Jamaa aliyesimama kutoa kero mkutanoni alivyoishia kuchukuliwa na polisi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 107

  • @mkamimatha2692
    @mkamimatha2692 6 ปีที่แล้ว +8

    mbona huyu Mkaka alie ulizwa maswali hana kosa jamani huko nikutumia madaraka vibaya

  • @hilaliusjohn8386
    @hilaliusjohn8386 6 ปีที่แล้ว +8

    Makonda hapo umechemka kabisa. Umetumia ubabe wa ambao hata mtoto wa darasa la kwanza anakudharau sana

  • @naftalimkini5931
    @naftalimkini5931 8 ปีที่แล้ว +3

    Muuliza maswali wa kwanza ni mwananchi wa kawaida. Yuko vizuri sana kwa kuuliza maswali.

  • @zungubakathir1761
    @zungubakathir1761 6 ปีที่แล้ว +4

    Hhhhh boda boda kakumbushwa ndomana akanuna hhhh anazuga uyo jamaa ata sjaona kosa lake

  • @makobamasawemangu4122
    @makobamasawemangu4122 2 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa ni jasir sana ila kipindi cha kina makonda na genge lake watu kama hawa waliwaonea sana

  • @r-jay7404
    @r-jay7404 8 ปีที่แล้ว +14

    Makonda alichukizwa na swali lililomhusu yeye hivyo akatafuta kichaka cha kujifichia.. Sioni kosa la kukamatwa kwake zaid y kuonewa..

  • @salimatuyahhaya5772
    @salimatuyahhaya5772 8 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂🏃🏃🏃🏃Nimeshindwa kusimama

  • @benderarulenge2477
    @benderarulenge2477 ปีที่แล้ว

    Huyu mkuu wa mkoa hamna kitu,huyo nimwananchi ana haki ya kuuliza swali,anatakiwa kujibiwa vzri

  • @aloycemwakatala2634
    @aloycemwakatala2634 6 ปีที่แล้ว +1

    Niambieni kama je ni halali kuzungumza ukweli au laa? Na pia nimewashangaa wananchi wangu wa Ubungo sijui wamevuta nini mpaka hawajitambui?
    Yaani mutu anawatetea wao alafu anajitokeza mutu from no were anasema akamatwe na wao wanashangilia???!!!

  • @manaseyona9260
    @manaseyona9260 3 ปีที่แล้ว

    Haki itajulikana tuu. Polesana mzee

  • @graciousjerry1322
    @graciousjerry1322 8 ปีที่แล้ว +9

    makonda hapo uo ni ubabe umetumika! huyo tayar ameitwa mjumbe it means kwamba kaz yake ni kutumwa na ujumbe wake! hapo ilikuwa swala la kumfundisha tu makonda sometimes unakuwa unatumia ubabe tu kwa cheo chako! maana sijaona alichokikosea

  • @joshuarubenge8325
    @joshuarubenge8325 8 ปีที่แล้ว +3

    watenda makosa wangekuwa kama huyo bwana, nchi hii ingepiga hatua kubwa ki maendeleo!

    • @saumuhassan1365
      @saumuhassan1365 7 ปีที่แล้ว

      *Joshua Rubenge* Exactly my brother

  • @charlesmwisera7175
    @charlesmwisera7175 4 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo viongozi wako juu ya sheria

  • @crxtsyliver2745
    @crxtsyliver2745 8 ปีที่แล้ว +3

    haya sasa wacha nguruwe ijikaange kwa mafuta yake hahahaaaa

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 7 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana bro aisee

  • @mpoloonlinetv1373
    @mpoloonlinetv1373 8 ปีที่แล้ว +4

    mbona mikutano ya kisiasa ilizuiwa,hii ya Makonda in ya injiri au??????
    serikali ikitukanwa inasema uchochezi,ninafiki hiki in zaid ya ukoloni,ila wajue zama sio zenyewe,wajitafakari upya

  • @khamisrajabu6082
    @khamisrajabu6082 4 ปีที่แล้ว

    Hapa alikua anajaribu kuchenga swali lazile pikipiki alizoulizwa wabongo hatari

  • @vitalisomassay8840
    @vitalisomassay8840 8 ปีที่แล้ว +1

    duh kazi kweli

  • @yahayaalex6605
    @yahayaalex6605 6 ปีที่แล้ว +2

    kwani kosalake nini hapo mpaka kachukuliwa na police

  • @juliethhouseofdesigns147
    @juliethhouseofdesigns147 4 ปีที่แล้ว

    Ndio maama Magu kampotezea kumbe ulikua unatumia madaraka

  • @nassororamadhan8756
    @nassororamadhan8756 5 ปีที่แล้ว

    makonda ume bugi ume felly kabsa hapo mwachie huyo jamaa tuna sema kama guvu ya umma mwachie halaka sana

  • @mzeemudy8905
    @mzeemudy8905 6 ปีที่แล้ว +1

    Ila nimependa confidence ya huyu jamaa

  • @gabrielzakaria2810
    @gabrielzakaria2810 3 ปีที่แล้ว

    Jamaa hana kosa sema makonda leo hii unapata ulichopanda

  • @rahmashaban8693
    @rahmashaban8693 8 ปีที่แล้ว +1

    anemsubiri amalize hafu amwite na mwenyekiti waseme wanazifanyia nini hizo pesa halafu ndo apitishe sheria. sasa kamkatisha jamani daah.

  • @williammbuzimai5744
    @williammbuzimai5744 ปีที่แล้ว

    Utawala bora haukuwepo happ

  • @bongolive651
    @bongolive651 8 ปีที่แล้ว +2

    nasubili hili movie liishe maana Sijui litaishaje coz Sijui star Nani jambazi Nani naona mapicha picha tu

  • @AMBAHCHANNEL
    @AMBAHCHANNEL 8 ปีที่แล้ว +7

    Huyu alikamatwa kwa sababu ya gwanda alilovaa tu wala sio kingie maana kikatiba uhuru wa kutoa maoni mkuu wa mkoa amekiuka kabisa kunahaja ya kuangalia elimu yake ya uelewa si ya darasani maana uongozi hauhitaji alimu kubwa ni uelewa wa mambo na hekima ya kutatua na kuwa na mawasiliano mazuri na unaowaongoza. Inamaana ukiwa na mtazamo tofauti huruhusiwi kuyatoa hadharani hata kama yakiwa yanamgusa moja kwa moja muhusika hapo kimemkela kuguswa kuhusu ahadi aliyotoa na kutoa majibu sahihi maana hakua nayo.

    • @amirikiaba1504
      @amirikiaba1504 6 ปีที่แล้ว

      acha ukuma kuma huo

    • @michaelbennady223
      @michaelbennady223 2 ปีที่แล้ว

      Hyu Kaka matwa kwasababu nichadema mwangaliy vivuli akiongozana napolic katowa ishara ya chadema

    • @michaelbennady223
      @michaelbennady223 2 ปีที่แล้ว

      Hii kitu Haman yakuchangishwa wananchi kwaajil ya barabara mbona ipo Sana wandugu

  • @bathromeochengula5895
    @bathromeochengula5895 6 ปีที่แล้ว

    Hakuna kosa ila kuna swali limemgusa Moja kwa moja na hana jibu

  • @primordial10
    @primordial10 7 ปีที่แล้ว +5

    inaonekana mkuu wa mkoa darasani alikua hapendi uliza maswali

  • @zungubakathir1761
    @zungubakathir1761 6 ปีที่แล้ว

    Na ukiona mpaka wananchi kuchangishwa pesa na wakachanga ujue bara bara kweli mbovu ndo wakubali kuchanga

  • @jimjam4162
    @jimjam4162 5 ปีที่แล้ว

    Makonda kiburi Sana.

  • @francismluge4978
    @francismluge4978 8 ปีที่แล้ว +1

    nadhani Hui mwendokasi utatupeleka pabaya!sioni kosa la muuliza swali.

  • @rahmashaban8693
    @rahmashaban8693 8 ปีที่แล้ว

    mmmmh jamani mbona huyu kaka wa kwanza kakamatwa hataa hajafikisha alichokua anataka kukisema jamani. mhrshimiwa angemuacha amalize kwanza. sasa wananchi waliokua wanasikiliza wafuate lipi?

  • @omarymbalala6224
    @omarymbalala6224 7 ปีที่แล้ว +1

    Huyu makonda atakufa kwa Rana zawatu mbna nimbabe hivi

  • @aaronlukoja9830
    @aaronlukoja9830 8 ปีที่แล้ว +1

    masikini mtoto anamlilia baba yake.....

  • @onesmomwacha1592
    @onesmomwacha1592 8 ปีที่แล้ว +2

    Mimi naona kama maigizo

  • @kassimdinno
    @kassimdinno 8 ปีที่แล้ว +8

    Duh serikali ya kibabe sana hii. Nilikuwa namfagilia sana magufuli ila sasa hapana

    • @nyawawawanyawawa935
      @nyawawawanyawawa935 7 ปีที่แล้ว

      Kassim Dinno Mlizoea blablaa na kujifanyia mambo kama serikali imekwenda likizo hadi mtie adabu watu wa aina yako akili zitawarejee tu.

    • @ibrahimgwasma235
      @ibrahimgwasma235 6 ปีที่แล้ว

      nenda chama kingine ,,

    • @chrisantgeorge6018
      @chrisantgeorge6018 6 ปีที่แล้ว

      mfagilie baba ako anaemshughulikia mamaako

  • @salhaissa2619
    @salhaissa2619 4 ปีที่แล้ว

    Aliyekamatwa na uyo cjui mtot wke anamlilia baba yake imeniuma san

  • @jumafundi6528
    @jumafundi6528 5 ปีที่แล้ว

    Hao wanataka wasifiwetu .

  • @emmanuelnyansiro7642
    @emmanuelnyansiro7642 8 ปีที่แล้ว +1

    mjumbe alijua atasifiwa siku zote umaarufu ni sawa na harufu ukiutaka lazima unuke Ndiyo hivyo tena upelelezi ukikamilika mahakamani

  • @kudoja_fish_shop9592
    @kudoja_fish_shop9592 8 ปีที่แล้ว

    nimependa nilichokiona dakika ya 7sekunde 10 hadi 7 sekunde 12 kama movie

  • @katelengumasolwa571
    @katelengumasolwa571 7 ปีที่แล้ว

    Ama kweli jamaa amejikaanga mwenyewe.

  • @fatumamasudi365
    @fatumamasudi365 8 ปีที่แล้ว

    safi sana

  • @ayishaayisha8053
    @ayishaayisha8053 3 ปีที่แล้ว

    😳😳😳😳

  • @kelvin_papaa_ya_warembo8313
    @kelvin_papaa_ya_warembo8313 8 ปีที่แล้ว

    hahaha,,kajipalia mwenyewe

  • @hassankasigwa477
    @hassankasigwa477 6 ปีที่แล้ว

    Hii serikari hiiii mmmh

  • @papafikiri
    @papafikiri 8 ปีที่แล้ว +1

    uonevu utaliangusha taifa hili

    • @fathilaali4656
      @fathilaali4656 7 ปีที่แล้ว

      Raymond Kaswaga utaanguka wewa

  • @lechachamaro5312
    @lechachamaro5312 8 ปีที่แล้ว

    alitaka apandishwe cheo ili haonekane kwenye makamera

  • @hajisunna7410
    @hajisunna7410 6 ปีที่แล้ว

    Duh

  • @bravojuma2046
    @bravojuma2046 6 ปีที่แล้ว +1

    TZ that is the way it is .

  • @gaspermassawe7397
    @gaspermassawe7397 6 ปีที่แล้ว

    Huyu kiazi kweli ,hana mbinu za kutatua matatizo zaidi ya kuwaongezea chuki na na kero wao kwa WAO,STUPIDEST,

  • @qaboossaid2259
    @qaboossaid2259 7 ปีที่แล้ว

    me naogopa hata kuliza swali maana nikienda sina wakunijia

  • @joshuawerema5799
    @joshuawerema5799 8 ปีที่แล้ว

    Je ni sahihi huyo mjumbe kukamatwa au tunalazimishwa kuamini hata kisichoaminika?

    • @khalfanhassan4071
      @khalfanhassan4071 8 ปีที่แล้ว

      Joshua werema #yule Co kama kakamatwa na kufungwa 1 kwa 1 ni kwamba kuchukuliwa kwake ni kwenda kutoa maelezo zaidi na ikiwezekana kuwa msaada wa Kuwapata wahucka wte! wa2 wengi hawaelewi wanajua akichukuliwa tu pale bac ni jela au yy mwenyewe ndio atakuwa anahucka hapana!!ile ni kwaajili ya mahojiano zaidi!!

  • @missmuunasharifu2323
    @missmuunasharifu2323 8 ปีที่แล้ว +8

    lakin alivyo fanya mjumbe yuko sawa hakufanya makosa ikiwa alikuwa akiwachangisha na kaz inafanyika yuko sahihi kabisa!kulingana na uongoz kwa ngaz zilizopita vilio vya wanach vilikuwa havisikilizwi na tabu mnazipata nyinyi wakaz mnao ona bara bara hazipitik hata gar zina zama tena tope la huko malamba 2 mfinyaz ilikuwa hamna namna hiyo ndio serkali yetu ilivyokuwa imefikia.unaish malamba 2 unafanyia shughuli zako magomen au k/koo au kinondon na unatakiwa ulipot 6 au7:am itakulazimu utoke malamba2 saa 3 usiku sasa mvua zinanyesha gar lina zama kwenye tope masaa kazaa mnasukuma gar kulitoa kwenye tope ili safar iendelee ya mjin mjumbe yuko sawa kama alikuwa anatimiza kweli kero za wananchi zilikuwa hazisikilizwi ilikuwa too much sasa huu ungoz wa awamu ya 5 hii ni gift kutoka kwa Allah msiwalaumu sana wajumbe hasa wa ngaz za chin wao wanyonge kama ss nyinyi komaeni na hao magangwe wa ngaz za juu.Maskin anaonekana mjumbe alikuwa anajituma sema hapo kuna vyama tofaut na chuk za vyama.

    • @kokubanza8538
      @kokubanza8538 7 ปีที่แล้ว

      fuck you

    • @jacobnghwali4531
      @jacobnghwali4531 7 ปีที่แล้ว

      Miss Muuna Sharifu kweli aisee kamuonea kisa kapigwa maswali

    • @frankminja2343
      @frankminja2343 7 ปีที่แล้ว

      Miss Muuna Sharifu h

    • @nestomtei
      @nestomtei 4 ปีที่แล้ว

      Aaaa. Kmbe jmaa kilichomponza ni chama nimekusoma. Il a yote kukumbushwa kuhusu bodaboda akaona awez kudanqanya

  • @bolizozoshirima8088
    @bolizozoshirima8088 6 ปีที่แล้ว

    Bodaboda zikowap?

  • @barick
    @barick 8 ปีที่แล้ว

    Wacha movie iendelee

  • @fathilaali4656
    @fathilaali4656 7 ปีที่แล้ว

    😃😃😃😃 asante sana laisi wetu makonda kazitu

  • @beatbyrich2891
    @beatbyrich2891 8 ปีที่แล้ว

    he got a nice shirt

  • @geofbeka1669
    @geofbeka1669 8 ปีที่แล้ว

    mi sielewi haya mambo

  • @everiuslongino3281
    @everiuslongino3281 8 ปีที่แล้ว

    safi sana makonda

  • @kudoja_fish_shop9592
    @kudoja_fish_shop9592 8 ปีที่แล้ว

    mtoto anamlilia baba nani kaona hiyo

  • @victormbise3792
    @victormbise3792 8 ปีที่แล้ว

    kiherehere cha kukimbilia mic

  • @julliethjulius7554
    @julliethjulius7554 8 ปีที่แล้ว

    hahahaha kiherehere cha kuuliza maswali ...nyoosha baba

  • @jacksonamos5752
    @jacksonamos5752 8 ปีที่แล้ว

    Movie limeanzia kwenye misitu ya Amazoni

  • @nikiflavour613
    @nikiflavour613 6 ปีที่แล้ว

    duuuuuuuuuuh mdomo koma

  • @kubangaizamkundavi9676
    @kubangaizamkundavi9676 8 ปีที่แล้ว

    Siasa hii

  • @violetmick2221
    @violetmick2221 8 ปีที่แล้ว

    Hii nchi ni hopeless

  • @neycute8508
    @neycute8508 8 ปีที่แล้ว +2

    hah hah hah hah wanatia hofu watu sasa hata kama unaswal u can hesitate to ask.

  • @kelvin_papaa_ya_warembo8313
    @kelvin_papaa_ya_warembo8313 8 ปีที่แล้ว

    hahah mjumbe kajaa mwenyewe,,anajifanya anazo data na kikaratas chake

  • @jpsmedia4936
    @jpsmedia4936 8 ปีที่แล้ว

    Wachungaji acheni kujisahau, jina la YESU linachafuliwa jamani

    • @ngometvarusha4030
      @ngometvarusha4030 8 ปีที่แล้ว

      Hiyo habari unahusishaje na yesu au ujaelewa

  • @gameonjashewade6352
    @gameonjashewade6352 5 ปีที่แล้ว

    Mudomo wake

  • @ngerezashafih5036
    @ngerezashafih5036 8 ปีที่แล้ว +1

    huyu hajakamatwa kwa uchadema wake ila kwa kuwachangisha wananch bila kufuata sheria

  • @benardmunna9194
    @benardmunna9194 8 ปีที่แล้ว

    hahahah

  • @vanessakileokileo374
    @vanessakileokileo374 8 ปีที่แล้ว

    Hmm hatari sana

  • @papon1003
    @papon1003 8 ปีที่แล้ว

    makonda oyeeeeee

  • @masudiitembele5414
    @masudiitembele5414 6 ปีที่แล้ว

    makonda lijinga kabisaa

  • @eventelias278
    @eventelias278 8 ปีที่แล้ว

    shobo zimemponza..

  • @sulekibombwe1367
    @sulekibombwe1367 4 ปีที่แล้ว

    zambi

  • @naftalimkini5931
    @naftalimkini5931 8 ปีที่แล้ว +3

    Muuliza maswali wa kwanza ni mwananchi wa kawaida. Yuko vizuri sana kwa kuuliza maswali.