MSHINDI WA DV LOTTERY ANATULETEYA UKWELI WA DV LOTERRY 2026
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 21 ธ.ค. 2024
- MSHINDI WA DV LOTTERY ANATUELEZA UKWELI WA DV LOTTERY 2026
Katika kipindi hiki, tunazungumza na mwanamke aliyeshinda DV Lottery pamoja na familia yake. Anashiriki safari yake, kuanzia mchakato wa maombi hadi kushinda, na anatoa ushauri muhimu kwa wale wanaopenda kuomba DV Lottery 2026. Jifunze ukweli kuhusu jinsi mpango huu unavyofanya kazi, jinsi unavyoweza kubadilisha maisha, na upate vidokezo vya kuongeza nafasi zako za kufanikiwa.
Tazama sasa ili kupata mafunzo muhimu na maarifa kuhusu kushinda DV Lottery 2026!
Am just inspired mehn,more love from Kenya 🇰🇪, I'm also hoping for the best
Asante sana, kwa kipindi kizuli sana 🎉
Ooh Askante sana,ikiganiro ciza cane!Uwo mu mama mutubarize Aho yafatiye amafotos akwikije ibisabwa vya DV lottery!thañk you so much!
Asanteni saana kwa kipindi hiki kizuri,Nina imana kubwa mwaka huu mimi Nita win
Mungu akubariki
@@chancardbright9831Amen amen
Asanteni Ndugu na dada zangu
Wooow. Kiswahili kizuri sana. Hebu muulize dadangu, kama alipiga picha akiwa amevaa hijab, yani inaruhusiwa ndio tujue.
Inaruhusiwa
huku hakuna shida maana ni maisha yake ya kila siku
Ahsante sana my sis nakupata from UAE 🇦🇪.
Asalamwalaykum warahmatullahi wabarakatu ,dada nafurahi Sanaa kwa informations
Kazi nzuri sana naitwa Justine Vitus kutoka Tanzania
Good Job my Brothers
Interesting story very motivation 👏
Congratulations dada
Watching from Kenya
Naombeniii atupatie adresse yafasi ambao alifanyia application ya Green Card pls🙌🙌
Love from rumonge ❤❤❤
Congratulations ❤❤
Nairobi hoyee🎉
Amina❤
Hi bro,naimani nyote muko sawa
May be thic Chanel can help ma dream to be true,,am from Tanzanian
Nimefurahi ndugu zangu wa Burundi munaongea kiswahili vizuri.
Nitashinda kwa jina la YESU
Did she apply both application the same day or different days. congratulations 👏👏👏
you can do different days for man and woman because system set it
Wow!! Burundi Mnaongea kiswahili vizuri Sana Kuliko Kenya..! Lol
😢Mungu anipe kibali❤🎉🎉
Ameen Mungu akupe
Najew ndi umurundi
Ndashak azofashe
Yooohhhh!!!
Dada naomba nami unisaidie naitwa Alphonce Toka East Africa Tanzania - Dar es Salaam 🇹🇿
jiunge na EBM scholars community wanaeleza vizuri na huyo Kaka Mtanzania amefungua office Dar
Hello, think big media,tunawashukuru Sana kwa kutuletea kipindi hiki kitamu ,Pia tunaomba part two ya hiki kipindi atwambie guhusu ghalama yapesa kwanzia medical mpaka kufika USA , single au family napia mutwambie kuhusu hosting,ama unapewa nyumba kama tunavyoskia?
kila nchi ina bei yake kulingana na change Na Gharama za hospital hizo
Amen 🙏🙏
The left guy anakaa my boyfriend.... exactly
Mtu anaweza kua hajui kingereza anaruhusiwa
Mimi mlundi pia nafika najiskiya laha kwakuskia mlundi mwenzangu kafahulu
Wengi wanapata saana na Congo pia
Interview watu hufanya wote or only the dependants?
wote kasoro watoto under 18
Dada atupe number zake please
Hebu tujue kwa ujumla ni kama pesa gapi hivi gharama yote?
dvprogram.state.gov
Thats the site
Tanzania t unafanya hapa k wetu hatuendi nairobi
kuna weza kufanyia tukiwa pa bila shida, twandikiye kwa email ya thinkbigmedia@gmail.com
@@thinkbigmedia_ sijakuelewa
❤🎉
🔥🔥
Kazi nzuri sana
Namimi natamani naangaika warabuni
Aki win mume au mke mwingine anambeba? double chance?
ndiyo
Namna gani ya kuingia ktk iyo lottery
Lkn huu mwaka 2024 yeye ameshidaje Lottery ya 2026?
atakwenda 2026 ni reserve
Don't be jealousy,tell your friend about Dvd
😢
Kwa hiyo ukishapata hiyo DV lottery utapewa na sehemu ya kufikia huko USA au ndo unaanza sasa kutafuta mwenyeji..
nataka kucheza uyu mwezi natokeya Burundi
usichelewe
Swahi, interview huwa wanaangalia nn ndo wakupee eneo la interview?Nchi Mtu aliko zaliwa ama nchi mtu anakoishi sai?
nchi unakoiahi
@trophywilson7211 na kama ni kazi tu ya mda halafu unarudi nchi yako?
Naomba kuuliza baada ya kupata Visa nauli au fare unajilipia wewe mwenyewe au unalipiwa ?
Unajilipia.
You pay for everything medical. Interview and tickets
tuonyeshe picha yake na picha ya mumewe na watoto wake... So that we compare with ours
just iwe 600×600
Jambo amechezeyaga wapi
Burundi
Nauliza swali na kama nilikuwa na TB na ikaisha na huwa inaacha alama Kwa kifua naweza jaribu greencard
hapana Haiachi
Lakini atupe habali kuhusu nauli yabyote
Kuanziya mwanzo
Inaitwa DS 260 kwa English
Just DV Lottery na mwaka Wa kucheza
You mean they dont do DNA
You will go for medicals all of you
Unapoingia marekani unakuta mwenyeji wa kukupokea
Apana unatafta mwenyewe
Before you go lazima ukuwe na mtu atakaye kupokea and you find them yourself
2NL second notification letter
Ooh Askante sana,ikiganiro ciza cane!Uwo mu mama mutubarize Aho yafatiye amafotos akwikije ibisabwa vya DV lottery!thañk you so much!
Love from rumonge ❤❤❤
🔥🔥