Shahidi wa mauaji ya mwandamanaji Rex Masai ajiondoa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024
  • Mmoja wa mashahidi wakuu katika kesi ya mauji ya mwandamanaji Rex Masai, amejiondoa kwa kuhofia usalama wake. Akizungumza na runinga ya Citizen mamake marehemu Rex Masai, alielezea wasiwasi alionao kuhusu hatma ya kesi ya mwanawe akidai kuwa huenda kuna njama ya kuficha ushahidi. Rais wa chama cha mawakili nchini LSK, Faith Odhiambo amemsuta mkuu wa mashtaka ya umma kwa kudai kuwa mashahidi hawajajitokeza akimtaka aweke mikakati ya kuwahakikishia usalama wao .

ความคิดเห็น • 43

  • @daisyakhini9331
    @daisyakhini9331 2 หลายเดือนก่อน +20

    Oh mungu 😢😢, Roho ya Rex isilale bure ad ukweli ufichuke

  • @liliannyambane513
    @liliannyambane513 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu ni mwenye haki, kama watakunyima haki ongea na Mungu, atakushangaza na atakachowafanyia watesi wako . Our prayers mama 🙏

  • @mwash7777
    @mwash7777 2 หลายเดือนก่อน +7

    Let my tears 😭😭😭😭😭 flow. God of justice reigns

    • @Joysmuna109
      @Joysmuna109 2 หลายเดือนก่อน

      True

  • @aishasaidi1784
    @aishasaidi1784 2 หลายเดือนก่อน +8

    Hamdulillah nilisema Mungu kama tuta kufa bure tu kwa haki bas Mungu alie muwa asipate amani hadi siku ya mwisho wake na Mungu halali na ipo siku walio uwa wengine pia Mungu sio atumani

  • @remiomar7154
    @remiomar7154 2 หลายเดือนก่อน +27

    😢😢😢 hakuna hakimu Zaidi ya mungu ipo siku utapata haki mama mbele ya muumba

    • @stove7197
      @stove7197 2 หลายเดือนก่อน +2

      Uwongo...malipo ni hapa hapa, hakuna muumba utakayesimama mbele yake. Usipopata haki hapa basi sahau kwingine, hizo ni hadithi za sungura walizokupumbaza nazo ili uendelee kungojea hadi kifo.

    • @KennedyMutuku-u3k
      @KennedyMutuku-u3k 2 หลายเดือนก่อน +2

      Kweli kabisa

    • @remiomar7154
      @remiomar7154 2 หลายเดือนก่อน

      @@stove7197 Ni Kwa sababu imani yako ya kumuamini mungu ni ndogo sana

    • @legendb2000
      @legendb2000 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂​@@stove7197

    • @buzzafrique3700
      @buzzafrique3700 2 หลายเดือนก่อน

      Stove tunaona we ni devil worshiper upende usipende iko supreme being na ukikufa utapatana nae ...pumbavu

  • @SwalehSaleh
    @SwalehSaleh 2 หลายเดือนก่อน +7

    Mungu yupo na halali

  • @AndrewUwani
    @AndrewUwani 2 หลายเดือนก่อน +5

    N cc tv ni yanin?

  • @mathekarichard1382
    @mathekarichard1382 2 หลายเดือนก่อน +5

    Ingekuwa ni mimi babake my friend hao ama huyo police wangekuja kwangu wakikula nyasi...... nonsense sina time na kudeal with extremely corrupt courts and police officers not..

    • @harrietkhamisi2357
      @harrietkhamisi2357 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ukweli kabisa. Hata Mimi nikiwa na uwezo akuje na nyuki..Mungu atusamehe ni uchungu

  • @winfredkalii6850
    @winfredkalii6850 2 หลายเดือนก่อน +9

    We don't need any witness thr killer cop is known and ruto ndio alimtuma amuue so kama kweli kuna haki ruto is responsible

    • @Ray-be3ci
      @Ray-be3ci 2 หลายเดือนก่อน +1

      Usjali bro hii lazma italipa hata kama itachukua muda ila itajipa

  • @jacklinezombo5806
    @jacklinezombo5806 2 หลายเดือนก่อน +13

    sasa ushaidi wa nini tena wakati muuaji anajulikana wazi wazi

    • @kefawaithaka6841
      @kefawaithaka6841 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ulimuona akimpiga risasi 😂😂😂yaani ukajua huyo askari mnasemanga niyeye muuaji alikuwa na bunduki aina gani😂😂.yaani mtu ako na bunduki ya kutupa teargas but Kenyans saying the killercop😂😂😂

    • @evansosusu5319
      @evansosusu5319 2 หลายเดือนก่อน

      ​@kefawaithaka6841 if you don't have anything substantial to say is better to zip up, someone's son lost his life in the hands of a useless police officer and it was captured on a cct but the government is trying to hide culprit and threatening witnesses.

    • @mathekarichard1382
      @mathekarichard1382 2 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@kefawaithaka6841Use your mind upside not upside down nkt

  • @flilechi
    @flilechi 2 หลายเดือนก่อน +5

    Very unfortunate.

  • @mueni4690
    @mueni4690 2 หลายเดือนก่อน +10

    Oh God, they killed him cold blood.

  • @knowinganddoingbetter4562
    @knowinganddoingbetter4562 2 หลายเดือนก่อน +2

    CCTV captured it. Wawache Mzaha

  • @Joysmuna109
    @Joysmuna109 2 หลายเดือนก่อน

    Woiye ruto mungu anakuona

  • @suzy1926
    @suzy1926 2 หลายเดือนก่อน

    You can't bribe God!!God knows n he will surely bring justice in his own way

  • @lucymwai7645
    @lucymwai7645 2 หลายเดือนก่อน

    Haki pole sana kwa familia, 😢😢😢😢

  • @mauriceomondi3681
    @mauriceomondi3681 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kwani kenya imekuwa aje

  • @gordonomondi7161
    @gordonomondi7161 2 หลายเดือนก่อน +2

    Alafu huyo askari alipelekea Hiyo laana kwa nyumba. Watoto wa huyo askari watalaaniwa milele.

  • @DianaMwenesi-rb2fn
    @DianaMwenesi-rb2fn 2 หลายเดือนก่อน +3

    Rest in peace

  • @janekimango1189
    @janekimango1189 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ruto atamuua
    Zakayo dangerous!

  • @mohamedjarso280
    @mohamedjarso280 2 หลายเดือนก่อน

    Why not revenge its the best way for justice 😅😅

  • @luizerkimb
    @luizerkimb 2 หลายเดือนก่อน

    I thought cctv footage should be used tena witnesses

  • @robertokeyo2877
    @robertokeyo2877 2 หลายเดือนก่อน

    Wakenya tusijalibu kurudia makosa yakujagua serekali kama hii tena!!!.b very careful tukijagua serekari
    Tunapenda kuambiwa na kukupali wongo kama Leo hivi kunaendelea Bwani😠😠😠😠

  • @zedseries
    @zedseries 2 หลายเดือนก่อน +1

    😢

  • @NaomiWanja-fv7zk
    @NaomiWanja-fv7zk 2 หลายเดือนก่อน

    The same way ruto did with ICC witnesses 😢

  • @christinechirchir2560
    @christinechirchir2560 2 หลายเดือนก่อน +3

    Maisha yako muhimu,, story mob wachana naye

    • @jamesgathaiya6450
      @jamesgathaiya6450 2 หลายเดือนก่อน

      Unaongea kama mtoto nikama akili zako zimejaa mavi what if NI mtoto wako ameuliwa utasema hivo

    • @christinechirchir2560
      @christinechirchir2560 2 หลายเดือนก่อน

      @@jamesgathaiya6450 Nonsense

    • @liliannyambane513
      @liliannyambane513 2 หลายเดือนก่อน

      @christinechirchir, if you lose a child in unjust way will you keep quiet ? Silence is golden !

    • @christinechirchir2560
      @christinechirchir2560 2 หลายเดือนก่อน

      @@liliannyambane513 why you keep complaining na huyo kijana alipatikana off guard parliament ni wapi aki kama ni mtoto wangu siwezi ongea anything juu akutolewa kwa nyumba na kuwawa bure

  • @dennocyde1943
    @dennocyde1943 2 หลายเดือนก่อน

    Witness protection in Kenya is a joke,..

  • @tsaa6678
    @tsaa6678 2 หลายเดือนก่อน

    Huyo cop aliuwa Rex wife yake anafanya na lpoa
    Hadi ule jonarlist alishutiwa rubber bullets et alizimwa