Jamani.. muendelee na upendo huoo🥰🥰 msije nafikiana kisa mnafanya aina moja ya muziki.. mpo wachache na muishi kwa upendo🙏 Wanawake wakiamua ni balaa...💪💪
Rosa Ree siku zote nakwambiyaga kwamba level yako sio ya Tz, ao ya East Africa.... I wish one day wende kutambulisha Africa mbali zaidi ili watu wa elewe nacho kiongeya.... Napo sikiya level unayo wewe.... Duh? Kwa kweli nabii hana eshima kwao..... Much support kwako form 🇨🇩✌️❤️ Rosa Ree. Endelea kufanya vizuri kwenye rap game
I love this❤. Its a woman's world and all three of you ladies are very talented. Yeahhhh, you make me so proud to be a woman ❤🧡💜💙💚💜💜💜. I will be sharing video
I guess you are the best tanzanian female rappers....love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ni the best Tanzanian Rapper,,anarap vifiti sana
Ooooy Yeahhhhhh Thanks
Not only Tanzania for now is Africa
Dats it.....
True dat bro
Tambo za uchawa wa Juma lokole 😂👇😂th-cam.com/video/ZczbOZsUXZQ/w-d-xo.html
Uwiiiii one firrrrreeee (niki minajirose ree) wa bongo ni motoo bong la colab chemical frid ase ni nooom
Wakipanda ngazi tunapanda mashetani 🔥🔥🔥🔥 kali sana🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Girls you need to do this again ❤
Jamani.. muendelee na upendo huoo🥰🥰 msije nafikiana kisa mnafanya aina moja ya muziki.. mpo wachache na muishi kwa upendo🙏 Wanawake wakiamua ni balaa...💪💪
Ross Ree s voice is the vibe of all 🥰
Hhahahha kudadadek zenu,humu mmewakalisha majitu haswaaaa.....dude kaliiiii🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥
ROSA REE anatapika unyama sana much love from Kenya personally sukuma ndinga na watatubu nilitii much love
Boom boom boom 🔥 afu hyo chorus mngempa g nako lingekuwa dude la dunia hili mjue
Wote ni fireeeee wallah, daa hii kama battle wako kazi aisey
Aaaaaaaaaah maninaaaaah kumaaanishaaaa nn🔥🔥🔥🔥shimbon
Huku sasa kukomoana! Khaa! Jamani!
Nilikua na isubri sana hii ngoma just waooo I love it Rosa ree aka mama kijacho mmeua kabisa ❤❤❤❤❣❣❣❣❣
Aiiseeeee nawakubarisana tena sana mnapambana kiukweli 💝💝💝💝💝💝
Kkkk hatari UA metimia kweli wote 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿✋🕑🕑🇹🇿
Kuna style Frida anakuaga nayo joh🥰🥰🥰🥰
Three women in the room it's like war...this is Branch government
Umoja Ni Nguvu
🔥🔥🔥🔥mumeuaaaaaa bonge la ngomaaaaaa mwaaaaaaaa 🥰😍😘😘😋🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👐👐👐
❤❤ wezaa sana my twin nakulobotovu sana unconditional love ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️💯❤️💯❤️💯❤️💯💯
Ongela chemical mana uneitumia vizuli lugha ya nyumba natunajua kua umesoma sana
Awa wadada wanna shida kweli .
Jamani hii zaidi ya 💥💥💥💥🔥🔥🔥🔥
Rosa Ree, Chemical and Frida in one room. Unbelievable 🔥🔥🔥🔥
Imewezekanaaaaaaaa
Oyeeeeee imewezekana
Ngoma nikari sana paka raha aichoshi kusikiliza
I don't know why but am in love with the vibe~~~. 'ukisikia Kaza ita mkalimani' 🧐
Lazma wakae.......nice 1
Rosa ree ni 🔥🔥🔥🔥 wa kuoteambali sio kitoto
Dah mmeuwa sana nawapenden wote
Mmeyamwaga ataliii💃💃💃💃
Dope. Ila Rose ree umetisha mno humu. Kiukwl umewakalisha adi hao wenzio ulowashirikisha.
Unyaaama dadeki, mmekalisha. Next tyme mumpange Dipper Rato kwenye hyo Gang itakua unyama East and Central Africa.
Rosa Ree siku zote nakwambiyaga kwamba level yako sio ya Tz, ao ya East Africa.... I wish one day wende kutambulisha Africa mbali zaidi ili watu wa elewe nacho kiongeya.... Napo sikiya level unayo wewe.... Duh? Kwa kweli nabii hana eshima kwao.....
Much support kwako form 🇨🇩✌️❤️ Rosa Ree. Endelea kufanya vizuri kwenye rap game
Girls wanna take over the music World.. Mmetisha
Voices za kufoka... Goddess setting 💥💥💥💥💥
💥💥goma langu la mwaka kwako rose ree
Aisee safi sana
Rosa ree nampenda toka nikiwa na miaka 10 bless sana Rosa ree
Rosa kanenepa aisee😍
❤❤❤ dad mnapendeza na kemikali
Best female corbo amazing ibikobwa birihejuruu
Ili dude litaish madecade huko ,olive the combooo💥💥💥💥💥🔥
Manyama nyie wa wili nawakubali adi nawakibali tena💪💪
dah! mmetisha bila kinyago🤗🤗🤗
Nyie watu nawapenda sana ❤❤❤ yaan nawakubali
Mtu 3 kwenye track Moja✊🚀🚀🚀
Nimejikuta hapa bila kujua na nabambika sana❤❤❤❤❤
Me kalisha kweli 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Rosa ree ndio kiboko ya female rapers woooooote Tz haipingwi iyi✌️
Siwapingi imeisha iyoo
Noumaaaaa sanaaaaa
Frida Amani, huwa ni mnoma sana kwa game, Si Khaligraph amueke kwa Khali Cartel
Ataenda mbali sana walahi
@@shamsaamor001 man anatisha sana,,yuko so talented kwa hii game
Madam president, Rosa ree na Chemical hii nomah aaah hawa dadaz ki nomanoma ✨✨✨💥💥💥💥💥💥💥👉👉👉👉👉👉🤟 from Kenya Nairobi love more 💥💥💥
Genge tune safi sana Roza+Chemical+Frida
Rosa Ree na Chemical, mmetish san wahun wetu 👌🏾👌🏾👌🏾👌🏾👌🏾🤙🏾🤙🏾🤙🏾🤙🏾🤟🏾🤟🏾🤟🏾🤟🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
Rose ree,na chemical wameuwa uyu mwingine dada ku flooo kweli hawezi
Hatare na nusu. You nailed it vibaya vibaya ladies 💯🔥🥰😘
Aki kwa hii wamekaa🔥🔥🔥🔥🔥
Dah! Hapo vichaa watatu wameua
🔥🔥🔥 wakalishwe .punch lines aisse.love from +254.
Hayo makende aty mnafanyanga aje
Bonge Moja La Ngoma Mamaeeee 🎶💉...Hili Mungu Akibless Linapenya Kimataifa , Naomba Tu Kuwa Na Kipengele Cha Best Hip-hop Collaboration Song
Love from Rwanda 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🔥🔥🔥
Hayo makende kwa spanner tunafinya😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Chemical and Rosa ree has a mutual energy
Naomba collabo yenu michano iwe mwanzo mwisho hamna kiitikio
Unyama nimwingii
Kali sana....my baby girl RosaRee
Duh! 🙆♂️ Lazima wakae
Eeh Wataelewa
Hii inaitwa Legend meets Legend ❤❤❤
Ebwanaeee🙌🙌
kazi poa sana🇲🇿🔥🔥🔥🔥🔥💪💪
Thankssssss
Bigup sana wadada
Mmeuwa hii🔥🔥🔥🔥🔥
Unaache kwanza kuview hii song 💯
Yaani Rose anavyopita kwenye beat unyama xana
Oyaaa..mmeuwaaa manzeee...!!?? yaani ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👏👏👏
Wow ni hatariii motoo
Wadada wenye viuno vigumu bongo nzima.Ila collabo nimeipendaje
My favourite female artist in one song ❤❤❤
Ngoma nzuri jmn😋😋😋🥰🥰
Messi, Neymar and Mbape combination hii ndyo naiona kwenye hii ngoma uwiiiii
Kaliiii sanah
Wanawakeeee tuu nyiee
Pia mm Kenya nimekalishwa
Mmeua xna🙌🙌🙌
Asantee sana
Hii ndio yenyewe ngoma kali hatari
Nawapendaga tu❤🔥🔥
I love this❤. Its a woman's world and all three of you ladies are very talented. Yeahhhh, you make me so proud to be a woman ❤🧡💜💙💚💜💜💜. I will be sharing video
Thanksss dear
Kwanini nilikua sija skiliza mchuma kikali kama hiki😍😍😍
Aiseee si kwa hayo mapanga na marungu😂❌😂...Though This is a Masterpiece...🙌💯🚧
2NA 💞💞💞💕💗🌞🌝 BwAAnAA‼️‼️‼️
wow
hii noma sana sasa vijna pia wakuje pamoja
Number one here....I love you Rosaree🥰🥰
Yaaaa motooo aiseeeh
Good music💞💞 me nkajua Hawa wawili hawana hisia za kike Rosa & chemical 🥳🥳🥳
The best Tanzanians rappers love from south Sudan
My Dream comes true 👍🏿....thank you chemical, Frida and Rosa reee....
Iyi ngoma ni noma kbs
Nani umbinye makende na spana #Chemical 🏃🏃🏃😭
I say we ni moto Yani 🔥🔥🔥
True love from 🇰🇪🇰🇪
Rudi Kenya flow hatari za ki 254