuuuuuuh

  • @dianamboya6635
    @dianamboya6635 7 ปีที่แล้ว

    inasikitisha jmn

  • @Aidansimwanza
    @Aidansimwanza 7 ปีที่แล้ว +1

    Haki imetendeka Lulu tumikia tuu

  • @junesernest4679
    @junesernest4679 7 ปีที่แล้ว

    kwakwel inauma jaman yakikukuta bdo utajua

  • @faridabakari8511
    @faridabakari8511 7 ปีที่แล้ว +1

    🤔🤔🤔🤔🤔👈

  • @Mimi-wf7mb
    @Mimi-wf7mb 7 ปีที่แล้ว +1

    mama Kanumba uko sahihi. usijali mama yangu. Nimezaa na najua uchungu ulio nao. Sisi ni nani mbele za Mungu? Hizi dharau na kiburi cha uzima ni vya muda tu mama yangu. Hao wanaokulaumu wana yao mama. Sijui wanakulaumu kwa lipi. hizo kejeli na dharau ndiyo zinakuumiza lakini wao hawalioni hilo. Timefundishwa kusamehe na wewe umesamehe. ilibidi upande wa pili nao usikutoneshe kwa kejeli matusi na dharau. well, God will judge us all. Mwachei Mungu mama Kanumba. Hata hao wanaokuhoji usipende kuwapa nafasi. We jinyamazie na Mungu wako. Najua akitoka huko jela atakukejeli zaidi. Plz acha kabisa kuongea na watu wewe ongea na Mungu tu.

  • @ashminaabdullah5626
    @ashminaabdullah5626 7 ปีที่แล้ว

    Mmmh ww Mama haina haja kusema maneno Maneno c vzur Allah hapendi km kweli ww muumin wa dini unakua hivyo uko ki kitu zaidi

  • @mdogo_ake_zarizarin1546
    @mdogo_ake_zarizarin1546 7 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mama hana haya sasa alitak miaka yote asujudiwe na lulu

    • @selemanshaban194
      @selemanshaban194 7 ปีที่แล้ว +1

      zeny platnumzzz PUMBAVU SANA
      WE MBWA

  • @estamwilafi2322
    @estamwilafi2322 7 ปีที่แล้ว +4

    mwanao alibaka so usiongee sana

    • @pendomartini447
      @pendomartini447 7 ปีที่แล้ว

      Esta Mwilafi tena alibaka bila aibu

    • @zedon2047
      @zedon2047 6 ปีที่แล้ว

      Una ushahidi juu ya hilo?

    • @jsisso7467
      @jsisso7467 6 ปีที่แล้ว

      Esta Mwilafi we nae kilaza kweli unaelewa maana ya kubaka achen ushabik wa kijinga

    • @brightonymartin2541
      @brightonymartin2541 6 ปีที่แล้ว +1

      walikubaliana hakuna kubaka mtu

    • @romamlelwa7984
      @romamlelwa7984 6 ปีที่แล้ว

      Alibaka hyo

  • @moheghanyariri9606
    @moheghanyariri9606 6 ปีที่แล้ว

    Huyu mama ana yake tuuuuu.....visasi

  • @shekhahamed7625
    @shekhahamed7625 6 ปีที่แล้ว

    Kama ungekua namaumivu namwaousingekwenda mahakamani umekusudia umsunge 2 lulu

  • @lyndrodamian6806
    @lyndrodamian6806 7 ปีที่แล้ว

    wewe utapata pigo jingine

  • @pendomartini447
    @pendomartini447 7 ปีที่แล้ว

    Kweli we mama una depression U don't owe Lulu anything God took your child it's never Lulu neever,watu wanagongwa na magar wanapona ije kua Lulu kumsukuma Kanumba it was his moment God wanned him back

  • @johnbosco4877
    @johnbosco4877 6 ปีที่แล้ว

    Mnao mtukana huyu mama cjui hata mnawaza nn may be hamjzaa ila mngejua ni jinsi Gan Ana feel mcngeyasema hayo jaman Ata lulu Hana makosa ila tu kajisahau jaman na hayo ni mapungufu yetu sote kikubwa Mungu atusamehe na kutukumbusha tuu...😥😥