Welcome to our SUNDAY MAIN SERVICE LIVE BROADCAST FROM NENO EVANGELISM CENTER NAIROBI. To Support the Ministry, Use PayBill No: 727428 / 263853 or MPESA No: 0722 410 381. Be Blessed.
Hallelujah asante yesu, huyu mama amenifanya mpaka nikalia amenikubusha mbali...mungu nisaidie nakuhitaji katika maisha yangu...mungu nipe mume mwenye yuko sahii katika maisha yangu na mwenye hofu ya mungu😭😭😭
Mungu mukumbuke mwanangu roadrigiuis maitha... munguu wake alindugwa shidano sahii imesababisha hawezi kutembea vzuri unachechemea... mungu naomba tenda jambo katika madhabahu haya usinyamaze 🙏🙏🙏🙏🙇🙇🙇🙇

Amen
Sauti iko chini saana ya TH-cam mafundi mmelala