Chama chochote cha siasa kilichoko madarakani kama kina tetea mafisadi na wala rushwa na kuigeuza nchi shamba la bibi na kusahau suala zima la kutanguliza mbele maslahi ya taifa hakifai kuendelea kubaki madarakani.Ni bora chama hicho kikafa kuliko kuendelea kushika dola.
Wewe ni bingwa wa kudamdia hoja.