- 1 498
- 3 585 225
Anointed Room Ministry
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 11 ก.ค. 2018
This is an official TH-cam channel of Anointed Room Ministry, the Ministry of our Lord Jesus Christ, under the Ministers Beatrice and Colle (visionaries).
Our vision is to encourage people deepen their personal relationship with God through Jesus Christ.
Contact us via help lines
Prayer line: +255 754 440 139 (Text Only)
Inquiries: +255 655 623 588
Partnership: +255 745 597 965
+255 653 828 174
HE is HERE
Follow us on social Media ⬇️
Our vision is to encourage people deepen their personal relationship with God through Jesus Christ.
Contact us via help lines
Prayer line: +255 754 440 139 (Text Only)
Inquiries: +255 655 623 588
Partnership: +255 745 597 965
+255 653 828 174
HE is HERE
Follow us on social Media ⬇️
วีดีโอ
KUWA NA UPENDO BINAFSI NA YESU - PART 2
มุมมอง 2782 ชั่วโมงที่ผ่านมา
KUWA NA UPENDO BINAFSI NA YESU - PART 2
KUWA NA UPENDO BINAFSI NA YESU - PART 1
มุมมอง 68412 ชั่วโมงที่ผ่านมา
KUWA NA UPENDO BINAFSI NA YESU - PART 1
JINSI YA KUSHUGHULIKA NA MATESO AU CHANGAMOTO || SINGLES
มุมมอง 6362 หลายเดือนก่อน
JINSI YA KUSHUGHULIKA NA MATESO AU CHANGAMOTO || SINGLES
KUMSOGELEA BWANA ZAIDI YA MUME WAKO || THE WIVES
มุมมอง 9473 หลายเดือนก่อน
KUMSOGELEA BWANA ZAIDI YA MUME WAKO || THE WIVES
OMBENI PASIPO KUKOMA ll IRINGA ll DAY O1
มุมมอง 5703 หลายเดือนก่อน
OMBENI PASIPO KUKOMA ll IRINGA ll DAY O1
KUUMBWA NA BWANA KWA AJILI YA KUJIWASILISHA - PART 2
มุมมอง 3874 หลายเดือนก่อน
KUUMBWA NA BWANA KWA AJILI YA KUJIWASILISHA - PART 2
KUUMBWA NA BWANA KWA AJILI YA KUJIWASILISHA - PART 1
มุมมอง 4234 หลายเดือนก่อน
KUUMBWA NA BWANA KWA AJILI YA KUJIWASILISHA - PART 1
MADHARA YA KUCHANGANYA MFUMO WA MAISHA YA KIDUNIANI NA MFUMO WA MAISHA YA KIROHO
มุมมอง 1.6K5 หลายเดือนก่อน
MADHARA YA KUCHANGANYA MFUMO WA MAISHA YA KIDUNIANI NA MFUMO WA MAISHA YA KIROHO
“UNAOKOTA OKOTA TU MAOMBI MITANDAONI”
มุมมอง 1.3K6 หลายเดือนก่อน
“UNAOKOTA OKOTA TU MAOMBI MITANDAONI”
Amen
nasikia
Nawaelewa sana watumishi
Nawapenda sana Mungu awatunze kwa ajili ya wengi
Amen Amen 🙏🙏 .... being in love with Jesus is a very wonderful life❤
Ameeen
Mungu awatunze watumishi wa Mungu,mnatupigisha hatua .
Ameen
Amen
Sasa naelewa ukisema mtumish Beatrice ni Kamanda...ile Nguvu ya kusimama kwenye call for a nation mwanzo mwisho bila kupumzika sio jambo dogo......Mungu awabariki sana watumish!Mbingu zinajivunia ninyi.....Tz inajivunia ninyi......Mmebarikiwa sana sana....mafuta mabichi yawe juu yenu kila wakati...Nawapenda
Mbarikiwe sana watumishi wa MUNGU. Mbarikiwe sana tena. MUNGU awabariki mnooo na kuwatunza.... Nimecherewa kujua Huduma hiii lakini kwasasa kila napowaskia akili zangu zinapokea maarifa ya Ki MUNGU... Mmebarikiwa mno.
aaamen ameen.. amee.n
Neno la Mwaka 2024: Blossom ooooh My Spirit - Galatians 5:22 UAMINIFU Uaminifu maana yake ni kutenda mambo yote kwa haki yale yanayompendeza Mungu bila kujali fadhila. Unatenda kwa sababu imepasa utende hivyo kwa sababu inampendeza Mungu. Zipo amri za Mungu tunazopaswa kutii watu wote lakini pia yako maelekezo binafsi Mungu anayotupa ambayo tunapaswa kuyatenda. Uaminifu ni moja wapo ya Tunda la Roho Mtakatifu na mtu mwenye tunda hili atakuwa mwaminifu mbele za Mungu na kutenda yote yaliyo mapenzi ya Mungu Mungu ni mwaminifu na anatimiza ahadi zake kwetu zile alizoahidi kupitia Neno. Uaminifu sio tu ni sifa ya Mungu bali Uaminifu ndivyo alivyo na ndiyo Jina lake. Mungu ni mwaminifu sana kiwango cha Kuaminika. Kwa Mungu hakuna kigeugeu Kumbukumbu la Torati 7:9 Waebrania 3:1-2, 5 Luka 16:10 Mathayo 25:21 Omba Mungu akusaidie uwe mwaminifu mbele zake Omba tunda hili la Roho Mtakatifu la UAMINIFU likae ndani yako daima Omba Mungu katika hali zote uwe mwaminifu mbele zake kama vile Musa alivyokuwa mwaminifu
Blossom oh my spirit
Ameeen
Chanua Eeh Roho Yangu
Eeh Mungu isaidie Tanzania kwanjina LA Yesu
Shalom winners
Sauti
Mungu naomba unisaidie kwenye hii Dunia nisife maskini,Nipe Hekima Mungu,chochote kinachozuia Naendeleo yangu na Utajiri Mungu niondolee 🙏🏿
Amen🙏🏿
Thank you lord kwa hili Neno,hakika nimepona leo trh 1/11/2024🙏
Mithali 10:15-16 Omba Mungu aweze kukusaidia na kukupa hekima ambayo itakusaidia kupata mali. Umaskini unaleta uangamivu, kwani maskini hana sauti hivyo inakuwa ngumu kuthaminiwa.
Leo Mtumishi kanıtia hasira jamn 😅
Shalom
Ameeen
Mbarikiwe sana watumishi wa MUNGU,.. ninaomba MUNGU Baba yangu anisaidie hekima hii. Fahamu zangu zinajengeka
Amen Amen
Amen Amen Amen
Amen
Mithali 4:6 Mithali 22:3 Omba Mungu akupe hekima ya kuona hatari na kukimbia ili usiangamie (Hekima itakulinda, itakuhifadhi na itakutetea) Omba pia Mungu afungue masikio yako ya ndani na macho uweze kuona yasiyoonekana na kuyaepuka, uwe msikivu wa ndani ili Roho Mtakatifu anaposema nawe usikie, uone na kuchukua tahadhari. (Uwe na utulivu wa kuweza kusikia na kuona kwa ndani - Hekima itakulinda)
Amina
Shalom winners
Mungu awatunze sana……
Zaburi 90:17 Omba Mungu aibariki siku ya leo na uzuri wa Mungu wote uwe juu yako leo kwenye kila eneo la maisha yako Omba pia kazi ya mikono yako ikafanikiwe /Mungu aifanikishe kazi ya mikono yako. Siku ya leo ibarikiwe daima na kuwe na tofauti na siku zingine zote zilizopita
Amina asante
Aman
Amen napokea
emmen
emmen
tunasikkia
Zaburi 125:1-3 Omba kile ambacho unamtumaini Bwana kwacho aweze kukifanya, ukionesha kuwa Mungu ndiye tumaini lako pekee na msaada wako peke yake na hautawatumainia wengine.
Amen
mnasikika wapendwa
Tunasikia
Mnasikika
mimi nawasikia
Shalom shalom
Shalom , mnaonekana na kusikika!
Hekima inaleta kibal,Mungu naomb unipe hekima
Thank you Jesus