SHUKRANI/THANKSGIVING

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • That day In August 2018.
    watch and make one step to God. Lets win Differently

ความคิดเห็น • 30

  • @msackyiify
    @msackyiify 6 ปีที่แล้ว +5

    This praise team aisee hata kama unaumwa utasifu tuu on your feet praising the Mighty King..
    NAKUPENDA BWANA YESU
    Stay blessed Mtumishi wa Mungu. Nakupenda

  • @claramutagwaba2211
    @claramutagwaba2211 6 ปีที่แล้ว +7

    Asante sana Da Colle,nikikuangaliaga yaani huwa natamani sana na napata kiu ya kusimama na Mungu,Nakupenda Yesu azid kukutunza..asante Kwa somo pia

  • @glorymlay168
    @glorymlay168 6 ปีที่แล้ว +8

    Ila uyo dada ambae hana mtoto Mungu anakaribia kumjibu asikate tamaa na kumpangia Mungu muda wa kumjibu,
    Videos are nice, naomba muweke na zingine Mungu aendelee kuwaongoza kwe hii huduma ni nzuri sana.

  • @hellenfrank4388
    @hellenfrank4388 6 ปีที่แล้ว +2

    Ameeeeeeen BABA nakushukuru kwa kila hatua ninayopitia, neno shukrani lisinipubgukie moyoni mwangu.

  • @suzanmushi4981
    @suzanmushi4981 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ambariki huyu kaka,Anautumishi wa kusifu Mungu akamuinue katika utumishi wake wa kumsifu Mungu kwa viwango vya juu sna.Nakupenda Bwana Yesu

  • @hildakalokola8551
    @hildakalokola8551 6 ปีที่แล้ว +2

    Amina mtumishi Colle nikikuona na nikisikia ukifundisha napata nguvu umpya,Roho mtakatifu asante kwa somo la shukurani

  • @dynesanyimike5655
    @dynesanyimike5655 6 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa dada cole kupitia hili somo i know I AM GOING TO THE NEXT LEVEL

  • @sittykay7463
    @sittykay7463 6 ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda Bwana YESU.. 💕

  • @paulinamkama7475
    @paulinamkama7475 6 ปีที่แล้ว +4

    Nakupenda bwana Yesu.. Ubarikiwe da Colle

    • @sarahsarita8345
      @sarahsarita8345 6 ปีที่แล้ว +1

      Mungu azidi kukubariki mtumishi karbu tena mtwara

  • @dotomlay7784
    @dotomlay7784 6 ปีที่แล้ว +4

    Amen...thnx u Jesus...at least tutakuwa tunaona direct online ata ukiwa mikoa mingne😍

  • @neemamuchuruza8631
    @neemamuchuruza8631 5 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana Dada kwa somo hili ambalo Baba amekupa kwangu leo. Nimebarikiwa sana tena sana nakupenda kweli na mafundisho yako nayapenda

  • @melinabenedict312
    @melinabenedict312 6 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe Dada colle mungu azidi kukutumia

  • @theclakamala4486
    @theclakamala4486 6 ปีที่แล้ว +2

    Mungu azidi kuwatumia watumishi

  • @tehamanyamagana3905
    @tehamanyamagana3905 5 ปีที่แล้ว

    Baba anajua kufurahisha kila jambo analifanya Kwa mapenzi yake sio Kwa kupangiwa. Mungu akuinue mtumishi

  • @halengograyson8969
    @halengograyson8969 5 ปีที่แล้ว

    Amen na barikiwa sana na mtumishi huyu da colle Mungu akutunze

  • @niitedadafashionandstyles4558
    @niitedadafashionandstyles4558 6 ปีที่แล้ว +2

    Glory to God!!!

  • @naomigracejohn6624
    @naomigracejohn6624 6 ปีที่แล้ว +1

    Awesome God.

  • @rahabusanga1559
    @rahabusanga1559 6 ปีที่แล้ว +1

    Grory to GOD ...Be blessed

  • @hapinesspaul7252
    @hapinesspaul7252 6 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @priclamllay3597
    @priclamllay3597 6 ปีที่แล้ว +2

    nakupenda Yesu

  • @berthajames2259
    @berthajames2259 6 ปีที่แล้ว +1

    Amina mtumishi

  • @pendothomas7258
    @pendothomas7258 4 ปีที่แล้ว

    Asante Yesu.

  • @janethjosee5850
    @janethjosee5850 6 ปีที่แล้ว +2

    🙏🙏🙏🙏

  • @pendouwoya1552
    @pendouwoya1552 6 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sanaaa somo nzuri

  • @gloryngomuo127
    @gloryngomuo127 6 ปีที่แล้ว +1

    AMEN NIMEBARIKIWA

  • @esthershedrack9805
    @esthershedrack9805 6 ปีที่แล้ว +1

    🙏🏿

  • @winnermariah
    @winnermariah 5 ปีที่แล้ว

    Kila nikizirudia kuangalia hizi mafundisho nazidi Kuongeza Viwango vya Kuishi Maisha ya Kumpendeza MUNGU

  • @lizlinder_
    @lizlinder_ 6 ปีที่แล้ว +1

    Godbless you so much