Biteko aushukia jumla jumla mgodi wa North Mara, Nyamongo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • Tovuti @BMG BLOG www.bmgblog.co...
    Facebook @BMG HABARI / bmghabari
    Twitter @bmghabari / bmghabari
    Instagram @bmghabari / bmghabari
    #BMGTV #BMGBLOG #BMGHABARI #PamojaDaimaBMG

ความคิดเห็น • 19

  • @eliasbufula2482
    @eliasbufula2482 3 ปีที่แล้ว +5

    Biteko umeongea pointi, na hiyo no kawaida yako kuongea vitu vilivyonyooka na vinavyoeleweka na unaviongea kwa utulivu wa hali ya juu, na busara kubwa, inayosababisha maelezo na maagizo yako yaeleweke. Let God be with you.

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 ปีที่แล้ว +1

      Kwa niaba yake, thanks mtu wetu wa nguvu

  • @hechechacha4032
    @hechechacha4032 3 ปีที่แล้ว +3

    Dotto biteko is a good leader hongera Sana KWA hoja hiyo ya blacklist

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 3 ปีที่แล้ว +2

    Up to the point, transparency should guide you. Kijana kazi unaifanya, kudos na wala isiwaogope watu.

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 3 ปีที่แล้ว +3

    Dotto Biteko.... kwenye ubora wake wa majukumu mazito ya Kitaifa....

  • @zachmaselle6635
    @zachmaselle6635 3 ปีที่แล้ว +1

    Suala la kubadilisha majina ya kampuni ni ujanja unaotumika sana has marekani kueputa kodi. Seriksali lazima iwe makini. Wakati mwingine hubadili hata wamiliki wa kampuni kwa majina tu. Lakini ndani kwa ndai wanajuana.

  • @lucaskabadi8519
    @lucaskabadi8519 3 ปีที่แล้ว +2

    Kweli kabisa hawa barick

  • @omarjumanne2698
    @omarjumanne2698 3 ปีที่แล้ว +1

    Adam malima mtoto wa shujaa wa Elimu

  • @tumainirichard6298
    @tumainirichard6298 3 ปีที่แล้ว +1

    Muda wao umewadia.

  • @conradbathromeo8746
    @conradbathromeo8746 3 ปีที่แล้ว +2

    Salama la blacklist Liangalien mkuu

    • @jonathanpaulo4379
      @jonathanpaulo4379 3 ปีที่แล้ว

      Waziri wa kazi ni mzigo

    • @wilsongeorge1353
      @wilsongeorge1353 2 ปีที่แล้ว

      Soja wanafanya kazi pesa inaingia polisi na kupewa askari wapi na wapi .kwanini askari wasipewe hela zao na wazungu kila wiki lakini mpka pesa ingie polisi ndio wapewe askari hao tena wanapewa wiki mbili au tatu ndio wanapewa hujui polisi wetu wanapata injari sna mgodini na wakiumizwa na maitruda kutubiwa na mgodi hakupo kabsa

  • @abdallahhussein1918
    @abdallahhussein1918 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwa ambaye hujaona hii kitu jitakhid uitizame

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 ปีที่แล้ว

      Hakika ni vyema tuka-share kwa ndugu, jamaa na marafiki (wafanyakazi).

  • @alimuse6980
    @alimuse6980 3 ปีที่แล้ว

    Msafara wa magari mengi sihasara ya mafuta kwa nini wasitumie magari matatu tu

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  3 ปีที่แล้ว

      Hapo kuna kila idara inayohusika, magari matatu labda mabasi

    • @alimuse6980
      @alimuse6980 3 ปีที่แล้ว

      Kila idara inakwenda kufanya nini nakama kila idara wanakwenda maofisa wangapi wanaenda na kamawengi itumike itumike basi dogo