DUA KUBWA YA KUANGAMIZA UADUI / Imamu Mponda

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • ndugu yangu mtazamaji hii ni dua ya kuangamiza uadui kwa idhni ya allah

ความคิดเห็น • 62

  • @ibrahimumilanzi-mu1lu
    @ibrahimumilanzi-mu1lu ปีที่แล้ว +3

    Yarabi nikuomba unipe afya njema uniondoshe kila aina ya maradhi kwenye mwili ninayo yajua na kusikia maumivu yake na nisio yajua Yarabi nifanyie wepesi kwenye utafutaji wangu wa riziki yarabi nakuomba ukiongoze vyema. kizazi changu na ukipe afya jema Yarabi nakuomba usamehe mama. yangu makosa yake na umpe maisha marefu na mfanyie wepesi kwenye riziki zake Amiin

  • @MadinaShabani-hp6mk
    @MadinaShabani-hp6mk ปีที่แล้ว +3

    Ya allah kwa ukubwa wa dua hii niondolee uchaw unaotembea katika mwili wangu mm pamoja na mtoto wangu na mume wangu utulinde utuhifadh allahuma ameen ya rabb

  • @raiyaomary1988
    @raiyaomary1988 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kupitia dua hii mwenyezi mungu naomba aniponye mkono huu unanisimbua

  • @sheilamsabaha5465
    @sheilamsabaha5465 ปีที่แล้ว +4

    Ya Allah tuondoshee maradh yavdonda vya tumbo macho na mengine tusiyo yajua utuondoshee husda za walimwengu utufungulie tulip yatarajia amin

  • @sheilamsabaha5465
    @sheilamsabaha5465 ปีที่แล้ว +5

    Na unifungulie rizki pembe zote za Dunia eeh Allah naomba unifanyie wepesi

    • @ashatsheh6614
      @ashatsheh6614 ปีที่แล้ว

      Yaa Allah nijaliye afya njema Mimi na familia yangu wanangu wajukuu zangu mume wangu tukinge na husda za watu majini wachawi tuondolee maradhi katika miili yetu yarab

  • @kelly-lorhavyarimana293
    @kelly-lorhavyarimana293 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ya Allah nakuomba kupitia dua hii uniondolee kila aina ya uchawi inayo tembeya mwilini mwangu eeeh mwenyezi Mungu nakuomba unipe shifaa kupitia dua hii amiin

  • @nuruddin5074
    @nuruddin5074 ปีที่แล้ว +3

    YAA ALLAH NIOSHEE MARADH YOTE MWILIN MWANGU NA VITU VYA TEMBEA YAA ALLAH NIONDOSHEE YAA ALLAH NA SIHR YAA ALLAH DHIONDOE ZOTE INSHALLAH VIJICHO VIBAYA VIENDOE NUKS MIKOS NA BINT YANGU MUONDOLEE MARADH NA SIHR MWILIN NA MAMA ANGU MUONDOLEE MARADH YOTE MWILINA NA SIHR INSHALLAH NIJAALIE AMAN KWENYE NDOA YANGU NA AMAN KWENYE KAZ YANGU NA UTAJIR TUWE NA MAISHA MAZUR INSHALLAH

  • @MURSALICHAUNGU
    @MURSALICHAUNGU 5 หลายเดือนก่อน +2

    Yaah allah nakuomba hii duwaa iwe tiba na kinga katika marazi yangu ishaallah

  • @yasssersaid-nq5ex
    @yasssersaid-nq5ex ปีที่แล้ว +3

    Aamiin inshallah mungu ataleta kheri

  • @ZuuhRaniya
    @ZuuhRaniya 8 หลายเดือนก่อน +1

    Yah Allah mfanyie wepesi mwanangu apone ugonjwa unao msimbua nakama Kuna kitu kibaya basi kitoweke kwa uwezo wa Allah inshallah 🙏

  • @bintifikirini-wy3kc
    @bintifikirini-wy3kc ปีที่แล้ว +2

    Ya rabby niupushe na kila shari unilinde popote pale uniepushe na machawi majini na mahasid unitakase unifungulie mwangaza katika maisha yangu, amiin ya rabby.

  • @ibrahimumilanzi-mu1lu
    @ibrahimumilanzi-mu1lu ปีที่แล้ว +2

    Yarabi nakuomba umuondoshee maradhi. yanayo msumbua binti yangu na upe maisha marefu yenye mafaniko umuongoze kwenye masomo yake hapat uufaur atimize ndoto zake Amiin

  • @Chizi-vp7ru
    @Chizi-vp7ru ปีที่แล้ว +1

    Yarrabi nilindie watoto wangu pamoja na mama na uwaepusha na wa chawi pamoja husda

  • @sheilamsabaha5465
    @sheilamsabaha5465 ปีที่แล้ว +2

    Ya Allah niondoshee maradh yanayotusubua mwilinimwetu mim na familia yangu

  • @tatusaid3934
    @tatusaid3934 ปีที่แล้ว +1

    Tubariki sote waja wako 🤲🤲🤲🙏ameeeen

  • @josphenembunde5805
    @josphenembunde5805 ปีที่แล้ว +2

    Allah uniondolee maladhi yote mwilini majini ya warabu uniondolee

  • @fundimwandambo4506
    @fundimwandambo4506 ปีที่แล้ว +2

    Aammiiiyn rabal 'ala miiiyn iwe kwetu sote ya rabiiy kheri

    • @singanokibaha6233
      @singanokibaha6233 ปีที่แล้ว

      Nijalie Yale yote yenye heri kwangu pamoja na familia yangu, na utuoondolee Yale yote mabaya - Amina

  • @ZuuhRaniya
    @ZuuhRaniya 8 หลายเดือนก่อน +1

    Yah Allah nifanyie wepesi katika maombi yangu niondolee ubaya uliopo juu yangu vitu vibaya vilivyopo katika mwili wangu vitoweke inshallah

  • @RahmaHussein-uj6tv
    @RahmaHussein-uj6tv 2 หลายเดือนก่อน

    Amini insha Allah mwenyez mungu atatulinda na kila aina ya mabala Insha Allah

  • @biubwaDadkarim
    @biubwaDadkarim 29 วันที่ผ่านมา

    Amini yarabialamin alhamdulilah

  • @nuruddin5074
    @nuruddin5074 ปีที่แล้ว +2

    SHUKLAN SHEIKH ALLAH AKULIPE KILA LA KHER INSHALLAH

  • @HabibaMkwama
    @HabibaMkwama 2 หลายเดือนก่อน

    Yarabi niondoshe maradhi ktk mwil wng mm p1 na family yang tuweke mbal na madu zetu

  • @bintifikirini-wy3kc
    @bintifikirini-wy3kc ปีที่แล้ว +1

    Ya rabby nilindie mamangu babangu dungu zangu, uwaepushe na machawi pamoja na mahsda

  • @sabahabdallah5791
    @sabahabdallah5791 ปีที่แล้ว +4

    MashaAllah.

  • @asianassoro9217
    @asianassoro9217 ปีที่แล้ว +4

    Inshaaaallah

  • @rismajuma1049
    @rismajuma1049 ปีที่แล้ว +2

    Allah awahifadh maustadh wetu

  • @najmasadiki3017
    @najmasadiki3017 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amin

  • @lifeinmiddleeast8179
    @lifeinmiddleeast8179 ปีที่แล้ว +2

    Aaamina ustadh Allah akulipe kheri

  • @oman1oman179
    @oman1oman179 6 หลายเดือนก่อน

    Emungu na kuomba dua hii ndo iwe canzo ca matatizo yangu yote yalio jaa kwenye mwiili wangu yarabii nijalie iwe tiba kwangu nimesha hangaika sana sipati tiba ya maradhi yangu na kuomba ya allaah kupitia dua hii ndo iwetiba kwangu inshallaah

  • @ZuuhRaniya
    @ZuuhRaniya 8 หลายเดือนก่อน

    Amin inshallah 🙏

  • @rukiyawako6458
    @rukiyawako6458 6 หลายเดือนก่อน +1

    🙏

  • @rismajuma1049
    @rismajuma1049 ปีที่แล้ว +2

    Amina ya rabila lamin

  • @RukiaShelukindo
    @RukiaShelukindo 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah

  • @ZuuhRaniya
    @ZuuhRaniya 8 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah❤ quluan

  • @haridirajaburajabu1017
    @haridirajaburajabu1017 ปีที่แล้ว +1

    ameen ameen

  • @mamuroja9061
    @mamuroja9061 ปีที่แล้ว

    آمين يارب

  • @aliyasayyed2855
    @aliyasayyed2855 3 หลายเดือนก่อน

    🕋🕋🕋🕋🕋🕋🕋🕋🕋🕋🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲 Aliya sayyed May family 🤲🕋 aameen summa

  • @RehemaRehema1
    @RehemaRehema1 8 หลายเดือนก่อน

    Mashallah ❤

  • @lifeinmiddleeast8179
    @lifeinmiddleeast8179 ปีที่แล้ว +1

    Baraka llahu fiiq ustadh kwani Mimi na mdogo wangu tumeteseka Sana lakin Sasa alhamdullillah nitapona na nitamuokoa mdogo wangu bi idhini llah

  • @aishasenga2450
    @aishasenga2450 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @aminangano3635
    @aminangano3635 ปีที่แล้ว +1

    🤲🤲🤲🙏🙏🙏

  • @فاطمهالكينيه-ك7ب
    @فاطمهالكينيه-ك7ب ปีที่แล้ว +1

    Shukuran mngu awazidishie

  • @yusufmarutt6081
    @yusufmarutt6081 ปีที่แล้ว +2

    Ya Allah niondoshee masheni yaliyo mwilini mwangu na magonjwa yanayonisumbua kuanzia rohoni kuwaka moto hadi tumboni

    • @aminarai4510
      @aminarai4510 ปีที่แล้ว

      Allah tuondoshe magongwa yanayo onekana na yasionekana

    • @aminarai4510
      @aminarai4510 ปีที่แล้ว

      Allah mujalie mwanangu afya yake yakupendeza Kam Jin's walivyo watoto wenzake amiin inshallah

    • @aminarai4510
      @aminarai4510 ปีที่แล้ว

      Ya Allah njalie mwanangu mukumbwa akili yakushik anachofundishe elimu ya Dunia na ahera

    • @aminarai4510
      @aminarai4510 ปีที่แล้ว

      Yaarab tujalie pepo yako utuepushe na moto wa jahanam ya Allah tujalie mwisho mwema

    • @marishkamohamed
      @marishkamohamed ปีที่แล้ว

      Amiin mm shida hiyo ya Allah tuondolee..yarabb

  • @saquinaalisufo7666
    @saquinaalisufo7666 ปีที่แล้ว +2

    Amin

  • @mialihamadi5098
    @mialihamadi5098 ปีที่แล้ว

    Allahumma amiin

  • @MwanamiruruRamadhaniabda-xt4sv
    @MwanamiruruRamadhaniabda-xt4sv ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @LatiffaQueen
    @LatiffaQueen 8 หลายเดือนก่อน

    Amin