ANASWA AKIGUSHI VYETI VYA JESHI LA KUJENGA TAIFA LA TANZANIA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • #knews24

ความคิดเห็น • 71

  • @majalaworldwide
    @majalaworldwide 2 หลายเดือนก่อน +7

    Msitukele mbona wale walio baka hamkutaja majina ..tokeni hapa😢😢

  • @dericksaid6865
    @dericksaid6865 2 หลายเดือนก่อน +2

    hongereni uhamiaji kwa kazi nzuri

  • @EmmanuelGelard
    @EmmanuelGelard 2 หลายเดือนก่อน +3

    ❤ naipenda Tanzania yangu ongera sana jeshi Ra uhamiaji mzidi kusimamia shelia za nchi Mungu walinde Mungu ibaliki Tanzania yetu 🇹🇿 🙏🙏🙏🙏

  • @OscarKasalile
    @OscarKasalile 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hongereni uhamiaji kwa kazi nzuri

  • @katapaj2336
    @katapaj2336 2 หลายเดือนก่อน +5

    Watangaze walifu wote tusibague 😂😂😂

  • @RabihuHussein
    @RabihuHussein 2 หลายเดือนก่อน +6

    Mbona huyo amekamatwa haraka kuliko wale waliobaka yule binti?

  • @philiplugalia3724
    @philiplugalia3724 หลายเดือนก่อน

    Kwani mnataka akulie wapi hata kugushi ni kazi kujeni Kenya tuwafunze jinsi ya ku survive bana 😂😂😂😂Aaaaaaiii

  • @martinlema4192
    @martinlema4192 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mmefanya kazi nzuri sana. Kamata hao (ila muwaendeleze kielimu).

  • @minaelnathanael1846
    @minaelnathanael1846 2 หลายเดือนก่อน +1

    NIDA nao wasitusumbue na kutulipusha upya wakati tunaomba marekebisho ya National ID zetu ambazo walizikosea wao wenyewe
    Ahsante

  • @AbuuAyubu-t7c
    @AbuuAyubu-t7c 2 หลายเดือนก่อน +4

    Pia kuna bint kabakwa na watu wa tano mlikumbuke hilo

  • @SylvesterMakenzie
    @SylvesterMakenzie 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kitambulisho changu cha nida leo ninavyoongea huu ni mwaka wa tatu sijakipata wakati ni cha mhimu yaani hii nchi watendaji ni wa ovyo sana sasa unafikir ikitokea mhuni kama huyo akiniambia toa pesa nikutolee Kitambulisho cha nida naweza nikarubunika kumbe tatizo ni serikali

  • @dextech2023
    @dextech2023 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni mwamba kabisa sema tu nchi yetu haijui kuwatumia watu kama hawa,

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 หลายเดือนก่อน

    Daah Yan ukiisikiliza utaogopa ww mwenyew, jamaa it imemuweka pabaya

  • @NyamtigaIbrahim
    @NyamtigaIbrahim 2 หลายเดือนก่อน +1

    Siku Zote Wanasema Usihukumu Kabla Huja Hukumiwa Kwenye Hiiii Nchi Wema Ni Wachache Sanaah

  • @ambroceharouna1612
    @ambroceharouna1612 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo msimfunge apewe chansi asome ila apewe elimu

  • @OmarAmran-t7k
    @OmarAmran-t7k 2 หลายเดือนก่อน +4

    Ao jamaa kwa kompyuta noma sana shida ni matapeli tu

  • @BoscoMyinga
    @BoscoMyinga 2 หลายเดือนก่อน

    He is genius and we suppose them in this nation,assist he And not engulfing his endowments

  • @fatmaally7252
    @fatmaally7252 2 หลายเดือนก่อน

    Uyu kesho tu anahukumiwa jela maisha alafu majambazi wauwaji wabakaji wanajidai na kuvimba mkiwarudisha na kuwapeleka kila siku kesi zao zinasomwa aziishi mmmh

  • @PeterMagoye
    @PeterMagoye หลายเดือนก่อน

    Uzinguaji wa kupata hizo vitambulisho ndio maana watu hutumia njia ovu kama hzo

  • @masensethethird
    @masensethethird 2 หลายเดือนก่อน +4

    watu kama hao ni wa pekee wapewe kazi SO KUMUHUKUMU AENDELEZWE

    • @LouisianaRiri
      @LouisianaRiri 2 หลายเดือนก่อน

      Upuuz icho kitu sio special ni elimu tuu kam ujasoma utaona kila mtu kpaji ata mim naweza ila huo ni ujambaz,,,

    • @masensethethird
      @masensethethird 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@LouisianaRiri anajua wangap tanzania wanajua kama yeye shida yake ni hela apewe andeleeh mbele asaidie kuhaki hata wezi wa benk kama soft hacker au white hacker

  • @selemanseed2476
    @selemanseed2476 2 หลายเดือนก่อน

    Ndg watanzania miongoni mwa kesi ngumu ni hii lazima ikufinge tu..🤔

  • @simondangote3245
    @simondangote3245 2 หลายเดือนก่อน

    Nyie askari mnazingua mambo ya msingi huwa hamzungunzii ktk media ila ujinga ujinga mnauwanika hazaran

  • @KamiliKapeta-yr3uc
    @KamiliKapeta-yr3uc หลายเดือนก่อน

    Kunawanyaruanda wanajifanya wahaya kiusalamani hatali angalieni kongo

  • @benjaminfellician3676
    @benjaminfellician3676 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa akili yangu kama vyeti alivyo tengeneza huyu jamaa vili wai kumvusha mtu kwenda sehemu yoyote basi ni hatari sana lakini kitaalumaa mm nilivo soma bacherol of science in information technology ,Kuna white hacker ,grey hacker and black hacker , wote Hawa Wana umuhimu wake imarisheni mifumo na muwe waaminifu ita saidia sana kudhibiti , ni rahisi sana kwakijana huyo ila nihatari sana mtu wa uhamiaji akiwa anagushi au kula rushwa I love my country Tanzania

  • @justicebridge
    @justicebridge 2 หลายเดือนก่อน

    Good job

  • @jumabonge8577
    @jumabonge8577 หลายเดือนก่อน

    kwani nyie vyeti vyenu vipo sawa na nyie jmn ukipita msasa hupati alie na vyeti sawa

  • @davidsamson8292
    @davidsamson8292 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo ni total solutions stationary 😂

  • @PeninaRoger-me4vo
    @PeninaRoger-me4vo 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hizi habar unazizingatia Sana binti kabakwa hamjatuonesha kama watuhumiwa wamekamatwa binti apate haki yake au kwavile jina lilitaja afande 😂😂😂

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona Madisadi hamuwakaöatii
    waliomlawiti binti 5 ( polis) Hamuwaleti hapa medya
    This is shame to polıce

  • @AntonyJohn-d1k
    @AntonyJohn-d1k 2 หลายเดือนก่อน

    Haki itendeke kwa waribaki mucrindane maana inaonekana kuna mwenzenu yumo kwenye sakata.

  • @Ngiricomedian
    @Ngiricomedian 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wafungwe hao ndio wanakuja kuwa watu hatari kwenye taifa letu asante san jeshi letu 🇹🇿🇹🇿📺

  • @ayubutwalbu6594
    @ayubutwalbu6594 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ale kichapo Kisha afungwe

  • @AzaniKhamis-r3b
    @AzaniKhamis-r3b 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi kwako

  • @AhmedMsomoka
    @AhmedMsomoka 2 หลายเดือนก่อน

    Wafiraji NA WABAKSJI WAMEFICHWA ILA HUYU VYETI TU KAONYESHWA LAKIN WALE WENYE KES YA KUNYONGWA KABISA MMEWAFICHA, HII NCHI HII ILS YOTE KISA NYUMA YUP MTU MKUBWA,

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 2 หลายเดือนก่อน

    Awataje wote aliowapatia vyeti feki

  • @richardhosea8827
    @richardhosea8827 2 หลายเดือนก่อน

    Daaa full ofisi hiyo computer pekuoni vizuri

  • @ahmedkandoro24
    @ahmedkandoro24 2 หลายเดือนก่อน +4

    Nyinyi wenyewe , hamtoi vyeti kwa wakati mnategemea wananchi wafanye nini

    • @mahinyakeelvin2196
      @mahinyakeelvin2196 2 หลายเดือนก่อน +1

      Upo sahihi mwenyewe nilikosa cheti na koz nilienda yani

  • @joharikitundu
    @joharikitundu 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa hivi ukitaka Rita wanakuambia nenda stational siyo ofisi za Lita sasa serikali wanategemea Nini WAKATI watz kuanzia miaka ya 2000 kurudi ni shida vilikuwa wa chini hatujui UMUHIMU wa vyeti

  • @hamismabula9934
    @hamismabula9934 2 หลายเดือนก่อน

    Mambo haya yameanza tena!?

  • @BizzBoy-g4o
    @BizzBoy-g4o 2 หลายเดือนก่อน

    Nawale walio mfira binti

  • @ThomasGabriel-x1i
    @ThomasGabriel-x1i 2 หลายเดือนก่อน +2

    Watekani na wabakajiiiiiiii mbona hamkamati

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 2 หลายเดือนก่อน +5

    Warawiti na wabakaji hatuonyweshwi. Bali wagushaji

  • @MRPREMIEREPL
    @MRPREMIEREPL 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mtoto kautaka

  • @BwireMtaki
    @BwireMtaki 2 หลายเดือนก่อน

    Wengine wanaenda Kozi ya JKT yeye anawatengenezea vyeti feki kirahisi tu😎

    • @benjaminfellician3676
      @benjaminfellician3676 2 หลายเดือนก่อน

      Kuna wanajeshi wako mtaani hawaja pata nafasi yakupata vyeti unalijua hilo

  • @AndreaDaud-k2c
    @AndreaDaud-k2c 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo msimfunge mpelekeni ritha au mpeni KAZI mnawafunga vijana kama hao nguvu KAZI

  • @omarynamkape-cg8qx
    @omarynamkape-cg8qx 2 หลายเดือนก่อน +1

    kongore mkuu uyo ni adui sio dogo anaweza kuiuza nchi

    • @africanmandetraveler2847
      @africanmandetraveler2847 2 หลายเดือนก่อน

      Sasa hapo atauzaje nchi zaidi ya wanao saini mikataba feki kwa mabeberu.

  • @ashahamad-mq3iz
    @ashahamad-mq3iz 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona waletaji unga na madawa ya kulevya hamuwagusi au kwa sababu ni watoto wa wakubwa

    • @oneplustv3862
      @oneplustv3862 2 หลายเดือนก่อน

      Sio kitengo chao na sio kazi yao boss kipo kitengo cha kuziya na kupambana na madawa ya kulevya

  • @BonifasyMgonela-m2w
    @BonifasyMgonela-m2w 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mwambaa haachi pesaa kila sekta yupo😂

  • @lovenessvisent9408
    @lovenessvisent9408 2 หลายเดือนก่อน +1

    Aajiriwe huyu apewe kitengo hicho ni kipaji mimi naamini jela kuna vipaji vingi mnoo

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tunataka wabaji.

  • @MOSESIMCHUNGUZI
    @MOSESIMCHUNGUZI 2 หลายเดือนก่อน +1

    Walio mlawiti bint wayombo mbona hamuwaonyeshi?

  • @Allybinamour
    @Allybinamour 2 หลายเดือนก่อน

    watu kama hao wanyongwe tu
    hata sisi huku zanzibar tumepasisha vyombo then tunaambiwa road lessence zetu ni faki.
    na inawezekana anashirikiana na wafanya kazi wa serikalini.kwa kweli wanatuumiza

  • @ThomasGabriel-x1i
    @ThomasGabriel-x1i 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona hamkamati wabakajiiiiiiii

    • @JohnB-ws3ib
      @JohnB-ws3ib 2 หลายเดือนก่อน

      umebakwaa nn

  • @ZawadyKaoneka
    @ZawadyKaoneka 2 หลายเดือนก่อน

    Walio mteka setv?

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wabakqji ndio siyo hatari.

  • @mwananyamalaz4427
    @mwananyamalaz4427 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona wariyomlawiti binti wako wapi kenge nyinyi

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 2 หลายเดือนก่อน

      Nani Kennedy unattainable selikali