🎉🎉 hi my best family, mwenzenu ni mwimbaji wa nyimbo za injili nawaomba supports zenu, plz follow Reagan Enzi ili uwe wa kwanza Ku pata Ngoma Zetu 🥰🥰🥰 Asante sana
Zizi anapitia changamoto sema maboss wake niwazur napili wanampenda ndo maan wanamtetea Lakin Bibi shida yake aondoke nahuyo isabela inaonekana co mtu mzuri wanasiri nahuyo Bibi
Jamn Kaka Ray msiweke marudio hata kidogo yanakula muda w muendelezo 🙏🏼
Bibi hayo unayoyafanya mungu anakuona malipo ni hapahapa dunian poleeee saan zizi
Huyu bibi anazingua sana...zizi binti mzuri
Walai amenisinya qki
Kiekiekie Uncle wa Coco kanikumbusha Ayati Majuto kwa kwelî 👌
Ila muli yupo rafu jamani pamoja na maokoto yote anayopewa lkn wapiiiii😅😅😅😅
🎉🎉 hi my best family, mwenzenu ni mwimbaji wa nyimbo za injili nawaomba supports zenu, plz follow Reagan Enzi ili uwe wa kwanza Ku pata Ngoma Zetu 🥰🥰🥰 Asante sana
Hii sheraton hoteli aliyoletwa ebitoke nimekoma😂😂
Muli ww ebu jaribu kubadilisha mavazi
Duu kuliko umuowe muli bola tu ukukaa na sungula ndani yanyumba 😂😂😂😂
Zizi Mungu yupo malipo nihapa duniani uyo bibi na huyo wa domo mkubwa kama kichwa cha shetani bumbavu
Tatu ka tatu ka 😂 waga. Hapendi umbea
Huyu bibi ipo siku utalipa mabaya unayoyafanya 😅😅😅
Ikopoa sana Rey.
Alafu naomba kuona koku akiwa kwenye maisha ya kawaida
Nahomba like wakwaza
Fanza umalize movie sasa huyo bibi kasharibu utamu wa movie aise.
Jamani huyu bibi weeee hii roho cjaiona mahali ,pole sana zizi ila ucjali
Ujambo
Zizi anapitia changamoto Sana Bibi Hana Nia nzur kabisaa humo ndani yeye nasabela wanania gani cjui humo ndani
@@frankbosco5577 cjambo
@@agnessezekiel kabisa lkn Mungu atampigania
Boss yake na koko naye chips 🍟 anazitaka😂😂😂
😂😂😂😂
Koku walipata n boss ambaye wanaenda kweli
WA 4 kutoka sohar Oman
Jamani huyu bibi kizee anadhambi pole zizi 😂😂😂😂😂😂
Umekula
Yes 🥰 nimekula je ww
Uyu bibi kamukosecha zizi amani kweli ni bora aondoke
Kwani huyu bibi ataondoka lini😔
Watano Leo kutoka majoe
Ja mani namimi pia wa5naombeni like
Namba 7 maua kwa waigizaji❤❤❤❤❤❤
Huyu bibi mwaniboesha yaana kamtuma huyo mschana kwajiko kuweka chumvi nyingi alafu anasema ni azizi
Wa 3 leo kutoka kisemvule
Na bado muli ww utapigwa tu endelea
Bibi Ni noma
Pungwani wah akili,weh!!bi haja.
Muli tapeli😂😂😂😂bora umebondwa vzr2,Zizi jmn pole😮
Zizi anapitia changamoto sema maboss wake niwazur napili wanampenda ndo maan wanamtetea Lakin Bibi shida yake aondoke nahuyo isabela inaonekana co mtu mzuri wanasiri nahuyo Bibi
Bibi una nn lakini 😢😢
Good job
Wakanza
Anakera huyo bibi hana huruma kabisa
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂 ila bibi
Yani huyu bibi hapana hii roho yake sijawai onq popote aki
Haa jamani uyu bibi ananikera
😁😁😁🤣koko nauyu baba mtanilipa mbavuzangu 🇧🇮
Yaani 😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂
Wa 8 leo kutoka Tz
Mulii Hadi nimeamza kukupenda bure
Huyu bibi anafanya hichi kipindi kinaboesha
Bimkali kwa kwel unakera na ww mgen wa bimkali ww zizi muingize mjini acha upole ww
Mimi wa 0
Leo wa 20 mm