Thousands lessons. Usiwahi kumuamini mfanyakazi mwenzako pale anapomzungumzia Bosi wenu kuhusu maslahi ama mustakabali wa kazi. Akikueleza kitu msikilize na utende kwa utashi wako mwenyewe. Unaweza ukajaa upepo, ukijua wenzako mpo pamoja kumbe wakikutana na Bosi wanajichekesha tu na hata akitokea Tajiri akakusema mbele yao juu ya kujitoa kwako muhanga kwaa jili yako na wao hakuna atakaye diliki kukutea zaidi ya wao kukoleza chumvi na ndimu ili uonekane mbaya.
Dah hii tabia ipo sana, kunawatu wanajifanya walalamikaji wakubwa sana, mukienda mbele ya boss, wao wanarud nyuma na kuonekana wew ndo mchochezi, ndio maana mmi hujitahid sana kukwepa watu wanafki kama hawa, 😅😅😅😅
🤣🤣 Sku moja tulgom kufanya graduation tukasem tusitoe hela ya graduuu 😂😂😂 zkaletwa fimbo kam zote ambae hataki gradu akae upande huu wengine watoke njee wakatok wote tukabaki wa3 darasa zima 😝😝😝😝
Haya mmb nayakumbuk kipnd nipo shule mnajenga wazo mkifka kwa walmu atakae wasilisha kelo ndye anabeba msala wenzake wanakausha yan dah kwel Jot umepatiaaa noma sna braza umetsha et
Enzi za shule mmegomaa ndioooo haya anayegoma atoke mbele watu kimya 😂😂😂😂 sasa we uliyepeleka malalamiko walimu wote wanakuchangia unakula fimbo kama millioni 😂😂😂😂😂😂
Waa watching from Dubai my favorite comedian ever in the world... Same character to Charles chaplain frm America 🇺🇸 love you soo much joy 😂 penny frm Kenya big uo
Jamani musiseme JOTI PEKE YAKE YAANI KIUFUPI HII TEAM MZIMA WAMETULIA ATA HAO WENZIA JOTI NI WASAANI WAZURI
Kweli kbs walivyo uchuna 😂😂😂😂😂
Happy Days kweli jamaa wapo vizuri sana hawa...
Peke yake joti hawezi kufanya kazi nzuri kama hiyooo soo wote wanastahiki pongezi
Iko vizuri
Kweli kabisa
yaaani joti unatupunguza huzuni za kumkumbuka king majuto kiukweli km upo mamoja nami gonga like moja tu inatosha
anaesoma coment kabla yakumalza kuangalia like hapa
🤣🤣🤣🤣imenikumbusha Shule “mmegoma? ndioooo, ,,we umegoma Hapana mwalimu...😂😂
wolfgang kichai niacheee😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂alafu mwalimu anacheza na wewe peke yako.unaejifanya kimbelembele saana
wolfgang kichai 😂😂😂😂😂😂😂
wolfgang kichai hahaaa pia mm umenigusa ilishawahi tokea hiyo shuleni kwetu
😂😂 mnakubaliana fresh, mkifika kwa teacher wanakuruka vibaya mno.. unapata suspension mwenyewe 🤣🤣.
Moja kati ya macomedean bora kuwah kutokea tz like nyigi jaman
Ishanitokeaa hii
Pole washikaji wengi wanafiki
Jot na kundi lako mgepata kipindi tbc mgeuza saaana
comedy bora
jotinoma
KAMA MTAANI KWENU KUNA MASNICHI KAMA HAWA GONGA LIKE 😂😂
Chaiyarangi hahahh
Hii kitu ilishawahi nitokea kilichosaidia nilirecord kila kitu wakajikuta wanaandikishwa barua wao mm nkapandishiwa mshahara cpend watu wanafki mm
Yauma sana Dadangu.
😂😂😂
He he he
Haha dah, ? kwel uliwawza
Daaaah maskini weeeeee 😂😂😂😂😂 wamemponzaaa ila ipo kweli hii tabia
Hahahha uwiii nmecha mbk nimetowa machozi jmni wallah joti umeniweza
Duh hi kibongo bongo ipo xna yaan,, True story Joti 😕😢
Ukiacha comedy hili ni zaidi ya funzo.
Kweli
Leo tar 15/2/2022..BADO INANIFUNZA TU...NAANGALIA MALA 5.
Thousands lessons.
Usiwahi kumuamini mfanyakazi mwenzako pale anapomzungumzia Bosi wenu kuhusu maslahi ama mustakabali wa kazi.
Akikueleza kitu msikilize na utende kwa utashi wako mwenyewe.
Unaweza ukajaa upepo, ukijua wenzako mpo pamoja kumbe wakikutana na Bosi wanajichekesha tu na hata akitokea Tajiri akakusema mbele yao juu ya kujitoa kwako muhanga kwaa jili yako na wao hakuna atakaye diliki kukutea zaidi ya wao kukoleza chumvi na ndimu ili uonekane mbaya.
Nimecheka sana eti nyie mafala kweli 😀😀😀😀
Hii Ni Sawa Na Ile Ya Kati Ya Mange Na WaTZ. Amakweli Mipango Sio Matumizi! 😂😂😂
Dah hii tabia ipo sana, kunawatu wanajifanya walalamikaji wakubwa sana, mukienda mbele ya boss, wao wanarud nyuma na kuonekana wew ndo mchochezi, ndio maana mmi hujitahid sana kukwepa watu wanafki kama hawa, 😅😅😅😅
Ipo sana hii behaviour
Unaambiwa mnafki kaa nae mbali
No. L
😁😁😁😁😁😁😁
Hii tabia ninayo mimi😂😂 nakucheki kwanza ukiwa front nalamba cona 🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂
Dah mambo haya hapo sana😂😂😂 sasa Nishai pambana na hali yako
Nyie Madara kweli jamani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😆
Hahaaa joti umenikumbusha mbali sana hii ilintokea siku moja dah😂😂😂😂
Licha ya kufurah tuu nmejifunza kitu kwa jamii,kazini kama kuna kitu umejifunza kama mm gonga likes hapa
nikweli ni fuzo kwetu
Sanaaa tu, imenikumbusha mgomo wa madokta 2012 maana nliadhirika Sana! 😁😁😁😂 Mpk leo sinaga hamu na wasaliti
Jaman JOTI unajua sio siri mimi napenda hizo mbwembwe zako tu NISHAI.. Like nyingiii
Kwel kbsa joti mfazili mbuzi binaadam atakupa maudhi hahahaha 😂😂😂😂 leo joti amentia huzuni maskiniii😢😢😢
😙😘
Aishamstin Bae mambo
Nandi
Jot nifala kweli msenge huyuu ananichekesha mpaka bas unajua bloo gonga like hapa
Mambo haya yapo duniani kote Asante joti kazi nzur
Dah ila Tz yamezidi. No solidarity
🤣🤣 Sku moja tulgom kufanya graduation tukasem tusitoe hela ya graduuu 😂😂😂 zkaletwa fimbo kam zote ambae hataki gradu akae upande huu wengine watoke njee wakatok wote tukabaki wa3 darasa zima 😝😝😝😝
🤣🤣🤣check joti alivyotoa macho ,alafu we kipande unakua kama mama rafiki yangu
Haya mmb nayakumbuk kipnd nipo shule mnajenga wazo mkifka kwa walmu atakae wasilisha kelo ndye anabeba msala wenzake wanakausha yan dah kwel Jot umepatiaaa noma sna braza umetsha et
😂😂😂😂 mecheka kifala sana Joti unatuuwa
Unanikumbusha mbali sana joti...binadam sio wema hata kidogo 😢😢😢
Kabisaaa yan
Huyu bonge jinga kwel yaan mpka vidole linachezea et
.😂😂😂😂😂😂 Jot imekula kwako et AU SIO KIPANDE jamaa kameza ganzi tuu
Gd san
boc kala masingi kama yote 😃😃😃
Daah mbavu zangu
😂😂😂binaadam sio kiumbe wa kumuamini
Joti Kaka we Ni zaidi ya comedian Yani sijawahi kukuchoka🤣🤣🤣
da kilicho mkuta jot siopowa ,kamahujapenda gongahapo niungemkono
Joti karibu Burundi tunapenda Comedy zako
wallah joty anajuwa kama unamkubali joty xaana konga likee kama zotee hapa
Nimeiwahi na mm Jamani... Snitch 😁😁🙌 joti huo mchomekeo na huo ufupi kama pepe Kalee :-😅😅 Usisahau kugonga Like kushare na kusubscribe.
Uyoo jamaa mwenye shati ya blue ana fanana na mbosso kwa mbali
joti
shkamoooo . ...fanya ku like tu
BINADAM USIMWNIN HATA NUSU , FUNZO KUBWA SNA , USALITI MBAYA SANA
Kutoka joti aanze hii comedy leo katoa funzo kubwa sana
😁😁😁kakufanya ww msukule.... Walivyozuga sasa walivyomuona boss yani Nishai alivyomvuta huyo boss.
Ukilianzisha usitegemee support just keep doing it yourself binadamu wabaya sana
Daaaaa unanikumbushaa mbali Saana joti ishawahi kunitokea hiyo mnapanga mpngo Masela wanazingua daaa
😀😀😀😀Nyie mafara kwelii yaani😀😀😀😀
Jot hiv nduguzako wakiangalia wanakuchukuliaje?😊
Utakula kwa akina kipande 😂😂😆😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kwel wahun sio watu wazur daah....!!
Enzi za shule mmegomaa ndioooo haya anayegoma atoke mbele watu kimya 😂😂😂😂 sasa we uliyepeleka malalamiko walimu wote wanakuchangia unakula fimbo kama millioni 😂😂😂😂😂😂
Joti wacha unafiki
Hahahaha ndo ukome
Hahaha joti fundiiiiiiiiiii na kikundi chote wako vizuri good good akuna anayekosea
joti bwana anasema bei zote nazijua usichanganye madawa ela zote Akachukua bosi nikamaindiiiii duh ii kali
Nani anaitazama snichii 2023,😂😂, gonga like
kuna jamaa aliwahi kunifanyia usnitch mwaka 2013 daah nilimind kinoma ..hii ipo sana haswa kwa mtu unaefanya nae kazi afu umemzidi maarifa
Ivi niku record
Hii ni sana
hahahaha ni kweli wapo kabisa marafiki wanafki
Hatari sana hii kaka Lucas na hapa kwetu tz hii ipo sana ukilianzisha tu ukigeuka nyuma unajikuta mwenyewe washasepa🤣😂😀
Wanavyotoa hayo macho sasa 😂,mi hoi
Me napenda sana style za joti yaan hatar sanaaaaa
😂😂😂😂😂 dah ebane hizi mambo zipo sana
Ahsante Joti your my best comedian Ever
Daa wapi apo mapicha flem ni nzuri👌❤
Joti ni noma
da kuna watu wana vigeugeu mbaya sema😁😁 kweli joti ninoma
Hahaha pole kweli this happen everyday life some people must wakeup
Umetoa elimu tosha...haya mambo yapo kwenye uhalisia pia
Laaah! Wakali wa comedian gonga like nying kama umewakubal ili twende sawa
Uyu jamaa ali act kama bosi anajua saaaana, namuona mbali sana uyu mchizi!
Mashabiki wa Joti kindaki ndaki Naombeni Laiki zetu hapa tafathar
Ukanifanyia kazi gani
Kamuulize Mamaako
Ahahhaahhahaahahhahahhhhahhahahhqhhahahhahahhaahahahhhaah jamani Masnichi kila kona unaweza ukawachapa makofi👋
😁😁😁😁😁😁 mbona huku wapo, yaaan utafkr mijike vle
Dah aiseee ma snitch kweli
Daaah Joti unatafuta hela kwa haki bro unatuchekesha na kutuelimisha pia, uzidi kudumu kaka
Yan jot una kazi mbovu
daaaah hii si comedy bro ni zaid ya ukwel
Watu wanafkii ni wengiii mnoooo sehemuu yooyote yenye rizkii jaaaaamaaniii tuuuwee maaakiniii....binadamu siooo watuuu
Ahaaaaaaa! Kwa hiyo tumeamuaje yaani mi sielewi.
Binadam wazito nmejifunza asanteni sana God bless u all
Hahaha hahaha hahaha mansichi ni nomaaaaaa 😂
Joti msenge kweli,eti linakosa sapot,na mshati wko mkubwa Kam chalii wa arusha,mbavu zangu mieeee
Huyo kaka wa kati hahahahahaha kakaa ki snitch kweli hadi shingo kaweka upande. Mbaya sana hii dah
Funzo kubwa sana sehem za kazi
Ninuse mdomoo😂😂😂😂
Yeah it's how life it's some time
dah hata mimi nimecheka hapo
😇😇😇
Asww
Vp hali yko
Maryam Maram kipande c tumekubaliana tunagoma lale Eeenheeee
😂😂😂😂😂
Nishai wamemsnichii
Noma sana huyu jamaa😀😀😀
Nimepata fundisho kumbwa sana
Nimecheka sana, sijawahi mwamini mtu kwenye kugoma. Nagoma mwenyewe nadai haki mwenyewe
Kitambo sana nishawahi kuwasnitch wenzangu mamaee hadi leo wakikumbuka wanajuta
Joti kajipiga kifuaa weeee .. Joti kajinasa mwenyewe.....
Asee joti nakukubal kinomaaaaa🙌🙌🙌🙌🙌
😂😂😂 joti pumbavu kweli
dahh kitambo sana hii enzi za shule mamaee😂😂
🤣🤣🤣🤣wanafiki wamemzingua kiboga🤣🤣🤣
Mmmmmmh hatareeeee sanaaaa iiiih kituuu ikikutaaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂🤣nmechka hd balaaaa🤣🤣🤣
jokes with valuable lessons.. thanks Joti for makin my day!
😂😂😂😂hatar sana
Nishai leo imekula kwako😅 acha kazi hujapata kazi uone umuhimu wa kazi
Sopa uboss umekutoxha.... mashallaaaah
Ww ndo comedian wng bora Africa
Waa watching from Dubai my favorite comedian ever in the world... Same character to Charles chaplain frm America 🇺🇸 love you soo much joy 😂 penny frm Kenya big uo
Mi nimeielewa lakini sjacheka bali nimejikuta naskitika na roho inauma.Hiyo tabia ipo sana hasa kwetu watanzania,woga mwingi mno.