VIUSASA: NEEMA EPISODE 130

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 294

  • @philesnyanchama2625
    @philesnyanchama2625 26 วันที่ผ่านมา +4

    Serenge angalia nyuma,serenge,serenge serenge 😔😆,woiiiii😏💔💔💔

  • @Charry409
    @Charry409 หลายเดือนก่อน +11

    Waah adi nmelia,,,,,l wish life was telling you the people behind your troubles and failures,,,a good script ❤❤❤🎉

  • @BECKYATMSHII
    @BECKYATMSHII หลายเดือนก่อน +10

    😢😢😢😢😢😢msijaribu kuekelea mark ety ndiye ameua serenge juu mtanimaliza na nitasema ukweli😢😢😢😢😢

    • @janendegwa717
      @janendegwa717 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂ww itabidi uwajoin sasa ndo ukaseme ukwel 😅😅😅

    • @BECKYATMSHII
      @BECKYATMSHII หลายเดือนก่อน

      @janendegwa717 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣wasijaribu juu nitasema ukweli

  • @LauraLuhombo
    @LauraLuhombo หลายเดือนก่อน +30

    Nafeel kutake a break hadi ile day mark atakua happy kwa hii kipidi..sipendi

  • @CarolineNjoki-nm5xv
    @CarolineNjoki-nm5xv หลายเดือนก่อน +89

    It only happens here in kenya viwete husimama wanagongana ngumi alafu wanaketi kwa wheelchair tena😂😂😂😂

    • @maryammaryam7773
      @maryammaryam7773 หลายเดือนก่อน +1

      😅😅😅😅😅

    • @carolsuzycarol7741
      @carolsuzycarol7741 หลายเดือนก่อน +3

      Nomaa 😂😂😂😂😂

    • @ASHAMWABAYA
      @ASHAMWABAYA หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂 aki mi ananibow tu saana😢😅

    • @CarrenBukan-cq1pb
      @CarrenBukan-cq1pb หลายเดือนก่อน +4

      True dear

    • @CarolineNjoki-nm5xv
      @CarolineNjoki-nm5xv หลายเดือนก่อน

      @carolsuzycarol7741 🤣🤣🤣

  • @tabithachepngeno8388
    @tabithachepngeno8388 หลายเดือนก่อน +2

    This is very interesting 😂😂😂😂😂😂,i could not control my tears when Neema feel for Serenge......,Kidogo Sam ananipangaisha kwa kumwita mzae akicheka😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @doreengikunda6250
      @doreengikunda6250 29 วันที่ผ่านมา +1

      I felt emotional 😭 when Kate finally saw her mother this is very interesting love you all ❤❤❤❤❤❤ ❤❤❤❤😂 felt bad for serege! 😢

  • @dommyongera
    @dommyongera 24 วันที่ผ่านมา +1

    These vipindis will become a reality one day muwekwe ndani wote wenye hamna makosa. Hebu anza kukosea kila mtu ndio mkue safe.

  • @ministerushindielly2721
    @ministerushindielly2721 23 วันที่ผ่านมา +1

    Omera Okal my brotherr,,

  • @titusmwendwa5914
    @titusmwendwa5914 หลายเดือนก่อน +7

    Si huyu serenge arudi kama ghost kinaijerian movie😁

  • @josephineamandi766
    @josephineamandi766 หลายเดือนก่อน +4

    😂😂😂😂its only in kenya where the disabled fight and get back to their wheelchair.

  • @annettekarimi8661
    @annettekarimi8661 หลายเดือนก่อน +37

    Niwapee story. Mark wasn't called by Eddy it was Alphonce men. They plan to fix mark on the death of Serenge.

    • @waitheramwangi3558
      @waitheramwangi3558 หลายเดือนก่อน +2

      Yes aki atawekelewa kitu yenye akufanya😮

    • @MargaretWangoi-q4u
      @MargaretWangoi-q4u หลายเดือนก่อน +2

      Waah pia mi nimeona wataekalea mark waah😭😭😭😭😭😭

    • @DamarysMukoyani
      @DamarysMukoyani หลายเดือนก่อน +1

      Wooooi!! Aki

  • @GideonMangeti
    @GideonMangeti 27 วันที่ผ่านมา +3

    Serenge woi the first person to die in our episode

  • @DelphineNyangara
    @DelphineNyangara 25 วันที่ผ่านมา +2

    😂😂😂ngumi yenye amepatq😂😂

  • @noreennafula-zj8zp
    @noreennafula-zj8zp หลายเดือนก่อน +13

    Wataekelea mark but nashuku driver anaeza sema ukweli 😂😂

  • @JackyTarimo
    @JackyTarimo หลายเดือนก่อน +19

    jamani wasijaribi kuekelea mark et ndo amemuuwa serenge mimi nitasema ukwel ni huyo kiwete amemtuma gaidi wake.😂😂

  • @SUZYNJOGU
    @SUZYNJOGU หลายเดือนก่อน +5

    Jojo tafuta mother in law kabixa 🎉🎉

  • @mbarakfadhil-bc3ed
    @mbarakfadhil-bc3ed 28 วันที่ผ่านมา +2

    Imezidi kuwa moto daaaaaaaaaaaaaaa 😂😂😂

  • @sadiafavoured
    @sadiafavoured หลายเดือนก่อน +25

    Jojo anatafuta mother in law 😂😂😂

    • @janendegwa717
      @janendegwa717 หลายเดือนก่อน

      Usicheze na mapenzi 😂😂

    • @HgeuJyydj-cr1kc
      @HgeuJyydj-cr1kc 2 วันที่ผ่านมา

      Mapenzi ak ufanya mtu mjinga 😂😂😂😂😂

  • @GeoffreyOuma-t2b
    @GeoffreyOuma-t2b หลายเดือนก่อน +4

    Aki msijifanye hamjaona mbio tom amechomoka nayo 😂😂😂😂😂

  • @rodgersm
    @rodgersm หลายเดือนก่อน +4

    Okal hiyo kofi imekupata unawares 😂😂

  • @jemimahmwaniki5189
    @jemimahmwaniki5189 27 วันที่ผ่านมา +2

    Aki huyu Tom😅😅😅😅😅😅

  • @GraceMutisya-i9e
    @GraceMutisya-i9e หลายเดือนก่อน +6

    Cate uwezi hug bestie wako surely 😢

  • @emmaculatekyusya8615
    @emmaculatekyusya8615 27 วันที่ผ่านมา +2

    Sam anacheka au analia?

  • @HellenbitutuMwebi
    @HellenbitutuMwebi หลายเดือนก่อน +24

    😢😢😢😢😢Sijawahi comment but am feel sorry for Mark na hakuna mwanamke mjinga kwa hii dunia kama Neema, but Driver ndio atakuja kufunga kiwete tembea matacore Alphonce, Mark patience and humble always pays,unatezeka juu ya Neema wah Leo tangu Episode 1 hadi 130 ndio nimelia full time.

    • @tboytoby8034
      @tboytoby8034 หลายเดือนก่อน +2

      Na tom je?

    • @HellenbitutuMwebi
      @HellenbitutuMwebi หลายเดือนก่อน +2

      @tboytoby8034 wanapenda lakn hawana maisha hao wanataka kuenda majuu 😄 🤣 😂 😆

  • @HadijaVinyu
    @HadijaVinyu หลายเดือนก่อน +15

    Alphonse usimuekelee mark siku yako itafika unavyo igiza wewe ni kiwete sikupendi Aky😏😏😏

    • @EuniceOyamo
      @EuniceOyamo หลายเดือนก่อน

      Mark ndio atashikwa hki

    • @GardeningwithMercy
      @GardeningwithMercy หลายเดือนก่อน

      Huyu kiwete anabooooooooooooo

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 หลายเดือนก่อน +1

      Alifons niya yake ndohiyo kumfunga Mark analipa kisasi

    • @KsaDsas
      @KsaDsas หลายเดือนก่อน

      M too nmchukia sna huo kiwete

  • @rachelkamau8485
    @rachelkamau8485 หลายเดือนก่อน +18

    Aki wataekelea Mark. Alphonse siku yako itafika tu.

    • @franciskombo5753
      @franciskombo5753 หลายเดือนก่อน

      Yeah but I think hio simu mark alipigiwa ndo itamuokoa

    • @annastaciawaweru7004
      @annastaciawaweru7004 หลายเดือนก่อน

      ​@@franciskombo5753i personally think ni Alphonse alijifanya uyo mtu ndo mark asikue around when it happens

  • @DamarysMukoyani
    @DamarysMukoyani หลายเดือนก่อน +2

    Aki Mark ameyapitia 😌😌😌😌,ataekelewa hii

  • @Anna-l8z2n
    @Anna-l8z2n หลายเดือนก่อน +9

    Yaani viwete husimama wanapiga watu ngumi na wanarudi kwa wheel chair kusmile as if nothing happened 😂😂😂😂

    • @janendegwa717
      @janendegwa717 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂

  • @princessbetty7451
    @princessbetty7451 หลายเดือนก่อน +9

    what will happen🤔🤔🤐kumewaka moto🥵🥵 we will wait for the end✋✋✋✋🤷‍♀

  • @ChristineKesi-k9r
    @ChristineKesi-k9r หลายเดือนก่อน +9

    Wat,alphonce ana pretend he walks evn,no accdnt Yawah !!

  • @joymugambi6713
    @joymugambi6713 หลายเดือนก่อน +4

    Naishaaaa 😂😂
    Woooiiiye sam Amelia jamani

  • @justanduta839
    @justanduta839 หลายเดือนก่อน +2

    I am enjoying the show

  • @Felister330
    @Felister330 หลายเดือนก่อน +1

    Amazing neema

  • @EvaBaya-f5q
    @EvaBaya-f5q หลายเดือนก่อน +14

    Na serenge alikua hajajipanga hajanyoa na ame dedi😂😂😂

    • @user-fz3dg2fr6bl
      @user-fz3dg2fr6bl หลายเดือนก่อน

      😳😳

    • @NeyGillah
      @NeyGillah หลายเดือนก่อน +2

      Na uko na akili fupi kama makamasi 😏

  • @Mamaboys333
    @Mamaboys333 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani mtu anakukerea dodi hivo 😢alafu anakusmilia😅😅😅😅😅kumvafu zako

  • @MarionNjoki-o3l
    @MarionNjoki-o3l 28 วันที่ผ่านมา

    Serenge ata anaonekana amechoka acha aende akapumzike 😂😂😂😂

  • @waitheramwangi3558
    @waitheramwangi3558 หลายเดือนก่อน +5

    Uyu kiwete sometimes anaboo sana

  • @NmcNmc-w5t
    @NmcNmc-w5t หลายเดือนก่อน +4

    Yaani uja uzito uko Bado miezi Tano kuzaliwa.... Neema na mark Bado mko na mwendo mimba yabebwa na miezi kumi na mbili waaaaa afadhali ni kipindi

    • @evelynewangila
      @evelynewangila หลายเดือนก่อน

      Tatu eti atazaa after 5 mths

  • @AnnKajuju-bz2hy
    @AnnKajuju-bz2hy หลายเดือนก่อน

    Acting ni funny...sasa serenge anajua anaeda kufa😂😂😂

  • @LonahWairai
    @LonahWairai หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂 na mbona sam anacheka Kwa nguvu ivi😅

  • @IreneMuthoki-rh6fd
    @IreneMuthoki-rh6fd หลายเดือนก่อน +1

    Sam, congratulations for nice acting today ❤

  • @DaisyChebet-w3p
    @DaisyChebet-w3p หลายเดือนก่อน +3

    Neema ana makosa Paul tuliza nyenge 😂😂 serenge amekufa 😢😢😢

  • @EverlynWere
    @EverlynWere หลายเดือนก่อน +3

    Mzae kwisha

  • @BrianWanjala-tb4wk
    @BrianWanjala-tb4wk หลายเดือนก่อน +2

    We need to download producer

  • @ClintonChisiangani-um9lx
    @ClintonChisiangani-um9lx หลายเดือนก่อน +1

    Kweli serenge alikuwa rafiki wa sam wa karibu, alafu kumbe hawa watu walikuwa wanajali serenge wote

  • @JessicaMueni
    @JessicaMueni หลายเดือนก่อน +2

    I don't know if I want to watch Mark go through the pain

  • @AlbertMakokha-g2l
    @AlbertMakokha-g2l หลายเดือนก่อน +1

    Aki serenge umeniacha kwa heri

  • @lauralaura693
    @lauralaura693 หลายเดือนก่อน +3

    Today's episode so emotional adi nimekaa goosebumps 😢😢😢
    Woyeee Serenge jamani , I hope they won't blame Mark 😢😢

  • @sakwaagnes7711
    @sakwaagnes7711 หลายเดือนก่อน +17

    Hii part ya Sharon iishe Sharon atolewe kwa kipindi... I don't like her childish behavior.. mara watu wengine anawajua.. wengine hapana.. so confusing and annoying part😏

  • @NaliakaFaith-iu1is
    @NaliakaFaith-iu1is หลายเดือนก่อน +1

    Serengeeee😂😂😂

  • @ednamukami01
    @ednamukami01 หลายเดือนก่อน +2

    Mbona serenge ameuawa😢😢😢😂😂😂

  • @NimrodAtandi
    @NimrodAtandi หลายเดือนก่อน +1

    Sam kwani anacheka😅😂

  • @NiphaAngeshi-e5y
    @NiphaAngeshi-e5y หลายเดือนก่อน +1

    Mzae😢😢😢

  • @scoobydoo8330
    @scoobydoo8330 หลายเดือนก่อน +4

    Ile mbio Tom amechomoka, amedhania makarao wamemkujia yy 😂😂

    • @SUZYNJOGU
      @SUZYNJOGU หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

  • @chelahkenyah3596
    @chelahkenyah3596 หลายเดือนก่อน

    Uziruri sisi tumeona s mark so tukotayar kumtetea mark

  • @LinetNafula-uw2sm
    @LinetNafula-uw2sm หลายเดือนก่อน +1

    Alphonce alphonce aki nmekuita mara ngapi?mungu anakuona😢😢😢😢😢😢😢😢

    • @nathanielsm.3646
      @nathanielsm.3646 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂wah it's just acting sio serious hivo

  • @agienush4843
    @agienush4843 หลายเดือนก่อน +1

    Na viwete watatembea siku ya kiama 😂

  • @estherpretty99
    @estherpretty99 หลายเดือนก่อน +1

    Siajabu huyu Alphonce alikua ni criminal huko USA.Alafu serene,kwani mtego ulijiwekea mwenyewe. Ona sasa uliwekea mwenzako yamekukuta wewe😢

  • @glorykamerukiogora1264
    @glorykamerukiogora1264 หลายเดือนก่อน +1

    Tom na cate😂😂😂😂😂

    • @charleschacha6876
      @charleschacha6876 หลายเดือนก่อน

      Kwani episode ya leo imetoka? Sioni hapa.😂

  • @evelynewangila
    @evelynewangila หลายเดือนก่อน +1

    Huyu Mark hizi magari ni mingi

  • @annanabwilewafula7863
    @annanabwilewafula7863 หลายเดือนก่อน +3

    ak musiekee Mark ety ni yy ndo amemuua Serenge please...Na kwa nn Alphone anasimama na yy ni Kiwekete😂😂? hapa mumetucheza

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 หลายเดือนก่อน

      Habari ndohiyo Alifons kaja kwa Mark kulipa kisasi

    • @MargaretWangoi-q4u
      @MargaretWangoi-q4u หลายเดือนก่อน

      Mhh kiwete kijifanyaji

  • @VivianAtieno-f3o
    @VivianAtieno-f3o 29 วันที่ผ่านมา +1

    𝑲𝒊𝒘𝒆𝒕𝒆 𝒂𝒏𝒂𝒑𝒊𝒈𝒂𝒏𝒂 𝒏𝒈𝒖𝒎𝒊 𝒌𝒂𝒎𝒂 𝒔𝒕𝒊𝒎𝒂

  • @carolsuzycarol7741
    @carolsuzycarol7741 หลายเดือนก่อน +4

    Alphonse kwani kumeendaje 😂😂😂

  • @FlorenceMokaya
    @FlorenceMokaya หลายเดือนก่อน +1

    Kiwete amejua tu driver amejua kitu😢😢

  • @germinmutitu9
    @germinmutitu9 หลายเดือนก่อน +1

    Tom ,😅😅😅😅😅😅

  • @monicaken254
    @monicaken254 หลายเดือนก่อน

    Wooi ...wewe jamaa ya wheelchair you are not worthy Neema nkt

  • @Lehkeey
    @Lehkeey หลายเดือนก่อน +2

    I feel like the role of Alphonse is not doing justice to people with disabilities...it really taints their image portraying them as people who are cruel and pretentious...my personal opinion

  • @rose_wangari
    @rose_wangari หลายเดือนก่อน +1

    Ey, kiwete jamani😮
    Serenge sio mpoa but then…😢

  • @ourumonyenye8450
    @ourumonyenye8450 หลายเดือนก่อน +6

    Hivo ndo mtu anatolewa kwa kipindi

    • @agienush4843
      @agienush4843 หลายเดือนก่อน

      Akafu mtu adedi ile serious 😂😂😂

    • @NjukiPhoebe
      @NjukiPhoebe หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂wameanza kupungua wengine wakufe then kipindi kiishe

  • @ShallomAmugune-gd8yg
    @ShallomAmugune-gd8yg หลายเดือนก่อน

    Waaah hiyo ngumi mko sure ni ya kuact😂😂😂

  • @SdFft-j5g
    @SdFft-j5g หลายเดือนก่อน +3

    Alphonse wewe dont try to frame mark kama serenge atakufaa🥺🥺

  • @irenejane4213
    @irenejane4213 หลายเดือนก่อน

    Maskini mark😢😢😢😢 hujui nini inakungojea hukoooo

  • @alexnyambegera8457
    @alexnyambegera8457 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani kwa hivyo Haina cctv

  • @Sashatravis254
    @Sashatravis254 หลายเดือนก่อน +2

    Alphonse mkunduthe na hio macho yako kaa makende ya waiguru

    • @Carlmirabel
      @Carlmirabel หลายเดือนก่อน

      wainguru ako na makende tena😂😂😂😂😂

    • @Sashatravis254
      @Sashatravis254 หลายเดือนก่อน +1

      @@Carlmirabel huyu ameniudhi adi nkachanganyikiwa 😂😂😂😂pua Kaa waititu

    • @Carlmirabel
      @Carlmirabel หลายเดือนก่อน

      @Sashatravis254 walaai team strong we never disappoint😂😂😂

    • @mariammohamed8499
      @mariammohamed8499 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @AnnatilaTakeshi
    @AnnatilaTakeshi หลายเดือนก่อน +2

    Hopes hamtaekelea mark ni yy amemuua,juu alikua na beef na yy

  • @joymugambi6713
    @joymugambi6713 หลายเดือนก่อน +2

    I hope serenge akuwe ghost 😂

  • @KathurimaMwedwa
    @KathurimaMwedwa หลายเดือนก่อน +1

    Mtu analia akicheka🤣

  • @lucieloowy-vl1lh
    @lucieloowy-vl1lh หลายเดือนก่อน +1

    Woooiye mzae😢😢😢

  • @bettybeembeh4388
    @bettybeembeh4388 หลายเดือนก่อน +3

    Alphonnse sent his bodyguard to kill Serenge then they will instigate Mark for his death.

  • @Sashatravis254
    @Sashatravis254 หลายเดือนก่อน

    Na watu leo mumechangamka huku😂😂😂rip serenge😢

  • @nancyndarwa7508
    @nancyndarwa7508 24 วันที่ผ่านมา

    Lynn Jasmine WEDDING anniversary card game is the same for me as I

  • @sharonmuhatia7811
    @sharonmuhatia7811 หลายเดือนก่อน +3

    Alphonse is your head normal or something else is inside you😅😅😅😅😅😅😅😅😅

    • @ruthmunyao1867
      @ruthmunyao1867 หลายเดือนก่อน

      I hate this Alphonse

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu kapigwa ngumi kwasabu ya Neema.namuonea huruma Mark maana yy ndoalikua katoka

  • @TeresiaWangui-sy1oh
    @TeresiaWangui-sy1oh หลายเดือนก่อน +1

    Serenge my friend wacha hizooo wewe

  • @chelahkenyah3596
    @chelahkenyah3596 หลายเดือนก่อน

    Wataekelea mark

  • @dorriskimathi8571
    @dorriskimathi8571 หลายเดือนก่อน +3

    Sasa serenge amefnya nini kiwete sass

    • @LinetNafula-uw2sm
      @LinetNafula-uw2sm หลายเดือนก่อน

      Imgne ata Leo nmelia Sasa😢😢😢na ujue hivo ndiyo mtu utolewa kwa kipindi,uwezi muona Tena kwa hii kipindi

  • @christinembaya6208
    @christinembaya6208 หลายเดือนก่อน

    Nimemfeel sam woiye ameagana nae alaf anampata amekufa

  • @soniaphocy9092
    @soniaphocy9092 หลายเดือนก่อน +2

    Alphonse Jimmy called mark in pretence. Mark your r a honest man Richard is your unfolding lawyer 3

  • @esthernyambura803
    @esthernyambura803 หลายเดือนก่อน

    Siii hii kiwete ipatwe siku moja ikiwa imesimama☹️

  • @alexnyambegera8457
    @alexnyambegera8457 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani kwa hiyo hotel Haina cctv

  • @SymonShikuku
    @SymonShikuku หลายเดือนก่อน +1

    Polisi as usual. Kufukuza watu

  • @AustinOnderi
    @AustinOnderi หลายเดือนก่อน +2

    Kiwete amesimama

  • @AnnnjokiNjokiAnn-um8pi
    @AnnnjokiNjokiAnn-um8pi หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂ati Catherine amesema mimba niyamiezi ngapi mko najokes sana ata nyinyi mimba kubwa hivyo niya 4months so inamaanisha hii time yote nahizi mashida zote za neema hawajakaa kwa Mark more than 3months anyway is just a movie sikatai Serenge alikua mubaya but imeniuma aki Mark tena awekelewe hii ngori😢😢😢😢😢

  • @Sashatravis254
    @Sashatravis254 หลายเดือนก่อน

    Mm nmelia na huyo boy mwenye alipewa bye ya mwisho na serenge😢

  • @TitusTito-m3n
    @TitusTito-m3n หลายเดือนก่อน +1

    Ak mbn mh cpati y next

  • @mildredimali7920
    @mildredimali7920 หลายเดือนก่อน

    Utaona wakisema Ni Mark amemuwa jamani😢

  • @DunieTrejo
    @DunieTrejo หลายเดือนก่อน +1

    😢woii mark

  • @StephenXteevo
    @StephenXteevo หลายเดือนก่อน

    Hata kama ww ni boss unawesaje piga mtu kofi still unajifa mlevu kukalia wheelchair heri ukuwe kenye unatakia mchenzi

  • @shammillajibera9007
    @shammillajibera9007 หลายเดือนก่อน +1

    Serenge alikuwa amezidi na yy

  • @johncollins3381
    @johncollins3381 หลายเดือนก่อน

    When will Naomi exposes Alphonce that his not a limping man but just pretending