Hizi ni Aina ya nyimbo zenye jumbe zilizosahauliwa na waimbaji wengi miaka hii. Waimbaji wengi wa kizazi kipya hawataki kumtaja Yesu kwa ujasiri kama hivi...ni vyepesi kwao kusema mungu lkn kumtaja Yesu ni kama wanaogopaogopa vile. Hongera sana dada Rose na mwenzako kwa wimbo nzuri. I love you.
Yaani nimefurahi sana kumuona mama yangu Rose Muhando kulejea tena katika tasnia ya Gosple hits akika kama mungu anakuitaji akutumie atakutumia maradufu na atakukinga na mabaya
I can’t count how many times I’ve watched this 👆🏼👆🏼👆🏼👆🏼song...... Rose kipawa ulipewa jamani.....mungu akakuinue tena..... nakupenda tu bureeee. purity 🙏🏻.
Maman que Dieu te protège est te bénisse nous en RDC malgré nous écoutons suhaili difficilment mais l'essentiel est que la parole de Dieu est prêché au travers tes chansons que Dieu t'inspire encore est Encore.
God is alpha and Omega, mwanzo na mwisho. sister Rose you are a hero, despite of what you went through are still shining in the lord.............. just go for it and you will be rewarded abundantly
Glory glory glory if you're watching likes KWA wingi surely rose HAKUNA njia ya mkato Bila kuja KWA YESU,Mimi hutamani Sana kumuona mama yetu rose nimpate wapi plizzz she's an amazing lady
Yesu ni bwana ahokoa waliopotea kwanjia zisizo eleweka ukimwani ni yeye pekee hata wakuje vipi watashindwa na mipango ya Mungu itabaki kuwa hivyo milele na milele marafiki wa mama Rose Muhando tusahau yalio pita tusikize Nyimbo Mpya ambazo ziko na ujumbe kama huu vitabu vitavunguliwa na majina yatasowa...
Only after i see you and cry on your shoulders rose, will i be able to live happily... My prayers for you and your health, God answered me for the love i have for you. Jesus will testify that before our father in heaven. .
Glory to God. There's no short cut to heaven without Jesus. Who else is watching in USA . We love you Rose may God bless you're ministry and increase it.🙏
Nakupenda huduma yako Rose mpaka najishangaa lakini mpenda nywele Dada zangu najua Mungu wetu anapenda na anataka vitu halisi hizo nywele jaribuni ikiwezekana muuvae uhalisia ni ushauri wangu tu
Alicho kipanda Mungu hakuna awezae kukiuwaa....kitainuka tena na tena in Jesus Name...Sifa kwa Yesu Kristo milele...Dada Rose wasamehe wote in Jesus Name..vita sio vyako ni vya Bwana Mungu wetu..Achia Yeye yote..wewe fata kazi yako yauimbaji....Na Mungu azidi kukubariki in Jesus Name
Nakubali kabisa
Hapo sawa purity
Kali ya mwaka.. Wapi likes za Rose Muhando Twende kazi 👍👍
weweeeeeeeeeeeeeeeeee
Moto ya zambee 🔥
Nice kaza mwendo
My favorite musician I love her passion in misik kip it up siz
She's simply the best
Hizi ni Aina ya nyimbo zenye jumbe zilizosahauliwa na waimbaji wengi miaka hii. Waimbaji wengi wa kizazi kipya hawataki kumtaja Yesu kwa ujasiri kama hivi...ni vyepesi kwao kusema mungu lkn kumtaja Yesu ni kama wanaogopaogopa vile. Hongera sana dada Rose na mwenzako kwa wimbo nzuri. I love you.
Glory to God
Wow praise God mum rose lovely hit sister ,hakuna mkato,vitabu vitafunguliwa wapi likes za mum from Kenya
Barikiwa sana rose karibuni busia
Yaani nimefurahi sana kumuona mama yangu Rose Muhando kulejea tena katika tasnia ya Gosple hits akika kama mungu anakuitaji akutumie atakutumia maradufu na atakukinga na mabaya
Hakika Mungu azidi kukuinua zaidi Rose
HALLELUJAH ya MUNGU ni mengi kwanza amenenepa asante JEHOVA
Glory to God. Keep it Kalisa and Rose Muhando
Rose waw waw usiniache mungu wangu I salute the power of the holy ghost he's the miraculous worker
Binafsi nimefrah sn tyzd muombea
wakati watu wanaona mwisho wako MUNGU wetu anaona mwanzo wako, kwa maana yeye ni mwanzo na mwisho wa imani yetu AMENI.
Amen
Anaitwa mungu
Amen He is Alpha and Omenga 🙏🙏
Neno LA mungu
Johnson Keru nyimbo za dini
Rose hapo! hapo! YESU ASIFIWE MILELE...
HAPO SASA
Ukweli basa
Ukweli kabisa nimefihahi kabisa mungu haaaa tukusweeee kakuibisaaaaa amehavisa mahandui daaani sanaaa
Ubariki wesana
Wakusema amerudi uislamu wako wapi. Love you dada Rose Muhando ever
Mungu akubaliki akupe moyo wa kumsamee
I can’t count how many times I’ve watched this 👆🏼👆🏼👆🏼👆🏼song...... Rose kipawa ulipewa jamani.....mungu akakuinue tena..... nakupenda tu bureeee. purity 🙏🏻.
Wimbo mzuri sana Wenye ujumbe mzuri. Barikiweni sana watumishi Rose na Purity
God bless you Rose and protect you against evil plans so we continue hear gospel... much love from Uganda
2019 Mama Rose huu mwaka shetani tutamkanyagia chini hakuna kupembelezana naye.Yesu ndiye pekee njia na ukweli😍
Ameeeen
Purity Kalisa aongeze chakula kidogo. Nyimbo za Rose Muhando zinahitaji nguvu.
Kumbe umeona!
@@juliusolela948 nimeona. Hehehe. Anapaswa kula sima kabisa maana Rose Muhando ni lady power.
😀😋😋😀
😂😂😂😂
Wimbo mzuri sana...Mungu awabariki Purity na Rose
NAKWAMBIA
Maman que Dieu te protège est te bénisse nous en RDC malgré nous écoutons suhaili difficilment mais l'essentiel est que la parole de Dieu est prêché au travers tes chansons que Dieu t'inspire encore est Encore.
Rose is really a blessing to the church, she is not selfish with the talent God inspired her. Let's all do as Rose has demonstrated be blessed church.
Not only to the Tanzanians alone but to the whole world.
This Lady is indeed a blessing. Who had her number?
Rose Mungu akubariki sana, nimebarikiwa na huo Wimbo. Kenya we are getting you loud and clear.
Mbeba maono hafi mpaka kusudi la Mungu litimie!! Rose uliyoyapitia ni shule ya kukufanya bora zaidi....nafurahi ukiendelea kumkiri Yesu!!
DANG THIS IS MY SONG!!! BEEN PLAYING IT FOR HOURS NOW!!!!
Nimefurahi sana kumwona Mama yangu Rose Muhando. Jina la Mungu litukuzwe milele.
Kevin Wak'li
amen
I didn't know Rose Mohundo until i came across her song n how energetic she was may God bless you all
I'm surprised that you didn't know her since 2004
One reason I have found out is that she is like a youth by grace of God for what she is doing in the kingdom
The devil is a liar
You got this gospel music queen (Rose)
Really Rose is real in gospel. But am hearing that she is very sick .I pray for her that God can restore her soul in Jesus name.
Ewe mwenyezi mungu nashukuru kumuona tena dadangu rose ktk gospel....naiona kesho yake ilopangwa na mungu.
hata mimi nasema Mungu akuzidishie
God is alpha and Omega, mwanzo na mwisho. sister Rose you are a hero, despite of what you went through are still shining in the lord.............. just go for it and you will be rewarded abundantly
Ashukuriwe MUNGU rose utaendelea kunga'aa kama dhahabu. Nuru ya mungu izid kukuangazia 🙏🙏🙏🙏
God bls , be strong Amen
This is real mum Rose may God protect you am blessed through you
Nimefurahi sana kukuona Rose Muhando....May God increase and bless abundantly
mbarikiwe sana kwa wimbo mzur penda sana da rose hakika unampenda sana yesu ndio maan hujaona tabu kuimba hata kama bdo hujapona
Excellent job keep it up.I love your nice gospel and be blessed with your family
We Kenyans are so happy hearing u sing again dear be blessed and keep going until the devo has put to shame alleluyah 🙏
Wakenya Mungu awabariki Sana kwa Upendo mnaozidi kuuonesha kwa sister Rose Muhando mbarikiwe sana
I thank God for healing you my sister Rose Mhando. Indeed He is a miracle working God
Indeed hakna njia mkato ya kuenda heaven ila ni kw Yesu. Thanks for this God bless you and welcome back
Akuna jina litalo kuja zaidi lake YESU . Ni mu falme wa wafalme jina lake YESU LIINULIWE MILELE AMEN .
God blesses you more and more with wisdom and knowledge thanks
Amazing song may God helps to walk in his presence always.
Glory glory glory if you're watching likes KWA wingi surely rose HAKUNA njia ya mkato Bila kuja KWA YESU,Mimi hutamani Sana kumuona mama yetu rose nimpate wapi plizzz she's an amazing lady
God protect and bless My mum Rose Muhando she has been my spiritual mentor...
.
Welcome back a QUEEN of gospel 💞💞💞💞
This is a nice one!! I love it!! May God continue blessing you Purity and Rose.
Rose hamia kenya plz. God Is still waiting to reveal more to you. I feel blessed. Love you and your songs.
Faith jmn hahahaha Kwan TZ Kuna nini
Mnataka kumharibu tena kwani hamkutosheka wakati alikuja hapa mkamuingiza kwa mihadarati hehe kenya hii nchi yetu aki hamnanga huruma na wasanii dah!
Yaaa Kenya we love Rose sana na mungu azidi kumbari
Félicitations rose
@@agnerysagnature2016 QWERTY 1
nice mungu aendelee kuwabariki
I thank God for you Rose Muhando,,❤❤ do what you always do best.
Lindo (very nice).. I like Rose Muhando. Muito Obrigado... From Angola
Wat an inspiring song may God bless yu my sisters of christ... Continue preaching the gospel na mtazidishiww aminaa
Now Rose muhando is a climbing stone to Every upcoming musician...even my younger sister needs a collabo rose
Welcome back, Rose. Thank you Purity. Rose, God Loves you.
Thanks God bless you too
Nothing impossible to God all glory be to our ALMIGHTY DADDY GOD
God bless you servants of God for this Spiritual Song . From Rwanda.
Thank you
Kali sanaaaaaa purity kalisa,,,,keep up
Sister Rose you are blessed do not doubt yourself. Do what your heart direct to do my the good Lord keep you healthy and strength.
Yesu ni bwana ahokoa waliopotea kwanjia zisizo eleweka ukimwani ni yeye pekee hata wakuje vipi watashindwa na mipango ya Mungu itabaki kuwa hivyo milele na milele marafiki wa mama Rose Muhando tusahau yalio pita tusikize Nyimbo Mpya ambazo ziko na ujumbe kama huu vitabu vitavunguliwa na majina yatasowa...
Kazi safi Purity na Rose
God bless you
that is great my sister from east Africa
happy for you Rose Muhando,,i do love your songs....may our good God continue to use you in a mighty way,,God bless you Rose.
Only after i see you and cry on your shoulders rose, will i be able to live happily... My prayers for you and your health, God answered me for the love i have for you. Jesus will testify that before our father in heaven. .
🙏 🙏 🙏
God is great,mum Rose u r truly blessed.powerful voice.
Welkm Back mama Glory to God... Walisema hutatomboa lakini wao sio Mungu
barikiwe sana Rozi tunakupenda
Lily caxy rwimbo ruru ni rwega
Nyimbo zenu nazipenda sna mungu awambaliki
Happy to see you again our dear sister Rose am Ugandan in Oman twende basi kwayesu 🗣🗣🗣🗣💃💃💃💃💃💃💃💃🙌🙌🙌🙌
Nice work mama
No situation is permanent Rose.Thank God You back on ur feet
Gospel zimbabwe tinoramba tichimunamata
Barikiwa mama Rose Mhando!
Huyo ndo Mungu,unamng'ang'ania mpaka kieleweke.
But hakuna mtumishi asiye na Maputo!
Tukaze mwendo
Glory to God. There's no short cut to heaven without Jesus. Who else is watching in USA . We love you Rose may God bless you're ministry and increase it.🙏
Hata mimi sitabakinyuma kushukuru mungu mahali ulitoe mama wetu rose muhando mungu asifiwe sana uparigiwe sana rose muhando Amen
Mimi from Atlanta
@@naftaliisiaho2985 bmbbvbb0.77jbvv8
Wimbo mtamu purity from Aic Diani na rose muhando
Wanomwiga Mama Rose wanapasuka msamba,wanashindwa.Karibu sana Mama Rose.Hii yako ni kipaji kutoka binguni.Njoo tuishi kenya.
I am just in love with the Power this Lady has Rose Muhando.
jamani kazi ya mwenyezi mungu ni nzuli kabisa aksanti sana mama kwa kufariji watu wa mungu
Come on darling...May the Love of our Lord Jesus Christ Surround you forever. AMEN.
The gospel singers should continue to intertain the public.They need to be encouraged
Ubalikiwe sana dada ang Rose kwawimb mzur Ameen
Kupigwa vita nikawaida unasimama tena asante baba
I am glad that you are back mama Rose 🌹
WE LOVE U ROSE ! ENDELEZA MOTO ULEULE nakupitiliza,Mungu ni mwema, hana ubaguzi kama wanadamu. Congtatulations for spiritua healing l!!!!!
Nakupenda huduma yako Rose mpaka najishangaa lakini mpenda nywele Dada zangu najua Mungu wetu anapenda na anataka vitu halisi hizo nywele jaribuni ikiwezekana muuvae uhalisia ni ushauri wangu tu
wee ii Kali ya mwaka 2019
nyimbo nzuri Sana mmbalikiwe waimbaji
Stay blessed rose muhando..in Lusaka Zambia 🥀
Alicho kipanda Mungu hakuna awezae kukiuwaa....kitainuka tena na tena in Jesus Name...Sifa kwa Yesu Kristo milele...Dada Rose wasamehe wote in Jesus Name..vita sio vyako ni vya Bwana Mungu wetu..Achia Yeye yote..wewe fata kazi yako yauimbaji....Na Mungu azidi kukubariki in Jesus Name
hongera rose kwa kuzidi kuifanya kazi ya MUNGU pambana
Am happy to see rose back to where she belongs. 🙏
Hongera sana Rose Muhando. We are praying always here in Mozambique to you. Welcome back to the Glory of the Son of God JESUS CRISTO.
Hii nayo sauti inatoa nyoka pangoni!! Wee,, haki mwanadanu njia yake ni Yesu Kristo pekee,,,,,,,,,,,,Amina...
May God work mighty things to you rose, in Kenya, we are proud of you and praying for you may the Lord see you
Amen tumusinze tumuguluminze Yesu 💃💃💃💃love from uganda
Oh good rose mhando...❣❣❣❣i love your songs since i was young. And i still do
Glory to God,......am happy happy of you Roce..
Ameen
Woo thank you Lord for the life of rose muhando,Mungu nakuomba uzindi kumpigania
Wooooyeee aki Rose muhandoo ngona tamu🇰🇪🇰🇪💃💃💃👍
Sauti za ninga zikimsifu na kumtukuza Mola licha ya changamoto zilizodaiwa mitandaoni.Hongereni sana mumwaibishe adui shetani.
Am happy to see Rose Muhando back again. May God bless you
Hakuna kama Yesu! Kama unamjua Yesu aliyemponya Rose like 100 hapa!
I really appreciate Rose mwandos song may God bless you heal you in Jesus name, Amen, Amen
A like this song,it really inspires me a lot,that was a good combination with a credible matching collabo of voices
Wimbo Mzuri sana nimebarkiwa Mimi naenda kwa yesu
Rose Muhando dada ngu, nakupenda sana.
May God bless you Dear.
Keep it up the Almighty God will always protect you in Jesus Christ of Nazareth.
Rose Mohando noma am watching from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Zambia
wow thats great to God be the glory nilikuwa nangoja hiyo sauti ya mama kwa muda kweli furaha ninayo si haba,
Rose live longer so that we keep listening to your hits. Enjoying from Uganda
Amen
I blv God will continue being wid ur siz Rose. It is that awesome and encouraging. God bless you