Tengeneza njia ya Bwana apite asanteni sana watumishi wa Bwana kwa ujumbe iyi ya kipindi ichi Cha majilio Mungu awabariki na kuwalinda katika maisha yenu yote na kuwajalia nguvu za Roho mtakakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu amina
Wana kizito makuburi hoiyee hongereni kwa wimbo mzuri sana tengenezeni njia ya bwana apite. Wimbo mzuri sana kwa hiki kipindi. God bless you allways 🙏🙏🙏🙏. From Qatar but Kenyan
Hii Choir Mungu akinijalia i would like to meet them.Nawatambua sana nikiwa Mkenya.
Nota zake tafadhali.....nitazipata vipi
Nimebarikiwa sana na huu wimbo mzuri wa maajilio🙏🙏. Barikiweni sana KMK🥰
Jaman Kuna kwaya zinaimba ukisikiliza unatakasika roho barikiwa sana
❤
Amina. Nawapata nikiwa Sumbawanga
Hongera sana wanakwaya kutoka parking ya lgunga mungu azidikuwanua!
Mmegonga ndipo !!!inasisimua..kwa nota zake nani mtunzi
Mko vizuri sana....tutamsifu Mungu mpaka mbinguni...amina
Mbarikiwe sana mmeimba vzr sana
Tengeneza njia ya Bwana apite asanteni sana watumishi wa Bwana kwa ujumbe iyi ya kipindi ichi Cha majilio Mungu awabariki na kuwalinda katika maisha yenu yote na kuwajalia nguvu za Roho mtakakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu amina
Hii kwaya ni moto.Hongereni sana.Mungu awabariki zaidi.
Bwana apite hakika napata faraja moyoni,
🥇🥇🛤️🛤️🎧🎧 Kipindi cha Kubadirisha njia zetu tusawazishe ubaya tutengeneze njia nzuri ya kufika Mbinguni
Nimebarikiwa sana kongole zenu🎉🎉
Sauti nzuri na za kupendeza mno
Najifunia kuwa mkristo hadi rahaa
Makuburi muko juu uimbaji wenu hapo hapo hongera
Dj waleteee 🔥🔥🔥🔥🔥
Barikiwa sana
Mliua sana khaaaa hongerenii
Asante Sana kwa ujumbe
Sauti tamu Sana,barikwa
Hongereni sana kwaya ya Mt. Kizito kwa ujumbe mzuri wa Majilio. Na tupalilie njia kwa ujio wa Masiha, azaliwe mioyoni mwetu na katika familia zetu!
Mungu awabariki mnaimb vzr mno
Mko poa sana
Utume mwema katika Bwana wetu Yesu Kristu
Wow. Hongera
Mbarikiwe sana
Mungu awabariki kwa utume huu
Sauti hizo... Wee!! Tamu tena zaidi
Tengeneza njia Bwana apite,fungua murango wako angie Moyoni Kwako,tengeneza njia,tena fungua moyo wako.🙏
Vocal transformation
Kongole... 💜
Barikiwa Sana🙏
Wana kizito makuburi hoiyee hongereni kwa wimbo mzuri sana tengenezeni njia ya bwana apite. Wimbo mzuri sana kwa hiki kipindi. God bless you allways 🙏🙏🙏🙏. From Qatar but Kenyan
Mungu azidi kuwabariki na kuwatia nguvu katika utume
Kwa kweli hii kwaya inaburudisha kwa nyimbo nzuri sana naza Kikatoliki kabisa.
Be blessed much.
Dr. Materu Mathias-from Moshi.
Sagero is another man wao
Mmbarikiwe kwa kutuinjilisha
Kazi bora sana. Barikiweni sana waimbaji wa KMK
Very smart, congratulations
Mubarikiwe watumishi wa Bwana kwa kazi njema ya utume
Wimbo mtamu 😍😋😋😋😋🎵🎶🎼🎹
Awesome perfomance
Naomba nota, mtuzi wa wimbo anaitwaje na wimbo yenyewe
Very good singing
Nisiwe sababu ya wengine kuumia ndiyo sala yangu 🙏🙏🙏
Hii Yohane alia nyikani...Bwana apite Mungu apite tengeneza njia ya Bwana apite.
Safi
Marvelous voice St. Gasper brothers keep it up
You never disappoint...
Thank you for great music
Amazing song saut tam sana hakika Catholic daima mbele
Congratulations! It's amazing!
Mko vzr sana
Great work
Tunawafatilia hadi tuzeeke wote
Amin saana
Kilia keep it fire blessing
this kwaya always give the best beat...KMK💜💜Mubarikiwe sana
Good song keep it up
Great that you are transforming your vocals,keep it up no turning back
Good
I love the composure in you guys. Tamu sana. I wish i was one of you
Hui Kali xana❤
Tengeneza njia ya bwana apite
Been listening on rewind since last night,may God bless you people.....wah!
I am blessed.🙏
Very sweet voices inspiring
Good music 🎶 👌
My favourite choir 🔥🔥🔥🔥💯
Waoh...i love this kwaya
Great performance God bless you
You all the time on point thank u for swty songs 🙏
Those voices are angelic!
You never disappoint 👏👏👏
2023kuelekea 2024 🙏
Amina
They never dissapoint. Choir master the best too.
Beautiful
❤😂😂 good voice
Message has touched me indeed 🙏
❤❤❤
Naomba lyrics za song hii
❤❤❤🎉🎉🎉
🙏🙏😇
🙏🙏🙏
🎉🎉🎉
❤
Amina
❤❤