Ooh pole my sis, God will be there for you and I hope that Kenyans pray for justice pls kubuka ukiua kwa upaga utauliwa kwa upaga, yake inamgojea baya zaidi, pole sana sis mbesa
So sad... he may be walking freely in the busy streets but i want to remind him there is God in heaven his judgement is final ad he is going to avenge for the family
If their is something that could replace the police fraternity in this country ,we as Kenyans would hurriedly seek that option.They should investigate who was paying the premiums....
Pole sana familia na majamaa...kilicho nawanzo kina mwisho..kuna siku k ilio kitaisha...kwani mungu ni kiziwi ama ni kibofu...AMINI YOTE TUNAYO YAONA KATIKA HII NDUNIA BIBLIA N.A. NENO LAKE MWENYEZI MUNGU YANA TIMIA...
ATA UKIJITETEA N.A. PESA ZAKO NYINGI KUNA SIKU ITAFIKA N.A. PESA zako AZITAKUTETEA...GOD FEARING IMETUONDOKEA WAKENYA 🙇🙆🙅🙏JE TUMEKUWA SODOMA N.A. NGOMORA TUNAPENDA GIZA KULIKO NURU
Nashanga sanaaa yaani you are a manager for God sake tamaa y nini.kuna watu watamani wapate kazi hata yakulipwa 5000 manager mzima wauwa na unazohela za kujikimu kimaisha
Inaonekana hii deal sio ya mtu moja, kwa Kuwa alipokamatwa kuna wale walikuja kumtoa, na pia documents kutoweka kuna pesa zilitumika ndio documents zichomilewe. wakili wa maskini no mungu pekee.
This is what i would call responsible 4th estate. Thank you @Citizen and @Purity for fighting for Kinama and family. May God reward you where the world will not.
It happed to me some months ago losing my dead just like this but my dear kenyans killing some one is forbidden by God thats y tutaishi kulilia alie juu maana bible says vita ni zake alie juu
😪😪😪😪😪 nimefiwa na mamangu na pia na babangu hayupo hai, nawaza tu ile uchungu nakuanga nao kila siku ingekua ni kuuliwa waliuliwa kama ningeweza ata kuishi.i have lived with pain tooo much pain in my heart for loosing my parents and nobody murdered them itd just other circumstances, what if their lives were taken by someone? Its too painful to lose a loved more so through murder
Pesa pesa ,pesa zilimshariti mwana wa mungu ,coz of the money u r free ,but remember kwa God akuna hongo ,na hutalala kwa kaburi bila kulipa ulichokifanya ,shindwe ww
I have learned something from this story, na kujiuliza maswali kadha Yaani mshukiwa alikimbililia kwa police station ( kuna swali ya kujiuliza mbona afanye hivyo ? ) Na je ? Kuna uwezekano alishirikiana na hao ma-polisi kuuwa ? Je kama hao waandishi wa habari wasingekuwa na na warranty arrest ingekuwa vipi ?? Huko kangundo haki itatendeka ? There is a reason Hajj ameingilia Hiyo kesi kwa sababu anajua haki haitatendeka, vile haikutendeka for past years, na kwa Hiyo story MA polisi wanahusika, kwa sababu huyo jamaa, anaji-kinga nao Vile alitaka kuwageuzia kiswahili waandishi wa habari,
oooh my God becouse of money really ata wee utakula tu ya dunia ni hapa tu poor boy.may God protect our kids rafiki yako ndio adui yako kikulacho kinguoni mwaka Mungu aonyeshe kila ki2
Thanks for that bravely report but apo ulipopata huyu jamaa you could have a hidden camera plus you would have not introduced yourself as a journalist in the first place....this is investigative journalism.May God Grant this family with peace and Justice will be found.Good work from you guys.
unaweza kuwa ukitembea na kumbe mtu amekuchukulia life insurance pesa zikishakuwa mamilioni anakuua, very bad...May judgement of God almighty take its cause.
The wheel of justice will surely catch up with him.... he bribe his freedom for now, and be free, but his conscience will never be free. I hope the new DPP has watched this news and he will do something about the matter.
Yani Kenya imefikia pahali mtu anaweza ua juu ya pesa,this country is very corrupt thanks to sirikali ya tano tena , Evans hata uende chini ya maji you will have no peace and also for the people who are covering up for you pia nyinyi amani hampati ..
Hii ndio Kenya tunaishi Sasa, Kama Hauna pesa Hauna lako. May the Almighty God fight for this family
This story has stuck with me ever since, am curious to know how this case went
Thanks for exposing this Purity you’re doing a good job, I have shed my tears watching this, I know God will come through for this family!!!!!
Umuuwe mwenzio kwa tamaa jamani kwani ataishi maisha.subhanaAllah ,innalillahi wainailahi rajiun
Ooh pole my sis, God will be there for you and I hope that Kenyans pray for justice pls kubuka ukiua kwa upaga utauliwa kwa upaga, yake inamgojea baya zaidi, pole sana sis mbesa
Fimbo ya mnyonge ni mungu.
So sad... he may be walking freely in the busy streets but i want to remind him there is God in heaven his judgement is final ad he is going to avenge for the family
Nancy Bibo amen... Mungu tu ndo wawanyonge
If their is something that could replace the police fraternity in this country ,we as Kenyans would hurriedly seek that option.They should investigate who was paying the premiums....
award -winning piece of reporting
@citizen TV.. you did the best,, purity mwambia is my best yooooooooh
Mimi pia
Just let him stay.....his grave awaits him.....he will never have peace in his mind....every thing is just a vanity.....let God deal with him
Welcome back Purity. I missed your reporting
Ghj
Pole sana familia na majamaa...kilicho nawanzo kina mwisho..kuna siku k ilio kitaisha...kwani mungu ni kiziwi ama ni kibofu...AMINI YOTE TUNAYO YAONA KATIKA HII NDUNIA BIBLIA N.A. NENO LAKE MWENYEZI MUNGU YANA TIMIA...
ATA UKIJITETEA N.A. PESA ZAKO NYINGI KUNA SIKU ITAFIKA N.A. PESA zako AZITAKUTETEA...GOD FEARING IMETUONDOKEA WAKENYA 🙇🙆🙅🙏JE TUMEKUWA SODOMA N.A. NGOMORA TUNAPENDA GIZA KULIKO NURU
Nashanga sanaaa yaani you are a manager for God sake tamaa y nini.kuna watu watamani wapate kazi hata yakulipwa 5000 manager mzima wauwa na unazohela za kujikimu kimaisha
Asha Checheo imagine
very bad aki..
saddest case to see of late, hope DPP will get to know about this case and help the mourning family. They surely deserve justice
Purity i really love the way you report really interesting
I am lost for words!! May he R.I.P. ogopa Kenya 🇰🇪
May the almighty God fight for this poor family. Gosh why so cruel 😢😢😢😢
hadass perez my heart goes to that father aki the pain of lossing a kid is so much
That blood is crying from ground....the idiot murderer will have no peace no matter where he ran...shindwe pepo muuaji
Inaonekana hii deal sio ya mtu moja, kwa Kuwa alipokamatwa kuna wale walikuja kumtoa, na pia documents kutoweka kuna pesa zilitumika ndio documents zichomilewe. wakili wa maskini no mungu pekee.
Hanifa Ali true walai
Mungu ndiye mtetezi wa wanyonge, your generation will pay for this man.
Surely this world is so cruel for the poor but there's God. He will fix everything for the weak.
Seel refuge from above.
So sad jamani 😢
So sad God is watching😭😭😭..police hawajampata but jounalist amempata 😈
Nakupenda purity we super woman sauti na kila kitu ...from tz
Oooh my God hii n kenya tunayo iishi kweli mungu atajithihirisha
Purity welcome back we miss this kind of investigative journalism.
The blood of that Guy will talk to you young man ...malipo ni hapa duniani sio binguni😭😭😭uncle 4 what soo sad
Huna pesa kenya huna lako masikini ni wa mola tuuu inauma sana oooooonyea
This is what i would call responsible 4th estate. Thank you @Citizen and @Purity for fighting for Kinama and family. May God reward you where the world will not.
It’s so sad 😞 that ur own family can turn out to be ur worst night mare 🙄😞God have mercy and hide our loved ones from wicked people 😞
Gutirì thakame ya mundu wa Ngai ikorira thì👉
True
True
So sad GOD is watching 😢😢😢
Mmmmmh kweli Kama hunachako kenya utaishia lions madhila.... Familiar isiache kumfuatilia mpaka hakii itendekee
The saddest story of the year
mtihani kweli Duniani
Why leave that guy... Why?? Show justice please
Let JUBILEE and AIG to issue the money to the Family
Wanyonge hawana haki Mungu tu
I lyk you purity keep it up the way u report ur my best reporter
Si kwa ubaya lakini...huyu Evans ndie aliyemuua
Mwa Metallic yeah
It happed to me some months ago losing my dead just like this but my dear kenyans killing some one is forbidden by God thats y tutaishi kulilia alie juu maana bible says vita ni zake alie juu
It's so painful Truely
Ee Mungu wa wanyonge hurumia waja wako
So painful bt God he won't let the sinners go unpunished
Wooiye God will intervene
Is this the country we want. Is the this culture we want. We left our culture to follow the poeple we don't know where they came from.
Matiangi should act here......na mfululizo wa wanapolisi kadhaaa wafutwe kazi
Story za knya nimbaya sana utu no Tanzania tuko poa mungu mkubwa
Sometimes it sounds like a movie bt it happens practically 😨imagine.yaani Ni mtu anakazi na n manager tamaa hiyo Ni ya nn?
Sounds like a movie, aki Kenya is so heartbreaking, how can this happen in 2018! Impunity must end!
😪😪😪😪😪 nimefiwa na mamangu na pia na babangu hayupo hai, nawaza tu ile uchungu nakuanga nao kila siku ingekua ni kuuliwa waliuliwa kama ningeweza ata kuishi.i have lived with pain tooo much pain in my heart for loosing my parents and nobody murdered them itd just other circumstances, what if their lives were taken by someone? Its too painful to lose a loved more so through murder
Helly George pole
JOB NGURE thank you dear
yaani makaratasi ilipotea,ee mungu jionyeshe,mungu wa maskini
What kind of police releasing such a man?Justice has to prevail for the poor family.God Will fight for you.
Pole sana
Well done Purity.keep it up
Oh my..so sad....rest in peace Eric 😢😢😢😢😢😢.....
How did it go. Was the sus arrested
Hii kesi imefika wapi..
Inaendelea vizuri sana
May the almighty God calm the pain the family members are undergoing and may justice prevail
The true God of heaven will fight for this family.
Mwanadamu anae mueza ni Mungu
oh my god!
Wanyonge mungu waokoe
Pesa pesa ,pesa zilimshariti mwana wa mungu ,coz of the money u r free ,but remember kwa God akuna hongo ,na hutalala kwa kaburi bila kulipa ulichokifanya ,shindwe ww
woooiii maskini babake kijana, may justice prevail.
I have learned something from this story, na kujiuliza maswali kadha
Yaani mshukiwa alikimbililia kwa police station ( kuna swali ya kujiuliza mbona afanye hivyo ? )
Na je ? Kuna uwezekano alishirikiana na hao ma-polisi kuuwa ?
Je kama hao waandishi wa habari wasingekuwa na na warranty arrest ingekuwa vipi ??
Huko kangundo haki itatendeka ?
There is a reason Hajj ameingilia Hiyo kesi kwa sababu anajua haki haitatendeka, vile haikutendeka for past years, na kwa Hiyo story MA polisi wanahusika, kwa sababu huyo jamaa, anaji-kinga nao
Vile alitaka kuwageuzia kiswahili waandishi wa habari,
Surely😭 God protects us pliz 😭😭
oooh my God becouse of money really ata wee utakula tu ya dunia ni hapa tu poor boy.may God protect our kids rafiki yako ndio adui yako kikulacho kinguoni mwaka Mungu aonyeshe kila ki2
But why 😢😢😢 when we kenya be a straight forward country? Hope they found justice for Eric
Hope they got justice ⚖ 🙏
Aki nilijipata nalia wakati mwambia akilia, so sad so painful rest in peace Eric
Mungu anaona
Purity Mwambia good job!
Justice must be needed there
Thanks for that bravely report but apo ulipopata huyu jamaa you could have a hidden camera plus you would have not introduced yourself as a journalist in the first place....this is investigative journalism.May God Grant this family with peace and Justice will be found.Good work from you guys.
Justice should prevail
Justice to be done for this poor families 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😭😭😭😭
When someone ask you to do such thing never accept. Why insure yourself against death yet you dont have food for yourself.
God will fight for this family
Is there no part 2
Najua umetoka tik tok 😂😂
unaweza kuwa ukitembea na kumbe mtu amekuchukulia life insurance pesa zikishakuwa mamilioni anakuua, very bad...May judgement of God almighty take its cause.
Huyo officer WA kusema kuwa baadhi ya sitakadhi zimetoeka n apelekwe ndani na kufunguliwa mashtaka
Purity back yuwaimba...But seriously very sad case...
mungu wa maskini hatawaimuacha alale kwa a mani..what goes around cones back around
Binadamu wamengeuka kuwa wanyama eeh Mungu atusaidie,it's cruelty beyond understanding
Tamaa mbaya 😭😭😭
How true is this?
Gooooooooooooood shuka!!!!
So sad indeed wait for saga of no evidence but praise & Honour be to God the OMNISCUENT OMNIPOTENT INFINITE that's he fights for poor
😭😭😭😭😭woiye so sad
Family ya the late..wanafaa kujichunga sana..huyu jambazi anaweza kupanga plan ya kuwaua wote ili kupoteza ushahidi
Justice for this Family Asap,what has humankind turned too, very disappointed
May almighty king fight for the family
Very sad bt God will teach him alesson
O God remember this family
The wheel of justice will surely catch up with him.... he bribe his freedom for now, and be free, but his conscience will never be free. I hope the new DPP has watched this news and he will do something about the matter.
Better to leave the man God is seeing your tears Hi is the justice of the world
God will help you don't worry and that man will never have peace
So sad😭😭😭😭Rip Erick
Gai! Very bad indeed. Kweli Mungu just intervene this.
Yani Kenya imefikia pahali mtu anaweza ua juu ya pesa,this country is very corrupt thanks to sirikali ya tano tena , Evans hata uende chini ya maji you will have no peace and also for the people who are covering up for you pia nyinyi amani hampati ..
Hii kesi iliisha aje?
I was really hurt yesterday watching this