#MIZENGWE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 45

  • @johnrambo9642
    @johnrambo9642 2 ปีที่แล้ว +1

    Ukiwa na shida utajua marafiki zako wa kwel MANENO umeyasikia hayo mzee balaa sana UMESIKIA MANENO HAYO ameuliza

  • @adamjackson7402
    @adamjackson7402 2 ปีที่แล้ว +2

    Kazi nzuri mizengwe inafundisha

  • @Silyvesta
    @Silyvesta 2 ปีที่แล้ว +5

    Hongeran Kwa camera mnayo tumia Kwa sasa 👌🏾📸 kaz zenu zinaonekana vizuri.

  • @muhamedjaffar5653
    @muhamedjaffar5653 2 ปีที่แล้ว

    Mizengwe mpo safi sana mnaelimisha Jamii

  • @chakeali7772
    @chakeali7772 2 ปีที่แล้ว +4

    Mko Vizuri sana,kazi zenu nzuri sana na zina mafunzo.

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 2 ปีที่แล้ว +3

    Huyu malengo ni level zingine why asifanye movie za serious

  • @anthonygikuri
    @anthonygikuri ปีที่แล้ว

    Nimeipenda sana kazi yenu hii ndiyo sanaaa ya kufundisha jamii.

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 2 ปีที่แล้ว +2

    🤣 🤣 🤣 Wambie Wambie mikucha kama mtoto wa sanamu mzee sumaku mineno hiyo

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 2 ปีที่แล้ว +1

    Camera good sound good hamchanganyi sauti na muziki Safi sana watu wajifunze siyo una changanya sauti hatusikii maneno

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 2 ปีที่แล้ว +1

    Mmetisha nawapenda sana

  • @Nyanda506
    @Nyanda506 ปีที่แล้ว +1

    Huwa napenda mkwele anavyolia 😂😂😂😂😂Fungua macho ona mbele

  • @chakeali7772
    @chakeali7772 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazi iendelee kash kash

  • @charlesadolf1062
    @charlesadolf1062 2 ปีที่แล้ว +1

    Somo zuri sanaa.

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 2 ปีที่แล้ว +1

    Mumeo labda achongwe kwa seremala 😂😂😂

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 2 ปีที่แล้ว +1

    🤣 🤣 Eti pili pili huwezi kufata mlandizi

  • @henrymassawe699
    @henrymassawe699 2 ปีที่แล้ว +1

    That walk though 😆😆😆😆😆😆

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 2 ปีที่แล้ว +1

    🤣 🤣 Paka Hali kashata

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 2 ปีที่แล้ว +2

    comedy bora
    eastafrica 🇹🇿🔥

  • @georgewambura443
    @georgewambura443 2 ปีที่แล้ว

    Nina miaka 9 nawafatilia mko vizur sana

  • @veronysiwale7832
    @veronysiwale7832 ปีที่แล้ว

    Maringo saba bhana

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 2 ปีที่แล้ว +1

    🤣 Mkwere hapo ngerengere au maringo acha umbea

  • @meshackikatambi2386
    @meshackikatambi2386 2 ปีที่แล้ว

    Daa jamani wanawake wengine sio wakuoa aisee ndiomana sioi

  • @abeidabdullwarith8991
    @abeidabdullwarith8991 2 ปีที่แล้ว +5

    Hahahahaha sumaku ana maneno ya kuchekesha

  • @Desireyakubu
    @Desireyakubu 2 ปีที่แล้ว +2

    Hahaha sisi wa Congo hatutembeye hivo Maringo anavo tembeya munatuonea🇨🇩

  • @TitoJeremia-g1t
    @TitoJeremia-g1t 9 หลายเดือนก่อน

    Safina kalowa mtoto WA kihehe

  • @paulmwacha9870
    @paulmwacha9870 2 ปีที่แล้ว

    Nzur san

  • @kaitaramadan6340
    @kaitaramadan6340 2 ปีที่แล้ว +1

    Hukumu ya hivo haitakaa itokee hapa duniani ujengewe nyumba mikocheni

  • @musaamini401
    @musaamini401 ปีที่แล้ว

    Mkwele umekosea jambo 1 usingemuacha sababu ulivokua Na shida ulikaa ukweni usisahau fadhila pamoja Na mitihani yote

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbona nimesuscribe ,lakini sipati notification, inakuwaje.

    • @mrfix6596
      @mrfix6596 2 ปีที่แล้ว +1

      Umebonyeza alama ya kengele

    • @mariamfritsi4943
      @mariamfritsi4943 2 ปีที่แล้ว

      @@mrfix6596 ndio na inaonesha kuwa imekubali. mimi ni mpenzi sana wa comedy yenu, nilisikitika sana kwa kuondokewa na mzee matata ,poleni sana.

  • @aishaibrahim5607
    @aishaibrahim5607 2 ปีที่แล้ว

    😘😘😘😘

  • @charleskaozya9924
    @charleskaozya9924 2 ปีที่แล้ว +2

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @pulcheriahypolity7685
    @pulcheriahypolity7685 2 ปีที่แล้ว

    Njoo vile

  • @pdwanakaza2411
    @pdwanakaza2411 2 ปีที่แล้ว +1

    Hahahahhahhah

  • @omarbosiomar8608
    @omarbosiomar8608 2 ปีที่แล้ว

    🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦

  • @aishachambo8663
    @aishachambo8663 2 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😏

  • @angelavayinga914
    @angelavayinga914 2 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣

  • @mecksonjoseph2522
    @mecksonjoseph2522 2 ปีที่แล้ว

    Hahaha

  • @noelkipera6581
    @noelkipera6581 2 ปีที่แล้ว

    Mnarudia kazi hiyohiyo,Mara mbil hamna kazi nyingne?

    • @lusese1
      @lusese1 2 ปีที่แล้ว

      Tumerudia kazi ipi mara mbili Kipera? hatujawahi kurudia tupo makini na kazi zetu. ahsante kwa kutuunga mkono.

  • @georgewambura443
    @georgewambura443 2 ปีที่แล้ว +1

    Nina miaka 9 nawafatilia mko vizur sana