SHETTA KAKOSEA AU KAPATIA KUMNUNULIA MTOTO WAKE WA MIAKA 10 GARI TOYOTA IST ????

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 16

  • @rashidyally8715
    @rashidyally8715 ปีที่แล้ว +4

    Yuko sahihi kwa maamuzi yake ila kwa Mimi ningemjengea nyumba ya samani ya pesa hiyo na ningeipangisha na ningemfungulia dogo akaunti na pesa zingekua zinaingia humo najua hiyo ni aseti endelevu ,hiyo kwa Mimi lakini

    • @ludovickbenjamin6104
      @ludovickbenjamin6104 ปีที่แล้ว

      Point sanaa broo, asset ndo la msingii sanaa chalii anakua anakutanaa na mpungaa wakee mwenyewee wa kuzidii

    • @furahachuma9039
      @furahachuma9039 ปีที่แล้ว

      Hata mimi niliwaza hivyo au japo kiwanja tu akikua atakikuta.

  • @leticiamapunda3324
    @leticiamapunda3324 ปีที่แล้ว +2

    Siyo sahihi kutokana na umri wa mtoto

  • @paulhenry6253
    @paulhenry6253 ปีที่แล้ว +3

    Sio lazima aendeshe mtoto anapew na dereva wake awe ana mpeleka shule

    • @lucylaut3844
      @lucylaut3844 ปีที่แล้ว +1

      Shamba la.nn na ww wengine awajuw kulima

    • @paulhenry6253
      @paulhenry6253 ปีที่แล้ว

      @@lucylaut3844 kuna mahari nmesema shamba apo

  • @KADALAtv255
    @KADALAtv255 ปีที่แล้ว +2

    Assets zipo nyingi sasa huku mjini kutakuwa vurugu mjini na kuwapa shida Traffic na Polisi. Mimi ningempa shamba mjini.

    • @millardayoTZA
      @millardayoTZA  ปีที่แล้ว

      au sio

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255 ปีที่แล้ว

      @@millardayoTZA Yes, hongera Milard 🌹🌹❤️❤️🇹🇿🇹🇿 uoe sasa jamani mimi nitakuchangia hata 10,000 kwa uwezo wangu

    • @millardayoTZA
      @millardayoTZA  ปีที่แล้ว

      @@KADALAtv255 au sio 😃asante sana, ikifika siku nitakupa kadi pia

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255 ปีที่แล้ว

      @@millardayoTZA Nitashukuru sana, umefight sana na Mungu amekuinua sana, leo umekua kioo na taa kwa wengi nikiwa mmojawapo ingawa mimi ni Mama but nimejifunza sana wakati huo nipo kazini wewe ni mdogo tu ITV ingawa hukuanzia hapo umepambana. OA SASA umri unatosha. Nakushukuru kwa kunithamini hata ku reply my comment. Kibiblia nami nitafanikiwa. Leo nina youtube chanel nimejifunza kutoka kwa miaka na vikaka sikujali umri wangu. Kadala tv.👏👏👏

  • @Zenny89
    @Zenny89 ปีที่แล้ว +1

    Wa mama wa kitanzania kwa kula hela za zawadi za watoto wao.. noma sana🤣🤣

    • @millardayoTZA
      @millardayoTZA  ปีที่แล้ว

      😂😂😂 NI NOMA !!

    • @agathathobias8690
      @agathathobias8690 ปีที่แล้ว

      Mi mwenyewe nadaiwa na wangu lak mbil za zawad zao😀😀