Ibraah Feat. Billnass & Whozu - Tubariki (Lyrics Audio)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 2 ก.ค. 2024
- Download and Stream on all Digital Platforms
Link; onerpm.link/Tubariki
Produced By S2kizzy
Subscribe for more official content from Ibraah:
/ ibraah
Follow Ibraah
Instagram: / ibraah_tz
Twitter: / ibraah_tz
Facebook: / ibraah255
Listen to Ibraah
/ ibraah
Audiomack: audiomack.com/ibraah-tz
Apple Music : / ibraah
Spotify : open.spotify.com/artist/0Dxcb...
Boomplay: www.boomplaymusic.com/share/a...
The official TH-cam channel of Ibraah. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.
For Bookings & More
Email: Ibraahmanagement3@gmail.com
Call: +255 718 712 420
#Ibraah #Billnass #Whozu - เพลง
Chingaaaaaaaaaaaa huyooooooo nipeniiiiil likeeEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
Na watu wanasherekea nyimbo za kumtukana Mwenyezi MUNGU Tena wazi wazi.... MUNGU tumefikia hapa leo 😢😢
Njameni mimi nakuwaka wa kwanza lakini sinja waii Pata hâta 1k naomba liké zangu plz 🙏🙏🇨🇩
@@KingRemy-vd8rn 💪
mnalipwaga izo likes au?
Utazipeleka wapi😂
Aisee tu ache unafki ngoma nikar sana kabsa mi na sher link kabsa
Mnaendaga wapi naizo likes?
Mungu mmemfanya mwezenu siku hizi,mnakosea sana wallai
Na wakubali Sana myamba leo milima imekutana noma sana i like this song from Drc Congo Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🎉🎉 naomba like zangu ❤❤❤
Izi like kwajili uma Ibrah❤❤❤
Wa kwanza tokea kenya nipeeni likes zangu
Bro unataka kupata mingi kuliko song yenyewe
@@LiveOneOnOne yeah bro
Unaacha kuandamana wewe unashinda mitandaoni😢
@@expensivecrew3159 tuandamane nini na finance bill ilirejectiwa🥲
Hit song jamani,from BURUNDI 🇧🇮 sijapewa hata like 10 kwa Ibraah CHINGA nipe tafadhali
@@alexandrodieumerci8955 💪
Kusema kweli billnas kiwango chako nikidogo uza sum tu kaka
Nyimbo nzuri ila mungu kweny izi nyimbo wanangu daah
Chiinga!
Oyaaaaaaaaaaaaaaaa tuiweke top trending music na msininyime like hiii mwaka wana kondegang
Masingisa saloni
,ngatayai ngoyoo
Olé mandiley
@@IsayaLesinjo woyeeee
Woyeee
Kaka ibraah weee fundiii sanaaaa umeuaaaaa
Ngoma weekend tayari nisha pata nita tamba nalo weekend😂
Ibrah kawa funika woteee😂
Umeuwa chinga @ibraah big ❤️🇨🇩🇹🇿
Isee noma sana nakubali sana Ibra naomba like zenu wakuu nimekuwa wakwanza kuangalia
Mimi wa kwanza nipeni like zangu
From 🇰🇪much love Chingaa ,Whozu en Billnass 🔥🔥
Ibuuuu utatuaaa 🤣🎙
Tuondoke mwanangu chinga 🤑🤑🤑
Mimi wa kwanza Léo kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩 naomba liké zangu plz 🙏🙏
Kama wewe ni mcongomani 🇨🇩 tujuane hapa❤❤🎉
Mungu hana mtoto .we chinga kua makini
Oyaaaa oyaaaa weeee zombi limetoroka mirembeee😂😂😂😂
CONGO TUPO?
🕺🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🔥🔥🔥
Wakwaza hapa from Kenya 🇰🇪🇰🇪 nipeni likes za huyu mwamba
Ambao tume rudia zaidi ya mala 3 huu wimbo naomba tujuane 🙏
🔥💥🔥💥🔥💥🔥 Ngoma kali ila kama we ni ibraah fans
Daaah Now Days jina la Mungu linatumika katikati ya Maneno yenye uovu 😢😢
Dear God Forgive us 🙏
Saaaana chinga
Upewe muda tu basi 🔥🔥🎉🎉🙌🏽
Tunao mkubali chinga tujuane 🇨🇩 🇨🇩 🙏 ❤❤❤❤
..asee ibraah ni 🔥🔥🔥
Noma 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Oyaaaaaaaaah bombo clt
Ngoma isambe🙌🙌💰
Dah wameniibia wimbowangu😭😭😭
❤❤❤ibraaa
Likes za ibraah ni hapa ,this song is hitting harder than my dads belt😂😂 pure love ❤❤
Naombeni like kwa chinga jaman Itwende 🇰🇪 kenya
After dharau this is my second hit song! Chukua maua yako chinga 🎉🎉🎉
🇶🇦 🇰🇪 NOMA SANA 👑🎉🔥🔥🔥🙌
Good sng kbx🔥🔥🔥
Wakwanza toka Congo naomba like zangu🎉
Sijapenda MUNGU kumutaja kama kionjo kwenye nyimbo ya kistarehe
Kweli huku nikuchezea imani za watu, bora ifungiwe tu
Kazi Kubwa ☝️🇨🇩
Goma Kali sana 🔥🔥🔥🔥🔥🏃🏃🏃🏃
iyi ngoma kali sana nime ipenda sana mimi niwa diamondi ila nime ama uku konde geng ❤❤❤ muni like wana konde geng❤
🤣🤣🤣kwanin uhame?
Chinga katisha balaa ❤😂😂😂
Wenye tumependa huu wimbo tuzidi kubarikiwa pamoja
Unaweza chinga huwa unanipa furaha kabisa
Noumaaa🔥🔥🔥
kuimba imbatuu ila kutoa video aaaaaah
Tukumbuke kufanya ibada mambo ambayo hatujaamrishwa na Mungu tusiyatanye ni zambi 🙏
We dogo konde gang tunayo maadili uo wimbo miyeyusho unafaa ukajiunge uchafuni.Ila harmonize😊😊😊😊😊😊😊
Good music ibraah tz❤🔥💯🔥🔥🇲🇿
Ibrah endelea hivo💪💪💪💪🙏🙏🙏🔥🔥
Chinga noma sana 🙌 and billnas🇨🇩🇨🇩☝️
S2kizzy jamaniiii. Hatari mmeua saana
Tubariki 🔥🔥🔥by ibraah ft whozu x bilnass 💪
Mungu azidi kukubark mwanangu unajua
Sijachelewa sanaa please guys 🙏 naomba like hapa za ibraah and bilinas and whozu mungu tubarikii weka like hapa zote from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Honestly huu wimbi sijaupenda ata kidogo na naona sasa vijana wanajidhihirisha kwamba wanamtumikia shetani Mungu wetu aliye juu awasaidie sana mtoke huko mliko maana siku zimekaribia kuja kwa yesu kristo
Nipo sambamba na wew , yaani ni upuuzi mtupu Bora asingeomba baraka wakaendelea na matusi
Noma Sana 🎉🎉🎉
Best sound🇨🇩🇨🇩
Huyu chinga huyu mmmmmh anamatusi 🎉🎉🎉
00:37 Good stuff..
Piano la Dunia ibraah is 🔥🔥🔥 love from 🇺🇬 Uganda
Hii ngoma n ya kisenge so vema kumchanganya mungu kwenye kubarikiwa kwenye mambo ya kishenzi tena Chinga anasema kabisa amchambe mwenzake
We ndo umeongea
Unyamaa sanna 🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌
Hit song 🎉
First from Congo
Jameni ibraah kweli kajipanga huu Mwaka 🔥🔥🔥 like here
Aminia sana somu🎉🎉🎉big up washirika wote ess2kizz na wote wengine #ChingaKenboy
Ligomaa Lipyaa limoto 🇰🇪, Kenyaa representing the Bunger 💥🔥🙏
If Jaivah was here AWEEEEEEEW
From 254 hii kubwa 👊👊
Very good My brother hibra 🇲🇿
Ila chinga 😂😂😋
Chingaaaa
Wakwaza ni mozambique🇲🇿🇲🇿🇲🇿🔥🔥
Dandia dandia????? Daah ngoma kali kwel
Wa kwanza sei ayeyeeeee
Kwanini mnatumia maneno ya sala kwenye such songs😢😢😢siyo sawa kabisaaa
Noma chinga
ngom Kal
Ibraaah🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥
Chingaaa Worldwide🤩🤩🤩
Hii combination Moto🔥🔥
Hit kk🎉🎉
Ngoma Kali Sana
Project moja safi sana❤❤❤
MIMI KAMA MMACHINGA WA KENYA NATIA TIKI 💯 UNYAMAAA 🔥🔥🔥🔥🔥
Noma
Ataliiii
Ngoma kali San🙏🙏🙏
Konde gang for every body ❤❤
Ibraah kauwa zaidi ya wote ibraah musani mukubwa sana kuimba na mukubali sana kama uko namimi nipe like 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇹🇿🇹🇿🇧🇷🇧🇮🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩