KUTANA NA MBUNGE WA WETE PEMBA ANAEJIVUNIA MABADILIKO MAKUBWA YA UWAJIBIKAJI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @alirashid3239
    @alirashid3239 5 หลายเดือนก่อน +2

    Maa shaa Allah maalim omar kijana wako binafsi ninakuelewa

  • @Muhairy
    @Muhairy 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallh hongera huyu ndio mbunge tunaowahitaj hongera sana jimbo la wete mumepata mbunge mitano tena

  • @mukhtaromar-g5p
    @mukhtaromar-g5p 5 หลายเดือนก่อน +2

    Ndio baba tunakukubali sana tunakupenda sana mbunge wetu ❤ ❤

  • @FarhatSeif-p3t
    @FarhatSeif-p3t 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana kwa imani yako.

  • @shak4_445
    @shak4_445 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana sana Mbunge wetu. Ni vizuri sana Kama Utaani hawana Visima Kizimbani, Limbani, Chasasa na kwengineko. Pia ushauri wangu tumsaidieni Kaka yetu kwa Mfano mzuri sana sana, ili kupigiwa mfano. Ingekuwa vizuri. ikaundwa Groups ikasaidia kuchimba Visima kwa Wete yote na Vitongoji vyake via jirani. Mungu akubariki kwa miaka mengine ijayo. Ni Dhawabu kubwa sana

    • @mohdsaid8582
      @mohdsaid8582 5 หลายเดือนก่อน

      kizimbani na amuachie mbunge wa gando sio jimbo la wet

  • @khalidsharji2462
    @khalidsharji2462 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera Allah akupe Kila la kheri

  • @Aisha-lj8bu
    @Aisha-lj8bu 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera muheshimiwa. Mpaka kieleqeke 30 tena tunakuongeza

  • @salyali7807
    @salyali7807 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah very nice ACT wete Pemba 🔥🔥🔥

  • @Aisha-lj8bu
    @Aisha-lj8bu 5 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akulipe pepo muheshimiwa

  • @OthnoShezume
    @OthnoShezume 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera mh

  • @salyali7807
    @salyali7807 5 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mbunge kiboko 🔥🔥🔥

  • @GenttileZanzibar
    @GenttileZanzibar 5 หลายเดือนก่อน

    Nakuwongeza miyaka sabaa baba upige kaz

  • @Aisha-lj8bu
    @Aisha-lj8bu 5 หลายเดือนก่อน

    بارك الله فيك

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 5 หลายเดือนก่อน

    Nice

  • @Aisha-lj8bu
    @Aisha-lj8bu 5 หลายเดือนก่อน +2

    Tutakupa zotee hatubakishi hata moja

  • @hadjihadji197
    @hadjihadji197 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mbunge usituangushe kwenye Kiswahili chetu cha asili, sio Shule ni Skuli.

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂hakuna skuli kwenye kiswahili neno skuli limetokana na English yani school

    • @iddijumaali7192
      @iddijumaali7192 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@MohamedAhmada-ie7kena hakuna neno shule kwenye kiswahili shule ni kijarumani

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 5 หลายเดือนก่อน

      @@iddijumaali7192 naelewa sana ilo

  • @SudiKhamisi
    @SudiKhamisi 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu atakuli baba

  • @Aisha-lj8bu
    @Aisha-lj8bu 5 หลายเดือนก่อน

    . مبروك عليك

  • @abumohammed3939
    @abumohammed3939 5 หลายเดือนก่อน +1

    Pandani mchangani mpaka leo hawapati maji, sasa ww ni mbunge wa wete mjini tu, huko vijijini si mbunge? Hakuna watu hawakukupa kura zao? Au ni wa wete mjini tu peke yao Ndio waliokupa kura?

  • @salyali7807
    @salyali7807 5 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani hii lugha ya Shule tuacheni.. lugha yetu ni skuli sio shule... pesa sio hela... tusiitupe lugha yetu

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 5 หลายเดือนก่อน

      Neno skuli kiswahili hakuna coz iyo lukha ya skuli tumepata kwenye English yn school

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 5 หลายเดือนก่อน +1

      Ni kweli Skuli ni lugha ya Kiingereza sasa je Shule ni lugha gani?

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 5 หลายเดือนก่อน

      @@AliSalim-yu4mo shule ni lugha ya kijerumani ambayo ni Schule

    • @AbuuBakar-t26
      @AbuuBakar-t26 5 หลายเดือนก่อน

      Kwenye swala la lugha mutapata xida tu maana kiswahili ni muunganiko wa lugha mbalimbali ikiwemo kiarabu kizungu kijerumani kireno na kibati kihehe na lugha nyingi tu

  • @mohdseif2459
    @mohdseif2459 4 หลายเดือนก่อน

    Sijawah kumuona ata kwa bahat mbaya huyu bwana

  • @talibussi1605
    @talibussi1605 5 หลายเดือนก่อน

    Mana hujalijenga

  • @khatibabass3106
    @khatibabass3106 5 หลายเดือนก่อน +1

    Uongo mtupu

  • @khatibabass3106
    @khatibabass3106 5 หลายเดือนก่อน +1

    Bopwe hujasema huku Fanya lolote,daraja Hilo ata mm naweza kujenga upuuzi mtupu,wewe sindio umesusiwa kombe la mbunge tu limekushida wete hhhhhhh hunaaa

    • @SuolFat
      @SuolFat 5 หลายเดือนก่อน

      Mbona unateseka

    • @AshrafHilali-co2qc
      @AshrafHilali-co2qc 4 หลายเดือนก่อน +1

      Tuwache ushabiki ebu nambie tangu ianze siasa mbunge gani aliye wahi kuleta maendeleo ya hivi zaidi ya huyu kama unabisha niletee moja tu nasubiri majibu yako

    • @AshrafHilali-co2qc
      @AshrafHilali-co2qc 4 หลายเดือนก่อน +1

      Tena jimbo la wete huyu ndie mbuge wa mwazo kuweza kufanya haya tuanze kwa muaduni hajafnya kitu tuje kwa Mbarouk ndio kabisa hajafanya chochote tena wote wamekaa miaka kibao huyu ndani ya miaka minne tu maendeleo unayaona acha siasa za kukariri rudi kwnye uhalisia